MUME KUSEMA HAJAOA NA AMEOA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 103

  • @jubleeisueboy7336
    @jubleeisueboy7336 5 ปีที่แล้ว +9

    Eti imekula kwake 🤣🤣🤣
    Wallah sheikh wanifurahisha sana Mimi napenda sana darsa zako
    Nilikuona kwa mbali sana alipokuja alhabib umar bin hafedh dar es salaam mwaka huu cjapata angalau kupeana mkono na wewe nikuambie kwa kinywa changu kwamba sheikh nakupenda wallah
    Naomba dua Allah atukutanishe hapa duniani na kesho Janna tumuone sote mtume saw In Sha Allah

  • @ahmadzubeir9113
    @ahmadzubeir9113 5 ปีที่แล้ว +8

    Nampenda sana huyu sheikh maana anazungumza kwa kufafanua kila kitu na kinafahamika

  • @humoudymahmoudy3389
    @humoudymahmoudy3389 5 ปีที่แล้ว +12

    Assalam alykum sheikh,,,, naomba niunganishe kwenye group la what'sApp tufaidike zaidi na zaid bi idhni Allah

  • @aishabwaza7324
    @aishabwaza7324 4 ปีที่แล้ว +2

    Assalam Alykum naomba niungwe kwa group tafadhali nizidi kuelimika

  • @janetmule5927
    @janetmule5927 4 ปีที่แล้ว +2

    Sheikh nakupenda tu bure,masomo yako mazuri

  • @sarahmohamed337
    @sarahmohamed337 5 ปีที่แล้ว +2

    Mtapenda mawaidha ama mtapenda sheikh jamani,,,,,sijakusudia kuwakosea ndugu zangu waislamu.

  • @jumamilandu8195
    @jumamilandu8195 5 ปีที่แล้ว +5

    Asalam alaykum?
    naomba niunge wasp0673404746
    nampenda sana huyu shekhe kwa ajili ya Allah

  • @zeyanasuleimanmbarouk3711
    @zeyanasuleimanmbarouk3711 4 ปีที่แล้ว +2

    Huhuhuhu
    Hao tabligh wenyewe wataka tiwa mafuta
    +255778757900
    Niunge plz

  • @samiahabubakar1863
    @samiahabubakar1863 6 ปีที่แล้ว +2

    mashaallah shekh mashaallah alhamdullillah.shekh umenitoa ujinga wallahi

  • @muslimmabrouk7152
    @muslimmabrouk7152 5 ปีที่แล้ว +1

    Sheh .a.s.w naomba uniunganishe na group la wassup tufaidike na sheh izudin.

  • @habeebaalriyami406
    @habeebaalriyami406 6 ปีที่แล้ว +3

    asalaam alaykum..lkn nahisi ni bora mume kumuelimisha huyo mke kua asimtie perfume kwasababu anafanya maksudi kutafuta mengine ikiwa bado kwasababu zake mtu hajawa tyr kujuilisha km kaoa lzm mume awe strong asichezewe akisema usinitie perfume asikilizwe na akikataza no iwe no ktk jambo la haki wake lzm waheshim nini wanaambiwa na mume wao kwa maslahi ya wote.na ikiwa umefanya siri kuoa kwann akueke alama lzm awe na fikra mke asikuchezeshe shere na kumtia waswas mke mmoja
    pia mke utamdanganya lkn iko siku itakuwa wazi atajua hapo atajisikia vibaya sana na pengine iblis aingie kati asielewane na mke mwenzake kwasababu hio.naamin mume akiwa strong yeye ndio huweza kuwaeka sawa nisameheni km nimewakosea nduguzangu sijakusudia kuwakosea wallah

  • @nassirchande8697
    @nassirchande8697 5 ปีที่แล้ว +2

    Assalam alaykum, je kama mume akamwambia kimada kuwa hajaow na sikwel, ni ameowa huqmu yak ikoj

  • @fatmaamran833
    @fatmaamran833 6 ปีที่แล้ว +2

    Thank you sheikh

  • @ahmadzubeir9113
    @ahmadzubeir9113 5 ปีที่แล้ว +3

    Assalaamu alaikum

  • @HamidakomboKombo-xs2ju
    @HamidakomboKombo-xs2ju 7 หลายเดือนก่อน

    Assalamualaikum nauliza hi mfano mume kakuoa na halafu akamtongoza mtu akamwambia mie Sina mke je sheria inasemaje?

