Uyui Media
Uyui Media
  • 1 166
  • 694 983

วีดีโอ

SHEIKH AKUTWA NA TUHUMA ZA UDANGANYIFU WA KURATIBU NDOA KWA WANANDOA KUOANA KWA MARA NYINGINE
มุมมอง 13912 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SHEIKH AKUTWA NA TUHUMA ZA UDANGANYIFU WA KURATIBU NDOA KWA WANANDOA KUOANA KWA MARA NYINGINE
BONDIA ABDUL ZUGO AZUNGUMZA BAADA YA KUMCHAPA TKO RAMADHAN ALLY / MWAKINYO ATAJWA
มุมมอง 26419 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#abdulzugo #mandonga
MANDONGA "NILIJUA TABORA KIJIJI FULANI/NILIKUA NAISIKIA KWENYE BOMBA"
มุมมอง 5K19 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#mandonga
DKT. BITEKO AKABIDHI KOMPYUTA KWA WAKULIMA WA ALLIANCE ONE ILI KUBORESHA UTENDAJI KATIKA VYAMA VYAO
มุมมอง 5421 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#biteko
MTITI WA MANDONGA NA BONDIA KUTOKA TABORA ABUU BASTER / WAZICHAPA ROUND NNE
มุมมอง 29K21 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#tabora #mandonga #bondia
TAZAMA BONDIA ABDUL ZUGO ALIVYOMZIMISHA RAMADHAN KWA TKO./ ATOLEWA ULINGONI NA MACHELA
มุมมอง 10K21 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#zugo #bondia #tabora
N.WAZIRI BITEKO AWATETEA MAAFISA USHIKA "KIMEGEUKA KUWA CHEO CHA WATU WALIOPEWA ADHABU"
มุมมอง 122วันที่ผ่านมา
N.WAZIRI BITEKO AWATETEA MAAFISA USHIKA "KIMEGEUKA KUWA CHEO CHA WATU WALIOPEWA ADHABU"
SAID NKUMBA "SITAKI NONGWA NA MTU YOYOTE SASAHIVI/TUKIKUTANA TUSALIMIANE"
มุมมอง 139วันที่ผ่านมา
#ccm #tabora
SHANGWE LA WAJUMBE BAADA YA MATOKEO YA M/KITI NDUGU SAID NKUMBA KUSHINDA KWA KISHINDO
มุมมอง 77วันที่ผ่านมา
#ccm #tabora
DC KATWALE AWAPA KAZI WASOMI "TUNAHITAJI TEKNOLOJIA MPYA ITAKAYONUSURU MAZINGIRA"
มุมมอง 3514 วันที่ผ่านมา
#tabora #mazingira #tumbaku
DC TABORA "SISI TABORA USHIRIKA NI MAISHA YETU/HATUWEZI KUACHA KUMSHUKURU RAIS SAMIA"
มุมมอง 10314 วันที่ผ่านมา
#tabora #ushirika
NAIBU SILINDE AELEKEZA TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA KUANZISHA VYAMA KTK SEKTA NYINGINE ZA KIUCHUMI
มุมมอง 4614 วันที่ผ่านมา
Tume ya maendeleo ya Ushirika kwa kushirikana na wadau wengine imeagizwa kuhamasisha uanzishwaji wa vyama vya ushirika katika sekta zingine ukiziacha na kilimo na fedha ambazo zimepiga hatua kubwa. Akifungua maadhimisho hayo ,Naibu Waziri Silinde anapongeza Tume ya maendeleo ya ushirika kwa jitihada zake katika kuendeleza vyama vya ushirika ambapo asilimia 84 vipo katika sekta za kilimo na fedh...
M/KITI UVCCM SENETI AWATAKA WANACHUO TUMBI KUTAFUTA FURSA MBALI MBALI WAKIWA CHUONI
มุมมอง 7214 วันที่ผ่านมา
Mwenyekiti wa UVCCM Seneti Mkoa wa Tabora amewataka Wanachuo wa Chuo cha Kilimo TUMBI kutafuta Fursa mbali mbali wakiwa Chuoni ili kuwatengenezea nafasi ya kujikwamua kiuchumi pindi wanapomaliza Chuo. #tumbi #tabora #uvccm
ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA JIMBO LA TABORA KASKAZINI BUNGENI DODOMA KWA MWALIKO WA MHE. MBUNGE
มุมมอง 13021 วันที่ผ่านมา
ZIARA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WA JIMBO LA TABORA KASKAZINI BUNGENI DODOMA KWA MWALIKO WA MHE. MBUNGE
