Kuna watu wanamachungu hapa sana Ndugu paulo he who began a good eork in you will carry to completion. Mungu akubariki na akupe hekima na afya uzidi kumtumikia
Hallelujah❤ hallelujah❤ hallelujah ❤hallelujah hallelujah❤ hallelujah hallelujah ❤hallelujah hongera wa jina tutulie kwa YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI AMBAYE NDIYO NJIA YA KWELI NA UZIMA!! Achana na Wasujudia Al hajar Al aswad
Huyu alitoka kwenye uislamu akaingi ukristo akaona anapotea manake haki anaijua akarudi kwenye uislamu. Alipoona uislamu njaa sadaka hazitoshi akarudi tena kwenye ukristo. Nakuwekea video yake ya aliyoyasema wakati anarudi kwenye uislamu kabla hajakimbia tena kufuata hela za sadaka.
@@Juniorjacob-le1rringia youtube aliyekuwa mwalimu wa ndacha arudi kwenye uislamu sikia sababu zake za kuingia kwenye UKIRISTO acha ushabiki wa kipumbavu
SAWA ALLAH AKUTUPIE MOTONI SUBIRI UFE WE UKIACHA UISLAMU WATU WANAINGIA SANA TU WEWE MMOJA UNATOKA WANAINGIA MILIONI WENGINE MPAKA WEWE UNAYEABUDU SANAMU UNAONA WIVU
Paulo,namkubali sana huyu jamaa asa usomaji wake kwenye midahalo ni mtu majini sana,ashukuliwe mungu jamaa alishtukia uongo wa uislamu kaamua kufata njia ya kweli na uzima
Jamani waslamu wanakela eti jitu linauliza eti mariamu ni mke wa mungu Jamani bora uulizwe na kichaa kuliko mtu unamuona anaakiri harafu ndio swali kakuuliza hilo ningoja sasa nitakavyojibu kwa moto wa Roho mtakatifu mtu anakimbia amaaaaa
@@halidimgonza5945 Sasa koran kwa waganga wa tunguli n.k inafanya Nini? Majini ya suratul al Jini 72 Yana kazi gani ktk Uislamu? Uislamu ni uchawi na ushetani, kimbia majini, Yesu atakulinda, Kwa Sasa we ni mbwa tu, chakula cha majini, ngoja yakunyonye damu
@@Blessedboi8019 SIYO MAJINI KUNA MASHETANI MENGI SANA MAKANISANI KAMA HAYAPO MNAKEMEA NINI 😄 🤣 UNAJIAIBISHA BORA UKAE KIMYA MNAKATA VIUNO KANISANI NI IBADA HIYO ?MBELE KUNA SANAMU LIKO MSALABANI NA MATAKO WAZI NI IBADA HIYO?YAANI UKIZUNGUMZIA UKIRISTO BORA KUNYAMAZA NI UTUMBO
ee waha waislamu mna machungu,sababu hamjui ile kweli, Paul Hasan Amechagua, usima wa Milele ,nawaislamu kachagua jeanamu, sasa swali Paul Hasan, na waislamu ninani ako,afadhali? majibu( ni Paul Hasan)🙏🙏💯
@@AgnesKasayaMigiro kachagua kitu gani mbona husemi?kama ni UKIRISTO lete andiko BIBLIA YAKO HIYO HIYO WAPI IMESEMA CHAGUENI UKIRISTO?AU UNATUNGA MANENO BILA MWELEKEO?
Acheni uongo nyinyi amkua waislamu ni bendera fata upepo, kama mlikua amjsoma dini yenu, ndo wale ambao hata moja ulijui, na kama kweli ntauliza maswali ma 3 ukijibu ntaamini kua nyinyi mlikua waislamu.
