mimba ya siku moja

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Dalili kuu za mwanzo za mimba changa
    bongoclass.com...

ความคิดเห็น • 82

  • @dottotibris7626
    @dottotibris7626 3 ปีที่แล้ว +5

    Mke wang mimi anatoka na dam kidogo sana inaweza ikatoka siku moja akashinda kesho ikatoka kidogo iyo ni uwezekano wa mimba upo

  • @debosstv43
    @debosstv43 3 ปีที่แล้ว +3

    Umeelezea vzuri sana !

  • @salmasaidi2875
    @salmasaidi2875 4 ปีที่แล้ว +3

    Daktari mie nashukuru Mungu hujua kwa masaa tu.dalili naziona na kumuambia muhusika ninahisi umenipa ujauzito na kweli baada ya siku 3-6 natia sahihi nimepatia

    • @bongoafya
      @bongoafya  4 ปีที่แล้ว

      Nicheki hapa kwa mawasiliano, Bofya link hapo chini maandishi ya bluu:-
      bongoclass.com/ushauri.html

    • @zawadindimbo8276
      @zawadindimbo8276 4 ปีที่แล้ว

      Kwan kawaid kweny kipimo knaonesh na wk ngp

    • @nasramponzi962
      @nasramponzi962 4 ปีที่แล้ว

      Unakuwa unajuaje

    • @tereslahnjerl1689
      @tereslahnjerl1689 2 ปีที่แล้ว

      Pia mimi najuanga tu nikishapata

  • @janetkibona4494
    @janetkibona4494 3 ปีที่แล้ว +6

    Samhni mi nilikutana na mwanaume siku za hatari lakini kila nikipima mimba amna I'la tumbo ni kubwa na sijaona siku zangu na amna dalili zozote mimba je hi Ni Nini sijaelewa na nimepima karibu mara mbili

  • @jojosiwa1493
    @jojosiwa1493 3 ปีที่แล้ว +2

    Me nimesex siku ya 3 na ya 5 na Sasa na week mbili naona maziwa yamejaa na yanauma uchovu uchovu japo sio sana na mapigo ya moyo yanaenda fastafasta nikifanya kazi kidogo hata nikifua sijui ntakuwa na mimba tayar doctor

  • @christinayusto6553
    @christinayusto6553 3 ปีที่แล้ว

    asantee kaka kwa elimu

  • @hekimaandindilile4000
    @hekimaandindilile4000 3 ปีที่แล้ว

    Doctor

  • @jacintermwongeli3409
    @jacintermwongeli3409 4 ปีที่แล้ว +1

    Saa zingine nikila Na sikia kutapika Na sometimes kizunguzungu. Naeza pata jibu

  • @maryeer6392
    @maryeer6392 11 หลายเดือนก่อน

    Doctor, naomba kujua kama ukinywa juice ya manjano pilipili manga na ubuyu una mathara yapi Kwa mjamzito?🙏

  • @elizabethkomba3954
    @elizabethkomba3954 2 ปีที่แล้ว

    doctor

  • @jokiemoni2225
    @jokiemoni2225 4 ปีที่แล้ว +1

    nc

    • @vumiliawambula1716
      @vumiliawambula1716 4 ปีที่แล้ว

      Asante kwa somo nzuri

    • @evahsyakyanula1722
      @evahsyakyanula1722 4 ปีที่แล้ว

      Samaha doctor me nilimaliza period kama Leo nilikaa xku ya kwanza ya pir nikachoma sindano nakufanya tendo LA ndoa xku iyo yapir nililochoma sindano he naweza kupata mimba

  • @magrethchaula3262
    @magrethchaula3262 2 ปีที่แล้ว

    Samahan hv mfano umeingia bread tareh 4 na ukasex Tena tareh 4 ya mwez mwingine uliotakiw kuingia bread je unawez Pata mimba

