Hahaha,siku ya kiama yesu ndiye alama ya kiama,mohamed hayupo Tena,pia huyu muogo asema yesu alipopaa mbinguni aliacha wanafuzi wake msikitini,aje Sasa,uislamu ulikuja 700 yrs after yesu kupaa mbinguni na Muhammad,mwazilishi wa uislamu ni muhamed,iyo msikiti yesu akipaa aliacha wanafuzi wake wakiswali iliazishwa na nani,u mean uislamu ni mara mbili ,ya ezi za yesu na ya muhamed 700yrs later,hamnaga akili nyinyi ,mbona mnakubali uongo,do mathematics it's not adding up ata
Simulizi usiogope familia, wampenda sana Mwenyezi Mungu ila naona wataka kujua ukweli na ukweli simwengine n uislam ata mim nimekua mkristo nikafwatilia sana nikaona ukweli nikafwata uislam
Mashaalha ostaz matayo dini hii ata ukiizika misaafu yote kuna watu wameifaz juzuu salathini leo mna wajua kina mazinge mungu ameibua ostaz matayo mungu amzidishie ilimu ampe hekima azid kuelimisha zaid
Usidanganye Yesu aliacha wanafunzi msikitini wakisali kwa dini iliyoletwa na nani na iliitwaje? Yesu ni Kristo (mpakwa mafuta) Na wafuasi wake ni watu wa Kristo ua wa kristo hata akiwa mmoja huitwa wa kristo na wewe unajaribu kuchakata nini?
Inasikitisha umeangalia video halaf bado umetoka kapa subiri yesu akirudi akuulize ukristo ni nini?? maana hata yeye kaondoka ajaacha dini inayoitwa ukristo sio mm nayesema ivyo soma biblia ukweli umewekwa wazi kabsa bila chenga tatzo lenu wakristo wavivu kusoma ata kitabu chenu mmekua watu wamapokeo muamini mchungaji kasema nini wkt maandiko yapo
Ila waislamu Mungu awasamehe sana eti wanafunzi wa Yesu walikuwa wanasali msikitini du . Uislamu ulianzishwa kalne ya sita hiyo misikiti ilikuwa ya dini gani
Wewe kijana kujuwa maadiko zii kujuwa mungu , pia kuwa musomi zii kujuwa mungu Ina maana kuwa yote analo ongea auna muogozo wa Royo wa mungu yaani holy spirit ni kuongea too unogea akuna kitu unalosema nukuakishia kabisa ata auwelewa kwanza sinagogi , na Paulo ni nani kaaa apo twe
Kadri siku zinavyozidi kwenda ndio nazidi kuelewa kuwa asilimia kubwa ya waislamu hawana ufunuo katika mambo ya kiroho na hiyo nikwasababu wanamkataa yesu na ndio mana asilimia kubwa ya waislamu wanakaa na mapepo katika miili yao japo na wakristo wenye mapepo wapo kwassbu wao wanamuamini yesu lakini matendo yao sio yale aliyoyafundisha bwana yesu
Swali dogo tu la kujiuliza kama kweli una akili timamu Ushawahi kujiuliza kwanini AKUNA MTU AU WATU WASHAWAHI KUPANDISHA MAPEPO MISIKITINI ila WAKRISTO MNATOANA MAPEPO KANISA ina maana nyie Wakristo ndio mnao mapepo mnaingia nao mpaka ndan ya Kanisa. Msikitni ni sehem ya ibada watu wanaongea na Mungu wao ivyo shetani awez kuingia msikitini akamvaa mtu hata kama mtu anapepo akiingia msikitini pepo aingii ila kanisani watu wanaingia nao na wanapandisha @janeteggidious
Mwenzenu akiwa ana hojiwa anakuwa serios nyie mkiwa mna hojiwa mnaleta comedy na masihara mnazid kupoteza Kumbuken Dunia inaangalia na inawasikiliza piten kwenye hoja za Ndanya kama mnaweza mzivunje
Ndacha aliuli nyie mnasema iyo torati imeharibiwa aliuliza ikiwa iyo torati imeharibiwa ns nyinyi mna amin torati je torati yenu ya kwel ikowap ili muweze kufanya Comparison lakin mnabak kuongea tu ndugu zangu pia aliuliza ikiwa mtume weni n kwel n mtume kutoka kwa Mungu ni nabii gan mkubwa iwe Musa,Daudi, alisha wai kutabiliwa ujio wa Muhamadi maana Yesu ametabiliwa ujio wake mapema kwenye Torati kupitia mitume wakubwa?
then sheikh mathayo mosi ni moja, j pili ni 2, j tatu ni 3, j nne ni 4, j tano ni 5, alhamis ni 6, ijumaa ni 7.... wakiristo wabishi ajabu wanajichanganya sana!!??