Hata ukiuacha uislam so kwamba ndo uislam utapotea lakin umeenda njia si sahihi unaenda kuabudu kiumbe yesu ana sema anaend zake kwa mungu wake ambae nimungu wenu.unakuw na akili gn kumuita yesu nimungu
huyo mpiga hela tu kama yule mganga wa kongo huyu kunazo video zake aliritadi afu akarudi uislamu na akaponda ukirsto akaomba samahani kwa kupotea leo karudi tena ukirsto aliko dai ilikua sababu ya maisha sahii amerudi huko anaponda uislamu kwa ufupi huyu ni mnafiki sana
@@salehrwigemagisa81ni kweli uyuu jamaa ajielewi alirudi na Mke wake katika uwislamu kabisa na kudai ni njaa tu tena leo eti amekua mkrsto 🤔 Duh uyuu Zaid ya Firauni laana tu Allah
Uislamu kwa jina si mbaya lakini kwa kumkataa Yesu na kutamani utumwa, yaani kuendelea kuamini matendo yatawapa wokovu na kusamehewa dhambi, hapo wamekosea, wamekumbatia utumwa ,wakakataa uhuru ambayo ni zawadi ya Mwenyezi Mungu, Mungu aliwapa WaIsraeli Sheria 613, ila walishindwa kuzitimiliza zote, na kwa Sheria ya Mungu, ukivunja tu Sheria Moja, umevunja Sheria zote , ndio maana Mwenyezi Mungu akaleta njia ya Kuwasamehe wanadamu wote dhambi zao, Bora tu waamini hio njia, Sasa Mtu anayekataa njia ya Mungu , na kuchagua kuamini matendo yake, ambayo hayawezi timiliza utimilivu wa Sheria, yu kwenye njia ya Mauti
Imbwa ww tuskilize tubdil Imani unaaamaana kutubadilisha Imani ya Allah umoja Mavi yako umbwa ww ufe hata Leo huna maana Dunian Tena ufe una teseka ufe una hangaika roho ukachomwe motoni inshaallah allahu nikubaliy Duan amin amin amiin
Hakika uyo.....Mungu afanyie katima yake au MWISHO wake iwe mwema.....si Uyu amejitakia moto wa Jahanam.... Ni anaongea uwongo huku Abu huraira jina lake kamili ni Abdurahman ibn sakhr siyo Adousi uyu ni mtu mwingine tofauti....
Hujatoa point nzuri kueleza kivipi uislam hauna mafundisho mazuri kama wakristo ama waona makatazo yakislam ni mengi na ww unataka ufanye unavotaka na imekuzuia uliposoma uliona ngumu sana sabab ulikuwa na mipango yako yakidunia
Wacha ushabiki fanya utafiti,Ni nabii Gani mafundisho yake yametafautiana Na manabii wengine isipokua Muhamad,manabii Na mitume hawakua Na tofauti waliubiri ujumbe mmoja.
Kuna watu wanasema huyu ni muongo kuna watu wanaamini ukweli ni ule wanaujua wao au wanachokiamini wao leo kuna watu wanamtumikia shetani kama Mungu wao lkn ukiwafuata na kuwaambia wanapotea wanaona wewe ndio umepotea usitake unachokiamini wewe ndio uwe ndio ukweli haya mambo ya imani tunapaswa kusoma na kuelewa
Hayo mapepo kila siku mna yatoa kanisani Sasa Nani wenye majini. Na pia hata walipo muona yesu pepo wachafu wali mwambia ww yesu NI mwana wa mungu. Kwahiyo yeyote anae sema yesu ni mwana wa mungu ndugu zake ni mapepo.
Allah nishetani sio mungu ndo mana muhamad alibanwa mbavu adi akalia akilazimishwa asome wakati hajui kusoma ivi mungu wa kweli anaweza asijue kiumbe chake kama kinajua jambo au hakijui? YESU ANAKUJA OLE WAKO UNAEMKATAA NA KUMPINGA
Innalillahi wainnailaihi rajiun Namkumbusha laatansa lmautaa fainna lmauta laa yansaa Maisha ya akhera ni bora kwenu kuli tamaa za kidunia. Ujuwe utakufa utake usitake Utaenda mbele ya mola wako.
Yaan simulizi umekosa cha kufanya mpaka unamhoji huyu taahira aliyepinda akili mpaka meno yake.Anahangaika na dunia.Yaan ningekuzaa mimi ningekuchinja kwa mkono wangu ukawahi kuungua haraka.Nendeni kwa ustadh Shafii mkajionee utaahira wake ambao ALLAH anamuadhibu akiwa hapa hapa duniani tunamuona
Upofu wa nafsi ni mbaya sana. Tazama wanasayansi leo wanavyosilimu kwa mwingi ulimwenguni na kuiamini quran.kwa kufanya research mbali mbali .lakini tazama huyu ameuacha uislam kwa thamani ndogo innalillahi wainna ilaii rajul. Waislam tuombe mwisho mwema. Tusije tukapotes kama huyu ndugu yetu alioingia kwenye ukafir
Sikuzote katika maisha ya kawaida kuna original na feki.... icho kitabu Chao kinajaribu kufanana lakini ni feki kama ilivyo pesa huwa ni feki na original... Ndugu Biblia tu inatosha...
