Amen pastor Mmbaga, lakini hizi kanuni Saba ya faa uongeze zingine next time, very excellent teaching and may God bless you and bring more of this kind to marriage and church.
Ahsante sana muhubiri, mafunzo mazuri sana nmejifunza kuishi kwa ndoa na kuitinza ndoa yangu,nina Imani nitapoingia kwenye ndoa yangu hivi karibuni,nina Imani nitayazingatia mafunzo yako🙏🙏 Mwenyezi Mungu anijalie maarifa na uelewa zaidi 🙏🙏
Ujumbe wa ndowa ni mzuri, Mungu akubariki sana, ila fundisha pia na jinsi ya kuvaa mavazi ya Heshima ndani ya nyumba ya Bwana na mtaani pia, wakristo tunapaswa kuwa tofauti, Neno Lina sema kuwa tusienende kwa kuifuatisha namna ya Dunia hii, kwa habari ya mwenendo na tabia na mavazi pia🥰
Mchungaji yupo sahihi. Upendo tu hautoshi. Biblia husema hivi: "wenye furaha ni wale wanaolisikia neno la Mungu na kulishika" Soma-{Luka 11:28} Kwa hivyo Kila mshirika wa familia mmoja mmoja kusimamia sehemu yake na kuiwajibikia.

Amina Baba...Nimekuelewa sana...Nimekusikiliza hadi Mwisho ...Hakika ni Mahubiri ya KPHD...umehubiri ukweli mtupu...Yohane 13:16...Kwa Maana hii Mungu aliupenda ULIMWENGU...
Mimi naweza kukupinga Kwa hivyo VITU viwili. Kama hautavielezea kibiblia Msingi wa ndoa kibiblia Ni Moja kwa mwanamke 1-utii Mbili kwa mwanaume 2-upendo kwa mwanaume Hivyo vitu vikikosa kwa wanandoa lazima ndoa ife mapeeeema Sasa utakuja Kufundisha Nini maana ya utii na namna Gani utii unavyoweza kunisaidia ndoa au kuiangusha ndoa nk
Watumishi wa Mungu aliye juu,Bwana asifiwe.Ninaloitaji la kipekee la kuongea mambo ya kiroho na mchunga Mmbaga tafadhari mnisaidie na namba yake.Mimi ni Murithi Harrison kutoka Kenya.
Hello mchungaji! Mahubiri mazuri ya Mibaraka I'll Hawa wanadada wamejipodoa Sana huku Kenya huwa tunawafurusha hadi wavae kulingana na kanuni za kanisa
Asant kwa somo tunakusikiliza kwa neno na lina tujenga Nakuomba uwe unafundisha pia mwenendo ya nje maana niyamaana sana maana wao wake wamevaa vya kidunia na mapodozi yohovyo Maana ninyi ndo Wachugaji wakutwelekeza
Sasa mnaomwambia pastor wamevaa ovyo yeye awafanyaje kama watu wazima wameamua kuvaa vibayaaa,awachape?au awafukuze wakavae vizuri?acha magugu na ngano vikue pamoja mvunaji ndio atachagua coz am sure wanajua wapasavyo kuvaa
@@janelebayo6161kukemea na kuzuia vitu vinavyoleta makwazo sio dhambi wala sio kosa......!!!! Nadhan ingekuwa Heri wazee wa Kanisa wakawapanga kabla ya Much. Kuanza mahubiri😢
It powerful sermon but actually do they dress in diceits way . their dressing codes are alarming as an adventists The outward appearance portrays the inward character.
You don't get into marriage because your friends are getting married, but you get into marriage because you have found love and you are ready to commit. We have so many divorce cases these days because people think they are in competition with their age mates.....My dear, Life is never a race, things happen at different times for different people....Think before you say yes.