Sio mafundisho ayaeleweki kwa sababu umeshaiandaa akili yako kutokuelewa ndomana uelewi..Jivue iman yako ya ukristo kwa muda halaf sikiliza kwa umakini halaf ujiulize maswali katika kichwa chako utaelewa vzur mafundisho
Allah/Yehova/Mwenyezi mungu unatakiwa kumuabudu na issa/yesu/jesus aliletwa ili tumuamini mafundisho yake na tukombolewe. Mbinguni hauendi kisa tu umesema wewe ni muislam au mkristo..kwasababu uislamu maana yake ni kujinyenyekeza kwa allah..so hata mkristo yoyote anayejinyenyekeza kwa allah ni muislamu..kujinyenyekeza kwa allah maana yake nikutenda matendo mema yanayompendeza M/mungu,kuachana na anasa za dunia na kumuabudu yeye tu..so hata yesu alikuwa ni muislamu thabiti kwani alijinyenyekeza kwa Allah Namkristo ni nani?.mkristo ni mfuasi wa yesu imean(jesus’ follower)au mtu anayesikiliza mafundisho ya kristo yesu Yesu kristo alikuja duniani kama nabii,mtume,mwalimu,mwanawamungu wa pekeee zingatia neno wapekee,Unajua sisi sote ni wana wa mungu na tunafanyika kuwa wanawamungu kwa kuwa na roho wamungu(matendo ya kimungu ),(roho mtakatifu)ambaye yesu alipewa ndio mana akawa na matendo ya kimungu(yakobo 1:18 ). yesu alisema nakwenda kwa baba yangu ambaye na nyinyi ni baba yenu na nitamuomba awaletee msaidizi( roho mtakatifu) iliaweze kutuongoza na kuwa karibu na matendo ya kimungu wakati tunapokuwa tunaishi katika dunia hii iliyojaa dhambi na matendo yakishetani Waislamu wanatakiwa kuamini kuwa jesus/issa/yesu ni mwana wa mungu aliyetumwa na M/mungu kwa ajili ya ukombozi wa ulimwengu wote na sio kwa ajili ya waisraeli wakipindi kile tu..kama wanavyoamini waislamu wenzetu kupitia mstari huu wabiblia kwasababu hata kwenye maandiko ya qurani yanasema waisrael ni watu wote wanaomfuata mungu Waislamu ni wapinga kristo(ni wayahudi wazamani ambao walikuwa wanampinga yesu kuwa si mwana wa mungu)sasa wewe usiwe mfuasi wa wapinga kristo(yohana 6:41-51,yohana 16:1-4) yesu alisema mkinikana mm mbele za watu nami nitawakana mbele ya baba yangu na ndio mana wayahudi walimpiga yesu mawe walipokuwa wakimsikia akisema mungu ni baba yake walikuwa wakimwambia umekufuru(yohana10:31-39) waislamu wengi hawana maarifa ya kiroho kuhusu yesu/issa/jesus..wayahudi walimchukia yesu kwasabbu alijiita mwana wamungu na wakamuona akijipatia wafuasi wengi mamia na maelfu walikuwa wakimsikiliza mafundisho yake na kuyaamini na wengi kuokolewa,kuponywa,kufunguliwa katika vifungo vya muovu shetani… Ni mtume mmoja tu kati ya mitume wote( muhamad )na wayahudi tu ndio hawaamini kama yesu ni mwanawamungu(quran2:116) Laiti kama waisalamu wangekuwa wanamuamini yesu kuwa ni mwana wamungu wapekee aliyeletwa duniani kwaajili ya ukombozi wa ulimwengu basi hata sisi wakristo wote tungekubali kuingia misikitini na kusujudu nao pamoja..MTU WA MUNGU JARIBU KUJIULIZA MASWALI YAFUATAYO; M/mungu aliwatuma manabii wote na wengi walipingwa hata kuuwawa Swali lakujiuliza, ninabii gani aliishinda kifo na mauti?jibu ni yesu..(yohana 5:26 Swali jingine lakujiuliza,ninabii gani alizaliwa kwa uwezo wa roho mtakatifu bila baba?jibu ni yesu swali lingine katika manabii wote nabii yupi amepewa heshima duniani na akhera ?jibu ni yesu..(quran. ALI IMRANI3:45) Swali lingine..ninabii yupi atarudi tena kwa utukufu wa m/mungu kuwahukumu wazima na wafu jibu ni yesu Swali jingine ,nani alikuwepo kabla ya ulimwengu kuwepo..jibu ni mwana wa mungu ambae niyesu kristo(yohana 17:3) maandiko yanasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa..naomba niishie apo kwa leo..M/mungu akupe neema ya kulisoma,kulisikiliza na kulielewa neno lake inshallah🙏
@@mwenda8911 mitume awawezi kuslimu kwasababu wapo njia moja yakumtangaza mwz mungu nakuwamlisha watu tumuabudu mungu mmoja ;:: Ibrahim musa yesu muhamadi na mitume wengine wote wametumwa na mungu mmoja tu ila madamu binadamu tunakibri na akili kwa makuksudi watu wameipindisha njia akiwemo Paulo na wezie ila wameyafanya haya yote nimaslai ya kidunia jitoe ndugu yangu umepigwa. Na wajanja wasiomogopa mungu mungu wetu mmoja yesu ni mtume wa mungu kaka
Matheyo hata kama ucristo siyo dini sawa ila sisi wacristo tuna njia ya kweli na uzima iendayo kwa Mungu hizo dini zenu za uislamu , freemasooon , hindu , budha ni dini za kweli ? Msijifiche kwenye kichaka cha ohooo uislamu dini je dini ni nini?
Alookoka nanini??? Wakati yesu kashasema kuokoka hawezekani bali atakae subili Hadi mwisho ndio atakaeokoka au hujui kuokoka Nini kuokoka nimpaka ufe kwanza harafu siku ya mwisho Yani kiama utavyo fufuliwa na kupelekwa mbele ya mungu utakapo hukumiwa sasa ukionekana huna zambi ukambiwa nenda peponi hapo ndipo utakapo sema umeokoka sasa ukisema Paulo alookoka alikufa lini na akafufuliwalini na alihukumiwa lini akaingia peponi akasema sasa ameokoka????