wazungu wanasema "if u change the way u look at things, the things u look at CHANGE" sasa ww kama umeamua kubasilisha mtazamo wako juu ya uislam na kuamua kuona kitu sahihi kama vile sio sahihi basi endelea ila ukumbuke kuna siku u will stand infront of ALLaH 🥺 yan adi huruma 🤦♂️
😊unaweza soma nakujiona msomi lakini hujafahamu na imani na iylm au elimu vitu viwi tofauti, kisha mwz mugu kasema usimlazishe mtu katika dini, hilo ndio chaguo lako nafsi kiza kinene anae yajua ndaniyako mwz mungu ila mwz mungu kashawajua watu aina kama wewe kasema! Msiuze aya zake kwa thama ndogo ndio wewe nawezio kama wewe inshalla mwz mungu akuongoze
Ukristo na Kristo Yesu NDIYO dini ya kweli soma 1Yohana5:19.Mwislam unayesema hapa jitafakari kama aliyesomea UISLAM MPAKA levo ya degree amegudua dini ya kweli ni Ukristo.
Huyu alipewa ahadi na Ndacha kuwa atapelekwa inje ya AFRCA ili aweze kubadilisha maisha yake badaaye alipoona amedanganywa akarudi uislamu kutopewa pesa akarudi Mara ya pili ukristo kwahio huyu bwana ni njaa inamusumbua hata alihandika vitabu vingi vya kuharibu kujaribu kuchafua uisilamu
Wewe hujawahi kuwa muislam ni mnafiki kabisaaaa hata kuita Qur'an huwezi Ni mwislam Gani stop to act,wewe Ni mkristo ulieenda kujifunza Qur'an lkn hukuwa mwislam,WaPo wengi waislam wahivyo wanaojifanya,ngoja siku ya kufa utakijua kilichomtoa kanga manyoya dadadek
Kabisaa bro uyuu jamaa ywanikera sanaa...kuna vdeo kafnya na mkewe eti wamerudi katika uwislamu kisa wamejua ukweli sasa leo tena naona andai yeye ni mkrsto duh Uyuu Firauni laana tu Allah
You are right young man.May Almighty God bless you so much for preaching the truth.Glory belongs to Jesus Christ of the Bible
Usabato ndio IMANI ya kweli. Hongera kwa kufanya maamuzi hayo. Hongera kwa kujiunga na imani ya kweli
Tupo wengi tulioona Nuru ya Kristo kwa neema..Mungu ni mwema sana.
@@HadijaHsalehe-z4k Karibu kwa Kristo Yesu maana ndie njia ,kweli, na Uzima wa Milele💯🙏🙏🌹
Hongera kaka ni ngumu sana kubadili hiyo njia na kuingia katika Ukristi bila ya msaada wa Mungu. Hii ni Neema tu , Uislam unapoteza wengi mno
Thank you for your teaching and telling the world the truth about Jesus Christ and Muhammad
Mungu akulinde ndugu katika kweli hiyo tuko pamoja katika kazi pia wote tulikuwa uko
Tuko wengi tuliona Nuru ya Kristo kwa neema.
Kuna watu wanamachungu hapa sana
Ndugu paulo he who began a good eork in you will carry to completion. Mungu akubariki na akupe hekima na afya uzidi kumtumikia
Thanks baba you guys have pushed us to real truth and understanding of both faiths
Hongera ndugu yangu Kwa kufunuliwa na mungu mwenyewe ukweli huo.
I love you so much Paul napenda kazi Yako sana
Nimeukukubali Sana Kaka yaani umeongea kweli kabisa Mungu akubariki Sana
Uzima wa milele ndio huu kumwamini Yesu Kristo mwana pekee wa Mungu......asiyeamini Yesu amekwisha potea
Hongera kwa kuijua kweli na kuifuata
Hallelujah❤ hallelujah❤ hallelujah ❤hallelujah hallelujah❤ hallelujah hallelujah ❤hallelujah hongera wa jina tutulie kwa YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI AMBAYE NDIYO NJIA YA KWELI NA UZIMA!! Achana na Wasujudia Al hajar Al aswad
Huyu alitoka kwenye uislamu akaingi ukristo akaona anapotea manake haki anaijua akarudi kwenye uislamu. Alipoona uislamu njaa sadaka hazitoshi akarudi tena kwenye ukristo. Nakuwekea video yake ya aliyoyasema wakati anarudi kwenye uislamu kabla hajakimbia tena kufuata hela za sadaka.
