Othman Maalimu hakika uko bora sana MUNGU akupe maisha marefu utupe darasa na Sisi tuwe miongoni mwa watakaokuwa peponi.... tuyaelew mafunzo yako Amiiin
Nashukuru mungu muweza,ninaumia sana moyoooooooo,nataman kusema kitu kikamuuumiza alienitenda,mwisho najishusha nakunywea kwaajil ya hofu ya mungu,nakumuonyesha tabasam kutoka moyon alieniudhi, mana hata Mimi cimkamilifu
Alhamdulillah kwa mawaida mazuri alhamdulillah Allah akujaze her na akuegeze umr mrefu utuelimishe zaid napenda San mawaida yako mungu awajaliye her wano cikiliza mambo ya her awaogezi umri mrefu na awape sbr kwenye ndowa zao
Nakupenda sana sheh othman maalim..mm sijasoma sana vitabu ila darsa zako nazihifadh zote kisha nazifikisha kwa watu...nakushkuru sana maalim othman najihis kama ni mwanafunzi nilosoma kwako kwa mda mrefu..allah akusimamie
Mimi naitwa Nourah,mtanzania wakuishi Rwanda,rafiki yagu niliempenda kuzidi wote aliniroga akanifanya nijiskie kuchukia wislam na waislam,nimefika atua yakuona uchawi ndani ya kila mama wa kislam.lakini nashkuru Allah,katika siku za mwisho za mwezi mtukufu wa ramathan mwaka huuu,Allah kanipa bahati ya kuona lailatul qadir,sasa naamini matatizo yangu yote,Allah kayatatua.Allahu akbaru,Allahu akbaru....
Maasha Allah one of the knowledgeable imaam of our time and may Allah bless him l love him for Allah's sake. May Allah grant him jannatul Firdausi Aala.
Maasha Allah shukraan jazzakah Allahu kheir sheikh Othman kwa madarsa nimechelewa lakini nimewahi pia,Mwenyezi Mgu awalipe kwa kila kheir na hizi darsa munazo tukumbusha mambo ya Dini na Dunia🤲🏽🤲🏽🤲🏽
Mashallah tabarakallah jazzaka Allah kheri shekhe wetu nakpenda sana mawaitha yako hayachoshi kabisa yani mashallah tabarakallah Mwenyezi Mungu akuifadha hapa dunia na kesho akhera
Alhamdulillah,tushukuruni kupata masheikh kama Sh.Athman Maalim,Huyu sheikh ameshiba ilmu akakinai na ALLAH amzidishie,na hajafanya khiyana iwaitoa bila kifundo na ALLAH ampe pepo na radhi amridhie.....AMIIN
NAMI mukristo lakini napenda ma waiza ya kislamu Kuna ukweli mwingi sana na mengine yananipa kujitambu vizuri . Allah subhana wataal awazidishiye nduguzangu .Tena zawadi zake alizo zipa mtume Muhammad swalaalalah Ali wa salaam ziendeleye ku miminika juu ya vichwa vya wa islamu wote duniani .
Namuomba Allah akujalie sheikh othman maalim. Ukuepushe na mitihani ya dunia na akheira. Allah akujalie akuingize kwenye pepo yenye daraja la juu. Kiukweli najifunza mambo mengi kutoka kwako. Hakika Allah ame kupa elimu na hekma. In shaa Allah Allah akuongoze hapa duniani na akheira ktk njia ilio nyooka.
Inna Lilah wa Inna ilayhi Raji'un 😭😭😭😭😭😭😭😭😭kweli Ninakosa Raha kwa kuwa siko Burundi 🇧🇮 Aysee ninge fanya iwezekanavyo nikapata huo utukufu wakukuona Lakin Alhamdulillahi RabilaAlamina najapo cku jalwa kuwepo bahati yao wote wamekuona na Mmie pia nafurahi kwa hii neema ya Allah kwa kukuona nakuku sikia hapa nlipo Alhamdulillahi na Allah atujalye tufanyie kazi hayo umetufuhamisha shukran Jazeelan jazak Allah khayri Mola akupe umli mrefu wenye khayri na barka karibu tena na tena natena 🇧🇮 ❤️NAKUPENDA SANA KWA AJILI YA ALLAH GHAZ'WAJALLAH 💖💖💖💖💖💞
@@حليمهال-غ1ظ nikweli Kbisa lakini sikati Tama kwasa babu naamini sku ya mwisho yipo bilasha kila mtu atakuwa pamja na ampendae basi nafasi hio ntayipata by Llahi taufiqi ln shaa Allah Shukran Jazeeran jazak Allah khayri ya Hareem💕
Sheikh Othman Maalim Allah akuridhie mimi nilikufatilia tangu uko barobaro MashaAllah tangu barobaro Allah alikupa kipaji cha Dini na Hikmah kubwa sana nilikuona msikiti wa barsheba from that day nikawa sikosi darsa zako Allah akutilie barka katika maisha yako amiin amiin .
