Mashaallah Sheikh Salim Na Team Yako Allah Awajaalie Umri Mrefu Wenye Manufaa Awajaalie Khusnul Khatima. Hyo Elimu Yenu Inatupa Manufaa Sisi Waislamu Allah Amuongoze Rafiki Yangu Aingie Kwwnye Siratul Mustaqim Inshaallah.. Namsikilizaga Video Zako Alhamdulillah Anaelekea Kidogo Kidogo
Yaani nimejifunza mengi pia mimi kama muislam, nashangaa kujuwa kumbe wakristo hawana sheria wala kitabu ndo maana wanapinga injili ya nabii issah A.s. (wapinga kristo) SubhannaAllah na makristo wa urongo
TabarakAllah Team. Huyu jamaa ACHI, ame uliza kama QURAN ziko na 66Books. QURAN ni Kitabu Ki MOJA tuu, with 114 Chapters. Revelations ZOTEE za MUNGU huwa ni Kitabu Ki MOJA tuu, kama ilivyo QURAN. Kama zilivo Vitabu za TORAT, ZABUR, na... INJEEL, alio PEWA Esa! Hizi VITABU zotee, zili kuwa ni Vitabu ViMOJA tuu!
Mashaalah mungu awazidishe ilmu, suratl Hud 7. Na Yeye ndiye aliye ziumba mbingu na ardhi katika siku sita. Na Kiti chake cha Enzi kilikuwa juu ya maji,
Mashaallah Sheikh Salim Na Team Yako Allah Awajaalie Umri Mrefu Wenye Manufaa Awajaalie Khusnul Khatima. Hyo Elimu Yenu Inatupa Manufaa Sisi Waislamu Allah Amuongoze Rafiki Yangu Aingie Kwwnye Siratul Mustaqim Inshaallah.. Namsikilizaga Video Zako Alhamdulillah Anaelekea Kidogo Kidogo
Mashallah Mwenyezi Mungu awabariki na awajalie kuongoza na kuokoa watu wasilimu,Yarabi hata wakristo wenyewe hawajui Bibilia yao,
JazakAllah khair. Labda hawaelewi Arshi maana yake nini, inaweza kuwa vyema ukiwafafanulia. Labda useme Throne, Dominion.
Karinbuni tena mashekhe wetu nilikuwa nasubiri kwa hamu kuwaona tena Allah awahifadhi❤❤
Aamiin amiin amiin sote
❤❤❤❤❤❤ AllAH Awahifadhi
Allah amhifadhi mzidi kueneza dini yake ampe maisha mzr apa n kesho akhera
Aamiin amiin amiin
waislamu hatusemi mungu yuko ktk arshi bali hiyo ni imani ya masalafi na miwahabi
Hawa unao wataja ni waisilamu au ni wakristo
AsalamAleykum Mashekhe wetu tumewasubiria sana, Alhamdullilah Mwenyezi Amewafikisha. Dawaah izidi kama kawa InshaAllah.
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin
MashaAllah Allahu akbar leo wa kwanza kwa ajili ya Allah Alhamdulilah
Tunakupenda kwa ajili ya Allah
Mashaallahu jazaakllahu lkhayra Allah akubarikini na pia mwanamke wa kiisilamu akifiwa na mumewe anarithi thumni na akiachwa anapewa kitokea nyumba
Allah awarahamu kwa kazi nzuri awajalie pepo firdaus.
Aamiin amiin amiin sote
Asalam Alykum mashekh wetu Allah awape umri mrefu awajalie mwisho mwema na awape Kila lililo la kheri fil Dunia fil akhera
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin sote
Asalamu alekumu warahama tulahi wabarakatu mashala kazinzuri Allah awalide nahusida siuti hakuna
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh iko sawa jaribu kufungua tena
Waleikum salam warahmatullah wabarakatuh.