@@MargaretBaya-m1b mafundisho aliyokuja nayo yesu ni tofauti na haya ya Paulo ametoa mafundisho Kwa utashi wake na mpaka Leo wakristo wote wameingia kwenye mfumo wake na kupuuza ukweli
😅😅😅😅uislam ni Atari kweli, Ninyi mukidai kuwa yesu alikuwa mwislam , Basi someni biblia ktk moskiti na kuaminitu ginsi mitume waliamini kuwa yesu ni Mwana Wa Mungu na kubatizwa Basi, Sasa Ninyi munadai tu ila hamufuati
Hatuwezi kuitangaza biblia msikitini kwa sababu Yesu,kitabu alichopewa hakikua biblia bali ni injili na mafundisho ya injili hayana tofauti na qurani yametaja msikiti na sio kanisa
Ayo yote uliyo sema ni kweli lakini mbona na nyie mlifanyiwa ivyoivyo bi khadija na walaka mjomba wake wote waloku vibaraka wa rumi na wao ndio wamempa muhamad utume kwaiyo ata wewe hauko salama
Uyu jamaa ukimsiliza unaeza ukaona kama anaongea point lakin sisi wasomi WA dini tunamuona mlopokaji TU ungaunga TU maandiko na kutafsili anavojua yeye ila MAAMUMA wanamuona anaupiga mwingi...HAMNA KITU UMO...😂
MY FRIENDS, YESU HAKULETA DINI, DINI NI MATENDO YA SHERIA YALIYOLETEA WAYAHUDI LAANA, YESU KRISTO ALIKUJA KUWAOKOA WAYAHUDI NA MATAIFA MENGINE KUTOKA KWA LAANA ZA SHERIA NA KUWALETEA WOKOVU ,
@@nassorsharifu9837 NDUGU wajifanya kujua siyo, Wewe Sheria zote zilizopewa WaIsraeli unazitimiza bila kuvunja Moja? Je unajua laana zilizowapata WaIsraeli baada ya kutotimiza makubaliano Yao na Mwenyezi Mungu katika Agano la kale? Je unaifahamu maana ya Yesu kuja kutimiliza Sheria? Yesu alikuja kutimiliza maana ya Sheria. Sheria walizopewa WaIsraeli zilikuwa kama kivuli , mfano ni Sabato ambayo ilikuwa ni siku katika Torati lakini Yesu alipokuja na kufa Msalabani na kufufuka siku ya tatu kuleta wokovu, huo wokovu ndiyo Sabato maana amwaminiye Yesu hafanyi matendo ya Sheria mbali amepumzika kwa Imani ya Yesu Kristo jinsi Mungu alivyofanya kazi siku sita na akapumzika siku ya Saba, Makosa Waislamu wanaisoma Torati, unabii na Injili kama Hadithi, Kama haufahamu Torati HUWEZI FAHAMU maana ya Agano Jipya, Kama kwa kufuata Sheria za Torati tungeingia Mbinguni Yesu hangekuja kufa Msalabani
@@karimuabdala3234 Fake ni kitu kilichotengenezwa kikaribiane na original (Hizi harakati ni tunda la ibilisi) Hata mtaani huwa kuna note feki na original..
The opposite is true. He has provided so many scriptures. To oppose his arguments, you have to provide the scriptures that prove he's lying 🤥. Otherwise, you more than ignorant😅
@@dulasele-ud8cw Why do you see kama dini ya muhammad ndio tu dini hapa duniani?dini yenye unaweza ua mtu akitoka kwake hiyo ni dini ama nini!islam ni dini iliyo enea duniani na uongo,na bila uongo hakuna dini kama islam
@@dulasele-ud8cw Ndiyo. Yesu alikuwa kiumbe wa roho mbinguni kabla ya kuzaliwa akiwa mwanadamu duniani. Yesu mwenyewe alisema hivi: “[Nimeshuka] kutoka mbinguni.”-Yohana 6:38; 8:23. Mungu alimuumba Yesu kabla ya kuumba kitu kingine chochote. Biblia inasema hivi kumhusu Yesu: “Yeye ndiye . . . mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.”-Wakolosai 1:15. Yeye ndiye “mwanzo wa uumbaji wa Mungu.”-Ufunuo 3:14.
😂😂😂😂😂 bado swali langu lipo pale pale Huyu choko anazungumzia misikiti ipi ambayo Yesu aliiacha 😂😂😂 ,msikiti ya waislam kunamafarisayo? Kunamakuhani? Kunamasadukayo? Msikiti WA waislam wanasali juma mosi?