Inshallah allah akupe umri mrefu uzidi kutujuza othman Maalim 🙏🙏
One of the best sheikh's of this ummah may Allah protect him and grant him husnul al-khaatimah
Ameen
Inshallah mung akujlie maisha marefu shehe wetu kipenz na mung atujalie tuwe miongoni mwa watu wema
Othman mimi mkristo napenda Sana, mawaidha yako
Njoo kwenye uislamu uinjoy
Mimi mkristo lakini siku zote napenda kuskiza mahuburi ya waislamu.Mungu ajupe umri mrefu Inshallah .
Allah akuwongoz na uzidi kuyafat upate ukweli insha
Azou Azalazi,inshallah
MASHALLAH siku moja ALLAH atakufanyia wepesi kujua Haki na kuiyacha badili
@@wairimuflorence5861 dada yangu silimu
Mungu akuoongoze
MaashaAlla🙏🙏Allah akurinde lnshaAllah🤲🤲🤲🤲🇴🇲
Najivunia kwa darasa lako alaah akupe kher katika dunia
Ya Allah tujaalie tuwe na tabia nzuri, huruma na uvumilivu kama alivyo kua Mtume wetu Muhammad swalallahu alayhi wasalam🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪
Aamin
Insha Allah,naswaha zenu tutazingatia na pia namuomba ALLAH atuepushe na shetani m baya mwenye kushushutisha mabaya kwa bina'adam 🙏🙏
Amn inshaallah kwa sote
Sheikh Othuman allah akupe umri mlefu na mwisho mwema inshaallah True love from Oman🌷🌷🌷
Hhhhhokkjhuujko
Ki&t
wallah shekhe othman napenda hasaaaa mawaidha yako yananifikia mpaka kwenye nafsi yangu unagusa hasaaa panahusikaaa ila naomba uzungumzie hasaaa uke wenzaaa kwan bado wanaume na wanawake hawana elmu ktk idara hiyoooo
Allah akulipe mazuri sheikh Othman Maalim na akupe imani uzidi kutuelimisha mpaka mwisho wa maisha yako na pepo iwe malipo yako(Aamin)
Ameen
Othman Maalimu hakika uko bora sana MUNGU akupe maisha marefu utupe darasa na Sisi tuwe miongoni mwa watakaokuwa peponi.... tuyaelew mafunzo yako Amiiin
Mashallah tabarakallah mawaidha mazuri
Allah akupe umri mrefu Shekh Othma Maalim
Nashukuru mungu muweza,ninaumia sana moyoooooooo,nataman kusema kitu kikamuuumiza alienitenda,mwisho najishusha nakunywea kwaajil ya hofu ya mungu,nakumuonyesha tabasam kutoka moyon alieniudhi, mana hata Mimi cimkamilifu
Allah akulipe mbadara
Alhamdulillah kwa mawaida mazuri alhamdulillah Allah akujaze her na akuegeze umr mrefu utuelimishe zaid napenda San mawaida yako mungu awajaliye her wano cikiliza mambo ya her awaogezi umri mrefu na awape sbr kwenye ndowa zao
Nakupenda sana sheh othman maalim..mm sijasoma sana vitabu ila darsa zako nazihifadh zote kisha nazifikisha kwa watu...nakushkuru sana maalim othman najihis kama ni mwanafunzi nilosoma kwako kwa mda mrefu..allah akusimamie
th-cam.com/video/BCF1SbvZQgQ/w-d-xo.html
Karibu kwetu karibu Nrb shekh wetu
E
Ewe mpee Cheney's heri nae mwalimu watu mpe kauli thabit
AMIINA
MashAallah Allahu akuzidishie umri uzidi kutuelimisha 🙌🙌🤗🤗
Mashaallah shekhe Othaman maalimu Allah akupe afya njem
Allah Akbar, Sheikh Uthman Maalim Allah Amuzidishie Kheri Nyingi Hakika Napenda Mawaidha Yako, Naomba Allah Atujalie Mwiaho Mwema
Amin
Amin
Asante kwa mawaidha shekhe
mashallah mawaidha mazuri nimejifunza mengi shekh allah ukupe afya njema
Mimi naitwa Nourah,mtanzania wakuishi Rwanda,rafiki yagu niliempenda kuzidi wote aliniroga akanifanya nijiskie kuchukia wislam na waislam,nimefika atua yakuona uchawi ndani ya kila mama wa kislam.lakini nashkuru Allah,katika siku za mwisho za mwezi mtukufu wa ramathan mwaka huuu,Allah kanipa bahati ya kuona lailatul qadir,sasa naamini matatizo yangu yote,Allah kayatatua.Allahu akbaru,Allahu akbaru....
