MZEE SAID |ZILE VURUGU ZOTE TUMESABABISHA SISI|MUTALE AACHWE TU DIRISHA HILI HILI ATUPISHE TUPUMZIKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 467

  • @yohanajoseph7555
    @yohanajoseph7555 หลายเดือนก่อน +65

    Najua Hatufahamiani ila Nakuombea Kwa Mwenyezi Mungu Akujalie Afya Njema Na Akupe Wepesi Ufikie Malengo Yako Yatimie Vizuri ❤

    • @hemedysaidy-b6k
      @hemedysaidy-b6k หลายเดือนก่อน +6

      Allaahumma aamiin nakwako piaa

    • @juniorSamwali
      @juniorSamwali หลายเดือนก่อน +3

      Amina amina, ahasante sana

    • @EzekielMsigwa
      @EzekielMsigwa หลายเดือนก่อน +1

      Amen

    • @shahamemalenga4838
      @shahamemalenga4838 หลายเดือนก่อน +1

      Amina

    • @yohanajoseph7555
      @yohanajoseph7555 หลายเดือนก่อน

      @@hemedysaidy-b6k Asante Sanaa 🙏🙏

  • @kajugaa4537
    @kajugaa4537 หลายเดือนก่อน +11

    Yaaani nimecheka sanaaaaa aisee daaaah Mzee saidi hanaga unafiki kama mashabiki wengine

  • @MedrickMgode552
    @MedrickMgode552 หลายเดือนก่อน +44

    Shabiki bora hajawah kutokea ni mzee said kwanza anaujuwa mpila🎉🎉🎉

    • @EmmanuelCharles-o6l
      @EmmanuelCharles-o6l หลายเดือนก่อน +3

      Nomaaaa

    • @Mtenda-eq3jp
      @Mtenda-eq3jp หลายเดือนก่อน +3

      Huyu mzee ni mshabiki wa mkweli ikifanya vizuri anasifia na kufurahi na isipocheza vizuri anaumia na kupiga raddi

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 หลายเดือนก่อน +2

      @@Mtenda-eq3jp mashabiki WA Simba wasimuelewa utamsikia eti ,mamluki WA YANGA! Ikwapasu kwa ukweli hawapendi!

    • @josephburugi4041
      @josephburugi4041 หลายเดือนก่อน +2

      Huyu mzee mnpa hype ya media hana point maangamizi anacho angalia ni maslai ya pande mbili, mpila haupo kama unavyo taka, hata miraji anajiamini na uchambuzi akijua hakosei.
      Dakika za nyongeza huwa zinaitwa minimum additional tyme lakini watu hawasemi.
      Faulo ya Malone unaweza kuwa kadi nyekundu.
      Kamapira ungekuwa kama wanavyo sema Madrid na baca wangekuwa vinara wa ligi ya mabingwa, kwani hakuna watu wanao fungwa kwao katika mechi kubwa.
      Some times media wanawapa watu wapumbavu hype za kijinga kwa sababu ya maslai

    • @Yangaone-h8j
      @Yangaone-h8j หลายเดือนก่อน +1

      Huyu mzee hana ushabiki mandazi hafichagi udhaifu wa timu yake

  • @Shadia544
    @Shadia544 29 วันที่ผ่านมา +6

    😂😂😂Jamaniii mzee saidi jamaniii chagamba anainjoi sanaaaaaa LIKE 10 KAMA NA WEWE unamkubali mzee saidi 😂😂😂

  • @chemstry409
    @chemstry409 หลายเดือนก่อน +15

    Wallah Mzee Said Mwenyezi Mungu akuweke....wewe ni MTU WA MAANA SANA...🙏🙏🙏

  • @khamisi.abdallahkaniki
    @khamisi.abdallahkaniki หลายเดือนก่อน +9

    Mzee. Saidi nakukubali. Sana. Ww. Mwanamichezo. Allah. Akupe. Maisha. Marefu

  • @MaikoMasnja
    @MaikoMasnja หลายเดือนก่อน +4

    Safi sana baba angu mungu akupe maisha marefu

  • @BATULIMUSSA-j6w
    @BATULIMUSSA-j6w หลายเดือนก่อน +11

    Nakupenda Babu Allah akupe maisha marefu

  • @chemstry409
    @chemstry409 หลายเดือนก่อน +7

    MAFALA..😂😂😂......Mzee SAID ni kati ya Mwanachama na Mshabiki wa MAKOLO ambaye anajijua.....Mzee Said Wallah Mwenyezi Mungu akupe wakhai mrefu....Nakupenda sana Mzee Said...❤❤❤❤❤

    • @NiyogushimaOscar-rd6ur
      @NiyogushimaOscar-rd6ur หลายเดือนก่อน

      Anahakili kama za utopokwinyo team ifunge wew useme eti kwanini wafunge dakika za jioni kwani alitaka simba ifungwe ao ifunge?