"MSIMU UJAO TUKIONA WACHEZAJI WANAZAGAA TUTAWAKAMATA" MEYA MANISPAA YA TABORA
มุมมอง 10421 วันที่ผ่านมา
"MSIMU UJAO TUKIONA WACHEZAJI WANAZAGAA TUTAWAKAMATA" MEYA MANISPAA YA TABORA
NASAHA ZA RC CHACHA "HUWEZI KUFANYA MAZOEZI/USIKU UKAKESHA BAA/NATAKA TUJENGE TIMU YENYE NIDHAMU"
มุมมอง 33221 วันที่ผ่านมา
NASAHA ZA RC CHACHA "HUWEZI KUFANYA MAZOEZI/USIKU UKAKESHA BAA/NATAKA TUJENGE TIMU YENYE NIDHAMU"
RC CHACHA AWAKABIDHI MILIONI 50 TABORA UNITED / AWAPONGEZA VIONGOZI NA WACHEZAJI
มุมมอง 25321 วันที่ผ่านมา
RC CHACHA AWAKABIDHI MILIONI 50 TABORA UNITED / AWAPONGEZA VIONGOZI NA WACHEZAJI
MAGUNIA 10 YA BANGI YACHOMWA MOTO HADHARANI / DC MWANSASU AELEZEA OPARESHENI YA UKAMATAJI
มุมมอง 4728 วันที่ผ่านมา
MAGUNIA 10 YA BANGI YACHOMWA MOTO HADHARANI / DC MWANSASU AELEZEA OPARESHENI YA UKAMATAJI
TFS UYUI WAPEWA MAAGIZO MAZITO /MAGARI 5 YADAKWA YAKIWA NA MAZAO YA MISITU KINYUME NA UTARATIBU
มุมมอง 5328 วันที่ผ่านมา
TFS UYUI WAPEWA MAAGIZO MAZITO /MAGARI 5 YADAKWA YAKIWA NA MAZAO YA MISITU KINYUME NA UTARATIBU
DC MWANSASU "TUSIKAE NA FEDHA KWA KUZIFUKIA NDANI/NMB WAMEUPIGA MWINGI WAPO KWETU UYUI"
มุมมอง 6528 วันที่ผ่านมา
DC MWANSASU "TUSIKAE NA FEDHA KWA KUZIFUKIA NDANI/NMB WAMEUPIGA MWINGI WAPO KWETU UYUI"
ZILIKUA NI DAKIKA 90 ZA JASHO NA DAMU/MASHABIKI WA TABORA SIO WAKOROFI - CHRISTINA MWAGALA
มุมมอง 107หลายเดือนก่อน
ZILIKUA NI DAKIKA 90 ZA JASHO NA DAMU/MASHABIKI WA TABORA SIO WAKOROFI - CHRISTINA MWAGALA
SAID MBATI "MECHI ILIKUA NGUMU/TUMEFANYA WALICHOTUTUMA" NAHODHA WA TABORA UNITED
มุมมอง 95หลายเดือนก่อน
SAID MBATI "MECHI ILIKUA NGUMU/TUMEFANYA WALICHOTUTUMA" NAHODHA WA TABORA UNITED
AHADI YA ISMAIL RAGE KWA TABORA UNITED "WATAPATA MDHAMINI WA KISHINDO"
มุมมอง 564หลายเดือนก่อน
AHADI YA ISMAIL RAGE KWA TABORA UNITED "WATAPATA MDHAMINI WA KISHINDO"
VIBE LA MASHABIKI WA TABORA UNITED BAADA YA USHINDI WA BAO 2 DHIDI YA TIMU YA BIASHARA UNITED
มุมมอง 499หลายเดือนก่อน
VIBE LA MASHABIKI WA TABORA UNITED BAADA YA USHINDI WA BAO 2 DHIDI YA TIMU YA BIASHARA UNITED
WAZAZI NA MAKAMPUNI YA TUMBAKU WAPEWA ONYO KUWATUMIKISHA WATOTO KUSHIRIKI UZALISHAJI WA TUMBAKU
มุมมอง 58หลายเดือนก่อน
WAZAZI NA MAKAMPUNI YA TUMBAKU WAPEWA ONYO KUWATUMIKISHA WATOTO KUSHIRIKI UZALISHAJI WA TUMBAKU
KAMPUNI YA ALLIANCE ONE YAWALIPA WAKULIMA WA TUMBAKU ZAIDI BILIONI 100
มุมมอง 131หลายเดือนก่อน
KAMPUNI YA ALLIANCE ONE YAWALIPA WAKULIMA WA TUMBAKU ZAIDI BILIONI 100
WAZIRI MCHENGERWA "TUTAZINDUA TIMU ZA TAIFA ZA VIJANA"
มุมมอง 31หลายเดือนก่อน
WAZIRI MCHENGERWA "TUTAZINDUA TIMU ZA TAIFA ZA VIJANA"
RC CHACHA "ATAKAE CHEZEA MTOTO WA SHULE AWE AMEJIANDAA KUTUMIKIA MIAKA 30 JELA"
มุมมอง 69หลายเดือนก่อน
RC CHACHA "ATAKAE CHEZEA MTOTO WA SHULE AWE AMEJIANDAA KUTUMIKIA MIAKA 30 JELA"
WAZIRI MKUU AWAOMBEA TABORA UNITED WASHINDE MECHI YAO NA BIASHARA "VINGINEVYO MTAANZA UPYA"
มุมมอง 110หลายเดือนก่อน
WAZIRI MKUU AWAOMBEA TABORA UNITED WASHINDE MECHI YAO NA BIASHARA "VINGINEVYO MTAANZA UPYA"

