MTITI WA MANDONGA NA BONDIA KUTOKA TABORA ABUU BASTER / WAZICHAPA ROUND NNE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • #tabora #mandonga #bondia

ความคิดเห็น • 71

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY หลายเดือนก่อน +1

    Mandonga umekuwa
    Makin sana kwenye boxing
    Unakwepa ngumi kidogo
    Siyo kama zaman zaman
    Ulizid kuwa uwozo japo
    Aupo sawa saaana

  • @user-ex1cm1ks8k
    @user-ex1cm1ks8k หลายเดือนก่อน +2

    Serkali kwnn isimwajri mandonga kwenye mambo mengine Hadi aje kufa mndio iridhike😅😅😅

  • @KiongoziMwandamizi
    @KiongoziMwandamizi หลายเดือนก่อน

    Mandonga ame improve lkn anadharau mchezo guard haweki. Mchezo hauna mvuto

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 หลายเดือนก่อน

    Huyo jamaa mwenye umbo la fisi mwenye mimba sio bondia😂

  • @user-zy6vq6lz7z
    @user-zy6vq6lz7z หลายเดือนก่อน +5

    Huyu jamaa ana kitambi kama mimba😂😂

    • @user-jo3cs3yu3o
      @user-jo3cs3yu3o หลายเดือนก่อน +1

      Mimi nilifikiri ni Dada !!!!

    • @augustinemainde
      @augustinemainde หลายเดือนก่อน

      Aisee ngumi za siku hizi! Afadhali ya Lawi wa coastal union kubaki Tanga😅😅😅😅

  • @user-uf6ni7wn4u
    @user-uf6ni7wn4u หลายเดือนก่อน

    Mandoga kwer siku hizi anazalaulika hadi wenye vitambi kwer

  • @user-zq6nc2nf1g
    @user-zq6nc2nf1g 29 วันที่ผ่านมา

    Hii sio Boxing Match Ni Vitimbi au vichekesho tu

  • @chuxe-tz221
    @chuxe-tz221 หลายเดือนก่อน

    Jamaa bondia wa maneno 😂

  • @levocatuspjohn8638
    @levocatuspjohn8638 หลายเดือนก่อน +1

    Mandonga hapigi usoni anapiga kwenye tumbo 😂😂😂😂😂😂

  • @user-kv8sq6qz7g
    @user-kv8sq6qz7g หลายเดือนก่อน

    Tabora wanapenda sana michezo na kuna historia ya mabondia wazuri tu

  • @aminattai2676
    @aminattai2676 หลายเดือนก่อน

    Uyo wa tabora amevaa undersket ya mkewe

  • @petro8010
    @petro8010 หลายเดือนก่อน +3

    Mbona unasema salasini.......Ni thelathini

  • @mswakisaid2320
    @mswakisaid2320 หลายเดือนก่อน

    Ndonga boy pigwa bwana nifurahi mimi😂😂😂

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 หลายเดือนก่อน +2

    Mandonga habadiliki makosa yale yale kila siku.

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂mandoga kajiona masta

  • @LovelyFishingRod-ij7mk
    @LovelyFishingRod-ij7mk หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 mandonga na mimi namtaka

  • @OmasitaMangi
    @OmasitaMangi หลายเดือนก่อน

    Madonga atatoa. Mtu mimba

  • @HussainMaula-wr5co
    @HussainMaula-wr5co หลายเดือนก่อน

    Io mimba asije akajifungua ulingoni😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @aaaaaah290
    @aaaaaah290 หลายเดือนก่อน

    Namuona AFANDE Kwa mbali yupo kulinda AMANI ya Raia 😁😁

  • @coolruler6820
    @coolruler6820 หลายเดือนก่อน +3

    Kitambi si ishu kwenye ngumi,,,,Antony Joshua alikalishwa na Ruiz mwenye manyama uzembe ya kutosha ila ngumi jiwe,,,sema tu hapa Mandonga kapewa wa kusafisha jina baada ya vipondo mfululizo

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน +1

    HAWA NI WA KIMATAIFA KABISA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 UBINGWA WA DUNIA TZ

  • @petermwijage9882
    @petermwijage9882 หลายเดือนก่อน

    ivi boxing imeishiwa kbs wachezaji hadi kutuletea mandonga mchekeshaji

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 หลายเดือนก่อน

    Madonga ameingia na mbwe mbwe za kipepe😂😂

  • @itsmelatz
    @itsmelatz หลายเดือนก่อน

    Mbona kama mashabiki wanapenda mandonga akipigwa 😂😂😂😂🫡

  • @shabanially4081
    @shabanially4081 หลายเดือนก่อน +1

    Ngumi kama izi zishioneshwe mitandaoni inatutia aibu

  • @linimaarifa5009
    @linimaarifa5009 หลายเดือนก่อน +1

    Hili pambano ni la mchongo hakuna bondia hapa ni upigaji tuu

  • @spartachize122
    @spartachize122 หลายเดือนก่อน

    Mandonga apa anajiona IP man.... Wakati ametaftiwa bondia wa mchongo tu, ata anavyorusha ngumi unajua kabisa hamna fighter apo

  • @NeemaGhaule
    @NeemaGhaule หลายเดือนก่อน

    Sio ngumi za kumaanisha,
    Zilikuwa ngumi za kiuongo uongo.

