Ee, Nafsi Yangu Rudi Rahani Mwako | Recovery From The Fear Of Change | Rev. Dr. Eliona Kimaro
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
- IBADA YA EVENING GLORY: FRIDAY PRAYERS: 19/ 07/ 2024
SEMINA YA NENO LA MUNGU:
MADA:
"HOFU YA MABADILIKO"
(FEAR OF CHANGE)
SOMO LA LEO:
EE, NAFSI YANGU URUDI RAHANI MWAKO.
(RECOVERY FROM THE FEAR OF CHANGE)
Zaburi 116 : 1 - 8
NENO KUU:
"UTABARIKIWA UINGIAPO, UTABARIKIWA NA UTOKAPO"
KUMBUKUMBU LA TORATI 28 : 6
&
Yohana 12 : 24
24 Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi.
MAANDIKO YA LEO:
Zaburi 116 : 1 - 8
1 Haleluya. Nampenda Bwana kwa kuwa anaisikiliza Sauti yangu na dua zangu.
2 Kwa maana amenitegea sikio lake, Kwa hiyo nitamwita siku zangu zote.
3 Kamba za mauti zilinizunguka, Shida za kuzimu zilinipata. Naliona taabu na huzuni;
4 Nikaliitia jina la Bwana. Ee Bwana, nakuomba sana, Uniokoe nafsi yangu.
5 Bwana ni mwenye neema na haki, Naam, Mungu wetu ni mwenye rehema.
6 Bwana huwalinda wasio na hila; Nalidhilika, akaniokoa.
7 Ee nafsi yangu, urudi rahani mwako, Kwa kuwa Bwana amekutendea ukarimu.
8 Maana umeniponya nafsi yangu na mauti, Macho yangu na machozi, Na miguu yangu na kuanguka.
HOJA ZA MAOMBI:-
1. TOBA & KUOMBA REHEMA KWA MUNGU..
2. KUKATA KAMBA ZA MAUTI ZILIZOSHIKILIA MAISHA YAKO.
3. KUJIOMBEA MFUMO WA KIMAONO KTK MAISHA YAKO.....(VISION CONNECTIONS &NETWORKING. )
Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro.
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Ameeen ameeen
Kamba za mauti zilizozunguka kwenye kizazi changu,uchumi wangu,karama yangu,ndoa yangu,biashara, kwenye ufaham wa mumewangu, zikafunguke ktk jina la Yesu kristo
Amina
Wow Man of God Ur a blessing watching from Kenya Kikuyu am blessing napenda Ur teachings
Amen .Nafsi yangu nairudi rehani mwako
Ameren🙏🙏🙏
Baba ubarikiwe na Bwana 🙏🙌maana kwaneno ili limenibariki sana nakunipa nguvu sana aya ndio mafundisho tulioyonakiu nayo akiki twajifunza vema🙏🙌🙌🙌❤️❤️❤️🌹🌹🌹🌹🌹♥️♥️♥️💕
Mungu akubariki mchungaji na Mungu alikuwa na kusudi na maisha yako. Yeremia 1:5 Mungu akubariki na watoto wako wote, wote mnafanyika baraka.
Ee nafs yangu urudi rahani mwako
Nikoooo🎉🎉🎉❤
Mimi ni Mmoja wawalioshangazwa oooh haleluya Jina labwana litukuzwe🙏🙏🙏
Asante sana nimebarikiwa ,nimefarijika nimepona maumivu yote mpaka nafisi yangu imerudi rahani mwa Bwana.Umeniganga majeraha ya moyo.Mungu akutie nguvu ktk utume wako🙏
✋✋
Eeh nafsi yangu urudi rahani mwako...Kwa kuwa Bwana amekutenda ukarimu. ZABURI 116:7 AMINA🙏🙏
Amen🙏🙏🙏
❤Asante mchungaji kwa kutupa ujasiri kutoka kwenye hofu mtaani wanatuona majasiri hawajui unatupa nguvu ya masomo yako.
Ee nafsi yangu urudi rehani mwangu.
Ruwa akuichuryie mbora papako mmbe kany kyindo kyo olosha inu kyiwe mbora kowandu wose kila mfiri amen ubarikiwe Baba
Amen 🙏 🙏 🙏
Amen. Amen
Amen 🙏🙏
Na maitaji ya moyo wangu yakatimie
Mtumishi niombee ndoto zimenizidia baya
Ameen
✝️💟😇🙏🏿
Amen
Ameeen ameeen
Amina