REV. DR. ELIONA KIMARO: BARAKA YA KIVIZAZI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 มี.ค. 2024
  • KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
    IBADA YA EVENING GLORY: FRIDAY PRAYERS
    'HII NI KWARESMA:SIKU YA 15
    01/ 03/ 2024
    MADA:
    NIDHAMU NI HATIMA
    DISCIPLINE IS DESTINY
    SOMO LA LEO: BARAKA YA KI-VIZAZI
    (GENERATIONAL BLESSINGS)
    Mithali 1 : 7
    Isaya 51 : 9
    Isaya 58 : 12
    NENO KUU:
    "Zitafakarini njia zenu"
    (Consider your ways)
    Hagai 1:7
    7 Kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu.
    Isaya 51 : 9
    9 Amka, amka, jivike nguvu, Ee mkono wa Bwana; Amka kama katika siku zile za kale, Katika vizazi vile vya zamani.
    Isaya 58 : 12
    12 Na watu wako watapajenga mahali palipokuwa ukiwa; utaiinua
    misingi ya vizazi vingi; nawe utaitwa, Mwenye kutengeneza mahali palipobomoka; na, Mwenye kurejeza njia za kukalia.
    Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro
    Kwa maombi na ushauri :
    Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

ความคิดเห็น • 13

  • @DorisKimario-sp3gm
    @DorisKimario-sp3gm หลายเดือนก่อน

    Amina mchungaji Mungu atusaidie

  • @user-oh1le3pf4o
    @user-oh1le3pf4o 4 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa zaidi na zaidi Mungu akutunze mtumishi

  • @user-xe2ho1ti8e
    @user-xe2ho1ti8e 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akutangulie mtumishi

  • @marymalongo6855
    @marymalongo6855 4 หลายเดือนก่อน

    Amina baba barikiwa sana

  • @aivanntomi9484
    @aivanntomi9484 4 หลายเดือนก่อน

    Nakupata kutoka Iringa Mafinga Mungu akubariki saaana mtumishi

    • @user-zd1xb6ik1c
      @user-zd1xb6ik1c 4 หลายเดือนก่อน

      Amen Amen bwana apewe sifa

  • @aivanntomi9484
    @aivanntomi9484 4 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏

  • @BeathaSwai
    @BeathaSwai 4 หลายเดือนก่อน

    Aminaa

  • @user-gg7zh6np4y
    @user-gg7zh6np4y 4 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @aivanntomi9484
    @aivanntomi9484 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni Baraka ya kivizazi mimi na familia yangu Amen 🙏🙏

  • @upendomassawe521
    @upendomassawe521 4 หลายเดือนก่อน

    Eeh nisaidie kufanya kitu kwa kizazi changu

  • @user-dg7wf6fg2j
    @user-dg7wf6fg2j 4 หลายเดือนก่อน

    Mwaka huu nakwenda kujuu kwa maono yako mchangaji kwenye uchumi.

  • @turkisaad-vv2sb
    @turkisaad-vv2sb 4 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