  • @MANIRAMBONAWilliam-r4c
    @MANIRAMBONAWilliam-r4c หลายเดือนก่อน +5

    Mzeeee Said 🙏🏽🙏🙏🙏🏽🙏🏽🙏 daaa msema ukweri hapendwi kbs lakini unaongea ukweri kbs

  • @francofisinge137
    @francofisinge137 29 วันที่ผ่านมา +3

    Nakuelewa sana mzee

  • @AMIRYPIGANGOMA
    @AMIRYPIGANGOMA หลายเดือนก่อน +3

    nakukubalisana chagamba na mzee wangu mzee saidi❤❤❤

  • @yousifyousif-p7f
    @yousifyousif-p7f หลายเดือนก่อน +2

    Mzee saidi umenifurahisha walai😂 tumenyukwa kwa sababu tumesalazisha😂 watakuja kwetu Aishi mpaka iishe💪💚💛💚💛

  • @PeterMichael-n7c
    @PeterMichael-n7c 26 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee said nakuelewa sana unashusha nondo hatari.

  • @rebeccasechuma4746
    @rebeccasechuma4746 หลายเดือนก่อน +6

    yaan huyu mzee anajua hana unafiki mimi nakuombea mzee wangu unajua kunifurahisha😂😂😂

  • @raphaeltanzania
    @raphaeltanzania หลายเดือนก่อน +16

    Nilikusubilia Mzee Saidi maana unaongea ukweli big up sana Mzee wetu

  • @pascalvirgilio7208
    @pascalvirgilio7208 29 วันที่ผ่านมา +5

    Kiuhasilia Simba bado haipo sawa hasa wakirudi second half ndiyo balaa😂

  • @NuruKambo
    @NuruKambo หลายเดือนก่อน +5

    😅😂😅😅mzeeee mbona uliisifiaa lkn ushasahau kbs

  • @FrankLuhaha-p4l
    @FrankLuhaha-p4l หลายเดือนก่อน +19

    Hapaaa ❤❤❤ingekuaaa mchomeee 😂😂😂mngesemaaa n chawa wa yanga😂😂😂

    • @LilianBitwale
      @LilianBitwale หลายเดือนก่อน +1

      Mbona washasema et Mzee anatumiwa na alikamwe 😂😂😂😂 hawa wajinga bhana

    • @assadyabdull5146
      @assadyabdull5146 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂😂😂

    • @kassimmachela8259
      @kassimmachela8259 29 วันที่ผ่านมา

      Ata yeye anaweza kuwa chawa kama machawa wengine

    • @kassimmachela8259
      @kassimmachela8259 29 วันที่ผ่านมา

      Ata yeye anaweza kuwa chawa kama machawa wengine

  • @mlungumasaba1786
    @mlungumasaba1786 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee saidi anawaza kama mimi tutamfunga nani ugenini kwampira ule

  • @Emmanueltunzo
    @Emmanueltunzo 23 วันที่ผ่านมา +1

    Watamuelewa tu siku moja
    Ngoja tukiwapiga 5 tena watamuelewa mzee saidi😅😅😅😅

  • @ngwilunyiga2447
    @ngwilunyiga2447 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee said kwa kizungu unatisha sana 😊

  • @charlesmtamala4912
    @charlesmtamala4912 หลายเดือนก่อน +4

    huyu mzee dah mungu aendelee kumtunza🎉🎉🎉

  • @stevensimbeya2212
    @stevensimbeya2212 หลายเดือนก่อน +2

    Ila mzee saidi na nyundo zake

  • @SalimMshihiri-g9d
    @SalimMshihiri-g9d 26 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee said anajua maana like goli ni la refa hongereni kwa ukarim kwa refa

  • @MariaSigani
    @MariaSigani 29 วันที่ผ่านมา +1

    Daa kumbe Mzee said ni dodoma moja 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MohamedMmambe
    @MohamedMmambe 29 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee saidi unajuwa Mpira na unasema kweli