Ndoa isiyo na upendo Sio ya kutoka kwa Mungu Waefeso 5:25 25 Ninyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo alivyolipenda kanisa akajitoa nafsi yake kwa ajili yake ili 26 alitakase Wimbo 3:4 Kitambo kidogo tu nikiisha kuwaondokea, Nikamwona mpendwa wa nafsi yangu; Nikamshika, nisimwache tena, Hata nilipomleta nyumbani mwa mamangu, Chumbani mwake aliyenizaa. 1 Yohana 4:12: Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wowote. Ikiwa tunapendana, Mungu anakaa ndani yetu, na upendo wake umekamilika ndani yetu Mithali 10:12: Chuki huchochea ugomvi, lakini upendo hufunika dhambi zote
Soma mithali 24:3...Je, unaweza mwambia mke eti unampenda wakati hujui kumjibu ki-hekima au hauna hauna maarifa ya mapenzi akuelewe?Upendo hauna lolote bila matendo (1john3:18) hekima na hapa ndipo hekima na maarifa huingilia
Amen pastor Mmbaga, lakini hizi kanuni Saba ya faa uongeze zingine next time, very excellent teaching and may God bless you and bring more of this kind to marriage and church.
God bless you pastor. Thanks for your nice sermon
Amen pastor, umeniguza sana hpo kwa kila ndoa iko na siri yake
Wooh thanks for the teaching nimejifunza mengi
Mungu akuongezee hio neheema Pst
Ahsante sana muhubiri, mafunzo mazuri sana nmejifunza kuishi kwa ndoa na kuitinza ndoa yangu,nina Imani nitapoingia kwenye ndoa yangu hivi karibuni,nina Imani nitayazingatia mafunzo yako🙏🙏 Mwenyezi Mungu anijalie maarifa na uelewa zaidi 🙏🙏
Ikimpendeza Bwana I pray this servant of the most high weds me when my time comes 🙌🏿🙏🙏one of my favourite teacher .
Mungu akuongoze
Wow I'm being blessed with your advice and preaching,be blessed
God bless you Dr.Mmbaga
Ubarikiwe sana pastor
Ujumbe wa ndowa ni mzuri, Mungu akubariki sana, ila fundisha pia na jinsi ya kuvaa mavazi ya Heshima ndani ya nyumba ya Bwana na mtaani pia, wakristo tunapaswa kuwa tofauti, Neno Lina sema kuwa tusienende kwa kuifuatisha namna ya Dunia hii, kwa habari ya mwenendo na tabia na mavazi pia🥰
Mchungaji yupo sahihi. Upendo tu hautoshi. Biblia husema hivi: "wenye furaha ni wale wanaolisikia neno la Mungu na kulishika" Soma-{Luka 11:28} Kwa hivyo Kila mshirika wa familia mmoja mmoja kusimamia sehemu yake na kuiwajibikia.
Mchungaji yupo sahihi. Upendo tu hautoshi. Biblia husema hivi: "wenye furaha ni wale wanaolisikia neno la Mungu na kulishika" Soma-{Luka 11:28} Kwa hivyo Kila mshirika wa familia mmoja mmoja kusimamia sehemu yake na kuiwajibikia.
You are so interesting sir. Thank you for your teaching. My family will prosper. Dicken from Kenya
Very true darling
Amen Pastor Mmbaga kwa somo zuri tumesoma vema
Ahsante saana Pastor kwa ujumbe huu ❤
Uko vzr mtumishi mungu akubaliki sana❤
Amina paster mungu akubariki sana na huu ujumbe .nasikia nimebarikiwa .mungu akufunulie zaidi ya hivi❤❤❤🎉
Pr. Mungu akubarik sana.Songa Mbele Mungu Akutie Nguvu
Asanteee kw somo mungu akujalie pastor
Ahsante Sanaa pastor nimebarikiwa sanaa🎉
Mungu azidi kuku inua na kukupa ufahamu zaidi na watu mishi wenzako aminaa
Amen barikiwa umenifundisha kitu mtumishi wa Mungu
Be blessed mtumishi umenifunze na nimejua mengi na kukumbuka mengi Mungu azidi kukupa hekma zaidi
Amen 🙏 ubarikiwe mtumishi wa Mungu
Endelea hivohivo mnekuelewa mngu akupe maisha malefu❤
Mungu akupe maisha malefu mtumish,
Mungu akubark pasta Kwa ujumbe mzuri sana nimebarikiwa sana
Asante Sana pastor kunakitunimepokea kwakweli🎁
Asante past mafundisho yamenibaliki
Barikiwa sana! Masomo mazuri.
Pastor Barikiwa sana
Amina Baba...Nimekuelewa sana...Nimekusikiliza hadi Mwisho ...Hakika ni Mahubiri ya KPHD...umehubiri ukweli mtupu...Yohane 13:16...Kwa Maana hii Mungu aliupenda ULIMWENGU...