Usitukane hujatukanwa kama hunarizika na kinacho zungumzwa achananacho sasa choko ndonn ww vp ndo unaonaww ukosahihi kutukana acha mihemko usipandishe damu kwenye ubongo kama unajua sema ww kama hujui watakusemea machngaji wako acha shobo namatusi apo sio mipasho ni maandiko naww toa kama niongo useme iyo sio bibilia haijaandikwa ivo toa ww acha matusi 😂😂😂😂😂
Mashallah sheikh unajua,unajua na unajua tena
Mashallah tabarakallah sheikh mathayo Allahu akuhifadhi wewe na wahadhiri wengine wa kiislam wale ambao hawataki kuelewa hawana hoja siku ya kiama
Hahaha,siku ya kiama yesu ndiye alama ya kiama,mohamed hayupo Tena,pia huyu muogo asema yesu alipopaa mbinguni aliacha wanafuzi wake msikitini,aje Sasa,uislamu ulikuja 700 yrs after yesu kupaa mbinguni na Muhammad,mwazilishi wa uislamu ni muhamed,iyo msikiti yesu akipaa aliacha wanafuzi wake wakiswali iliazishwa na nani,u mean uislamu ni mara mbili ,ya ezi za yesu na ya muhamed 700yrs later,hamnaga akili nyinyi ,mbona mnakubali uongo,do mathematics it's not adding up ata
mashallah sheikh Matayo ❤
Asalam alaikum ustaz upo vizuri najifunza kwako inshallah
Simulizi usiogope familia, wampenda sana Mwenyezi Mungu ila naona wataka kujua ukweli na ukweli simwengine n uislam ata mim nimekua mkristo nikafwatilia sana nikaona ukweli nikafwata uislam
Basi umepotea
@@mwenda8911uliepotea ni ww usio kubali ukweli maandiko yote yaliosomwa bac hakun ata moja liloingia kichwani mwako kweli ?!
Allah kakupa taufik Khalid waombee na wengne Allah awape taufik
Huyu mtangazaji Simulizi anelekea kujua Uislamu na atasilimu.. Huyu shekhe masha Allah anatoa nondo tupu, mwenye akili atajua zaidi maneno ya sheikh.. Jazakah allahu khayr ❤❤❤
Simulizi yupo kwenye utafiti anajifunza biblia inshaallah Mungu amuongoze
Ana coment
Mwalimu uko vizuri mashaallah Allah akubarik
Nakushauri jitaidin kumsikiliza francis Ndacha
Asante simulizi zone kwa kutuletea huyu mwamba
Ma sha llah
Polen sana ndugu zangu
Jamaaa hana jina ila yuko vizuri mungu amuhifadhi
Mashaalha ostaz matayo dini hii ata ukiizika misaafu yote kuna watu wameifaz juzuu salathini leo mna wajua kina mazinge mungu ameibua ostaz matayo mungu amzidishie ilimu ampe hekima azid kuelimisha zaid
Mwamba Huyu hapa ni 😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤ Allahu akbar
Mungu wangu ndugu yangu waislam achen nasiharaha tetehen din kwa hoja sio kwa comed
Safi sana....
Shekh unatishaAllah akuhifadhi
Usidanganye Yesu aliacha wanafunzi msikitini wakisali kwa dini iliyoletwa na nani na iliitwaje?
Yesu ni Kristo (mpakwa mafuta)
Na wafuasi wake ni watu wa Kristo ua wa kristo hata akiwa mmoja huitwa wa kristo na wewe unajaribu kuchakata nini?
Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu ili ufundishe ulimwengu
Wewe muislamu hauelewi ukristo
Inasikitisha umeangalia video halaf bado umetoka kapa subiri yesu akirudi akuulize ukristo ni nini?? maana hata yeye kaondoka ajaacha dini inayoitwa ukristo sio mm nayesema ivyo soma biblia ukweli umewekwa wazi kabsa bila chenga tatzo lenu
wakristo wavivu kusoma ata kitabu chenu mmekua watu wamapokeo muamini mchungaji kasema nini wkt maandiko yapo
Ww ukristo sio dini,walio lala katika ukristo wamepotea aaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Anaropoka tuu Huyu jamaa, anafikiri Biblia inasomwa kama Quran na hajui kuwa Biblia ina tafsiri yake.
Uyu ustadh ndio anfundisha kweli usipomuelewa msubiri yesu aludi
Ila waislamu Mungu awasamehe sana eti wanafunzi wa Yesu walikuwa wanasali msikitini du . Uislamu ulianzishwa kalne ya sita hiyo misikiti ilikuwa ya dini gani
@@joachimluhamo3042 Alie panga ni mungu mwanadamu unashanga mulize babayetu adAmu alika Diniz gani
Uislam ni kunyenyekea na kufuata yale wanayokuja nayo Mitume.Kwa zama zetu mtume anayepaswa kufuatwa ni Muhammad(S.A.W)
@@joachimluhamo3042 kwani uongo kaka wapi yesu aliingia kanisani acha wivu
😂😂😂 sasa si biblia inasema ivo.
Allah akuhifadhi shehe,letu kiboko
Yao siwataji watanuna maana hawa sikilizi neno Bali hujiweka ktk box washa zoea kudanganywa jirani zeru😂😂
Unafundisha katika mwili lakini yupo ageuzaye roho
Ostaz matayo uwe unaweka namba yako kwenye kipind
Wakristo amkeniii
Mashaallah Tabarakallah sheikh wetu. Type number yako tuku support. Allah akuhifadh.
Uyu jamaa nimwalimu mzuri sana
Tatizo wakristo sijui Wana kitu gani Yani mistari Iko wazi lkn hawaelewi
Wewe kijana kujuwa maadiko zii kujuwa mungu , pia kuwa musomi zii kujuwa mungu Ina maana kuwa yote analo ongea auna muogozo wa Royo wa mungu yaani holy spirit ni kuongea too unogea akuna kitu unalosema nukuakishia kabisa ata auwelewa kwanza sinagogi , na Paulo ni nani kaaa apo twe
Mtume Yohana aliyeandika injili,barua 1,2,3 na ufunuo hakuuwawa.