  • @monicalucas3738
    @monicalucas3738 หลายเดือนก่อน +3

    Mzee Said ni mmoja tuu😂

  • @perepetuajohn
    @perepetuajohn หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana baba yangu Mzee Said ndo MCHEZO wenyewe

  • @shemuulenje7588
    @shemuulenje7588 28 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee said wale kwao wanafungika vizuri tu bora wasitufanyie vurugu

  • @JeremiahDaniel-q6q
    @JeremiahDaniel-q6q หลายเดือนก่อน +1

    Mmmmmmmh. Mzeee aaacha. zako

  • @EliaTish
    @EliaTish หลายเดือนก่อน +2

    ila mze Leo umepinga kwenye kuongea unapo sema Tim mbovu kvp Tim iko vizuri sema inaitajika kufanyiwa ma rekekebisho kidogo tumu ikae sawa Kuna bazi ya wachezaji Wana tukwamisha

  • @ZawadiSimyota
    @ZawadiSimyota 27 วันที่ผ่านมา

    Nina Imani na usajili mdogo huu. Mzee said punguza kidooogo.

  • @sultanrichardson5487
    @sultanrichardson5487 23 วันที่ผ่านมา +2

    Hahahahahaha ligwagu lya mpetela mtenyi

  • @AlexMashololo-e2r
    @AlexMashololo-e2r 16 วันที่ผ่านมา

    Nakupenda sana mzee kwa uelewa wako😅😅😅😅

  • @petertz208
    @petertz208 หลายเดือนก่อน +31

    Nyie washabiki hamueleweki kabisa, leo unapenda kesho unatukana. Nazani tufanye mechi moja ya mashabiki tu wavae jezi kisha wacheze ndo hizo mbwembwe zitaisha ili tuone kesho lawama wataziweka wapi tena.

    • @HasnatMustafa-n1q
      @HasnatMustafa-n1q หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa yani

    • @franccoz94
      @franccoz94 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli kabisaa

    • @raymondsumni7359
      @raymondsumni7359 หลายเดือนก่อน +1

      Umenena

    • @abdallahshariff6555
      @abdallahshariff6555 หลายเดือนก่อน +2

      Huyu Said taahira,wewe Chagamba unahoki chizi,huyo sio Simba timu Mchome,asiismee Simba

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@abdallahshariff6555 Mzee said NI comedian! Alikua anasifia Wachezaji Wote anaowakata😂😂😂Mimi nampenda kuchekesha!

  • @josephlutera607
    @josephlutera607 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee atarudi mwenyewe kusifia wachezaji. Hii Simba ya moto sana Ubaya Ubwela.

  • @protaspessa8615
    @protaspessa8615 27 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee said raha sana prabo😂😂

  • @StanslausCostantine
    @StanslausCostantine 13 วันที่ผ่านมา

    Binafis nakukubali sana mzee saidi wewe siyo mnafiki

  • @Shebe_traLove
    @Shebe_traLove หลายเดือนก่อน +4

    Ila mzze Saidi bwana eti pilao iliki kwa mchanga haika nime cheka 😅😢😢😢😢😢 sana a😅😅😅😅

  • @luisojr3480
    @luisojr3480 หลายเดือนก่อน +2

    Ila mzee wangu Said kumbuka kwamba wachezaji wengi wa Simba ni wageni na bado timu inatengenezwa kwa hiyo timu hata isipofika robo haina haja ya kulalamika timu bado inajitafuta kikosi ni kichwa hicho mzee wangu

  • @BensonChatanda-z9r
    @BensonChatanda-z9r หลายเดือนก่อน +1

    Mzee said upo vizuri simba wanatuchelewesha wanacheza mipira nyuma badala ya kushambulia mbele mwisho wa sku zinafungwa jioni wanaona tumewaonea

  • @issamtengela7152
    @issamtengela7152 29 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee said unaongea vzr sana ukweli unaumwa ila ujumbe umefika kikubwa timu iwe bola 😅😅😅😅simba nguvu moja

  • @IsmailIddimdoe
    @IsmailIddimdoe 29 วันที่ผ่านมา

    Mzee anajuwa mpilaaa sanaa

  • @HassanDangote-p3w
    @HassanDangote-p3w หลายเดือนก่อน +1

    Yes mwamba yupo sahihi Simba inawachezaji wakubwa sanaa na wazuri so binafsi madhabiki tunaumia sana tukiona matokeo finyuuu husani Simba inapokua nyumbani