ความคิดเห็น

  • @user-nq2np6de6l
    @user-nq2np6de6l 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Liver punch

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Madonga ameingia na mbwe mbwe za kipepe😂😂

  • @SalomeGendo-z7y
    @SalomeGendo-z7y วันที่ผ่านมา

    Nzur

  • @osmundmtavangu
    @osmundmtavangu 2 วันที่ผ่านมา

    Huyo bondia atakuwa ni baba ntilie sio kwa kitambi hicho!😅😅

  • @user-ex1cm1ks8k
    @user-ex1cm1ks8k 2 วันที่ผ่านมา

    Serkali kwnn isimwajri mandonga kwenye mambo mengine Hadi aje kufa mndio iridhike😅😅😅

  • @petermwijage9882
    @petermwijage9882 3 วันที่ผ่านมา

    ivi boxing imeishiwa kbs wachezaji hadi kutuletea mandonga mchekeshaji

  • @mollelyally5213
    @mollelyally5213 3 วันที่ผ่านมา

    Hakuna mahusiano Kati ya kitambi na ngumi au mazoezi samhong Ana kitambi lakini Mambo yake ni hatari Sana

  • @iddybunga9884
    @iddybunga9884 3 วันที่ผ่านมา

    Records hii inatk kumuua mtu

  • @aaaaaah290
    @aaaaaah290 3 วันที่ผ่านมา

    Namuona AFANDE Kwa mbali yupo kulinda AMANI ya Raia 😁😁

  • @Yasini-zi6tu
    @Yasini-zi6tu 3 วันที่ผ่านมา

    Huyo jamaa alozimia hakuwa bondia kabisa

  • @user-ow4vj2lw8r
    @user-ow4vj2lw8r 3 วันที่ผ่านมา

    Hamkupaswa kuonyesha hichi kipande cha huho bondia kuzimia

  • @spartachize122
    @spartachize122 4 วันที่ผ่านมา

    Mandonga apa anajiona IP man.... Wakati ametaftiwa bondia wa mchongo tu, ata anavyorusha ngumi unajua kabisa hamna fighter apo

  • @DavalsonMarlony
    @DavalsonMarlony 4 วันที่ผ่านมา

    bondia kitambi namna iyoo

  • @levocatuspjohn8638
    @levocatuspjohn8638 4 วันที่ผ่านมา

    Mandonga hapigi usoni anapiga kwenye tumbo 😂😂😂😂😂😂

  • @hamishassan6784
    @hamishassan6784 4 วันที่ผ่านมา

    Mh mbona kama sijapenda mtu anapigwa kwenye chogo

  • @DoubleD-DmD
    @DoubleD-DmD 5 วันที่ผ่านมา

    Kitambi bure kabisa😂😂😂

  • @NeemaGhaule
    @NeemaGhaule 5 วันที่ผ่านมา

    Sio ngumi za kumaanisha, Zilikuwa ngumi za kiuongo uongo.

  • @FikiriMgonanze
    @FikiriMgonanze 5 วันที่ผ่านมา

    Zugo siyo levo yake huyo jamaa jamaa kakubali kwasababu ya pesa tuu mana majukumu nayo

  • @user-kn8zx5gz3g
    @user-kn8zx5gz3g 5 วันที่ผ่านมา

    Sijaona kitu apoo😅

  • @Chalazatz
    @Chalazatz 5 วันที่ผ่านมา

    Mbona kama mashabiki wanapenda mandonga akipigwa 😂😂😂😂🫡

  • @DavidNdaha
    @DavidNdaha 5 วันที่ผ่านมา

    Hajui ngumi jamaa mrefu

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 6 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂mandoga kajiona masta

