Makosa kumi (10) wanawake ufanya katika ndoa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ค. 2020
  • Nafahamu kuwa mahusiano au ndoa kuyumba kuna sababu nyingi sana. Inaweza kuwa madhaifu ya mume au mke au hata ndugu. Mke au mume wanaweza kuwa wanayajua madhaifu haya au hawayajui kabisa. Bahati mbaya sana, makosa au matatizo yanayosababishwa na wanawake yanaweza kuiathiri ndoa kwa uzito mkubwa kuliko matatizo mengine. Hii ni kutokana na nafasi aliyonayo mke kwenye ndoa. Je unayajua makosa wafanyayo wanawake kwenye ndoa? Fuatilia video hii kwa uelewa zaidi.
    #DrChrisMauki#Makosa#Wanawake

ความคิดเห็น • 284

  • @sharifamohammed809
    @sharifamohammed809 3 ปีที่แล้ว +4

    Ufanye yote hayo siku ya kukubadilikiya nimoja 2 Hawana huruma wanaume wakiamuwa kukufanyiya kitu hawa rudi nyuma 🙌🙌

  • @shabanidaudi720
    @shabanidaudi720 3 ปีที่แล้ว +2

    Vizur sana dada mwanaisha kwakulitambua hilo bas naomba tumia nafasi kidogo kuwashauli wanawake wanaofatilia kipindi hiki cha uyo dr mungu atakulipa dada

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 4 ปีที่แล้ว +24

    Ni kweli wanawake tumezidi tuache madharau katika ndoa zetu tupate baraka za MUNGU😏😏😏🇰🇪

    • @dinahdianah9653
      @dinahdianah9653 4 ปีที่แล้ว +1

      Kwa hii karne si mke wala mme wote tumekua vichaa kwenye ndoa , MUNGU aturejeshe kwenye position yake shetan ametukamata hatu- kamatiki ivi mm ujiuliza hii dunia itaisha vipi ? nkifanansha na wakati wa sodom yan ya wakati huu makubwa mdogo yana nafuu kna vitu nmevifunza kupitia mtandao hadi na regreat sanaa kua king'ang'anizi wakujiunga mitandaon kutoka ndio nmeshindwa ashindwe ibilisi a aye nkamatia humu n bora kua boya uone ufalme wa mbingun

    • @hamzasemgen3049
      @hamzasemgen3049 3 ปีที่แล้ว

      @@dinahdianah9653 you

  • @aminajuma1435
    @aminajuma1435 4 ปีที่แล้ว +19

    Maashaallah, shukran sana… sikuzote minaamini wanaume wote wangetumia akilinyingi kuishi nasisi dunia ingekuwa na amani kiasi kikubwa sana… Ila tatizo wanatumia nguvunyingi hatimae baadhiyao kwasasa wanaitwa wanaume kwajinsiatu na sio cheo au uongozi km waliopewa na mungu.

  • @user-wf6sk9sm3e
    @user-wf6sk9sm3e 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ante sana Dr Kwa SoMo nzuri Ina imarisha ndoa ya wengi

  • @davidmmbaga3350
    @davidmmbaga3350 3 ปีที่แล้ว +2

    Powerful! I love the background

  • @ameenajumah7335
    @ameenajumah7335 4 ปีที่แล้ว

    Shukran Dr.Chris

  • @elishalesilwa3365
    @elishalesilwa3365 4 ปีที่แล้ว

    Asante kwa SoMo zuri sana Hilo Mungu akubariki.

  • @izengoemmanueldc9894
    @izengoemmanueldc9894 4 ปีที่แล้ว +2

    nakukubali sana Dr mauki am 100percent supporting you

  • @hozzamwanaidy3289
    @hozzamwanaidy3289 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimependa sana mafunzo yoko yananijenga,nayananifungua mambo ambayo nilikuwa siyajui.