  • @MwaniPh
    @MwaniPh หลายเดือนก่อน +6

    Mzee said😅😅

  • @nasibuahmedy2438
    @nasibuahmedy2438 หลายเดือนก่อน +4

    Daaaaaah hii combination yenu imekaa mahala pake huku Chagamba kule Mzee Saidi ni ww tu na MB zako baaaaaaaaaaas

  • @samueltomboza3767
    @samueltomboza3767 หลายเดือนก่อน +1

    Nakupenda mze

  • @RabsonSalmon-ys7bf
    @RabsonSalmon-ys7bf 26 วันที่ผ่านมา

    Safi mzee

  • @YussufKai-s5q
    @YussufKai-s5q หลายเดือนก่อน +10

    Mzee xaid namkubali kwa ukwel wake 2 anavyo ongea likes zangu naomba kutoka mkoa wa kaskazin pemba wiliya ya micheweni xhehia ya majenzi

  • @AllyKhamis-n1k
    @AllyKhamis-n1k หลายเดือนก่อน +1

    huyu mzee yupo sawa kabisa

  • @SamwelNyatutu
    @SamwelNyatutu 29 วันที่ผ่านมา

    😮uko sahihi mzee Said

  • @DenisMeena-mh4ue
    @DenisMeena-mh4ue หลายเดือนก่อน

    Wao uko poa👌🏿👌🏿👌🏿

  • @pascalchipuza3836
    @pascalchipuza3836 หลายเดือนก่อน +3

    Eti Gobogobogobo kwao gobogobogobo uwanjani😅😂😂😂😂

  • @DanielChaula
    @DanielChaula หลายเดือนก่อน +2

    Mzee said una hatari sana wewe

  • @JastFinancial02
    @JastFinancial02 29 วันที่ผ่านมา +2

    We ni lijina atujayalet wenyewe refa alikua ajamaliza mpira mbwa wew ulitak watoke uwanjan bir firimbi ya mwish

  • @mubarakasaid4626
    @mubarakasaid4626 หลายเดือนก่อน +1

    kwa hiyo mzee said simba mbovu....

  • @MonaMbalike
    @MonaMbalike หลายเดือนก่อน +1

    Kwa hy Mzee said kaghaili au AGHUA MBAYA😅😅😅😅😅

  • @SaimonAzalia
    @SaimonAzalia หลายเดือนก่อน +1

    Safi

  • @KalebuSinkala
    @KalebuSinkala 29 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo mzee ni yanga mzee njaa

  • @SilemaniAli
    @SilemaniAli หลายเดือนก่อน +1

    Mzee said uposawa

  • @OmaryNelson-bh8ij
    @OmaryNelson-bh8ij 17 วันที่ผ่านมา

    We mzee mshamba tuuu

  • @NicholausNgendwa
    @NicholausNgendwa หลายเดือนก่อน +1

    All is true mzee🎉🎉😊

  • @Itselars77
    @Itselars77 หลายเดือนก่อน +3

    Akiongea mchome mnamtukana, lkn mzee said kaongea pia

  • @NikoChoga
    @NikoChoga 29 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee unanifahasha sana wewe haupo simba wala yanga kote unakosoa

  • @jyfabyfabymna2277
    @jyfabyfabymna2277 14 วันที่ผ่านมา

    Mzee said oyeee

  • @MatronaMushi-m2d
    @MatronaMushi-m2d 29 วันที่ผ่านมา +1

    Hahahaaaaa.....Mzee side wewe unajua kunipa rahaaaaa

  • @HamzaRashid-iq1yf
    @HamzaRashid-iq1yf หลายเดือนก่อน +1

    Uyu mzee nae kuma kweli yani mpira hajui anabweka tuu

  • @tunguramadhani4678
    @tunguramadhani4678 หลายเดือนก่อน +3

    Mzee Saidi punguza Maneno kwani mpira ni dakika 90, Pia kila Timu iliyoingia Ina maandalizi hivyo Mambo yatakuwa mazuri tu Shekh wangu

  • @MastoMaxmilian
    @MastoMaxmilian 17 วันที่ผ่านมา

    Unajua 🎉

  • @AfizaNyange-g5c
    @AfizaNyange-g5c 29 วันที่ผ่านมา +1

    Ila mzee said bhana eti waangalie vzr wafunge protecter Bila hivyo watarudi bl meno😂😂😂😂

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 หลายเดือนก่อน +3

    Nimecheka sana😂😂mzee saidi 😂.