  • @aizackwille1536
    @aizackwille1536 2 ปีที่แล้ว

    Vx

  • @zuhurakifunda5744
    @zuhurakifunda5744 2 ปีที่แล้ว

    Je kuumwa na kiuno

  • @fatumamasumbuko5778
    @fatumamasumbuko5778 4 ปีที่แล้ว

    Asante

  • @tumainiezekia5873
    @tumainiezekia5873 3 ปีที่แล้ว

    Nimekuelew xn ahsante

  • @christophernkinda6487
    @christophernkinda6487 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani wewe nimkweli saaaana

  • @brigitamakoha9941
    @brigitamakoha9941 4 ปีที่แล้ว

    Hahahahahaha yarabiiii sauti jamani

  • @estermafuru4254
    @estermafuru4254 3 ปีที่แล้ว

    Docta

  • @damaricygeofrey2444
    @damaricygeofrey2444 3 ปีที่แล้ว +1

    Samahani doctor Mimi nimefanya siku ya17 tangu nimelize hedhi nina mzunguko wa siku28 je inawezekana kupata ujauzito??

    • @chabychaby7779
      @chabychaby7779 2 ปีที่แล้ว

      Cku hii ya 17 ni kwa wenye mzunguko wa cku 30 Damaricy

  • @shukranijuma2155
    @shukranijuma2155 2 ปีที่แล้ว

    Doctor mbn mi nahic dalil z mimba nkimp sin mimb n tang juz natokwa n dam nyepesi

  • @elisaes3758
    @elisaes3758 2 ปีที่แล้ว

    Doctor mzunguko wangu ni wa 28 so nimepata hethi tarehe 1paka tarehe 4 mwezi huu wa nane lakini doctor nasikia kichefuchefu but sitapiki lakini tumbo lanauma kujoka sijuwi kuna nini help me plz doctor

  • @hanifadoreen833
    @hanifadoreen833 4 ปีที่แล้ว +1

    Samahan doctor mm kila nikila chakula huwa nahis kizunguzungu Kwel tafadhal naomba unisaidie

    • @bongoafya
      @bongoafya  4 ปีที่แล้ว

      Nicheki hapa kwa mawasiliano, Bofya link hapo chini maandishi ya bluu:-
      bongoclass.com/ushauri.html

    • @azizaally4233
      @azizaally4233 3 ปีที่แล้ว

      Mk

  • @janethinnocent2177
    @janethinnocent2177 ปีที่แล้ว

    Me naomba kujua niliingia period trh 2.na nikasex trh12 je naweza nikawa nimebeba mimba.lkn trh23 nimeanza kuona damu

    • @bongoafya
      @bongoafya  ปีที่แล้ว

      Wasilina nami hapa www.bongoclass.com/hq/

  • @hubbyhusen4936
    @hubbyhusen4936 4 ปีที่แล้ว +1

    Kila anaye shika ujauzito mwanzoni n lazima ataona damu kidogo?

    • @bongoafya
      @bongoafya  4 ปีที่แล้ว

      Si lazima, ila inakuwa hivyo kwa wengi, huweza kutofautiana muda ila wengi huwa wiki ya pili

  • @kanakamama4496
    @kanakamama4496 4 ปีที่แล้ว +3

    Je, mwanmke anaweza kupata mimba kwa siku mbili

    • @bongoafya
      @bongoafya  4 ปีที่แล้ว

      Mimba inaingia kwa siku moja

    • @mohamedsuleyman1106
      @mohamedsuleyman1106 4 ปีที่แล้ว

      Mimba inaingia kwa siku moja sema inatungwa kwa wastani wa kuanzia wiki mbili

    • @salmasaidi2875
      @salmasaidi2875 4 ปีที่แล้ว

      Pana iwezekani km kwa siku moja na wanaume 2/3

  • @noelambondeka6942
    @noelambondeka6942 3 ปีที่แล้ว +1

    nisaidie namba dactar

    • @grelimachannel4931
      @grelimachannel4931 3 ปีที่แล้ว

      Nilibrid tarehe 11 na tarehe 28 nikasex je naweza kupata mimba?