mbona wanaamini dini ya mayahudi na manasara yaani wakristo ni dini mbili za mwenyezi mungu
Mtumien Roho mtakatifu mtaelewa
Kadri siku zinavyozidi kwenda ndio nazidi kuelewa kuwa asilimia kubwa ya waislamu hawana ufunuo katika mambo ya kiroho na hiyo nikwasababu wanamkataa yesu na ndio mana asilimia kubwa ya waislamu wanakaa na mapepo katika miili yao japo na wakristo wenye mapepo wapo kwassbu wao wanamuamini yesu lakini matendo yao sio yale aliyoyafundisha bwana yesu
Au hatuna roho mtakatifu😂😂😂
@@janeteggidious ukisikiliza darasa vizuri uwez ata sema mambo ayo
Swali dogo tu la kujiuliza kama kweli una akili timamu Ushawahi kujiuliza kwanini AKUNA MTU AU WATU WASHAWAHI KUPANDISHA MAPEPO MISIKITINI ila WAKRISTO MNATOANA MAPEPO KANISA ina maana nyie Wakristo ndio mnao mapepo mnaingia nao mpaka ndan ya Kanisa. Msikitni ni sehem ya ibada watu wanaongea na Mungu wao ivyo shetani awez kuingia msikitini akamvaa mtu hata kama mtu anapepo akiingia msikitini pepo aingii ila kanisani watu wanaingia nao na wanapandisha
@janeteggidious
Unajidanganya sana kaka,hakuna watu wanaomtambua Yesu na kumfuata kuliko waislam,hakuna mkritu ye yote anaefuata mafundisho ya Yesu kuliko waislam
Angetuambia pia kuwa kama Kaaba ni Pando la Mungu au ni la Binadamu angekuwa amefanya cha Maana sana.
@@tanzanite9944 Qaaba ni nyumba alioijenga Ibrahim
Vipofu wakiongozana watatumbukia shimoni wote
Achen Comedy kuwen serios kama Pastor Ndacha
Yarabii muingize simulizi kwenye dini ya haki kwauwezo wako na nguvu zako
Basi hivyo ndio neno lakweli linatafutwa .maana akuna kitu kilicho jificha akitapasuliwa
Kama paulo katumwa na warumi mbona wakamweka kizuizini?then mbona wakamuuua?
Huyu haelewi anachokiongea kwa habari ya Paulo aeleze anachoelewa kidogo kwenye Msaafu wa kiislamu.😂😂😂😂
Ukweli awataki makafiri ay mungine uyu apa
Mwenzenu akiwa ana hojiwa anakuwa serios nyie mkiwa mna hojiwa mnaleta comedy na masihara mnazid kupoteza Kumbuken Dunia inaangalia na inawasikiliza piten kwenye hoja za Ndanya kama mnaweza mzivunje
Hiyo Isaiah kwanini ameogopa kumaliza? 😂😂😂
Huwa wanapenda kuiacha nusu😂😂
Aliwaacha wanafunzi wake hekaluni Sio msikitini ,Wewe Mbna unadanganya Watu Wewe ,Pia ukikutana Na ndacha humuwezi Ata kidogo
Kwaiyo uyo msaidiz wa Yesu ndio mtume wenu 😂😂😂
😂😂 huyu jamaa naona anahagaika
Ndacha aliuli nyie mnasema iyo torati imeharibiwa aliuliza ikiwa iyo torati imeharibiwa ns nyinyi mna amin torati je torati yenu ya kwel ikowap ili muweze kufanya Comparison lakin mnabak kuongea tu ndugu zangu pia aliuliza ikiwa mtume weni n kwel n mtume kutoka kwa Mungu ni nabii gan mkubwa iwe Musa,Daudi, alisha wai kutabiliwa ujio wa Muhamadi maana Yesu ametabiliwa ujio wake mapema kwenye Torati kupitia mitume wakubwa?
Huyu mwongo mwambie akasome vizuri na sura ya majini imtoke atajua kristo ndio dini ya kweli na kufuata
@@michaelamiani6755 kkkk kondoo walopotea bwana
Waroma mpaka leo wanaabudu sanam je ukristo ni dini au uhuni???
Aiseeee Wewe Ni Muongo Wewe shekhe
Shehe😂😂😂
then sheikh mathayo mosi ni moja, j pili ni 2, j tatu ni 3, j nne ni 4, j tano ni 5, alhamis ni 6, ijumaa ni 7.... wakiristo wabishi ajabu wanajichanganya sana!!??
Hayo mafundisho Haielweki bana
Wewe nikiziwi kusikia husikii wala kuona huoni halafu unajitia wazimu kaa karibu na bibilia yako uhakikishe mwenyewe
Sio mafundisho ayaeleweki kwa sababu umeshaiandaa akili yako kutokuelewa ndomana uelewi..Jivue iman yako ya ukristo kwa muda halaf sikiliza kwa umakini halaf ujiulize maswali katika kichwa chako utaelewa vzur mafundisho
Kama hekalu ni msikiti mbina wayahudi sio waislam na waslam walifikaje kwenye msikiti wa kiyahudi ?
