🔴LIVE:RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA ELIBARIKI SEHEMU YA 10 - JULY 12

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 50

  • @tunkuh661
    @tunkuh661 5 หลายเดือนก่อน +20

    Asante Elly kwa simulizi hii kwani nimejifunza vingi
    1. Wazazi bila kujali hali zetu za kiuchumi ebu tupate muda wa kuongea na watoto kwa uwazi na ufafanuzi mzuri juu ya hatari zote zinazoweza kuwakuta ktk kuishi kwao
    2. Tusiache kuwatendea mema watu kwani wema unalipa aliyofanya huyu mtoto wa hiari wa babake Elly ni matokeo ya wema aliotendewa na huyo mzee.
    3. Ubishi na ujuaji mwingi ni hatari sana kwa ubadae wa mtu na hili limewaponza wengi sanaaa
    4. Tusiwakatie tamaa ndugu zetu pale wanapokutwa na majanga, japo inachosha sana maana nina uzoefu wa hili kiukweli unahitaji moyo wa upendo kuhudumia mtu wa aina ya Elly lasivyo utasurrender kabla ya muathirika kupata uponyaji na saa nyingine waweza jikuta huko na depression za kutosha.

    • @SabrinaIbrahim-jl5um
      @SabrinaIbrahim-jl5um 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa...Nina bwana angu ndo baba kijacho wangu aiseeeee ni mlevi wa pombe kali...yani akilewa mkorofi najitaidi kumvumilia manake akuna mtu anaempenda 😢😢😢

    • @rosemofuga8101
      @rosemofuga8101 5 หลายเดือนก่อน

      Waoooooo ni sahihi kabisa

    • @witnessmallya5114
      @witnessmallya5114 5 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli kabisa, tumejifunza mengi

    • @MwajumaFadhili-l8p
      @MwajumaFadhili-l8p 5 หลายเดือนก่อน

      Ivi kwann actuletee elibariki tumuone jmni

  • @videozaaj1069
    @videozaaj1069 5 หลายเดือนก่อน +7

    Kipindi cha dada veronica ni zaidi ya mahubiri kwa sababu,kuna mafunzo makubwa ya kila namna yaani Mungu amemleta veronica kuwa mwalimu kwa kuwakilisha simulizi za kila namna,imagine maisha ya kila angle yanaguswa na mafunzo yote yapo hapa,kama mtu utaamua kukengeuka ni wewe tu na kichwa chako kigumu..BINAFSI NAJIFUNZA MENGI SANA KWA HIKI KIPINDI,NINGEPENDA KUKIITA"MAISHA HALISI" ...kwa sababu haya sasa ndo maisha yenyewe.

  • @alexbujiku6483
    @alexbujiku6483 5 หลายเดือนก่อน +2

    Be bless Da Vero , hii simulizi ya Elly ina vitu vingi vya kujifunza 💪💪💪💪✊

  • @ukundijohnnkya1009
    @ukundijohnnkya1009 5 หลายเดือนก่อน +21

    Vero unajua sana kuvaa uhusika. Yaani unasimulia hadi tunamwona Elibariki live!🤣🤣🤣🤣

    • @SabrinaIbrahim-jl5um
      @SabrinaIbrahim-jl5um 5 หลายเดือนก่อน

      Kabisa😊😊😊😊😅😅😅

    • @vee4296
      @vee4296 5 หลายเดือนก่อน +1

      Yani atari ...yuko vizr

    • @kemiivani2353
      @kemiivani2353 5 หลายเดือนก่อน

      Nimecheka 😂😂😂😂

    • @GloriaDon-dp9xg
      @GloriaDon-dp9xg 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @hasnanadhiru2168
      @hasnanadhiru2168 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂 kwakwel live bila chenga

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 5 หลายเดือนก่อน +3

    Asante sana Elibariki kwa simuizi hii..hakika tumejifunza..umejitoa kweli mtu wa watu kukubali kutusimulia. Mungu aendele kukulinda na familia yenu pamoja na kaka yenu wa hiari