  • @habibmfaume5647
    @habibmfaume5647 5 ปีที่แล้ว +2

    Na km mke ukimwambia akirudia kufnya kosa ukamwambia ukirudia tena ndo talaka yko je yaswii

    • @nyembomajid1262
      @nyembomajid1262 6 หลายเดือนก่อน

      mwanamke Hana asilia hiyo

  • @shaibahkmwangoto8089
    @shaibahkmwangoto8089 5 ปีที่แล้ว

    Shekh naomba namba shekh.

  • @nadiasaid2031
    @nadiasaid2031 3 ปีที่แล้ว

    Shekhe mume wangu aliandika kwa layer kuwa alinioa 2006 na kaniacha 2006 nini hukumu yake

  • @wasafiali7847
    @wasafiali7847 ปีที่แล้ว

    Sheikh asalam aleikum warahmatullah wabarakatuh na kama je nibubu mume hitakuaje na yeye awezi kuongea

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 4 ปีที่แล้ว

    Kwakweli tunashukur sana kwatuelimisha

  • @bijumakassim3697
    @bijumakassim3697 7 ปีที่แล้ว +2

    Shukran Sana Shekh wapatikana wapi shekh

  • @abullahkabaka8774
    @abullahkabaka8774 3 ปีที่แล้ว

    MASHA ALLAH ALEIK

  • @sittimohamed5910
    @sittimohamed5910 4 ปีที่แล้ว

    😀😀eti labda nipewe kinguvu

  • @abuhudhaifa6268
    @abuhudhaifa6268 5 ปีที่แล้ว

    naomba hata m niungwe kwa ukumbi wa watsapp nasi tuchume inshllh

  • @rashidmasoud2700
    @rashidmasoud2700 4 ปีที่แล้ว +1

    Sheikh naomba uniunganishe kwny group la whatsap 0675 079209

  • @omarali-em1zq
    @omarali-em1zq 5 ปีที่แล้ว +1

    pendeni mawaidha sio shekhe

  • @husseinkibwana1089
    @husseinkibwana1089 6 ปีที่แล้ว +2

    assalam aleikum .sheikh mm thumu nina maswali nataka kkuuliza.naomba uniunge kwa group.0791562114.plz

  • @hamadkhatib9492
    @hamadkhatib9492 5 ปีที่แล้ว +1

    assalam alaykum

  • @abuushaakirayubu9476
    @abuushaakirayubu9476 5 ปีที่แล้ว +2

    assalaam alaykum mm abuu shaakir addausiy naomba niunge WhatsApp goorp yako 0655156294

    • @hashommy2016
      @hashommy2016 5 ปีที่แล้ว

      Asallykum alykum mm halima niunge whatsapp goorp yako 0685521565

  • @jarsaduba2626
    @jarsaduba2626 7 ปีที่แล้ว

    Shukran, Ustadhi

  • @barakamusapolekidoti957
    @barakamusapolekidoti957 2 ปีที่แล้ว

    Kama mwanamme bubu itakuwaje

  • @rahmamuhammed6734
    @rahmamuhammed6734 7 ปีที่แล้ว +2

    Assalam aleykum.
    mi naomba unisaidie. ostadhi.
    Mimi nimeolewa. lakini.mumewangu ndie alienda kwa wazazi wangu. na
    wakanipigia cm siku na muda huo wakufungishwa. ndoa. mana Mimi siko Tanzania.
    ila mumewangu ndo yko huko.
    ila waliponipigia. cm nakuniuliza kweli ni wewe na umeridhia jambo hili kwakuongea lakini na huyo shehe alietufungisha ndoa.
    swali naomba munijibu. munitoe was was je ndoa imeswii?