  • @stanycleaners1886
    @stanycleaners1886 4 ปีที่แล้ว +1

    Be blessed Dr Chris

  • @citegetsealine5704
    @citegetsealine5704 4 ปีที่แล้ว +2

    Uko mwanaume mwenye busara,alafu nakupongeza kwaushahuri mwema unashauriya sisi wanawake, asante

  • @andrewmagwila1602
    @andrewmagwila1602 4 ปีที่แล้ว

    Point Doctor ubarikiwe sanaa

  • @fozyafozya4060
    @fozyafozya4060 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana Dr Chris🙏

  • @perischari3630
    @perischari3630 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kabisa.Shukrani Kwa ujumbe mzuri.

  • @magrethfrancis3645
    @magrethfrancis3645 4 ปีที่แล้ว +9

    God bless you for reminding us!
    Ndoa zitakuwa bora sana tukizingatia mambo haya!

  • @adelhemaboras546
    @adelhemaboras546 3 ปีที่แล้ว

    Nimekubali. Hivyo ndivyo walivyo wababa wetu

  • @halimashamis7811
    @halimashamis7811 3 ปีที่แล้ว

    Shukran mungu akusimamie as ante🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @hamisamaundi5661
    @hamisamaundi5661 3 ปีที่แล้ว

    Shukrani sana, unafanya vizuri sana kutukumbusha tuliyo yasahau, Shukrani

  • @silvesterpetro2544
    @silvesterpetro2544 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki

  • @juliuskoina6684
    @juliuskoina6684 4 ปีที่แล้ว +3

    Woow i have learnt alot ,thnkz Dr

  • @erasmusdomician8056
    @erasmusdomician8056 4 ปีที่แล้ว +1

    nimependa somo dr

  • @hawahawa4976
    @hawahawa4976 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana kaka kwa elimu hii barikiwa sana

  • @esthermrambamramba1570
    @esthermrambamramba1570 4 ปีที่แล้ว +2

    Nmejifunza asante

  • @kadogoomushadi5409
    @kadogoomushadi5409 4 ปีที่แล้ว +1

    Sahihi kabisaa kaka unayosemaa shukran

  • @babypijo5788
    @babypijo5788 4 ปีที่แล้ว +4

    hayo mengine Dr wivu tu .inaerekea unawivu sn kwa mkeo msifiage nyie tu wanawake wazuri tukisifia ss kosa so kweri Dr

  • @danielmemiti4050
    @danielmemiti4050 4 ปีที่แล้ว

    Kabixa Daktari barikiwa sana ujumbe wameipata

  • @esternzumbi1888
    @esternzumbi1888 2 ปีที่แล้ว +1

    mafundisho mazuri sanaaa🙏

  • @user-dw5lt7cq2i
    @user-dw5lt7cq2i 9 หลายเดือนก่อน

    aisee....umeongea saaaana...Bless you Dk.

  • @maryemanuel6122
    @maryemanuel6122 3 ปีที่แล้ว

    Thanks kuna vitu najifunza🙏🏾

  • @fozyafozya4060
    @fozyafozya4060 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana

  • @Kitumainimauwa08
    @Kitumainimauwa08 ปีที่แล้ว

    Thank you so much

  • @christophersunguti8957
    @christophersunguti8957 ปีที่แล้ว

    Umenijenga Dr asante

  • @sharonadagala9251
    @sharonadagala9251 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice teaching

  • @chrissg4026
    @chrissg4026 3 ปีที่แล้ว

    big up doctor👍

  • @traidalaurence5137
    @traidalaurence5137 4 ปีที่แล้ว

    Asantee dr

  • @zlucaszacharia3202
    @zlucaszacharia3202 4 ปีที่แล้ว

    Uko sawa

  • @syliviadeogratias6835
    @syliviadeogratias6835 4 ปีที่แล้ว +1

    Value ya mwanamke ni kuwa na mahusiano. Hapo umeniacha hoi.

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 4 ปีที่แล้ว +2

    Grace Kiria keep it watching, inakuhusu😂😂😂

  • @angelcharles7731
    @angelcharles7731 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakika umenena asante xna

  • @hamiduiyaka1308
    @hamiduiyaka1308 4 ปีที่แล้ว

    Broo umenifurahisha sana

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 4 ปีที่แล้ว +1

    Very good point...