  • @DadaKossovo
    @DadaKossovo 5 หลายเดือนก่อน +5

    Da Vero nakupenda utatusimulia Hadi tunakuelewa vizur

  • @ChristinaAloyce-pp6vj
    @ChristinaAloyce-pp6vj 5 หลายเดือนก่อน +2

    Nilitamani kusikia Eli amepona na amepona sasa nimefurah asante Mungu. Mungu atulindie watoto wetu.🙏

  • @GraceKibelenge
    @GraceKibelenge 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana eli na da vero pia mungu tuepushe na malafik wabaya🙏

  • @GodwinIssack
    @GodwinIssack 4 หลายเดือนก่อน

    Sifa na Utukufu ni Kwake Mwenyezi Mungu Muumba wa Mbingu na Nchi kwa Zawadi Aliyo Itoa Kwa Family ya Mzazi wake Baba Elibaliki kwa Kuwaandalia Mkombozi kwa Maana ya Mtoto wa Hiyali❤

  • @witnessmallya5114
    @witnessmallya5114 5 หลายเดือนก่อน

    Yaan ni bonge la story, vijana tumepata la kujifunza hapa! Asante sana Da Veronica kwa simulizi na Asante Elibariki kwa kushare na sisi ili tujifunze, Mungu azidi kukuongoza na uendelee kuwa darasa

  • @FatmaAlly-w7p
    @FatmaAlly-w7p 4 หลายเดือนก่อน

    Da vero nakupenda kweli hiyo saut yko ukicheka hadi raha tunajifinza vitu vingi kupitia wewe . Mm mama yangu hakosi kipindi chako anakipenda sn

  • @bintimrope
    @bintimrope 5 หลายเดือนก่อน +1

    Alafu kuna mlevi j3 ikianza simulizi mpya ataanza kusema mbona simulizi ya Elibariki hujamalizia dada veronica 😂😂😂😂😂😂

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 5 หลายเดือนก่อน +1

    Pole Eli bariki na pia hongera kwa kuvuka salama

  • @ElithaKonga-p4n
    @ElithaKonga-p4n 5 หลายเดือนก่อน +2

    Maua yako pokea Vero unajua kusimulia yan kama tunatazama series hiv

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 5 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu tunusuru

  • @rosemofuga8101
    @rosemofuga8101 5 หลายเดือนก่อน

    Waoooooo that's good, angalau nimepata nafuu maana nilikuwa naumia sana

  • @ukundijohnnkya1009
    @ukundijohnnkya1009 5 หลายเดือนก่อน +1

    Talent well used!!!

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 5 หลายเดือนก่อน +1

    Daaaah💔💔💔💔mali zoteeee zimeteketea😢

  • @Zuhuranadadoita
    @Zuhuranadadoita 5 หลายเดือนก่อน +2

    Asante saaana elibariki kweli umetufunza kitu kikubwa hasa baba yako kuwa mwema angalia Huyu kaka ako anayekuahangaikia leo yote sababu baba ako amemusadia unatufunza tuwe wema hakika mungu ni mwema nimefurahi saaana jamani kuwa na Familia

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 5 หลายเดือนก่อน +5

    Hakika huyo mtoto wa hiari ndugu na pia rafiki wa kweli ana upendo wa ajabu sana, sijawahi ona mimi tokea nimezaliwa mtu kama huyo, ndugu ni kufaana kama hivyo sio kufanana au kuzaliwa tumbo moja

  • @vee4296
    @vee4296 5 หลายเดือนก่อน +1

    Dah uyo kaka yako mwema sana

  • @rachelmsekena603
    @rachelmsekena603 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hii inatufundisha tujifunze kumsaidia mtu yoyote hata kama sio wa damu yako hujui maisha ya badae hata kama sio ndugu yako,ona huyu anasaidiwa na mtu ambaye sio damu yake lakini hayo ni matokeo ya roho nzuri aliyokua nayo baba ake.