@@abdallahdataguywee ni fala tu
Alinyimwa pesa akarudi kwenye uislamu na aliingia ukristo kwa kupewa pesa dishi limeyumba usishtuke ukadhani ukristo ni dini ukristo ni biashara
@@Juniorjacob-le1rringia youtube aliyekuwa mwalimu wa ndacha arudi kwenye uislamu sikia sababu zake za kuingia kwenye UKIRISTO acha ushabiki wa kipumbavu
@@MuslimYouthman 💯 true ukristo ni biashara
Be blessed
Mungu azidi kumlinda na kumuongoza uyu Kijana Paulo
@@williamjamanda8892 shetani ndio anamuongoza hapo mungu amekataza kuabudu misalaba na masanamu
@@MuslimYouthman Hiyo ulissoma wapi. Ama ni zile hekaya za abunuasi?
Hata Mimi Niliuacha Uislam Sai Mimi Ni Mkristo Wa Kweli❤❤❤.
Huelekei
😂😂😂😂...Wewe subur tu kifo
SAWA ALLAH AKUTUPIE MOTONI SUBIRI UFE WE UKIACHA UISLAMU WATU WANAINGIA SANA TU WEWE MMOJA UNATOKA WANAINGIA MILIONI WENGINE MPAKA WEWE UNAYEABUDU SANAMU UNAONA WIVU
Ulichagua fungu jema, Barikiwa sana
@@lilianphilipo9219 😂😂😂..Kumbe mnajua ni Fungu sio Dini 😂😂😂 Bakieni ukuu Mtoe sadaka pastor ashibe alfu kiama mkatupwe Motoni 🤣
Damu ya Yesu inanena mema kwa watu wote Haleluyaa.
Paulo, sema ukweli nimekupanda shana. Moçambique ❤❤❤.
Paulo,namkubali sana huyu jamaa asa usomaji wake kwenye midahalo ni mtu majini sana,ashukuliwe mungu jamaa alishtukia uongo wa uislamu kaamua kufata njia ya kweli na uzima
Kabisa umesema uyu jamaa n mwanafunzi mzuri sana wa Ndacha ata usomaji wake Ako vizuri sana
Wakongoman wapo kazini🤣🤣🤣🤣hebu ifuatilie safari yake Kisha muulize aliwahi kubadili dini mara ngapi?nyumbu kwenye ubora wao🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo ni muongo na wewe ni muongo UKRISTO NI UKAFIRI NGURUWE NYIE ETI MUNGU AWE NA MWANA AKILI MATAKONI TAAHIRA NDIO MNAKUBALIANA NA IMANI YA UKRISTO
@@PasserbyMan-ju8kyMAKRISTO NI MANYUMBU JUZI YAMELAMBWA PESA NA KIBOKO YA WACHAWI MATAKO KABISA SASA HIVI ULAWITI UMERUHUSIWA KWENYE UKAFIRISTO WAO
Kaombewe majini yatoke ndaniyako akilizikesawa na uslamu utaca birakuambiwa
Jamani waslamu wanakela eti jitu linauliza eti mariamu ni mke wa mungu Jamani bora uulizwe na kichaa kuliko mtu unamuona anaakiri harafu ndio swali kakuuliza hilo ningoja sasa nitakavyojibu kwa moto wa Roho mtakatifu mtu anakimbia amaaaaa
Ongera sana mwalimu wetu Paul
Hasana nikweli kristo ndio njia ya kweli
Mungu amekuepusha na dini ya majini na shetani isiyomtambua Yesu meokozi mwenyezi Mungu akulinde sana
huyo mwendazimu na ww nyote MAKAFIRI na ndicho kinachowfnya muzungumze msichokijua coz hamumtambui mwenyez Mungu wa kwel
@@halidimgonza5945 Sasa koran kwa waganga wa tunguli n.k inafanya Nini? Majini ya suratul al Jini 72 Yana kazi gani ktk Uislamu? Uislamu ni uchawi na ushetani, kimbia majini, Yesu atakulinda, Kwa Sasa we ni mbwa tu, chakula cha majini, ngoja yakunyonye damu
@@halidimgonza5945Wamshangaa huyu wkt kna wasomali wenye din Yesu kawaokoa... M1 wapo n ADAM HAJ,mtafte kwny TH-cam umskilze!
Watu wa kupangwa
Uislam unamtambue Yesu. Tafuta muda usome Quran iliyotafsiriwa kiswahili. Ukielewa vizuri utahamia kwenye uislam. Uislamu ndio dini ya Yesu.
Muongo. Jina. Halisi la Abu Hurairah ni Abdul-Rahman ibn Sakhr Ad-Daus.
Abdul-Rahmani ibn Auf alikua swahaba na Tajiri wa Makka na baadae Madina.
acha ushabiki ww ahukumsikiliza vizuri mwanzo!
Pointi umeiyonaaa hiyo tuu😂😂
@@0badiaMwasongwe-rt1wr akikosea ataambiwa. Kuna vingi tu siwezi kuandika vyote
@@JeanMuzaliwa-bs6qh nimesikiliza mpaka mwisho na Mattin zake mbovu za kiarabu.