  • @user-kv8sq6qz7g
    @user-kv8sq6qz7g 6 วันที่ผ่านมา

    Tabora ni mji mkubwa pazuri

  • @mswakisaid2320
    @mswakisaid2320 6 วันที่ผ่านมา

    Ndonga boy pigwa bwana nifurahi mimi😂😂😂

  • @kensonyjulius5691
    @kensonyjulius5691 6 วันที่ผ่านมา

    Dulla vs Abdalah

  • @godfreyjacob113
    @godfreyjacob113 6 วันที่ผ่านมา

    Ukiweka laki 5 kwa miak 2 faid ni 85,500 ndio faida utakayo pata😅

  • @aminattai2676
    @aminattai2676 6 วันที่ผ่านมา

    Uyo wa tabora amevaa undersket ya mkewe

  • @williamchenjelu3838
    @williamchenjelu3838 6 วันที่ผ่านมา

    Nimewaonea huruma watoa viingilio... maana wangepigana tu hata mtaani...hamna ngumi hapo

  • @raymondkihaka1827
    @raymondkihaka1827 7 วันที่ผ่านมา

    Mandonga

  • @ChristopherSeti
    @ChristopherSeti 7 วันที่ผ่านมา

    Amejiokotea

  • @HussainMaula-wr5co
    @HussainMaula-wr5co 7 วันที่ผ่านมา

    Io mimba asije akajifungua ulingoni😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @BUZAFILAM
    @BUZAFILAM 7 วันที่ผ่านมา

    th-cam.com/video/fR6g5PpWoYo/w-d-xo.html

  • @ChrisUronu
    @ChrisUronu 7 วันที่ผ่านมา

    Pipa namfuniko🤣🤣🤣

  • @user-ms1xg1fp4v
    @user-ms1xg1fp4v 7 วันที่ผ่านมา

    Jambo la Hatari sana maana ni uwezo tofauti sana

  • @husseinshamte7129
    @husseinshamte7129 7 วันที่ผ่านมา

    Yani mtu kazima alafu MC anapiga kelele na mashiki wanapuliza Mavuvuzela Alafu madokta wanatazama tu

  • @aaronswai3092
    @aaronswai3092 7 วันที่ผ่านมา

    Huu ni upuuzi; hakuna mabondia hapa! Kuna wababaishaji tu! Wizi mtupu!

  • @user-yd3cj5xs1z
    @user-yd3cj5xs1z 7 วันที่ผ่านมา

    Tembo wanapigana.

  • @user-yd3cj5xs1z
    @user-yd3cj5xs1z 7 วันที่ผ่านมา

    Pumbavu nyie

  • @coolbz133
    @coolbz133 8 วันที่ผ่านมา

    Huyu sio mpiganaji hata jab hajui kulusa

  • @KalebyHennry-ux7fj
    @KalebyHennry-ux7fj 8 วันที่ผ่านมา

    Ndomana siendagi kuangalia uchiz huu s uchiz izo ni ngumi au ufala kabisa

  • @user-kv8sq6qz7g
    @user-kv8sq6qz7g 8 วันที่ผ่านมา

    Tabora wanapenda sana michezo na kuna historia ya mabondia wazuri tu

  • @YohanSamol
    @YohanSamol 8 วันที่ผ่านมา

    Mandonga ameaza kupigana na wajawazito

  • @bakomungia9809
    @bakomungia9809 8 วันที่ผ่านมา

    Kimchezo mlitakiwa icho kipande alichozimia mpaka kutolewa na kitanda ilikua msikionyeshe

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 8 วันที่ผ่านมา

    Comitee xa boxing na chama cha boxing mnatakiwa muwe serıously na huu mchezo ili kukuza mchezo . Otherwise mtaharibu Tasnıa ya mchezo Tz , Kwanza kwa kumuamgalia tu jamaa hakuwa fresh kanşa ya mchezoo.

  • @TimbiloSaid-qc5bs
    @TimbiloSaid-qc5bs 8 วันที่ผ่านมา

    Kaka bondia anakitambi vile 😂😂

  • @user-ih4kw5eb3d
    @user-ih4kw5eb3d 8 วันที่ผ่านมา

    Mandonga mtu kazi akipewa kichapo na batumbo adharani 😂😂😂😂

  • @Abdulrahmaniluhumba-kf6sd
    @Abdulrahmaniluhumba-kf6sd 8 วันที่ผ่านมา

    Amna kitu apo wanaruka ruka tu

  • @suleimanchambul1633
    @suleimanchambul1633 8 วันที่ผ่านมา

    JAMAN NAOMBEN KULIA SWALI, WANAANGALIA KIGEZO CHA UZITO TU ILI KUJUA MTU ANAUWEZO WA KUPIGANA NA FLAN AU NI KIP KIGEZO KINGINE.....

  • @peterryzo5187
    @peterryzo5187 8 วันที่ผ่านมา

    Lina penda kushika ilo boya

  • @kimwerihamza4152
    @kimwerihamza4152 8 วันที่ผ่านมา

    Mandonga kajiokotea kimeo😂😂😂