  • @Stellahnyongesa-mt6lm
    @Stellahnyongesa-mt6lm 11 หลายเดือนก่อน

    It has interesting notice shapens might

  • @lucyboniface8922
    @lucyboniface8922 4 ปีที่แล้ว

    Uko vizur sana

  • @syliviabaruti4660
    @syliviabaruti4660 3 ปีที่แล้ว +1

    yan uelewe makosa ya mwanaume malaya hapana kwa kweli tena anafanya umalaya waz waz bila kujali heshima yako wala kujali familia yko nitamvumilia akiwa hana hela na nitayavumilia madhaifu mengine ila cyo ya kimalaya 😭😭

  • @essiewariuwawambui634
    @essiewariuwawambui634 4 ปีที่แล้ว

    Very true 👌

  • @SporahappymacxMkomekwa
    @SporahappymacxMkomekwa 3 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @joviangeofrey7212
    @joviangeofrey7212 4 ปีที่แล้ว

    Aya makosa ni kweli aisee yanafanywa sana na wake zetu. Tena yote hayo yanajirudia. Ila umegusa ili yarekebishwe then mambo yawe mazur

  • @wemakalamu3538
    @wemakalamu3538 4 ปีที่แล้ว +8

    Amazing speech may you live long life dr cris mauki

  • @mollelmjomba9237
    @mollelmjomba9237 4 ปีที่แล้ว

    Asante sana Mwalimu wangu, nazidi kujifunza mengi kutoka kwako, May GOD bless you!

  • @meryfrank5272
    @meryfrank5272 3 ปีที่แล้ว

    Ni kwel kabisa

  • @PetronellaTembo-fq3un
    @PetronellaTembo-fq3un ปีที่แล้ว

    Asante baba

  • @wanjirukarago9308
    @wanjirukarago9308 4 ปีที่แล้ว +5

    Ndoa ni kazi kweli 😂😂😂😂 ....am not ready to do this ata submitting is a problem 😂😂😂.

  • @hamismabula5813
    @hamismabula5813 4 ปีที่แล้ว +3

    Ama kweli, "mwanamke amtii mume wake" utiifu ukitoweka ah! Basi!!!

  • @ernestsinje9532
    @ernestsinje9532 3 ปีที่แล้ว

    asante

  • @anaksa4412
    @anaksa4412 4 ปีที่แล้ว +6

    Well said Dr, wanguu🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️qwa hayo yoote ni bure qwake, juu once you just mess kidogo, all those qualities zinageuka vicevesa qwako, untill you see yourself nothing on that rlnxhp 😔😔😔😔

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว +1

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @sarahodenyi6940
    @sarahodenyi6940 4 ปีที่แล้ว +1

    point taken ..have Learn alot

  • @richardboaz-mashagospel2346
    @richardboaz-mashagospel2346 4 ปีที่แล้ว +2

    Man you are bright....I love it, I am staring this with my wife first and all married men in my Church. ¡Gracias!

  • @hannahkaruga1547
    @hannahkaruga1547 4 ปีที่แล้ว +2

    I mean well for my husband.. Mungu anisaidie.. Marriage is not a joke aki.. You're not brother and sister.. Ni ngumu aki wah

    • @user-yl2ej4ex6l
      @user-yl2ej4ex6l 5 หลายเดือนก่อน

      True 💯💯💯 mungu atusaidie sana 😊

  • @zamoyonimagige9619
    @zamoyonimagige9619 3 ปีที่แล้ว +1

    Somo zuri sana

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว

      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

    • @zamoyonimagige9619
      @zamoyonimagige9619 3 ปีที่แล้ว

      Sawa dock nimekupenda sana mm nko kwenye ndoa ila nilikuwa na mgogoro na Mme wangu nikajua yey ndo ananikosea ila nilivyofatilia somo lako nimejifuza sana ady na yey kashangaa nilivyobadilika Kwa sasa tuko vizuri mungu akubaliki sana akupe maisha maref