@@mohamedtwalib2113 acha chuki kama dini yenu niya Mungu kwa nini muwe na asira mtu akitoka uislamu?
Brother usidanganyike na pesa na usicheze na ndini leo mkiristo kesho muislamu lakini mungu atakuonyesha njia ya kweli
Alhamddllah kuzaliwa ktk uislamu hii ni neema kubwa kuwa mislamu
Tumshukuru Allah
Neema yakuungana namajini
@@FannyLopez-q1rsio makini tu kuunga na viumbe vyote mana sisi sote ni WA Mungu na kwake tutarejea Sasa wewe kataa hurudi kwake aliekuumba
@@hassanjuma2772 Usipovielewa viumbe utaishia kuwapa maisha yako mashetani
Umekalilishwa
Safi kijana wa yesu
Hakika Paulo ni zawadi kubwa,Mungu aliyomzawadia Ndacha
Mungu mwema sana mtumishi
Karibu kwa ukristo njia ya kweli isiyo na shaka. Hakuna majini huku
Ukristo ume andikwa wapi kuwa ni dini?
Hata unachoongea ukijui, haya na nyinyi mbona mlikua anafanya mapenzi na majini ivi unalijua ili na katika bible lipo.
@@hythamhashiem4458uislamu umeandikwa wapi kuwa ni dini?
@@Blessedboi8019 SIYO MAJINI KUNA MASHETANI MENGI SANA MAKANISANI KAMA HAYAPO MNAKEMEA NINI 😄 🤣 UNAJIAIBISHA BORA UKAE KIMYA MNAKATA VIUNO KANISANI NI IBADA HIYO ?MBELE KUNA SANAMU LIKO MSALABANI NA MATAKO WAZI NI IBADA HIYO?YAANI UKIZUNGUMZIA UKIRISTO BORA KUNYAMAZA NI UTUMBO
Huyo kasoma Quran lkn yeye mwenye alikubali kwa uislamu ni dini ya kweli , alitoa siri kuwa maslahi ya tumbo tu.
Uislam ni msiba.. Hujui tu
Ukristo hauna haraka ya kuomba watu wa atizwe wanahubir neno ukisikia utafuata usipo sikia utabaki hukohuko
Inawauma shaaaaaana. Poleni. Paulo anasema ukweli. 23:50
@@AidanoSilvestreSabiniSabini kwa zwazwa usiye na ujuzi ndio unaona kila kisemwacho ni ukweli
Ni kweli wakristo wamepotea wayahudi wamekasilikiwa
karibu sana subiri bwana yesu ndiye mkombozi wetu
Waislamu ndugu zangu muawashe kuhukumu
ee waha waislamu mna machungu,sababu hamjui ile kweli, Paul Hasan Amechagua, usima wa Milele ,nawaislamu kachagua jeanamu, sasa swali Paul Hasan, na waislamu ninani ako,afadhali? majibu( ni Paul Hasan)🙏🙏💯
@@AgnesKasayaMigiro kachagua kitu gani mbona husemi?kama ni UKIRISTO lete andiko BIBLIA YAKO HIYO HIYO WAPI IMESEMA CHAGUENI UKIRISTO?AU UNATUNGA MANENO BILA MWELEKEO?
Hata Mimi niliuacha uislam
@@GeraldMswazi-bp2kw ww n mseng
Acheni uongo nyinyi amkua waislamu ni bendera fata upepo, kama mlikua amjsoma dini yenu, ndo wale ambao hata moja ulijui, na kama kweli ntauliza maswali ma 3 ukijibu ntaamini kua nyinyi mlikua waislamu.
Acha uwongo wewe ... Unajua maana ya (Islam) kafiri wewe acha kuchezea Dini ya Allah swt ☝️
Hata ukiuacha uislam so kwamba ndo uislam utapotea lakin umeenda njia si sahihi unaenda kuabudu kiumbe yesu ana sema anaend zake kwa mungu wake ambae nimungu wenu.unakuw na akili gn kumuita yesu nimungu
@@abduliashiru9394kabisa
Waislam inawauma sana lakini Paul amempokea yesu kwa maisha yake karibu kwa njia ya kweli na mungu akubariki
huyo mpiga hela tu kama yule mganga wa kongo huyu kunazo video zake aliritadi afu akarudi uislamu na akaponda ukirsto akaomba samahani kwa kupotea leo karudi tena ukirsto aliko dai ilikua sababu ya maisha sahii amerudi huko anaponda uislamu kwa ufupi huyu ni mnafiki sana
Tukupe video amerudu kwenye uislamu na alivyouchafua ukristo?
