Daah sikutegemea kama iddi pialali nimzur namn hii dah mwanangu ww kwel ni world class level apo mwanangu ushaur wangu nend kwa manao champez akakuongezee mazoez ya power naww umpe skills zako zakutembea nakufanyanya maamuz ya haraka (counter puncher) na speed mkishea skills zenu iddipialali na mwakinyo nyie ni mabomdia bora san tz
Pialali, Mfaume , wote hawa hakuna profesheno boxer hapa, bado wana mapungifu wengi sana ktk upiganaji wao,,bado hawajajua muda muafaka wa kutupa left hook, right hook, upper cut, body punch, na bado hawajajua namna sahihi ya kufanya combination, na pia hawajajua namna ya kupiga ngumi za kumaliza pambano kwa usahihi,,,,,bado namuona Mwakinyo kama bondia Bora Tanzania maana anajua namna na kumshtukiza mtu na kufanya finishing yenye macho. Pongezi kwa Pialali ila bado anatakiwa kupata kocha sahihi apate mbinu za kukidhi uwezi wa kimataifa bila ya kutia shaka
Mungu akuzidishie pialali ufk kua binge w dunia❤
Daah sikutegemea kama iddi pialali nimzur namn hii dah mwanangu ww kwel ni world class level apo mwanangu ushaur wangu nend kwa manao champez akakuongezee mazoez ya power naww umpe skills zako zakutembea nakufanyanya maamuz ya haraka (counter puncher) na speed mkishea skills zenu iddipialali na mwakinyo nyie ni mabomdia bora san tz
Hongera sana kwa ushindi Simba.Umenikumbusha mbali sana.Kwa Hayati Mashali umelitendea haki jina la champion
Pialali upo vzr na speed unayo pambano lijalo naomba unionyeshe mabadiliko kwenye finish najua mfaume akuwezi kabisa
Mfaume mashauzi mengi pialali kaz kaz
❤❤❤🎉🎉🎉pialali wamoto mfeum hatoshi
Dah mm katika mabondia uyo mfaume simuelewagi
Pialali strong boxer,style yake ya movement safi sana
Pialali ni wa moto sana mfaume ajiangalie sana
Kacheza vizur pialali 🎉🎉🎉
Safi sana kaka
👊👊pialali kacheza ngumi
HUYU ndiyo bondia sio yule Cha maneno MBOFU MBOFU
Pialali kacheza vizuri
Kuna watu hamjui ngumi
Mbona lound ya 3 imeisha wamenyamaza
Pialali ni hatali Sana ndomana Kila cku mfaume mfaume Ana kimbia kimbia
Bondia WA mchongo sio professional boxing
Pialali hana uwezo wa kumpiga mfaume kwa pambano hili
Mfaume anajua ngumi kuliko pialali
Ngoyi âme humwa
Mfaume bondia wa mtandaoni
Hii game ilifaa iishie round ya pili
Mfaume kimbiaaaaaa shosti wee
Chino ni bora kuliko mfaume
Pialali, Mfaume , wote hawa hakuna profesheno boxer hapa, bado wana mapungifu wengi sana ktk upiganaji wao,,bado hawajajua muda muafaka wa kutupa left hook, right hook, upper cut, body punch, na bado hawajajua namna sahihi ya kufanya combination, na pia hawajajua namna ya kupiga ngumi za kumaliza pambano kwa usahihi,,,,,bado namuona Mwakinyo kama bondia Bora Tanzania maana anajua namna na kumshtukiza mtu na kufanya finishing yenye macho. Pongezi kwa Pialali ila bado anatakiwa kupata kocha sahihi apate mbinu za kukidhi uwezi wa kimataifa bila ya kutia shaka
Kama ndio hivi mfaume mfaume lazima akukimbie kazi kazi sio mdomo, umezihirisha unaweza
Mfaume hanna uwezo
Pialali badodeni kwa Mfaume
Piarary ame jiokotea
Amna kitu apo..bwanga anamuua pialali
Iddy apewe mwakinyo ampasue
Fund pialal
He was sick for what reason he don't fight well
ndmaan mfaum anamkimbia kla sku