حفظك الله الأخ الفاضل الشيخ عثمان معلم، زدك الله علما ونور.
Maalim othman mawaidha yako yanatufundisha vitu vingi napenda kukusikiliza sana inshallah mwenyezi mungu akuzidishie usichoke kutupa darasa
Masha-Allah Masha-Allah Masha-Allah,Allah akujaalie mwisho mwema,Allahummah Ameen
Thumma amin
Mashallah
Allahumm amin
Mashaaa Allah nimecheka Apo kwa ndoto ya wake😁😁😁😘😘😘😘😘 hakupendaga kwa ajili ya Allah sheikh wetu Athuman maalim
Jazakallahu khairan shukrani kwa Mawaidha
Mashaa Allah nakupenda Sana shekh wangu
Mashaa'allah, shukran jazzilla kwa mawaidha mazur, wallah nikisikiliza mawaidha yako shekhe huwa nafarijika sanaa.!
Alhamdulillah
Shk Othman maalim mwenyezmungu azidi kukuweka akujaalie na afya akuepushie na husda YaRabb
Allah akuongezee umr mrefu bado tunakuitaji sana
Mashallah,mafundisho mazuri,endeleza mafundisho nasi tupate yalomazuri ya kutuongoza 🔥🔥🎉🎉❤❤
Maasha Allah one of the knowledgeable imaam of our time and may Allah bless him l love him for Allah's sake. May Allah grant him jannatul Firdausi Aala.
Marko Okwothos Amiin yarrab
Maashaallah
Mashaallah jazaka llah khayra
th-cam.com/video/BCF1SbvZQgQ/w-d-xo.html
Amin yarbi amin
Wise words and educative may God bless you my brother
Asante sana sheikh wangu Othman Maalim kwa kunipa habari nzuri za kuishi na rafiki
MashAllah sheik OTHMAN MAALIM Allah akupe umri
L
Mashallah katika mashekhe ambao nnaependa kumsikiliza basi mmojawapo ni huyu Mwenyenzi Mungu ampe umri wenye afya na uzima Ameen 🙏
Allah'Akbar akuzidishie maisha marefu inshallah 🙏🙏🇲🇿🇲🇿
Mme Wangu yuwampenda huyu Maalimu sana Masha'Allah na maneno yake ni kuntu Masha'Allah
MaashAllah, Alhamdulilah, Allah akupe kila la Heri,na Sisi atuongeze katika njia ilonyoka shukran
Manshallah sheikh wetu.
Amin yarbi amina
Ma sha Allah...hakika nimepata ilm kubwa!
Mashalwaaa
Asalmaleykum
Mashallah watching from USA I love you for the sake of Allah Sheikh Othman Maalim..
ماشاءالله
Hi
Somo zur Sana shekh Othman 🙏🙏
Manshallah, Hakika Uislamu, haukuacha kitu Allah akulipe
Naomba MOLA akujalie umri allahum ameen,asante sheikh Omar
mashalah shekh othuman malim nakukubali sana upo vizur
Shehe Othman maalim wewe unae rafiki kipenzi kama wakiyi na shafiy walivokuwa wanapendana sana
Maasha Allah shukraan jazzakah Allahu kheir sheikh Othman kwa madarsa nimechelewa lakini nimewahi pia,Mwenyezi Mgu awalipe kwa kila kheir na hizi darsa munazo tukumbusha mambo ya Dini na Dunia🤲🏽🤲🏽🤲🏽
Mashallah tabarakallah jazzaka Allah kheri shekhe wetu nakpenda sana mawaitha yako hayachoshi kabisa yani mashallah tabarakallah Mwenyezi Mungu akuifadha hapa dunia na kesho akhera
Masha Allah sheikh Allah akupe umri mref Insha Allah nakupenda kwajili ya Allah
Mashallah Allah atakulipa kwa ujumbe mzuri
Shukran jazzilla sheikh Uthman MaalimAllah akuifadhi 🤲
picha yako bint haikai sawa na dini yako..