@@salehrwigemagisa81ni kweli uyuu jamaa ajielewi alirudi na Mke wake katika uwislamu kabisa na kudai ni njaa tu tena leo eti amekua mkrsto 🤔 Duh uyuu Zaid ya Firauni laana tu Allah
❤Msiumize vichwa MBONA huyu jamaa karudi tena katika Uislamu wake.
Uislamu kwa jina si mbaya lakini kwa kumkataa Yesu na kutamani utumwa, yaani kuendelea kuamini matendo yatawapa wokovu na kusamehewa dhambi, hapo wamekosea, wamekumbatia utumwa ,wakakataa uhuru ambayo ni zawadi ya Mwenyezi Mungu,
Mungu aliwapa WaIsraeli Sheria 613, ila walishindwa kuzitimiliza zote, na kwa Sheria ya Mungu, ukivunja tu Sheria Moja, umevunja Sheria zote , ndio maana Mwenyezi Mungu akaleta njia ya Kuwasamehe wanadamu wote dhambi zao, Bora tu waamini hio njia, Sasa Mtu anayekataa njia ya Mungu , na kuchagua kuamini matendo yake, ambayo hayawezi timiliza utimilivu wa Sheria, yu kwenye njia ya Mauti
Kama alikufa kwa ajili ya dhamb.mbn anasem kila mtu atalichukua fulush lake mwenyewe acha kudangany watu ww
@@HamzaMakobanice
Toa andiko
@@HamzaMakobanice
Wewe umechukua andiko Wagalatia 6 Soma Sura yote inaongelelea mzigo Gani, dhambi?
Mungu akbark kwa maelezo hayo tooosha kbs!
Imbwa ww tuskilize tubdil Imani unaaamaana kutubadilisha Imani ya Allah umoja Mavi yako umbwa ww ufe hata Leo huna maana Dunian Tena ufe una teseka ufe una hangaika roho ukachomwe motoni inshaallah allahu nikubaliy Duan amin amin amiin
Hakika uyo.....Mungu afanyie
katima yake au MWISHO wake iwe mwema.....si Uyu amejitakia moto wa Jahanam.... Ni anaongea uwongo huku Abu huraira jina lake kamili ni Abdurahman ibn sakhr siyo Adousi uyu ni mtu mwingine tofauti....
Usisahau kwamba kifo nimdawowote Allah akuhifadthi
@@BintalliMbakuha Allah amuangamize usimuombee nguruwe huyo anatukana uislamu
Mwenzenu kapata Neema ya kuokolewa nyie mnasema kapotea , pole yenu.. Mungu awasaidie saana muijue kwel nayo itawaweka huru
MUNGU akulinde sana
Mungu mgani naye wako jini za sheriya ya kafiri Mwanamke Allen G white ndiyo muanzilishi wa sabado
Wacha uongo ww sema kweli muogope ALLAH
Alhamdulillah kwa neema ya uislam
Aamin
Hakika Uislamu ni ushetani, nashukuru Mungu Kwa kuwa mkristo
@@Jesusalmasihi4193😂😂😂😂 Wewe unajua maana ya ukrsto 😂😂 Emu twambie maana ndo tukuelewe
@@aliroro9344 Unafikiri ukristo ni sawa na dini ya majini (Uislamu)? Endelea kuabudu majini
Uislamu na majini ni kitu kimoja. Uislamu na magaidi ni kitu kimoja! Uislamu ni upuuzi!
Huyu anahojiwa huku anahubiri uislamu kwa hivyo wakristo mnachezwa na huyu jamaa
Muogope mungu kaka pesa inakupoteza, kama ulivyo sema mwenyewe rizk njaa inakupoteza ndungu yangu.
Hujatoa point nzuri kueleza kivipi uislam hauna mafundisho mazuri kama wakristo ama waona makatazo yakislam ni mengi na ww unataka ufanye unavotaka na imekuzuia uliposoma uliona ngumu sana sabab ulikuwa na mipango yako yakidunia
Dah,ndugu toa njaa kichwani irudishe tumboni ambapo ni mahali pake,unachoonge hata hakieleweki
Tambua kama hii nidunia maisha ninafupi njaa ya mwaka isikudanganye ogopa Allah na adthabu zake
Wacha ushabiki fanya utafiti,Ni nabii Gani mafundisho yake yametafautiana Na manabii wengine isipokua Muhamad,manabii Na mitume hawakua Na tofauti waliubiri ujumbe mmoja.