Allah/Yehova/Mwenyezi mungu unatakiwa kumuabudu na issa/yesu/jesus aliletwa ili tumuamini mafundisho yake na tukombolewe. Mbinguni hauendi kisa tu umesema wewe ni muislam au mkristo..kwasababu uislamu maana yake ni kujinyenyekeza kwa allah..so hata mkristo yoyote anayejinyenyekeza kwa allah ni muislamu..kujinyenyekeza kwa allah maana yake nikutenda matendo mema yanayompendeza M/mungu,kuachana na anasa za dunia na kumuabudu yeye tu..so hata yesu alikuwa ni muislamu thabiti kwani alijinyenyekeza kwa Allah
Namkristo ni nani?.mkristo ni mfuasi wa yesu imean(jesus’ follower)au mtu anayesikiliza mafundisho ya kristo yesu
Yesu kristo alikuja duniani kama nabii,mtume,mwalimu,mwanawamungu wa pekeee zingatia neno wapekee,Unajua sisi sote ni wana wa mungu na tunafanyika kuwa wanawamungu kwa kuwa na roho wamungu(matendo ya kimungu ),(roho mtakatifu)ambaye yesu alipewa ndio mana akawa na matendo ya kimungu(yakobo 1:18 ).
yesu alisema nakwenda kwa baba yangu ambaye na nyinyi ni baba yenu na nitamuomba awaletee msaidizi( roho mtakatifu) iliaweze kutuongoza na kuwa karibu na matendo ya kimungu wakati tunapokuwa tunaishi katika dunia hii iliyojaa dhambi na matendo yakishetani
Waislamu wanatakiwa kuamini kuwa jesus/issa/yesu ni mwana wa mungu aliyetumwa na M/mungu kwa ajili ya ukombozi wa ulimwengu wote na sio kwa ajili ya waisraeli wakipindi kile tu..kama wanavyoamini waislamu wenzetu kupitia mstari huu wabiblia kwasababu hata kwenye maandiko ya qurani yanasema waisrael ni watu wote wanaomfuata mungu
Waislamu ni wapinga kristo(ni wayahudi wazamani ambao walikuwa wanampinga yesu kuwa si mwana wa mungu)sasa wewe usiwe mfuasi wa wapinga kristo(yohana 6:41-51,yohana 16:1-4)
yesu alisema mkinikana mm mbele za watu nami nitawakana mbele ya baba yangu
na ndio mana wayahudi walimpiga yesu mawe walipokuwa wakimsikia akisema mungu ni baba yake walikuwa wakimwambia umekufuru(yohana10:31-39)
waislamu wengi hawana maarifa ya kiroho kuhusu yesu/issa/jesus..wayahudi walimchukia yesu kwasabbu alijiita mwana wamungu na wakamuona akijipatia wafuasi wengi mamia na maelfu walikuwa wakimsikiliza mafundisho yake na kuyaamini na wengi kuokolewa,kuponywa,kufunguliwa katika vifungo vya muovu shetani…
Ni mtume mmoja tu kati ya mitume wote( muhamad )na wayahudi tu ndio hawaamini kama yesu ni mwanawamungu(quran2:116)
Laiti kama waisalamu wangekuwa wanamuamini yesu kuwa ni mwana wamungu wapekee aliyeletwa duniani kwaajili ya ukombozi wa ulimwengu basi hata sisi wakristo wote tungekubali kuingia misikitini na kusujudu nao pamoja..MTU WA MUNGU JARIBU KUJIULIZA MASWALI YAFUATAYO;
M/mungu aliwatuma manabii wote na wengi walipingwa hata kuuwawa
Swali lakujiuliza, ninabii gani aliishinda kifo na mauti?jibu ni yesu..(yohana 5:26
Swali jingine lakujiuliza,ninabii gani alizaliwa kwa uwezo wa roho mtakatifu bila baba?jibu ni yesu
swali lingine katika manabii wote nabii yupi amepewa heshima duniani na akhera ?jibu ni yesu..(quran. ALI IMRANI3:45)
Swali lingine..ninabii yupi atarudi tena kwa utukufu wa m/mungu kuwahukumu wazima na wafu jibu ni yesu
Swali jingine ,nani alikuwepo kabla ya ulimwengu kuwepo..jibu ni mwana wa mungu ambae niyesu kristo(yohana 17:3)
maandiko yanasema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa..naomba niishie apo kwa leo..M/mungu akupe neema ya kulisoma,kulisikiliza na kulielewa neno lake inshallah🙏
Huyu kama sio shoga sijui tu nnawasiwasi na huyu mtu
Usifananishe Din na vitu vingine vya michezo
Huna point ndugu umefunza kumhamadi huna lolote kudanganya ndio unajua
@@michaelamiani6755 kkk watu wabiblia bwana yani kama kondoo walo potea
@@dulasele-ud8cw unaposlim unaamini Mumja wa pekee na Muhammad mtume wake. Swali yesu alislimu aje na Mohammed hakuwa
@@mwenda8911 mitume awawezi kuslimu kwasababu wapo njia moja yakumtangaza mwz mungu nakuwamlisha watu tumuabudu mungu mmoja ;:: Ibrahim musa yesu muhamadi na mitume wengine wote wametumwa na mungu mmoja tu ila madamu binadamu tunakibri na akili kwa makuksudi watu wameipindisha njia akiwemo Paulo na wezie ila wameyafanya haya yote nimaslai ya kidunia jitoe ndugu yangu umepigwa. Na wajanja wasiomogopa mungu mungu wetu mmoja yesu ni mtume wa mungu kaka
OK mbona husomi kitabu chako nikama hujui history ya kitabu chako lakini uko makini kwa Bible
Mohammed amua wengi lakini hamsemi..
mkristu mwenye akili anaelewa sana
Lakini ukiwa jingare kama mtume huwezi jua kitu.😂😂
Mwongo
Upo vinzuri
Matheyo hata kama ucristo siyo dini sawa ila sisi wacristo tuna njia ya kweli na uzima iendayo kwa Mungu hizo dini zenu za uislamu , freemasooon , hindu , budha ni dini za kweli ? Msijifiche kwenye kichaka cha ohooo uislamu dini je dini ni nini?