Uvaaji uo siomzuuri kwa mabest
Mungu akubariki sana uishi miaka mingi.Amina
Mimi naweza kukupinga Kwa hivyo VITU viwili.
Kama hautavielezea kibiblia
Msingi wa ndoa kibiblia
Ni
Moja kwa mwanamke 1-utii
Mbili kwa mwanaume
2-upendo kwa mwanaume
Hivyo vitu vikikosa kwa wanandoa lazima ndoa ife mapeeeema
Sasa utakuja
Kufundisha
Nini maana ya utii na namna Gani utii unavyoweza kunisaidia ndoa au kuiangusha ndoa nk
Great massage
Be blessed pastor
Nashukuru Sana pastor kwa mafunzo haya
Barikiwa Pastor
Your sermon is very encouraging paster
Pastar mungu akubariki kwa ushauri wako
Nakuelewa sana mungu akubaliki sana
Thank you Pastor Mmbaga. Beautiful sermon. Needed this. Shukran.
Hakika pst mungu akubariki
Ubarikiwe sana mchungaji
Watumishi wa Mungu aliye juu,Bwana asifiwe.Ninaloitaji la kipekee la kuongea mambo ya kiroho na mchunga Mmbaga tafadhari mnisaidie na namba yake.Mimi ni Murithi Harrison kutoka Kenya.
Yani wewe mtumishi pastor ufike mbali....nakuelewa sana na unaeleweka sana...barikiwa sana unatubariki sana...
Ubarikiwe kwa neno lenye kuponya ndoa zetu
Ubarikiwe Sana pastor ...lakini washauri kuhusu mavazi ya kikristo
Mch.Mbaga unanibariki Sana Mungu akutumie vema
Ubarikiwe kwasomo
Hello mchungaji! Mahubiri mazuri ya Mibaraka
I'll Hawa wanadada wamejipodoa Sana huku Kenya huwa tunawafurusha hadi wavae kulingana na kanuni za kanisa
Nimeipenda pastor unanibariki sana ila wanaume hawapendi criticism na wakikataa tunawaachia afu yakiharibika ndo wanajirudi
Rafiki mpendwa hii ni arusi ,so Kila mtu ni msabato
Pr ubarikiwe sana mafundisho mazuri
Asante pastor
Powerful sermon but poor dressing, very unfortunate for our church
Unanibariki sana paster
Nimejifunza mengi. Sana ubarikiwe pasta
Mungu alibariki mutumishi wa Mungu ❤❤❤
unarikiwe sana umenijenga Sanaa pokea salamu zangu kutoka Congo DRC n'a kushukuru
Amen MUNGU akubariki
Amen pastor nabarikiwa nafundisho hii👍💐
Aminaa
asante mungu Kwa ajili ya plaster unaponya ndoa zetu
Barikiwa sana pr
Mungu akubariki san baba mungu azidi kuku2mia kadri awezavyo
❤❤ Mungu atubariki na kutuzidishia hekima na maarifa kweli.❤❤
Ubarikiwee mchungaji
Hakika mchungaji uko vizuri saana
asante nafatilia mafundisho yako
Mchungaji upo vzr ila hyo ndoa uloifungisha wapo ovyo angalia hyo msimamiz kavaa hovyo kama shangingi anaibisha usabato😢
Mung akubalik ❤
Mungu akubarik sana mchungaj
Mchungaji kwahyo Kwa changamoto ya unzinzi wanandoa wanaweza kuachana???
Mungu awabark
Eeeee,Mungu tusaidie tujue hiyo
Barikiwe mchunga kwa some mzuri ya ndoa.
Barikiwa sana mchungaji maana hayo usemayo ni laivu bila chenga
Imeingia iyo past
Pastor uko vizuri
Asant kwa somo tunakusikiliza kwa neno na lina tujenga
Nakuomba uwe unafundisha pia mwenendo ya nje maana niyamaana sana maana wao wake wamevaa vya kidunia na mapodozi yohovyo
Maana ninyi ndo Wachugaji wakutwelekeza
Mungo akubaliki
Aminaa Asante sana kwa ujumbe mzuri
Mahubiri mazur Ahsante
Hakika mtumishi umefungua ufahamu wa akili yangu barikiwa pr Mbaga
Mm ombi langu ni utakuja unifungishe ndoa panapo majaliwa ya mungu nmependa ushauri wako pr
Sasa mnaomwambia pastor wamevaa ovyo yeye awafanyaje kama watu wazima wameamua kuvaa vibayaaa,awachape?au awafukuze wakavae vizuri?acha magugu na ngano vikue pamoja mvunaji ndio atachagua coz am sure wanajua wapasavyo kuvaa
Wakavae vizuri ndipo waje wafunge ndoa. Tunatakiwa kukemea dhambi kwa jina, co kuacha tu, kumbuka huo mvuto mbaya unaharibu kanisa.