  • @FirbethTayar
    @FirbethTayar 5 หลายเดือนก่อน

    Da Vero kumbe mzuri ivo😅

  • @gracelyimo6256
    @gracelyimo6256 5 หลายเดือนก่อน

    Hivi hawa wanaouza madawa kwanini wasidhibitiwe!?
    Wanajulikana lakin wanafumbiwa macho kwann?hivi hawaonei huruma vijana kama hawa wanavyopoteza muda na mali zao ktk kupambania kuchomoka huko
    Aisee inaumiza sana

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tuko pamoja dada vero mbaka mwisho

    • @csato9415
      @csato9415 5 หลายเดือนก่อน

      Mbaka = mpaka.

    • @jumapiliissa4835
      @jumapiliissa4835 5 หลายเดือนก่อน

      @@csato9415 HAHAHA nilikosea bahati mbaya nikagundua kufuta ikanishinda

  • @complex7582
    @complex7582 5 หลายเดือนก่อน

    Kwani madawa yamewekwa nini ndani

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona kama mahubiri sasa sio story

  • @ashurarajabu1826
    @ashurarajabu1826 5 หลายเดือนก่อน

    jaman

  • @PendoMacha-ib6oc
    @PendoMacha-ib6oc 5 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo ndio umeisha😮

  • @naomicharles5444
    @naomicharles5444 5 หลายเดือนก่อน

    Duh

  • @aminasemagwiya1093
    @aminasemagwiya1093 5 หลายเดือนก่อน

    Kwani vuna deilee unacheza mara ngapi ndo unashinda mbona kama naanza kukata tamaa

    • @CHAMBERAJR
      @CHAMBERAJR 5 หลายเดือนก่อน

      😅😂😂😅😅

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 5 หลายเดือนก่อน

    Aisee mkasa umeisha nimeelewa vizuli

  • @balozimeena6263
    @balozimeena6263 5 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu jamaa alikosa usimamizi kwa mtoto wa hiari kwan toka ulaya angembana na kumwambia baba ake mapema angefanya jambo.na dogo asingefika huku.wengi wamepotea style hii kijinga sana.

    • @Kiddohsanga-fw7jh
      @Kiddohsanga-fw7jh 5 หลายเดือนก่อน

      We nae hujaelewa baba yake alikuwa mgojwa

    • @EstherEdson-o3v
      @EstherEdson-o3v 5 หลายเดือนก่อน

      Hatakama huyo kaka wa hiari siku zote hizo anasema nitamwambia baba Ako kbla hata Hali hakuumwa mpk kufa haijamfika Kila siku nitamwambia hamwambii nae mjinga tu

    • @ScholarPeter
      @ScholarPeter 5 หลายเดือนก่อน

      Kaka wa hiyari hakutaka lawama ndo maana alikuwa anamlazimisha elly mwenyewe aseme

    • @thobiethalibutu1465
      @thobiethalibutu1465 5 หลายเดือนก่อน

      Nilichojifunza katika hii simulizi ni kwamba Familia inapomuamini mtoto wao wew mtu wa pembeni ni ngumu kuingia hapo na kuwaeleza hali husika ya mtoto wao.
      Simulizi hii inatufungua macho kwetu sisi sote kwamba Uoga ni chanzo Cha matatizo makubwa .Pia ni vyema kutafakari katika Kila Jambo na kukinahi maisha fulani ili kupata kitu kinachofaa kwaajili ya maisha yetu ya baadae.
      Elibariki ni mtu aliyefuatiliwa nyayo zake pasipo yeye kujua. Ujue laiti kama uadui ungeonekana Elly angeepuka mapema sana .Maadui walimzuka Kila upande, na ukiangalia mtu anamwelekeza camps za madawa zilizopo Dar es salaam wakati huyo mtu alijitambulisha kwa Elly yeye anatokea Africa mashariki.😢
      Elibariki hongera sana kwa kushare story yako na sisi ulizungukwa na watu wengi wasio sahihi.

    • @TheresiaMyalla
      @TheresiaMyalla 5 หลายเดือนก่อน

      Alimwambia baba yake ila baba ndo alizingua akufuatilia coz aliambiwa mwanae ana marafiki wabaya