Napenda sana midahalo kama hii
Mashaallah mashekhe wangu nawakubali sana na tena nawafuatilia sana wafundisheni hao wamedanganywa sana
Masha Allah
Allah akupen Kila lililo la kher
Iko sawa shukran
Hata mm Leo ndio najua kua hawaa aliumbwa na udongo pia mm nilijua NI mbavu siku zote waah
ALLAHU AKBAR wakiristo wamekubali hawaja wai kuabudu Mungu siku zote
Isaya 66:1 Mbingu ni kiti changu cha enzi na ardhi ni mahali niwekapo miguu yangu
Na ndio maana waislam tunasujudu ktk ardhi
Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh
Yaani nimejifunza mengi pia mimi kama muislam, nashangaa kujuwa kumbe wakristo hawana sheria wala kitabu ndo maana wanapinga injili ya nabii issah A.s. (wapinga kristo) SubhannaAllah na makristo wa urongo
Ni kufwatilia elimu zenu tukingoja mvua ishe mashalla
Allah akulinde shekh
Aamiin amiin amiin sote
Mbona haujamsome suraa yenye inasema wanawake hawana akili
Iko kitabu gani tusome uongo wa kanisani usilete hapa tupe hiyo andiko tusome
TabarakAllah Team.
Huyu jamaa ACHI, ame uliza kama QURAN ziko na 66Books.
QURAN ni Kitabu Ki MOJA tuu, with 114 Chapters.
Revelations ZOTEE za MUNGU huwa ni Kitabu Ki MOJA tuu, kama ilivyo QURAN.
Kama zilivo Vitabu za TORAT, ZABUR, na... INJEEL, alio PEWA Esa!
Hizi VITABU zotee, zili kuwa ni Vitabu ViMOJA tuu!
Masha Allah kwa ukumbusho huo Allah akulipe
Jamaa kachoka kweli anatuliza mungu yupo anachekesha
anasema afumba macho ungempa na hii aya Mithali 16:30
[30]Afumbaye macho, kusudi lake ni kuwaza yaliyopotoka;
Aikazaye midomo yake hutokeza mabaya.
Shukuran kwa ukumbusho
Mashaalah mungu awazidishe ilmu, suratl Hud
7. Na Yeye ndiye aliye ziumba mbingu na ardhi katika siku sita. Na Kiti chake cha Enzi kilikuwa juu ya maji,
Masha Allah shukuran kwa ukumbusho huo Allah akulipe na akuzidizie
@@salimdaawah123 Amiin jazakumllaah kheyr nyinyi pia mwenyezi mungu awazidishe kheyri na elmu Amiin.
Safi
Mbona nyinyi mwampunguza mungu ati wewe ni mguu na mikono miwili upande wa kulia how
Aya gani au ni propaganda za kanisani kwenu
Asalam aleikum warakhmatullah ni simu yangu ilikua na shida, camera iko sawa.
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
Asalamu aleykum warahmatullahi wabarakatu mwenyeezi mngu awape nguvu kutuilimisha
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Mashallah
Sheekh marco ni kitabu gani kwa English
The book of mark
💖💖💖💖💖💖💖❤️🔥❤️🔥
Masha Allah tunakupenda kwa ajili ya Allah
Msieke picha za asnama kama 😮 hiyi haramu iliyo fichikana
Shukuran kwa ukumbusho huo
Wine = mvinyo.
Sauti hamna
Fungua tena iko sawa sasa
Mohamed nimtume wa kwanza wa kiislamu na wa mwisho.
Yohana 14:6 Mimi ndio njia na kweli na uzima.Nobody comes to the Father except by me
Umeupiga mwingi
@@faudhiasaidi3669 nini hiyo?
@@NathanielNathan-m4o
Umedanganya kusema mtume MOHAMMAD ni mtume wa kwanza
Yeye ni mtume wa mwisho sio wakwanza
@@faudhiasaidi3669 Nikupe maandiko toka Kwa Qur'an?
@@NathanielNathan-m4o
Lete
Bado hakuna
Iko sawa jaribu tena inn shaa Allah
Mashaallah
Mashaallah