Ma sha Allah Sheikh maneno yako ni swadaqta nimejua nilokuwa siyajui Allah Akupe umri mrefu na akuwezeshe uzidi kutupa ilmu Allah atuongoze sisi na wake zetu na jamii muslimin Allah atujaalie mapenzi na huruma na wake zetu Ameeeeeeeeen ya Rabb Shuqran sheikh
Da! Shehe wewe kweli mtu wa Mungu kabisa, mie mkristo ila nimekupenda sana! natamani ungenioa mana wanaume wetu huwa hawajui kutunza wake zao kabisa!!! wafundisha Shehe!
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh! Vipi kuhusu mke na mume waliotengana bila talaka lakini mume hakuomba msamaha kwa kumkosea mkewe.. Na akamuwacha kwa miaka mingi. Kuna ndoa hapo? Yapasa kupata talaka?
Ahsante ustadh mawaizayako yananiongoza katika ndoayangu .Allah atuzidishie
Ni furaha kubwa sana kupata mara kwa mara mafundisho yako. Allah akulipe kheri nyingi sana Sheikh wetu Izudin. Nakupata sana kutoka Burundi-Bujumbura
Ma sha Allah
Sheikh maneno yako ni swadaqta nimejua nilokuwa siyajui
Allah Akupe umri mrefu na akuwezeshe uzidi kutupa ilmu
Allah atuongoze sisi na wake zetu na jamii muslimin
Allah atujaalie mapenzi na huruma na wake zetu Ameeeeeeeeen ya Rabb
Shuqran sheikh
maashallah allah akubariki na akuzidishie elimu yenye manufaa na akupe mwisho mwema wewe na sisi
Said Ali Masha Allah allah akuzidishie kila la kheri
aaaaamin na ww pia
Masha Allah barakallahu lakum na familia yako in sha Allah Allah akuzidishie elmu ww na dhuriati yako in sha Allah ameeen
Mashalhh
Mashallah mashallah mashallah jazaka allah likheri napenda kusikiliza mawaidha yako shekhe
Mashaallah sheikh nimekuelewa napata elimu kubwa kupitia kwako allah akupe umri mrefu ulionakheri nawe aamiin
Alhamduli llah rabbi laa alamiin shekh najifunza mengi kutoka kwako Allah akupe kher na barka zaidi.
Mwenyezi Mungu Akuzidishie kheri Ustadhi Izudin wewe na familia yako, kwa elimu unayotufundisha
Mola akupe elim zaid uzid na zaid shekhe
Big up sheikh.i really love how u explain everything in details
MashaAllah TabarakaAllah. I love listening to you sheikh. May Allah reward you.
Mashaalah maalim wetu kwa neema za maneno yako mazuri
mashaallah sheikhe fwatuwa zako nizuri allah akujaze kheri
Mimi ni mchristo lakini huwa namsikisha shekh
suu meba mashaAllah lazima upate ilmu kama waskiliza usiwache kutizama
mashaallah karbu tena
Endelea kusikiliza In sha Allah utapata faida kubwa sana ya kuujua na kufahamu Uisilam
suu meba Naam ndoa inatuhusu sote wachristo nawaislam ila Fanya bidii uslim
Pia Mimi niko hapa naskiza na pia napenda
Masha Allah elimu nzuri Masha Allah, Allah akulipe mema ya duniani na akhera
Mashaallah jazakah Allah kheir shukran sheikh Izudin
Mashallah Allah akuzidishie elimu yenyee manufaa amin
Masha Allah shekh nakupenda bure
alhabib shukran allah akupe umri twawil na afya njema
In Sha Allah Mola Akujaze kheir ustaaz
Shukran sheikh jazaka Allah kulu kheyri
Allahumma Aamiyn
Shukraan sana sh.
Maashaallah shekh huo nakuelewa sana Allah akuhifadhi
Mashaallah Jazakallahu kheri
Shukran sana sheikh.
Mashaallah Allah akupe umri mrefu uzidi kutufundisha
Mashalah🙏🙌Allah akujaze
Allah akujalie sheikh
MaashAllah, Alhamdulilah, InshAllah heri, shukran sana
Maashallah
mashllh shkh nakupenda kwa ajil y allsh mada nzuuur
Swadakta.. JazakaLlahu Kheir
Da! Shehe wewe kweli mtu wa Mungu kabisa, mie mkristo ila nimekupenda sana! natamani ungenioa mana wanaume wetu huwa hawajui kutunza wake zao kabisa!!! wafundisha Shehe!
Mola akujalie usilimu na upte mume bora anaejua kutunza na kuheshim mkewake
Mungu akupe mume bora mwenye kufanya kheri zote
Mungu akuongoze kwenye njia iliyonyooka🙏🏻🙏🏻
Jazaka Allah kher
Amiin Shukran kwa Elimu
Mashallah, shukruni sheikh
Mashaallah tabaraka allah
Masha Allah
Assalamu alaykum , nahitataji namba ya kuuliza maswali kwani nina maswali mingi sjapata utatuzi(fatwa)
Ushapata number za sheikh?
+254772611120
Mashaalah izudin
Allah akujaz khel asante kwa mawaidha mazur
Naomba
Namba. Shehe. Nafarijika
Namafundisho
Yako. Mashalaah
Jazaka Allahu khair
Mashaaallah
Shukuran sana shk
Jazzakallah khayr
Shukuran jazile ya auya
Naomba namba yako shekhe Nina mtihan katka ndoa yangu nahitaj sna ushaur
Ustadhi naomba unitafutie mchumba
Maasha Allah Allah
Kutoka TANZANIA, Huyu ni bonge la sheikh, bora angekua bongo
Kwa nini awe bongo?
MashaAallah
Alhamdulillah
Shekh uemao ni yanayo tendeka ndowa haitaki uwongo huvujika kwa ujinga ya jambo ndogo kwa wana ndowa
Masha’Allah
He shekh mke ana uwezo wakumlisha mumewe na mume akawa kapitiwa na mitihani ya kiuhumi hawana?
Mashallah
Mashaallah
Shekh nakuelewa sana
Shukran
MashaAllah
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh! Vipi kuhusu mke na mume waliotengana bila talaka lakini mume hakuomba msamaha kwa kumkosea mkewe.. Na akamuwacha kwa miaka mingi. Kuna ndoa hapo? Yapasa kupata talaka?
hapo ndoa bado hipo mpaka talaka itolewe.
tafuta darasa za sheikh somo la talaka utajifunza mengi.
mashallah
MASHALLAH ALEIK
Shukran kwa da wa
Mash a Allah
Ameen Yarabi
Maashaallah
Emaaame eee,menipita wakati.
Amee
Hao waliodislike hii video watu 27....mungu awalinde
shukrani
Shukurani shekhe allaha akupe taufiki inshaallah
MMungu akupe ujuzi zaidi
Ishaala
Waldlife
Wazi kabisa
Sheikh Mada yako imenigusa
Mashallah kweli
mashaallah sheikhe fwatuwa zako nizuri allah akujaze kheri
Masha Allah
Mashaallah tabarakallah
Shukran
Mashaallah
Shukran
Mashaallah
Shukran
Shukran
Nassir moh'd hafidhi kutoka kigamboni no one above the low