allah akuhfidhi na mengi tulozungukwa nayo katka hi dunia
Wallah nikisikia mawaidha huyu sheikh moyo wangu inatulia
Wallah hata mm napenda saaana daawa yake.Allah ampe kher yaraaaab
th-cam.com/video/f1ECnaRImIs/w-d-xo.html
Akili yngu huwa najiona km nimemuona Muhammad (S.A.W). Allah atuhifadhie huyu sheikh
Amiin amiin amiin
Asante sana kwa ukumbusho mungu akujazie kila la kheri wewe na familia yako amiin
Alhamdulillah,tushukuruni kupata masheikh kama Sh.Athman Maalim,Huyu sheikh ameshiba ilmu akakinai na ALLAH amzidishie,na hajafanya khiyana iwaitoa bila kifundo na ALLAH ampe pepo na radhi amridhie.....AMIIN
Manshaalh athuman maalim mwenyezi maidha yako yna ujumbe mzito
Maa Shaa Allah, nakupenda sheik wangu kwa ajili ya ALLAH, Mwenyezi MUNGU akupe afya na umri na akulinde
Amiin
ALLAH AKUZAWADI,,,
Amiin
Amn
Amiin
Mashallah Othman maalim allah akupe umri mrefu inshaallah aamiin allahumma aamiin
Maalim Allah akubariki na akupe umri mrefu , tuendelee kuyafaidi matunda yako
Allhamd llah nashukuru sana kamawaidha yako mazuri
Alhamudhilah,..Allah akupe afya njema maalim shukuran sana
basi dp yako isupport dini yako bint..
Daah shukran shekh Othman maalim nakupenda kwa ajili ya Allah
napenda mawahiza yako mungu umri murefu mngu akufanyie wepesi katika mawahiza yako
Allah uzidishie napenda sana kukusikiliza mawaiza yako Allah akuzidishie na Akupe afya na uhai mrefu na mwisho mwema kwa sote.
Sheikh othman Allah akujalie umri MREFU hapa duniani na pia akujalie mwisho mwema napenda mawaidha yako yana mafunzo mashaallah
Masha Allah, Masha Allah shekh othman mungu azidi kukuifadhi
MaashaaAllah mawaidha mazuri mungu Akupe afya na umri mrefu sheikh
Nimejifuza kitu kwa shekhe odhuman maalim mungu amuhifadhi insha allah
Amiin amiin
Allaah amuhifadhi Sheikh wetu.
Ma sha alla, allah akulipe kwa mawaidha mazuri. Nimejifunza mengi sana
Allah Bless Yu Shekhe Wetuu
And you too
Kwako na kwa waicilamu wote
Mashallah Allah akupe siha njema akukinge na hasda
Mashalaah
Mwenyezmungu ukupe umri uendelee kutupa darsa
@@bakutayeb8277 Amina yarbi
Amiin yaa rabbal a'alamiin
May Allah gave u long years to live so that u will continue educating
Maasha allah allah akuweke sheikh othman uzidi kutuletea elmu
Allah Skype umri mlefu madazako haziishi masikion mpaka moyon alhamdulilah
Maashaallaah Allhamdullaah mungu akuweke akupe umri mrefu akuandalie Pepo Fili daus
MashaAllah JazzakAllah khayr
Shekhe othumani maalim akuripe allah kwa dawa zako mie nazipenda sana
jazakallahu khair ya sheikh may Allah guide us all to the right path Amiin
Amiin
Sheikh Othuman kila nikisikiliza mawaadhi yake,roho yangu na tabia yangu inabidilika,Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu Sheikh Othuman.
Sheikh. Othman unatufunza masha Allah ..... Allah akulipe ujira mwema... ammiin
Barakallah ufiikum Allah azidi kukurinda mashaa Allah
maa shaa Allah... asante sheikh Wang kwa somo zuri nimependa mno..
9o PPP
Kweli shee maneno yako
NAMI mukristo lakini napenda ma waiza ya kislamu Kuna ukweli mwingi sana na mengine yananipa kujitambu vizuri . Allah subhana wataal awazidishiye nduguzangu .Tena zawadi zake alizo zipa mtume Muhammad swalaalalah Ali wa salaam ziendeleye ku miminika juu ya vichwa vya wa islamu wote duniani .