  • @boazmosses8204
    @boazmosses8204 3 ปีที่แล้ว +1

    Jmn mwanamke wangu anatabia zote hizi hasa hili la 10 na la kwanza daaaaaah

  • @yunismussa7191
    @yunismussa7191 2 ปีที่แล้ว

    Axante xana

  • @renafarmers1375
    @renafarmers1375 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante umenifunza kitu dear

  • @marymusangi5568
    @marymusangi5568 4 ปีที่แล้ว

    AKi nimeshukuru sana nimepata siri kubwa ambayo nilikuwa sijajua mungu akubariki nimepata funzo kubwa sana naomba unipe namba yako🙏🙏🙏🙏

  • @mcnyawanda7971
    @mcnyawanda7971 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimekuelewa sana sana. Naamini watu wengi wamejifunza kupitia hapa

  • @gfjdcxffxg6741
    @gfjdcxffxg6741 2 ปีที่แล้ว

    GOOD

  • @fridamarymakubo7677
    @fridamarymakubo7677 3 ปีที่แล้ว +1

    Habari,docta naomba kujua nawezaje kumfanya mume wangu akaanza kufanya bihashara yake mwenyewe"how to start a business physically and mentally ?"

  • @DaveHumphrey2514
    @DaveHumphrey2514 4 ปีที่แล้ว +28

    Tuseme ukweli, kuishi tu na mtu ni MAJARIBU MMNO, its a very discomfort zone, that gives us a chance of growth,imagine mtu na stress zako af bado unakutana na kisirani... Doh. Kipekee, DONT BE WITH SOMEONE BECAUSE YOU LOVE THEM, BUT BECAUSE YOU WANT TO "GROW".
    love goes away, once akicheat, akifukuzwa kazi, akikupiga.... Ila ukienda kwenye mahusiano taka kukuwa kiakili, kiuchumi, kimtazamo wa akili, kimapenzi.... Hakikisha, unajiona ukitoka kwenye hiyo relationship uko more resiliant to danger, more smart,, more loving, more patient... Hivyo vyote vizuri come in great pain, pain fruits are better than relaxing fruits.

    • @jackneymasamson8335
      @jackneymasamson8335 4 ปีที่แล้ว

      Wow nimeipenda hii

    • @DaveHumphrey2514
      @DaveHumphrey2514 4 ปีที่แล้ว +1

      @@jackneymasamson8335 eeeh jacky, love is blind! Mapenzi ni upofu... Kukua ndio lengo kuu. Google growth kujua zaidi. Kunatisha flani...

    • @hoccyhilary6789
      @hoccyhilary6789 4 ปีที่แล้ว

      You are very smart, ila wanaume wengine hawajitambui, you found a best woman very good a Nakupenda anakuwa everthing kwake then anajisahau anakuchukulia kama you cant live without him, too bad, mnajisahau

  • @bizimanamariam4842
    @bizimanamariam4842 3 ปีที่แล้ว +1

    Kipindi cako nimekipenda saana mimi ni mtu kutoka Burundi, sasa kama Mme wako unaona kama anaaca kuhudumia famillia na hali yakua kipato anaco ,yéyé tu anataka mwanamke alete héla tu ,akisha pata héla za mwanamke anasepa ,kunawakati mwanamke anashindwa vumilia na akasema maneno inje ili afarijike ,samahani Dr mateso yamezidi kwenye ndoa nyingi ,

  • @kamathimagretgm6952
    @kamathimagretgm6952 3 ปีที่แล้ว

    Na Ikifikia pale mwanaume anajiona yy ako sawa especially akiangalia his background ...hw a Lady can handle that situation