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  7 ปีที่แล้ว

      +Rahma Muhammed Tuma SMS Kwa +254701662152 Useme Uungwe Katika Group Ya Uliza Ujibiwe Whatsapp

    • @alihamad2129
      @alihamad2129 6 ปีที่แล้ว

      Rahma Muhammed

    • @mohamedabdallah2397
      @mohamedabdallah2397 5 ปีที่แล้ว

      Aslm alykm

    • @hasanially9294
      @hasanially9294 5 ปีที่แล้ว

      Je wewe uri ridhia kama uri ridhia Basi ndoa imeswihi

  • @atambitotzmagari7100
    @atambitotzmagari7100 7 ปีที่แล้ว +2

    asalam alyekum? mimi namba yangu hiyo 0718607733 niunge kwenye hilo group la Whatsapp tafadhali nna maswali.

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  7 ปีที่แล้ว

      atambi salim tuma message kwa +254701662152

    • @athumanisadiki5247
      @athumanisadiki5247 6 ปีที่แล้ว

      nami niungeni katika group 0719270220

    • @abuubadru2403
      @abuubadru2403 6 ปีที่แล้ว +1

      Izudin Alwy Din safi sana

  • @kingoman7895
    @kingoman7895 6 ปีที่แล้ว +1

    Hahah....

  • @cherutanyksa1507
    @cherutanyksa1507 6 ปีที่แล้ว

    asalam aleykum waharamadullah wabarakaatuh please naomba niunge kwa group number yangu +966502614346 ln shaa allah 🕋

  • @nasraabdalah6631
    @nasraabdalah6631 6 ปีที่แล้ว +1

    sheikhs namba yang iyo niunge na grop whasp nina maswali +968 91271357

  • @saedbare8733
    @saedbare8733 5 ปีที่แล้ว

    Imekula kwake hehehe

    • @sobeani2380
      @sobeani2380 4 ปีที่แล้ว

      Asalamu alaikum

    • @sobeani2380
      @sobeani2380 4 ปีที่แล้ว

      Sheh mada zako zinanipa farajaa

  • @ali2lovely73
    @ali2lovely73 7 ปีที่แล้ว

    Naomba mwenye no yake anisaidiye

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  7 ปีที่แล้ว +2

      Ali Lovely +254772611120

    • @gwizamorgan328
      @gwizamorgan328 4 ปีที่แล้ว

      @@IzudinAlwyDin Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuhu Sheikh nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @iddysudy5910
    @iddysudy5910 6 ปีที่แล้ว +1

    NAOMBA niunganishwe ktk group 0683752663 npo daslam

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  6 ปีที่แล้ว

      Tuma kwa whatsapp jina lako +254701662152 iddy sudy

    • @loolaa1783
      @loolaa1783 5 ปีที่แล้ว

      @@IzudinAlwyDin salam alykum shekhe..allah akuweke mashaallah

    • @loolaa1783
      @loolaa1783 5 ปีที่แล้ว

      Wallah nimejifunza mambo mengi saana kupitia ww mashaallah allah tabaraq akujalie umri mrefu na family zetu zikuje kuelimika.

  • @athmansaid7553
    @athmansaid7553 2 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂

  • @ahmadzubeir9113
    @ahmadzubeir9113 5 ปีที่แล้ว

    Naomba niungwanishwe kwenye group kwa namba 0715299278,naitwa Ahmada Zubeir

  • @zainabukaeza4610
    @zainabukaeza4610 5 ปีที่แล้ว +1

    na mm naomba mniunge 0652637131

  • @swahibal-karama145
    @swahibal-karama145 6 ปีที่แล้ว

    Sheikhe me suali langu ni Je?.kumyonya duburi mkeo na yeye akatamani kukunyonya dhakari na Duburi yako wewe mwanamme kama ulivyonya wewe Je Yafaa?.