@@lilianrichard6164 are you holly enough to judge? Vipi dhambi zako umeshaziacha au unaona wengine ndo wanafanya dhambi
@@janelebayo6161 Mimi co mtakatifu na hakuna sehemu nimeandika hivyo, rudia kusoma uelewe nini namaanisha.
@@janelebayo6161kukemea na kuzuia vitu vinavyoleta makwazo sio dhambi wala sio kosa......!!!! Nadhan ingekuwa Heri wazee wa Kanisa wakawapanga kabla ya Much. Kuanza mahubiri😢
Amen pr, lakin Hawa wanawake wamevaa vibaya Sana, and they are comfortable kuingia kanisani hivyo .
Somo zuri sana limenijenga
It powerful sermon but actually do they dress in diceits way . their dressing codes are alarming as an adventists The outward appearance portrays the inward character.
Amen mafunzo mazuri ya kujenga ndoa
A. Hj😮😊😮😊
Ahsante sana kwa somo zuri pastor
Mwenye namba ya cm ya hyu mchungaji jaman naiomba naitafta Sana jaman
Amina sana ...Show off...Ndoa ni Siri na Ndoa ni Fumbo la Mwenyezi Mungu
Whouah 👊
Pastor nimebarikiwa sana namahubiri hayo,ila nimevunjwa miguu nahào cjajua ni washiriki au laah
You don't get into marriage because your friends are getting married, but you get into marriage because you have found love and you are ready to commit. We have so many divorce cases these days because people think they are in competition with their age mates.....My dear, Life is never a race, things happen at different times for different people....Think before you say yes.
Pastor kutoboa sikio ni dhambi nataka kujua sababu naogopa
Naogopa ni dhambi nataka hufahamu please
Ndoa isiyo na upendo Sio ya kutoka kwa Mungu
Waefeso 5:25
25 Ninyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo alivyolipenda kanisa akajitoa nafsi yake kwa ajili yake ili 26 alitakase
Wimbo 3:4
Kitambo kidogo tu nikiisha kuwaondokea, Nikamwona mpendwa wa nafsi yangu; Nikamshika, nisimwache tena, Hata nilipomleta nyumbani mwa mamangu, Chumbani mwake aliyenizaa.
1 Yohana 4:12:
Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wowote. Ikiwa tunapendana, Mungu anakaa ndani yetu, na upendo wake umekamilika ndani yetu
Mithali 10:12:
Chuki huchochea ugomvi, lakini upendo hufunika dhambi zote
Ndoa HAIDUMISHWI sio HAINSISHWI na upendo. Upendo upo lakini hautaidumisha ndoa.
@@Annie-u4n Kikwako lakini kibibilia upendo ndio Kila kitu,ndio utu wa Kila kitu
Asanteh sana chungaji napenda mafundisho yako♥️♥️♥️♥️
Soma mithali 24:3...Je, unaweza mwambia mke eti unampenda wakati hujui kumjibu ki-hekima au hauna hauna maarifa ya mapenzi akuelewe?Upendo hauna lolote bila matendo (1john3:18) hekima na hapa ndipo hekima na maarifa huingilia
Kweli mchg upendo ndio kila kitu mzigo huwa mwepesi kwenye pendo na amani upatikana kwenye pendo
powerful message
Powerful message.thanks
Nimejifunza God bless you , japo sina ndoa😭😭😭
Asante sana mchungaji kwa hekima hii kubwa.
Huwa sipendezwi na hao wanaokaa kule mbele na wanakaa mkao wa kuandika nne kanisani. Au hapo imekaaje wapendwa?
Hata kupenda ni hekima baba
Maubili yako mchungajiNimebalikiwa sana nimejifunza kitu
Asantemtumishi