    • @muhsinhassan5273
      @muhsinhassan5273 ปีที่แล้ว +1

      Dokta mm nahisi kizunguzungu uchovu na natokwa na uchafu sehemu za siri unatowa harufu ila sio kali sani na mwili wangu kila mda najihisi mchovu sana naomba jibu doctor

  • @annajoseph5492
    @annajoseph5492 4 ปีที่แล้ว +2

    Samahani Doctor naomba kuuliza mimi nimeanza kuona period tareh 30 hadi tareh 3 tareh 13 ambayo ni siku ya 14 tumekutana na mwanaume mimba inaweza kuwa imeingia?

    • @user-pw4ot8he2f
      @user-pw4ot8he2f 3 ปีที่แล้ว

      Dada apana mpaka Siku 15

    • @kiumanursingtv1647
      @kiumanursingtv1647 3 ปีที่แล้ว

      Inawezekana ikawa imeingia aula haijaingia, hii kitu inategemea na mzunguko wko sio wote mzunguko wao ni siku 28, Kama yai lilipevuka cku 3 nyuma au siku 3-5 mbele basi unaweza ukapata mimba, Karibu kwa swali

  • @grelimachannel4931
    @grelimachannel4931 3 ปีที่แล้ว

    Nilibreed tarehe 11 nikasex tarehe 28 je ninaweza kupata mimba mzunguko wangu ni wa siku 30

  • @jacintermwongeli3409
    @jacintermwongeli3409 4 ปีที่แล้ว

    Daktari Mimi Nina mimba ya miezi miwili natokwa ni damu nyepesi, saa zingine inatoka Na matone kwa wiki mbili Na bado inaendelea Na hayo matone ya kitoka naumwa Na kiuno Sana inaeza Kua ni shida gani sababu Na sikia tumbo yangu ikiwa nzito

  • @babagoma7242
    @babagoma7242 4 ปีที่แล้ว

    Doctor samhn pirod nimeona tarh21 tareh24 nimalize nikafany tendo la ndoa bada hapo naenda choon nikojoi nikona vitone kidog vya damu sijaona Tena je nitawezakuwa nimeshika mimba

    • @bongoafya
      @bongoafya  4 ปีที่แล้ว

      Ulijanya tarehe ngapi?

  • @bituniyhassan1940
    @bituniyhassan1940 ปีที่แล้ว

    Dr nimemalz pd mfano Jana leo nikakutan na mwanaume vp hap

    • @bongoafya
      @bongoafya  ปีที่แล้ว

      Huwezi PATA mimba hapo

  • @magrethnginda9405
    @magrethnginda9405 3 ปีที่แล้ว

    Dr nimeingia period 23-5 na nimesex tarehe 5-6 je inawezekana nikapata ujauzito? Na uchafu unanitoka sehem za siri mweupe na mzito na unaarufu ila co xana

    • @bongoafya
      @bongoafya  3 ปีที่แล้ว

      upo uwezkanao wa ujauzito

    • @magrethnginda9405
      @magrethnginda9405 3 ปีที่แล้ว

      Okay xawa ila uchafu mzito mweupe unatoka sehem ya sili na unaarufu xana

    • @bongoafya
      @bongoafya  3 ปีที่แล้ว

      @@magrethnginda9405 kama uchafu unatoa harufu hivyo huwenda kuna infection ya bakteria ama fangasi, fika kituo cha afuya kwa vipimo zaid

  • @saimonimpesatigo8005
    @saimonimpesatigo8005 3 ปีที่แล้ว

    Je, kama tumbo linauma chini ya kitovu nayo ni dalili ya mimba?