  • @mollelyally5213
    @mollelyally5213 หลายเดือนก่อน

    Hakuna mahusiano Kati ya kitambi na ngumi au mazoezi samhong Ana kitambi lakini Mambo yake ni hatari Sana

  • @user-kn8zx5gz3g
    @user-kn8zx5gz3g หลายเดือนก่อน

    Sijaona kitu apoo😅

  • @williamchenjelu3838
    @williamchenjelu3838 หลายเดือนก่อน

    Nimewaonea huruma watoa viingilio... maana wangepigana tu hata mtaani...hamna ngumi hapo

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu หลายเดือนก่อน

    Mandonga hamna kituuuu jmn

  • @rayisadesigns2646
    @rayisadesigns2646 หลายเดือนก่อน +1

    HICHO KITAMBI ATAZAA LINI?!

  • @DoubleD-DmD
    @DoubleD-DmD หลายเดือนก่อน

    Kitambi bure kabisa😂😂😂

  • @allyopi6101
    @allyopi6101 หลายเดือนก่อน

    Shenzy sana😅

  • @ChrisUronu
    @ChrisUronu หลายเดือนก่อน

    Pipa namfuniko🤣🤣🤣

  • @JosephAdam-e9w
    @JosephAdam-e9w หลายเดือนก่อน

    Apa akuna bondia wote mikate aw ikitokea pambano lolote lakizaa wanitafte niwaoneshe uwezo wangu

  • @kimwerihamza4152
    @kimwerihamza4152 หลายเดือนก่อน +1

    Mandonga kajiokotea kimeo😂😂😂

  • @luckxoncharz4290
    @luckxoncharz4290 หลายเดือนก่อน

    Umeanza kutafuta mabondia waliostaf ngumi ili uwachakate

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 หลายเดือนก่อน +2

    Wamekutana wote wabovu

  • @JoshuaZebedayo-nd1oj
    @JoshuaZebedayo-nd1oj หลายเดือนก่อน +1

    Ivi mtu unatoa ela yako kabisa unaenda kuwangaria ujinga kama huu ngumi mbovu kabisaa

    • @ayububakari9942
      @ayububakari9942 หลายเดือนก่อน

      We unamaliza bando lako kuangalia huu ujinga

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony หลายเดือนก่อน

    bondia kitambi namna iyoo

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 หลายเดือนก่อน +1

    Mandonga hamna kitu hata mm napiga

    • @user-zy6vq6lz7z
      @user-zy6vq6lz7z หลายเดือนก่อน

      Kilo zako Zinaluhusu

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน +1

      ZINALUHUSU 😂😂😂

  • @KalebyHennry-ux7fj
    @KalebyHennry-ux7fj หลายเดือนก่อน

    Ndomana siendagi kuangalia uchiz huu s uchiz izo ni ngumi au ufala kabisa

  • @gichimujef8806
    @gichimujef8806 27 วันที่ผ่านมา

    Huu ni ujinga mtupu

  • @kensonyjulius5691
    @kensonyjulius5691 หลายเดือนก่อน

    Dulla vs Abdalah

  • @coolbz133
    @coolbz133 หลายเดือนก่อน

    Huyu sio mpiganaji hata jab hajui kulusa

  • @peterryzo5187
    @peterryzo5187 หลายเดือนก่อน

    Lina penda kushika ilo boya

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 หลายเดือนก่อน

    Haya ni maigizo!! Bondia ana Kitambi Kama mjamzito wa miezi Tisa!! Halafu eti Mandonga anashangilia ushindi wake wa point😅😅

  • @YohanSamol
    @YohanSamol หลายเดือนก่อน

    Mandonga ameaza kupigana na wajawazito

  • @japhethtituss2848
    @japhethtituss2848 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂

  • @user-yd3cj5xs1z
    @user-yd3cj5xs1z หลายเดือนก่อน

    Tembo wanapigana.

  • @ChristopherSeti
    @ChristopherSeti หลายเดือนก่อน

    Amejiokotea

    • @Until835
      @Until835 หลายเดือนก่อน

      😅

  • @MejaTz-pb8ur
    @MejaTz-pb8ur หลายเดือนก่อน

    Hh

  • @user-yd3cj5xs1z
    @user-yd3cj5xs1z หลายเดือนก่อน

    Pumbavu nyie

  • @user-ih4kw5eb3d
    @user-ih4kw5eb3d หลายเดือนก่อน

    Mandonga mtu kazi akipewa kichapo na batumbo adharani 😂😂😂😂

  • @aaronswai3092
    @aaronswai3092 หลายเดือนก่อน

    Huu ni upuuzi; hakuna mabondia hapa! Kuna wababaishaji tu! Wizi mtupu!

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 หลายเดือนก่อน

    Madonga apigweee...mm shabiki wake..

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 หลายเดือนก่อน +1

      UTOPOLO MWENZAKO 😂😂😂😂😂😂😂

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 หลายเดือนก่อน

      @@salimmalaka256 Hahaha na apigwe..