Kuna watu wanasema huyu ni muongo kuna watu wanaamini ukweli ni ule wanaujua wao au wanachokiamini wao leo kuna watu wanamtumikia shetani kama Mungu wao lkn ukiwafuata na kuwaambia wanapotea wanaona wewe ndio umepotea usitake unachokiamini wewe ndio uwe ndio ukweli haya mambo ya imani tunapaswa kusoma na kuelewa
Wisram mbona mnaona wivu ebu muachen mtumishi wa mungu ameona Nuru ilipo
ukweli ndio ukweli Kristo hajashindwa
Kweli umepotea kijana na kilichokupoteza ni UWEZO wako mdogo WA kuchambua mambo na kujiongopea mwenyewe
Ubarikiwe kaka nipo 🇲🇿 nakufwatiliya sana😅😮
Hayo mapepo kila siku mna yatoa kanisani Sasa Nani wenye majini. Na pia hata walipo muona yesu pepo wachafu wali mwambia ww yesu NI mwana wa mungu. Kwahiyo yeyote anae sema yesu ni mwana wa mungu ndugu zake ni mapepo.
papatika utakavyo ila ujue unajiharibia akhera Yako siku ukifumba macho ndo utaujua ukweli wa mungu
Ukweli sio Quran
Endelea kuwapa Elimu, kaka, hata mimi nilitoka huko, hakuna cha maana zaidi ya kukaza mafuvu tu. Ukiwaambia ukweli wanabakia na ubishi tu.
Ww muongo mkubwa hata quran na hukmu unasema sivo
Paul sema ukwl ukuwa umefata hela mzee
Muislam anaweza kuingia kwenye uislam kwa maslah lkn si kwa imani kwa hiyo ikiwa ni kweli huyo kafuata pesa au pia inaonekana ni muongo na mbabaishaji
Huyu hata kuita hajui vipi amepata digry kwenye hiyo fanni?
Wengi wanaenda kutoka kwenye hilo giza Ila wanaogopa waislamu wengi wanakurupka tu
Allah nishetani sio mungu ndo mana muhamad alibanwa mbavu adi akalia akilazimishwa asome wakati hajui kusoma ivi mungu wa kweli anaweza asijue kiumbe chake kama kinajua jambo au hakijui? YESU ANAKUJA OLE WAKO UNAEMKATAA NA KUMPINGA
Ujinga mwingi mbele kiza mungu akuongoze
Wewe simulizi unamwonea Kwa mdomo wake ukweli.... Hakika Muislamu ni DINI ya HAKI....
Uislamu ni upumbavu tu!
Pole sana kk
Pole wewe😂😂😂
Innalillahi wainnailaihi rajiun
Namkumbusha laatansa lmautaa fainna lmauta laa yansaa
Maisha ya akhera ni bora kwenu kuli tamaa za kidunia.
Ujuwe utakufa utake usitake
Utaenda mbele ya mola wako.
Enendeni urimwenguni kote mkayafanyee mataifa yoote kuwa ni wanafunzi wangu ongela sana kwa kujuwa ukweri
Tusimshambulie maana anatililika vizuri tupingane nae kwa hoja maana mambo mengi na uislamu anaujua sana tu
muogope allah na uiogope siku ya malipo adhabu ya m/mungu ni kali
Ni kweli kabisa
Yaan simulizi umekosa cha kufanya mpaka unamhoji huyu taahira aliyepinda akili mpaka meno yake.Anahangaika na dunia.Yaan ningekuzaa mimi ningekuchinja kwa mkono wangu ukawahi kuungua haraka.Nendeni kwa ustadh Shafii mkajionee utaahira wake ambao ALLAH anamuadhibu akiwa hapa hapa duniani tunamuona
Mnabishana ukweli maana kila kitu kipo wazi ndani ya Quran
Upofu wa nafsi ni mbaya sana. Tazama wanasayansi leo wanavyosilimu kwa mwingi ulimwenguni na kuiamini quran.kwa kufanya research mbali mbali .lakini tazama huyu ameuacha uislam kwa thamani ndogo innalillahi wainna ilaii rajul. Waislam tuombe mwisho mwema. Tusije tukapotes kama huyu ndugu yetu alioingia kwenye ukafir
Sadiq achana nae huyu ni kafiri tu kila mtu na kaburi, uzuri ni kwamba ashaonywa inatisha ikisha huyu hakuwa muislam baba na mama
Nyie hangaikeni tu ,, yan ukristo usanii mwingi mno 😢😅😂😂 am proud to be Muslim
Uislam ni upagani ulioboleshwa / hawana lolote maamuma 😮😮😮😮
Hahahahah umesoma biblia kweli ww
Sikuzote katika maisha ya kawaida kuna original na feki....
icho kitabu Chao kinajaribu kufanana lakini ni feki kama ilivyo pesa huwa ni feki na original...
