EXCLUSIVE: MJUE "STEPHEN WASIRA" MBUNGE MLALAVI NA (BONDIA) ALIKUWA WAZIRI MSOMI TANZANIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @Machela-pj9cv
    @Machela-pj9cv 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kazi mzuri bro nakubali

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  2 หลายเดือนก่อน +2

      Shukrani 💪👊👊

  • @selestinislaa3960
    @selestinislaa3960 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wasira ni mtu wa haki na Bado kamati kuu ya CCM endapo itamteua kuwa mm ,mwenyewekiti CCM Taifa CCM itakuwa imempata mtu imara haswa kwa mda huu asanteni sana

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  2 หลายเดือนก่อน +1

      🇹🇿

  • @VedastusMtesigwa
    @VedastusMtesigwa หลายเดือนก่อน +1

    Mbona Historia yake ya kuamia vyama ya upinzani hujasema au Umetumika tu kumuondolea heshima yake ?

  • @DudddyWhyCant
    @DudddyWhyCant 2 หลายเดือนก่อน +1

    Maoni yangu, nakupongeza sana, hujakosea hata kidogo, Wassira ni Mzalendo sana. Mwana kwetu

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 2 หลายเดือนก่อน +1

    Anazeeka Akiwa Anachapa Kazi Kama Ni Bata Atakula Mbele Za Mungu Mali Alizonazo Sio Bata Kwake

  • @AyubonapundaNapunda
    @AyubonapundaNapunda 2 หลายเดือนก่อน +2

    Namkubali mzee wasira

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  2 หลายเดือนก่อน +1

      🤝

  • @mazartajmohamed1437
    @mazartajmohamed1437 2 หลายเดือนก่อน +3

    Wasira ni hazina ya taifa tuendelee kumtumia wasira kutokana na busara zake

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  2 หลายเดือนก่อน +1

      🤝🤝🤝

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mwache asinzie tu kwasabu alifanya mjukumu makubwa na umrimdogo alibemendwa na mjukumu mkubwa kushinda umri

  • @petermasanilo732
    @petermasanilo732 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe mtangazaji unadanganya sengerema Iko geita?

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  2 หลายเดือนก่อน +1

      😢😢

  • @FidelisRaphael-b5k
    @FidelisRaphael-b5k 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee wetu nimchapakazi sana

  • @rahmazahor4333
    @rahmazahor4333 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani kafa?

  • @msoveicgaspernoic2986
    @msoveicgaspernoic2986 2 หลายเดือนก่อน

    Aloooh amepitia mengi mzee

  • @SeveriniTemu
    @SeveriniTemu 2 หลายเดือนก่อน

    Acheni uhuni kutuma picha za mzee amelala. Aliyoyanyia. hili taifa aheshimiwe .rudini kwenye vtaabu vya dini aliona utupu wa baba yake akiwa amelewa akamcheka alilaniwa yule. Mwingine. Alichukua. Nguo na kwenda kinyumenyume na kufunika utupu wa baba yake alibarikiwa

  • @SAHILSHAABAN
    @SAHILSHAABAN 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mtalamu wakulala bungeni😂😂😂

  • @emmanuelelisha173
    @emmanuelelisha173 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwanini hujasema kama aliwahi kuihama ccm?Na alipogombea ubunge jimbo la Bunda alishinda uvhaguzi kupitia ticket ya Nccr mageuzi akimshinda Warioba.Kama kawaida alipokonywa na kesi ikaenda mahakamani baada ya hapo uliitishwa uchsguzi mwingine na alichaguliwa Mbunge Canal Msataafu Thomas Laban Makunenge.Wakati huu mtu aliyegombea upinzani alikuwa Makongoro Nyerere.

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amefanana kwa%97na 😢😮😅😅😅😅😅😅😅😅🎉😢

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian 2 หลายเดือนก่อน +1

    Nae ni binadamu au ni mtu au ni kiumbe

  • @ezekielmajura7161
    @ezekielmajura7161 2 หลายเดือนก่อน +1

    Utaji mkoa gan

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  2 หลายเดือนก่อน +1

      Alipozaliwa?