@@joachimluhamo3042 kkkk kondoo walopotea bwana awa mogopi mwz mungu na azabu zake duu
Hapo ni Paul kabla ya kuokoka au Saul acha uongo
Alookoka nanini??? Wakati yesu kashasema kuokoka hawezekani bali atakae subili Hadi mwisho ndio atakaeokoka au hujui kuokoka Nini kuokoka nimpaka ufe kwanza harafu siku ya mwisho Yani kiama utavyo fufuliwa na kupelekwa mbele ya mungu utakapo hukumiwa sasa ukionekana huna zambi ukambiwa nenda peponi hapo ndipo utakapo sema umeokoka sasa ukisema Paulo alookoka alikufa lini na akafufuliwalini na alihukumiwa lini akaingia peponi akasema sasa ameokoka????
Utume wa paulo una mashaka sana
Ndio Zumaridi haoo😂😂😂
Mwongo
Kwa hiyo baba wa magaidi ni Paulooooooo
@@AshamMussa ndioooooooo
Jamen Paulo wakati huo alikuwa hajaokoka unahitaj elimu zaidi ndugu
@@MargaretBaya-m1b 🤣🤣🤣🤣
@@sultanbakary4292 cni ukwel ndugu au ni uongo???
@@MargaretBaya-m1b mafundisho aliyokuja nayo yesu ni tofauti na haya ya Paulo ametoa mafundisho Kwa utashi wake na mpaka Leo wakristo wote wameingia kwenye mfumo wake na kupuuza ukweli
Huyu ni kabwella tu
hicho kijamaa kinazungumza ujinga tu
😅😅😅😅uislam ni Atari kweli, Ninyi mukidai kuwa yesu alikuwa mwislam , Basi someni biblia ktk moskiti na kuaminitu ginsi mitume waliamini kuwa yesu ni Mwana Wa Mungu na kubatizwa Basi, Sasa Ninyi munadai tu ila hamufuati
Atuwezi kusoma bibilia kwa sababu hakuna kitabu cha mungu kiitwacho bibilia
Yy mwenyewe hasomi hio bible. Km anasoma ingekua kishakua muisilam
Hatuwezi kuitangaza biblia msikitini kwa sababu Yesu,kitabu alichopewa hakikua biblia bali ni injili na mafundisho ya injili hayana tofauti na qurani yametaja msikiti na sio kanisa
Wakristo wacheni utashi sikilizeni hoja ili muelewe ukweli
Huyu Mwongo
Hawataki kusikiliza hoja wala kuituma akili
@@yakobomkristo872mkweli bhana
Mathayo16:18.atujaona hapo msigiti jamani. Mbona?
@@brianwodada ndio hajataja msikiti lakini imetajwa sinagogi ambayo tafsiri yake ni msikiti..ndugu .yangu Mwenyezi Mungu akuongoze katika Uislamu
Ayo yote uliyo sema ni kweli lakini mbona na nyie mlifanyiwa ivyoivyo bi khadija na walaka mjomba wake wote waloku vibaraka wa rumi na wao ndio wamempa muhamad utume kwaiyo ata wewe hauko salama
Kama ndy hivi mim bora nisilimu tu niwe muislam
Karibu ndugu chukua uwamuzi hutajutia maishani mwako na baada ya kifo pia utafurahi tu
Acha mawenge wanafunz wayesu uliwaona wakiswali, achen kusilimisha marehem
Hajazaliwa mwisilam wakuijua bibilia
Imeingia hiyo vumilia
Waislam wanaijua vizuri bibilia kuliko wakristo woote maana
Hauna elimu wewe jifunze bibilia ama uje nikufunze mimi
bro tuliza majini chini,mwalimu francis-ndacha walikuwa dar kwenye mdahalo ahukujitokeza badala ya wao kuondoka ndo umeaanza kuboronga mtandaoni!
Uyo ndacha unayemtegemea kishawambia yesu sio mungu.
Kuwa mukristo nikufungwa nakiri soma utafute haki uwace ushabiki
@@SwahibuAthuman-yv2mn wajinga ndio wanasilimu!
@@innocentndikumana8928 wajinga ndio wanasilimu!
Uyu jamaa ukimsiliza unaeza ukaona kama anaongea point lakin sisi wasomi WA dini tunamuona mlopokaji TU ungaunga TU maandiko na kutafsili anavojua yeye ila MAAMUMA wanamuona anaupiga mwingi...HAMNA KITU UMO...😂
Wazungu wamekuwezen nyie tulieni
@@MohamedAhmada-ie7kevipi upande WA pili mizimu ya warabu umeiweza imekuweza?
MY FRIENDS,
YESU HAKULETA DINI,
DINI NI MATENDO YA SHERIA YALIYOLETEA WAYAHUDI LAANA,
YESU KRISTO ALIKUJA KUWAOKOA WAYAHUDI NA MATAIFA MENGINE KUTOKA KWA LAANA ZA SHERIA NA KUWALETEA WOKOVU ,
Yesu hakuja kutangua sheria bali wakristo ndio walioikana sheria hawataki kuongozwa na sheria ya Mungu
@@nassorsharifu9837
NDUGU wajifanya kujua siyo,
Wewe Sheria zote zilizopewa WaIsraeli unazitimiza bila kuvunja Moja?
Je unajua laana zilizowapata WaIsraeli baada ya kutotimiza makubaliano Yao na Mwenyezi Mungu katika Agano la kale?
Je unaifahamu maana ya Yesu kuja kutimiliza Sheria?