  • @jmoojamal950
    @jmoojamal950 หลายเดือนก่อน +4

    😂😂😂mzee said ukweli na uhakiaka

  • @JescarYegela
    @JescarYegela หลายเดือนก่อน +1

    Mzee Said Kwa kweli ninakupenda sana Kwa sababu Huwa UNASEMA UKWELI HUNA MBAMBAMBA HATA AHMEDY ALLY MSEMAJI WENU NAYE KAIKOSOA TIMU YAKE KAWA MKWELI HAJAFICHA KIJANA WA WATU

  • @ndwiketecktv1960
    @ndwiketecktv1960 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂Da mzee said bana

  • @tegemeakyangenyenka6111
    @tegemeakyangenyenka6111 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee said mwenye mpira mbovu nani😂😂😂

  • @EmmanuelCharles-o6l
    @EmmanuelCharles-o6l หลายเดือนก่อน +1

    Mzee said nomaa

  • @abdulnaseermrisho4342
    @abdulnaseermrisho4342 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Pamoja na Maelezo yote ila Chagamba unanifurahisha sana unapo muuliza mzee Saidi kitu flani kinaitwaje kwa kiingereza

  • @BahatiMussa-o9w
    @BahatiMussa-o9w หลายเดือนก่อน +1

    Mzee unatisha

  • @JastFinancial02
    @JastFinancial02 29 วันที่ผ่านมา +2

    Ni lanayanga umesikia linasema kibu ndo kawasaidien

  • @faudhie
    @faudhie หลายเดือนก่อน +1

    Nilikuwa namsubiri mzee saidi 😂😂😂😂😂😂

  • @DanielChaula
    @DanielChaula หลายเดือนก่อน +1

    Inachekesha sana 😂😂😂😂❤❤❤

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 หลายเดือนก่อน +1

    Ata Mimi nawaza sana hii Simba tutasonga kweli 🤔

  • @mansoursaid8
    @mansoursaid8 หลายเดือนก่อน +5

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 duhh aisee mzee Side 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @AzizMsemo
    @AzizMsemo หลายเดือนก่อน +1

    Huyo Mzee chizi tu

  • @Alphonce223
    @Alphonce223 29 วันที่ผ่านมา +1

    Malaga nkuwene 😅😅😅😅😅

  • @meggaelisha3584
    @meggaelisha3584 22 วันที่ผ่านมา

    Huy mzee ch

  • @rehemawamwarami3854
    @rehemawamwarami3854 29 วันที่ผ่านมา

    Dar huyu mzee ajengewe Sanam aiseee😂😂

  • @mubarakasaid4626
    @mubarakasaid4626 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂 huyu mzee ananifulahisha sanaa daaah

  • @godykishimbo1931
    @godykishimbo1931 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga inahusika nini mzee saidi hebu tuache 😂😂😂

  • @NyemoSatino
    @NyemoSatino 27 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee said mbukwenyi

  • @nassonwilison19
    @nassonwilison19 24 วันที่ผ่านมา

    Mzee saidi kwenye maulagankuwene hapo umenikosha

  • @JogookichaaJr
    @JogookichaaJr 13 วันที่ผ่านมา

    Mm ni shabiki wa Yanga ila Mdg wangu barua wanamuonea Sana kwann hachezi jaman 😢😢

  • @SimonMabigi
    @SimonMabigi หลายเดือนก่อน +1

    Wambie hao makolo wenzie😂 wasiopenda ukweli

  • @justnkasera1020
    @justnkasera1020 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee ana fact

  • @VeronicaNyondo
    @VeronicaNyondo หลายเดือนก่อน +2

    Mzee said anawaza hela ya CAF🤣🤣🤣

  • @samueltomboza3767
    @samueltomboza3767 หลายเดือนก่อน +1

    😂nipo Malawi nakupenda mze said

  • @MpiliSuma
    @MpiliSuma หลายเดือนก่อน +1

    Itabidi tumchuke yanga😂😢😮😅

  • @chricjoseph1340
    @chricjoseph1340 หลายเดือนก่อน +2

    Alibeti uyu mzeee

  • @ZamdaMasheee
    @ZamdaMasheee หลายเดือนก่อน +2

    Mzee saidi unanivunjambavu.baicoco tena mtume roho yangu😂😂😂😂

    • @zuhuranasoro8923
      @zuhuranasoro8923 หลายเดือนก่อน

      Nilikua natafuta hii comment ya baikoko kurudi kinyume kinyume😅😅