Ndugu Biblia tu inatosha...
Waisilamu wanaumiaa sanaa😂😂😂 wanatamani ufe ila Mungu wetu ni mkubwaaa..
ALLAH anasema atakayeacha uislamu basi huyo shetani kamdanganya ,hakuna ukweli.zaidi ya uislamu
Kama muhammad ndiye alislimisha shetani ukataa aje islam sio dini ya shetani?
Rudia hio video uisikilize vizuri halafu ndio uongee 😂😂
@@IsaacNzai-e7s Sasa utanifunza nini about islam?wajua hakuna kitu baiya kama muslim who is brainwashed and full of lies he cant see the light
Hhhhhh😅😅😅😅 Alllah ni fake
@@BURUNDIB everything in muslim is fake including allah and their names hehehe
Inna lillahi wanna ilaihi rajiun
Hakuna kitu nyingine unajua learn to listen abdool usiskize kama uslimu ndio iko kwa kichwa yako pekee skiza ndio usome sio kiburi
Huyu anajuwa kila kitu ameamua tu kuwa mkristo kwa pesa anajuwa islam ndio dini ya kweli
wazungu wanasema "if u change the way u look at things, the things u look at CHANGE" sasa ww kama umeamua kubasilisha mtazamo wako juu ya uislam na kuamua kuona kitu sahihi kama vile sio sahihi basi endelea ila ukumbuke kuna siku u will stand infront of ALLaH 🥺 yan adi huruma 🤦♂️
😊unaweza soma nakujiona msomi lakini hujafahamu na imani na iylm au elimu vitu viwi tofauti, kisha mwz mugu kasema usimlazishe mtu katika dini, hilo ndio chaguo lako nafsi kiza kinene anae yajua ndaniyako mwz mungu ila mwz mungu kashawajua watu aina kama wewe kasema! Msiuze aya zake kwa thama ndogo ndio wewe nawezio kama wewe inshalla mwz mungu akuongoze
Muhammad a.k.a mpinga manabii
ww dogo hp nyuma uliporudi daada ya kuritadi ukasilimu tena ulikua umefikwa na nn mbona hp huelezi?
Kafundisha uislamu bila kujua
Kisha kafeli point zote za kuukoso🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ALLAHU AKBAR
Waisilamu mmmeumbuka andamaneni huyu jamaa tumkamate anatuvua nguo
Ndio ujue ni mrongo abuu huraira anasema jina lake ni abdu rahman ibni aufi hio ni makosa anaitwa abdu rahman ibnu swakhri addausy
Ukristo na Kristo Yesu NDIYO dini ya kweli soma 1Yohana5:19.Mwislam unayesema hapa jitafakari kama aliyesomea UISLAM MPAKA levo ya degree amegudua dini ya kweli ni Ukristo.
Huyu alipewa ahadi na Ndacha kuwa atapelekwa inje ya AFRCA ili aweze kubadilisha maisha yake badaaye alipoona amedanganywa akarudi uislamu kutopewa pesa akarudi Mara ya pili ukristo kwahio huyu bwana ni njaa inamusumbua hata alihandika vitabu vingi vya kuharibu kujaribu kuchafua uisilamu
Huyo alisharudi kwenye UISLAMU acheni kuwadanganya watu
Huyu ni amenable uvivu wa ibada maana anataka kwenda kufanya ibada za kucheza cheza2 ndio maana 😂😂😂
Wakristo mkipata muda kasomeni luka 9.60 sisi waislam rahaaaaaaa tumewaaacha wafu waongezeke ili wapate kuzikana
Mtu wa University katika uisilammu bro level yako bado iko chini sana ulienda kutembea tu
Hukmu ya murtad nikuchinjwa.....Allah akudhalilishe hapa duniani na kesho akhera...
Nyie ndiyo mtadhalilika
Wewe hujawahi kuwa muislam ni mnafiki kabisaaaa hata kuita Qur'an huwezi Ni mwislam Gani stop to act,wewe Ni mkristo ulieenda kujifunza Qur'an lkn hukuwa mwislam,WaPo wengi waislam wahivyo wanaojifanya,ngoja siku ya kufa utakijua kilichomtoa kanga manyoya dadadek
Kabisaa bro uyuu jamaa ywanikera sanaa...kuna vdeo kafnya na mkewe eti wamerudi katika uwislamu kisa wamejua ukweli sasa leo tena naona andai yeye ni mkrsto duh Uyuu Firauni laana tu Allah
Wana force kisa wameona waislamu ni ngumu kuwa wakristo