Wapi wanawake wazamani kujitanda mashalah Leo makope uchi mchubuo hina wazi wazi daa g makope ya bandia makucha duuh zamani huna mtu mwenyee aficha amuoneshe mumewe mwenyee Leo heee barabarani mtu atupa mkono hashuo subirini kesho
InshaAllah InshaAllah Ameen YaRab thuma Ameen YaRab. MashaAllah MashaAllah TabarakAllah. I love you as my brother. Shukraan jazilaan Wa JazakAllahu Kheran.❤😌
Assalamu alaikum wa rahmatullahi wa barakatuhu. ningependa mawaidha kuhusu mwanamume ambaye haruhusiwi kumshika au kumgusa mwanamke jinsi sio halali kwake. tafadhali
Sheikh sisi ni kidogo ni vile mume akitaka ongeza mke mungine kuuzidisha ummat wa Mohammad,mke huyu umkataza mumewe kuoa,sasa wano ipindua hii na kuipinga kabisaaa ni wake walo tangulia kuolewa,waache roho mbaya za choyo ili ummati wa Mohammad tuwe wingi!!
@@habiyajuma3892 hakika hili silo jambo jema,wanawake mashaallah ni wingi ,na wataka kusitiriwa lakini wanawake walo bahatika kuanza wao kuolewa huwazuilia wsume zao kuongeza mke,na inakuwa mtihani mkubwa,na kupata mume jasiri akaongeza mke pia inakuwa mtihani mkubwa kwa huyo mke alo olewa mke wa pili,sasa hawa wake wakubwa tuwaangalie kwa makini sana ,wao ndo wanapiga vita ummati wa mtume mohammad sallalahu akeyhi wasallama tusiwe wengi,si jambo la kupuuzia hili nimefanya uchunguzi kwa muda sana,jambo hili sheikh linakera,wake wakubwa wanapigana vita vya siri vya kuhujumu ummati wa mtume s.a.w usiongezeke kwahilo nina uhakuka nalo mia kwa mia,ni wachoyo hata wamuonea choyo mtume wetu,s.a.w sheik wape darsa nyingi viumbe hawa wabahili wabinafsi na choyo,Allah atupe wepesi na hatma njema
Mashallahushehe wangu uko sawa kabisa kwa wale wenyearadhi mbali mbali yamajini kuondosha nuhusi mwilini kuzipata daw zabishar +255655215672aub+255629888031
Na asilimia hamsini ya walioona hawajapendana wameoana kiridhisha wazazi,Allah nijalie ndoa yakheri kwakweli
Wapi wanawake wazamani kujitanda mashalah Leo makope uchi mchubuo hina wazi wazi daa g makope ya bandia makucha duuh zamani huna mtu mwenyee aficha amuoneshe mumewe mwenyee Leo heee barabarani mtu atupa mkono hashuo subirini kesho
Ila wapo wanawake wema bado
Aslm alkm ww.... Masha Allah. Shukran sana sheikh Izudin. Jazakallah kheir 🙏
Mashaallah shukraan Sana sheikh wetu jazaka Allahu kher
MashaAllah Mungu akuhifadhi sheikh izudin kwa mawaidha yko
Mashallah shekh nimejifunza xana Allah akubarik inshallah Amiin
Maa shaa Allah tabaraka Allah jazakallah kheyr Allah atuongoze tufuate sheria za dini ktk jamii zetu
Eeh its too much wallahi ustadh yasikitisha katika harusi zetu.
Asalam Aleikum warahmatullah wabarakatu..MashaAllah tabarak Allah. Darsa nzuri MashaAllah..jazak bill Alf kheri InshaAllah.
Walaykum salam warahmatullah wabarakatuh
InshaAllah InshaAllah Ameen YaRab thuma Ameen YaRab. MashaAllah MashaAllah TabarakAllah. I love you as my brother. Shukraan jazilaan Wa JazakAllahu Kheran.❤😌
ya Allah nijalie mume bora wala sitaki makubwa ila stara tu
@@abumuhidin6842 amiin thumma amiin
njo uolewe kwetu Burundi
Inshallah
Amin
Assalamu alaikum wa rahmatullahi wa barakatuhu. ningependa mawaidha kuhusu mwanamume ambaye haruhusiwi kumshika au kumgusa mwanamke jinsi sio halali kwake. tafadhali
مشاءالله تبارك الله
🤣🤣🤣 Alhamdulillah tu ndo neno Langu
Kweli
Tayyib sheikh wetu, jazakallah kheyr
mashallah
Mashallah wakwanza ku view na comment
جزاك الله خير
Jazzak Allah kheir
Asalam alaikum warahmatullah wabarakatu
Salaaaaaala😂
MASHA ALLAH ALEIK
Mashallah
Mashalah mungu akujaze kheri
Mashaallah
Sheikh sisi ni kidogo ni vile mume akitaka ongeza mke mungine kuuzidisha ummat wa Mohammad,mke huyu umkataza mumewe kuoa,sasa wano ipindua hii na kuipinga kabisaaa ni wake walo tangulia kuolewa,waache roho mbaya za choyo ili ummati wa Mohammad tuwe wingi!!
@@habiyajuma3892 hakika hili silo jambo jema,wanawake mashaallah ni wingi ,na wataka kusitiriwa lakini wanawake walo bahatika kuanza wao kuolewa huwazuilia wsume zao kuongeza mke,na inakuwa mtihani mkubwa,na kupata mume jasiri akaongeza mke pia inakuwa mtihani mkubwa kwa huyo mke alo olewa mke wa pili,sasa hawa wake wakubwa tuwaangalie kwa makini sana ,wao ndo wanapiga vita ummati wa mtume mohammad sallalahu akeyhi wasallama tusiwe wengi,si jambo la kupuuzia hili nimefanya uchunguzi kwa muda sana,jambo hili sheikh linakera,wake wakubwa wanapigana vita vya siri vya kuhujumu ummati wa mtume s.a.w usiongezeke kwahilo nina uhakuka nalo mia kwa mia,ni wachoyo hata wamuonea choyo mtume wetu,s.a.w sheik wape darsa nyingi viumbe hawa wabahili wabinafsi na choyo,Allah atupe wepesi na hatma njema
Subhana Allah shukran
Sheikh wewe una wake wangap?
MAsha Allah
Je yafaa mtu kuolewa na mtt wa dadake step mother
9
Shukran
MashaAllah!!🙏🙏
Walai nimecheka na pia nkasikitika
T
Mashallahushehe wangu uko sawa kabisa kwa wale wenyearadhi mbali mbali yamajini kuondosha nuhusi mwilini kuzipata daw zabishar +255655215672aub+255629888031
Mashallah
Mashaallah
Shekh hivi Nini hukumu ya mwanamke kumnyima tendo la ndoa mume we