Yesu alikuja kutimiliza maana ya Sheria. Sheria walizopewa WaIsraeli zilikuwa kama kivuli , mfano ni Sabato ambayo ilikuwa ni siku katika Torati lakini Yesu alipokuja na kufa Msalabani na kufufuka siku ya tatu kuleta wokovu, huo wokovu ndiyo Sabato maana amwaminiye Yesu hafanyi matendo ya Sheria mbali amepumzika kwa Imani ya Yesu Kristo jinsi Mungu alivyofanya kazi siku sita na akapumzika siku ya Saba,
Makosa Waislamu wanaisoma Torati, unabii na Injili kama Hadithi,
Kama haufahamu Torati HUWEZI FAHAMU maana ya Agano Jipya,
Kama kwa kufuata Sheria za Torati tungeingia Mbinguni Yesu hangekuja kufa Msalabani
@@nassorsharifu9837
Matthew 5:17
[17]Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali 👉kutimiliza.👈
Ndacha is the biggest liar amshinda paulo. Ndacha anazidi kuwapoteza wakristo. I would like Christians to be wiser and open up your eyes.
Utandanganya wasio na Roho WA Mungu
Huwezi kutafsiri jina mtu. Ali ni Ali Wangamba ni wangamba
Acha kudanganya wewe wapi pameandikwa walikuwa mskitin
Stop comedy stop comedy go to comedian show nothing his teaching
Nashangaaga mkristo na Myahudi kujadiliana na muislamu.... mungu fake wa waislam ni tofauti na mungu wakristo na wayahudi... Unaongea kuhusu nini...
Mungu wenu ndio fake sifa kubwa ya mungu hua afi yaani apatwi na na auti hata kwa sekunde moja sasa je wenu ajafa?
Haujui unachokiongea..
@@karimuabdala3234 Fake ni kitu kilichotengenezwa kikaribiane na original (Hizi harakati ni tunda la ibilisi) Hata mtaani huwa kuna note feki na original..
Just making noise
The opposite is true. He has provided so many scriptures. To oppose his arguments, you have to provide the scriptures that prove he's lying 🤥. Otherwise, you more than ignorant😅
Huyu jamaa hakuna anachojua kuhusu Biblia, anasema uongo mtupu, na atahukumiwa siku ya mwisho pamoja na wale watakaomwamini,
Uongo gani mze pitia maandiko aliyosema kama huamini brother
😂😂😂polen sana
Huyu yupo ki kiki zaid hana la kusema
Dini ya islam ni ya muhammad,Yesu hajui muhammad hata kidogo.
Upo Shimoni wewe😂😂
@@dulasele-ud8cw Why do you see kama dini ya muhammad ndio tu dini hapa duniani?dini yenye unaweza ua mtu akitoka kwake hiyo ni dini ama nini!islam ni dini iliyo enea duniani na uongo,na bila uongo hakuna dini kama islam
Yesu ni mungu Au mnabii Au ni mwana w mungu nijibu?
@@dulasele-ud8cw Yesu ni mwana wa Mungu
@@dulasele-ud8cw Ndiyo. Yesu alikuwa kiumbe wa roho mbinguni kabla ya kuzaliwa akiwa mwanadamu duniani. Yesu mwenyewe alisema hivi: “[Nimeshuka] kutoka mbinguni.”-Yohana 6:38; 8:23.
Mungu alimuumba Yesu kabla ya kuumba kitu kingine chochote. Biblia inasema hivi kumhusu Yesu:
“Yeye ndiye . . . mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.”-Wakolosai 1:15.
Yeye ndiye “mwanzo wa uumbaji wa Mungu.”-Ufunuo 3:14.
Uyu shehe ni mongo kabisa.
Njoo na maandiko yako ya kweli
Hoja hujibiwa kwa hoja sio kwa porojo😅
😂😂😂😂😂yaan Muongo Hadi bas
Brother you're saying Alot off things with 0 knowledge utakuja pigwaa risasii wewe yani unaongea upuzi wewe utakuwa kunii motoni
😂😂😂😂😂 bado swali langu lipo pale pale Huyu choko anazungumzia misikiti ipi ambayo Yesu aliiacha 😂😂😂 ,msikiti ya waislam kunamafarisayo? Kunamakuhani? Kunamasadukayo? Msikiti WA waislam wanasali juma mosi?
Usitukane hujatukanwa kama hunarizika na kinacho zungumzwa achananacho sasa choko ndonn ww vp ndo unaonaww ukosahihi kutukana acha mihemko usipandishe damu kwenye ubongo kama unajua sema ww kama hujui watakusemea machngaji wako acha shobo namatusi apo sio mipasho ni maandiko naww toa kama niongo useme iyo sio bibilia haijaandikwa ivo toa ww acha matusi 😂😂😂😂😂
@@MusinHamad ujanijibu swali langu? Tukienda na akili hizo za kimsikitisikiti, misikiti Yenu , kuna Makuhan? Kunamafarisayo? Kunamasadukayo? Mnaswali jmosi? Mnaimba tourati?
@@francisjoseph1074 jifunzekwnza ebu acha pupa utaelewa Lego nikufunua hakki ukiona hakuna ukweli acha sio ety nijibu suali langu ww jifunze utaelewa hayo yote yatasemwa halaf kama hakuna chakuzingatia utajau chamsing na kisicho faaaa
@@MusinHamad Anaetakiwa kujifunza Mimi au wewe na Huyo mwenzio ,
Wewe na zumari si mko sawa na ndacha