Nakupenda sana sheh watu kwajili ya Allah
Shukrani...jazzilla ..Allah akupe Kila lenye kher hapa dunian na akhera ..nafurahia uwepo wako
Mhhhhh
Namuomba Allah akujalie sheikh othman maalim. Ukuepushe na mitihani ya dunia na akheira. Allah akujalie akuingize kwenye pepo yenye daraja la juu.
Kiukweli najifunza mambo mengi kutoka kwako. Hakika Allah ame kupa elimu na hekma. In shaa Allah Allah akuongoze hapa duniani na akheira ktk njia ilio nyooka.
Allah akulipe kila la kher Shekh othuman maalim🙏
Kher inshallah
Amn
Maa shaa Allah
Shukran sana Shaykh wetu
Baaraka Allahu fiyka
Mashallah, shukran sheikh kwa mawaidha. Mwenyezi mungu akulinde inshallah. Pili nafurahi uko na jina kama la babangu. Mwenyezi mungu amrehemu 🙏🙏🙏
Innalillah wainnalillah rajuin
Pole sana ndugu yangu matika Imaaani
Allah ya raham
Mashaallah mwenyezi mungu akuzidishie kilalakheri
Alhamdulillah Allah akujazz akupe na umri wakutuelimisha
Amen
Kiss,charabi
@@hamismustapha1730 Allah human amiin
Amin yarbi
Assramuaraiku
Allah akupe kheri shekh Duniani na akhera
Inna Lilah wa Inna ilayhi Raji'un 😭😭😭😭😭😭😭😭😭kweli Ninakosa Raha kwa kuwa siko Burundi 🇧🇮 Aysee ninge fanya iwezekanavyo nikapata huo utukufu wakukuona Lakin Alhamdulillahi RabilaAlamina najapo cku jalwa kuwepo bahati yao wote wamekuona na Mmie pia nafurahi kwa hii neema ya Allah kwa kukuona nakuku sikia hapa nlipo Alhamdulillahi na Allah atujalye tufanyie kazi hayo umetufuhamisha shukran Jazeelan jazak Allah khayri Mola akupe umli mrefu wenye khayri na barka karibu tena na tena natena 🇧🇮 ❤️NAKUPENDA SANA KWA AJILI YA ALLAH GHAZ'WAJALLAH 💖💖💖💖💖💞
Aisha Abdullah hi
Huenda hata ungekuwepo burundi bado ikakuwia vigumu kumuona maana huo msongamano wa watu
@@حليمهال-غ1ظ nikweli Kbisa lakini sikati Tama kwasa babu naamini sku ya mwisho yipo bilasha kila mtu atakuwa pamja na ampendae basi nafasi hio ntayipata by Llahi taufiqi ln shaa Allah Shukran Jazeeran jazak Allah khayri ya Hareem💕
maashallah shekh othamani maalimu
Mashallla
Amin 🤲🤲 mungu akuweke shekh na Allah akupe mwisho wema nimejuwa mengi kutoka kwako napenda sana kufatiria mawaidha yako yanipa Imani kumbwa 💯💯
MashaAllah Ustadh🇰🇪
Mashaallah Allah akulipe pepo kwa kutuelimisha na kutufundisha akhlaq njema
Maashaallah
Maashaallah
Maashaallah
Jazaqumlwau ery
Inshaallah 🤲 🤲
Sheikh Othman Maalim Allah akuridhie mimi nilikufatilia tangu uko barobaro MashaAllah tangu barobaro Allah alikupa kipaji cha Dini na Hikmah kubwa sana nilikuona msikiti wa barsheba from that day nikawa sikosi darsa zako Allah akutilie barka katika maisha yako amiin amiin .
Jazzak Allah kheyri,Allah ibariki fiik
Masha Allah shukran jazeelan sheikh wetu otham maalim
Masha Allah mollah akuweke miaka mingi shekhe wetu
Masha'allah mungu tupe Imani kama ya mtume subahana 🙏🙏
Mashallah somo nzur sana sheikh wetu mungu akupe afya njema
Amina Yahya mashallah sanaaa
Mambo vp
Hl yk
mashallah
Mashaallah allah akuongoze kila lakhery
Hakika,nisikilizapo mawaidha yako,alhamdullillahi,huwa naongeza kitu nafsini kwangu, mwenyez mungu akuzidishie kheri kwa ukumbusho.