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  6 ปีที่แล้ว +2

      Abdulhamid Abalkaram haifai kabisa ww kumfanyia yeyewala yeye ukufanyia ww . haifai kustaree sehem ya nyuma kabisaa

    • @abdulkarimyenga2060
      @abdulkarimyenga2060 6 ปีที่แล้ว

      Assalam alaykum ndugu zangu nawatakiya kila kheir mlioko naomba Sheikh mniunge kwenye group hio yakupata mawaidha ya Sheikh. jina langu Abdul karim Hashim Ramadhan naishi Hong Kong number yangu +85255737490

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab 6 ปีที่แล้ว

      Group la sheikh Izuddin Uliza ujibiwe ya whatsap +254 701 662152

    • @athmanbello380
      @athmanbello380 6 ปีที่แล้ว

      Izudin Alwy Din je kunyonya sehemu tuliohalalishiwa yafaa ama, n kumnyonya mume

    • @scarzz3rondo66
      @scarzz3rondo66 5 ปีที่แล้ว

      Sasa

  • @imanmohamed7632
    @imanmohamed7632 7 ปีที่แล้ว +1

    unaitwa sheikh gani? jamani niambieni

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  7 ปีที่แล้ว +1

      +Iman Mohamed Izudin Alwy Din Tuma SMS kwa +254701662152

    • @imanmohamed7632
      @imanmohamed7632 7 ปีที่แล้ว +2

      Izudin Alwy Din shukraan sheikh . unatoa mawaidha mazuri. may Allah Subhannah Watawallah give you Janatul Fardousa Amiin

    • @suleimanduka6752
      @suleimanduka6752 6 ปีที่แล้ว

      Iman Mohamed mkali

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  5 ปีที่แล้ว

      Izudin Alwy Ahmed +254772611120

  • @mwanamkasihabibu9915
    @mwanamkasihabibu9915 6 ปีที่แล้ว

    A'ALYKUM sheikh naomba uniunganshe wsap nna swal 0677935691

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  6 ปีที่แล้ว

      Tma kwa no hii +254772611120

  • @engzuberir.akilenza1764
    @engzuberir.akilenza1764 4 ปีที่แล้ว

    Na mimi namba yangu ni 0756223013

  • @swahibal-karama145
    @swahibal-karama145 6 ปีที่แล้ว

    0774490500 niunge ktk geoup la whattsapp

    • @athumanisaidi7673
      @athumanisaidi7673 6 ปีที่แล้ว

      Niunge 0742554840

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab 6 ปีที่แล้ว

      +254 701 662152 group la sheikh Izuddin

    • @amirimziray2807
      @amirimziray2807 6 ปีที่แล้ว +1

      Muhammad Khatwab
      Niungeni na mm 0716118579

    • @huseinsalehe1242
      @huseinsalehe1242 6 ปีที่แล้ว

      niunge tafadhali tupate faida zaidi +255623615914

    • @muhammadkhatwab
      @muhammadkhatwab 6 ปีที่แล้ว

      Tuma SMS whatsap kwa hiyo no.

  • @mahmoudsalum9294
    @mahmoudsalum9294 6 ปีที่แล้ว

    Naomba na mm niungwe 0716081702

    • @IzudinAlwyDin
      @IzudinAlwyDin  6 ปีที่แล้ว

      Tuma kwa whatsapp jina lako +254701662152

    • @kweka14l35
      @kweka14l35 3 ปีที่แล้ว

      @@IzudinAlwyDin nimekutumia sms zaidi ya mwaka au miaka 2 sasa hata hauni add kwenye group sheikh.
      Asalaam alaikum warahmatullah wabarakatuh.

  • @mwanneamani7307
    @mwanneamani7307 6 ปีที่แล้ว

    968 9123 9479 na mm namba yangu iyo niunganishe naomba

    • @adamhajiali3871
      @adamhajiali3871 4 ปีที่แล้ว

      Asalam alaikum shehe namba kukuliza mke kukimwambiya akija shoga yako ukimpa kitu simkewanga lakini ukaa ukataka kutenguwa Yale maneno niliyokwambiya hukumu yake nn

  • @khamismbarouk8242
    @khamismbarouk8242 3 ปีที่แล้ว

    +255620353026 naomba uniunge kwenye group ya wasup