  • @dinahdianah9653
    @dinahdianah9653 4 ปีที่แล้ว +6

    Asante kwa funzo nzur sanaa pongezi, licha naomba pia makosa ya wanaume nawaona kwenye comments utadhan wao n malaika gabriel ameshuka kutoka mbingun I mean utadhan hawakosei, kwanza hawa wanaume ukiwasaidia n balaa wakati atakuacha atakuachia watoto , lkn kwa mwanamke kusaidiwa na mme si shida manake muda akiondoka atakuacha na something kwa utumizi ya watoto

    • @juventjustinianaloyse6640
      @juventjustinianaloyse6640 4 ปีที่แล้ว

      Nipe nambako nikutumie whatsap mambo ya mwanamme from Dr K mauke 0756423952

    • @dinahdianah9653
      @dinahdianah9653 4 ปีที่แล้ว

      @@juventjustinianaloyse6640 hehehehe mbona sikuamin

  • @omarykajembe4385
    @omarykajembe4385 ปีที่แล้ว

    nipo ktk mgumu sana kaka criss..kosa la kwanza hadi la kumi yote mke wangu anayo..nipo ktk mchakato wa kutoka na tunawatoto wawil

    • @fridasanga2494
      @fridasanga2494 11 หลายเดือนก่อน

      Pole kaka yangu usimuache mkeo mtumia hii crip aisikilize uenda atapata funzo

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 2 ปีที่แล้ว

    Je mwanaume kukosoa ni sawa

  • @nzobonimpaissa7566
    @nzobonimpaissa7566 4 ปีที่แล้ว +1

    Big up brother

  • @aishamaulidi4679
    @aishamaulidi4679 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakubaliana na wewe doctor 100%

  • @leahkhatoroinjenikhatoroin6151
    @leahkhatoroinjenikhatoroin6151 3 ปีที่แล้ว +1

    ok, leo umenena lakini niulize mwanaume akiibia mkewe pesa apeleke mpango wakando matembezi, alafu mkewe ajue, kuna vile heshima itadumu

  • @paulinamloka2817
    @paulinamloka2817 4 ปีที่แล้ว +8

    In conclusion... don't break a man's ego. Embrace it❤

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 3 ปีที่แล้ว +1

      😅🤣🤣🤣🤔🤔🤔🙌🙌

    • @ChrisMauki1
      @ChrisMauki1  3 ปีที่แล้ว

      Very true
      • Asante sana kwa kutazama na kunifuatilia. Natumaini umesubscribe channel. Thanks

  • @user-qc8ho9qe7e
    @user-qc8ho9qe7e 7 วันที่ผ่านมา

    🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @carolinenakirutimana1559
    @carolinenakirutimana1559 4 ปีที่แล้ว +3

    Wanaume munapenda kueshimia lakini hamutaki kuheshime wake zenu.. Tena wanaume munaweza na mweye ku fail .lakini kwa kuwa nyinyi ni wanaume munatawala hamukuaki Na kosa sasa mwanaume .

  • @filimonmboya5805
    @filimonmboya5805 4 ปีที่แล้ว

    Nakupata vizuri sana

  • @fhyubhhh2881
    @fhyubhhh2881 3 ปีที่แล้ว

    True...100%

  • @chikumbwilo9565
    @chikumbwilo9565 4 ปีที่แล้ว +1

    Naomba mawasiliano nimekusikiliza bado kunamambo mengine inabidi yakae sawa.

  • @gemkachar
    @gemkachar 4 ปีที่แล้ว

    Kosa la mwanamke kusema mme wake bure kitandani. Hapo ndoa kwisha.

  • @BabaBalingasi-hp6gd
    @BabaBalingasi-hp6gd ปีที่แล้ว

    Haha huyu jamaa ni Genius

  • @florencekiendi1727
    @florencekiendi1727 4 ปีที่แล้ว +20

    Everything women this ,women that and men?when are we going to read about makosa men do..women also have value..can we for once have advice for men....

  • @aminashaibu7732
    @aminashaibu7732 4 ปีที่แล้ว +14

    Dr.wanaume wengi ni wagumu sana kurekebishwa na wake zao,utafanyaje?