  • @aishakhatibu2175
    @aishakhatibu2175 ปีที่แล้ว

    Dokta tangu nitumie siku za hatar kusex na mwezngu nahis nna gesi na kichwa kinauma sana najihis mchofu sana je nidalili ya mimba au ni gesi tu

    • @bongoafya
      @bongoafya  ปีที่แล้ว

      www.bongoclass.com/hq/
      Wasilina nami hapa

  • @mohdsefu451
    @mohdsefu451 2 ปีที่แล้ว

    Ukitoka vichembe vya manii rangi nyeupe na rangi ya maruni maruni kwa mbali vilivyo changanyika Zaid ya sku3 je inawezekana kua mimba

  • @faithnatasha1938
    @faithnatasha1938 3 ปีที่แล้ว

    Shida za homornol usababisha umwagikaji wa mimba

  • @janethiman3706
    @janethiman3706 4 ปีที่แล้ว

    Jeee kupata maumivu makali chini ta tumbo nayo nidalili ya kimba docta

    • @bongoafya
      @bongoafya  4 ปีที่แล้ว

      Nicheki hapa kwa mawasiliano, Bofya link hapo chini maandishi ya bluu:-
      bongoclass.com/ushauri.html

  • @annajoseph5492
    @annajoseph5492 4 ปีที่แล้ว +1

    Naisi kama nina mimba ila Kuna siku dam ilitoka kama matone kidogo tatizo nn

    • @bongoafya
      @bongoafya  4 ปีที่แล้ว

      Uwezekano wa mimba upo

    • @bongoafya
      @bongoafya  4 ปีที่แล้ว

      Huenda umebeba ujauzito tayari

    • @dazuuhrajabu5564
      @dazuuhrajabu5564 3 ปีที่แล้ว

      Mm nakojoa Mara kwA mara

  • @happycleophas3416
    @happycleophas3416 2 ปีที่แล้ว

    Doctor m nimesx siku 15 baad ya sex je inauwezekano wa kupata mimba n nilingia pirod tar 16 nanikakutana na mwanaume siku ya 15 je inauwezekano wa kupata mimba

  • @aminamasimba8168
    @aminamasimba8168 4 ปีที่แล้ว

    Je kama siku ya hatar ni tareh 10 na ukasex trh 9 je hapo mimba inaweza ikaingia

    • @bongoafya
      @bongoafya  4 ปีที่แล้ว

      Ndio inaweza kuingia

  • @mariamnyadzua6185
    @mariamnyadzua6185 4 ปีที่แล้ว

    M huona hedhi tarehe kumi n sita ama kumi n nane lakini sahi nimechelewa kuona,n sahi naona huo uchafu n pia tumbo laniuma kwa chini,so hapo naeza kuwa n mimba plz naomba unijibu

    • @bongoafya
      @bongoafya  4 ปีที่แล้ว

      Huenda una PID njoo wasap tuzunhumze zaidI
      Nicheki hapa kwa mawasiliano, Bofya link hapo chini maandishi ya bluu:-
      bongoclass.com/ushauri.html

    • @agathaagatton211
      @agathaagatton211 4 ปีที่แล้ว

      I have the same problem Doctor 😢

    • @geddycharles2656
      @geddycharles2656 3 ปีที่แล้ว

      Mh docta. Me nlikutana na mwanaume ck ya hatari ya 11 lkn nlikunyw majivu je naweza kupata mimba plz naomba unijibu

    • @mariumstanley7940
      @mariumstanley7940 3 ปีที่แล้ว

      Naomba nambazako dot

  • @chozochozo3043
    @chozochozo3043 3 ปีที่แล้ว

    Je hayo maumivu ya tumbo nilazma yawepo km unamimba

    • @priscapatrick3756
      @priscapatrick3756 3 ปีที่แล้ว

      Mwili umechoka mda wote kama nilale tu kichwa kinaniuma sana na nimejipima mwenyewe nimeona mtari mmoja tu je inaweza kuwa mimba kweli

  • @jumamlewa9977
    @jumamlewa9977 4 ปีที่แล้ว

    Iv mimba inaanza kuonekana niezimingapi ukipima

    • @bongoafya
      @bongoafya  4 ปีที่แล้ว

      Inategemea na kipimo ulichotumia. Mimba unaweza kuiona hata ikiwa na wiki 2

    • @nurumbago9938
      @nurumbago9938 3 ปีที่แล้ว

      Wiki2