    • @ensanako44
      @ensanako44 4 ปีที่แล้ว +2

      Thats true they don't want to be questioned

    • @prettyh7509
      @prettyh7509 4 ปีที่แล้ว +3

      Ahahaha ni mwendo wa ngumi ss hiv wanawake tunafanya mazoezi

  • @asantekwahuuwimbozubeda873
    @asantekwahuuwimbozubeda873 4 ปีที่แล้ว +3

    Wanaume sio waelewa maana hawajui majukumu yao wanatuelemezea mizigo mizito ss wanawake

    • @dequeen460
      @dequeen460 3 ปีที่แล้ว

      Hapo'umesema' ya' wavivu' kwli' hawajui'kulipa'karo' wala'awatoi' mahitaji' ulevi' naumalaya'uliokithiri' ati' mtu'kama' huyu' umsifie' haiwezekani

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 ปีที่แล้ว

    👌🏽

  • @yungmaboy6519
    @yungmaboy6519 4 ปีที่แล้ว

    Mafundisho mazuli sana

  • @zainazaina8711
    @zainazaina8711 3 ปีที่แล้ว +1

    Hi Dr kama mara ya Kwanza alikua na michipuko nikamshika mara pili tena amerudilia mpaka sasa amezaa nae m chipuko mm aniaangali wala mtoto Wangu tunafanya KAZI pamoja na tunalipwa mshahara Kila mwezi yy Hana pesa na tunaishi pamoja

  • @ashelyabely7854
    @ashelyabely7854 3 ปีที่แล้ว

    Upo sahihi dor

  • @wardakipinga4866
    @wardakipinga4866 3 ปีที่แล้ว +1

    Wangu hashauriki kwanza atakudunda mingumi

  • @lwisekweka8321
    @lwisekweka8321 3 ปีที่แล้ว +4

    Kwani Dr. Anayetakiwa kulinda ndoa ni mwanamke tuuu.?
    Msomo yako ya mahusiano mengi yanahusu "mwanaume anachopenda na asichopenda" what about women?????

  • @kamathimagretgm6952
    @kamathimagretgm6952 3 ปีที่แล้ว

    My Money his Money,his Money My Money ...but some men r taking wrong advantage of Ladies with big heart...sababu ya kumueka wazi kwa mapato kaa mwanamke,Mwanaume anakunyanyaza pale kwamba ukiongea kuhusu kusaidia Familia yako kaa mwanamke inaleta shinda na yy mwenyewe hakwambii kuhusu kuwasaidia

  • @shabanidaudi720
    @shabanidaudi720 3 ปีที่แล้ว

    Wanawake walio wengi dhalau zimezid sana hawajui samani ya ndoa ndo tatizo wana shindana na wamezao apo kuna maisha kweli ?

  • @aqulinafaston9204
    @aqulinafaston9204 2 ปีที่แล้ว

    Doctor ninahitaji kuzungumza nawewe nakupataje

  • @dorisndossi4734
    @dorisndossi4734 2 ปีที่แล้ว

    Mungu atupe hekima tu baasi maana this gender 🙈

  • @jamessila3219
    @jamessila3219 ปีที่แล้ว

    🙏

  • @dismusabong3708
    @dismusabong3708 3 ปีที่แล้ว

    Dr.Chris Nina tatizo moja..na tatizo langu ni hili...Nina wake wawili mmoja akona mtoto wangu na pia naishi na yeye na yule mwingine hana mtoto wangu mbali tuko katika mahusiano....mama wa mtoto wangu anapiga kabisa Mimi kuwa na yule Dada......na inafika mahali tunangombana kwa ajili ya yule Dada.....mke wangu ananieleza kuwa anampenda yule mwanadada kama rafiki mbali siyo mke mweza....nimeshindwa jinsi ya kufanya naomba unisaidie

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 ปีที่แล้ว

      Tulia na mkeo acha tamaa hamtagombana

  • @maryammassoud12e39
    @maryammassoud12e39 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli wanawake tunadharau tuacheni