Jinsi ya kuhesabu Mzunguko wa Hedhi wa Siku 28

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 80

  • @JackHaidan
    @JackHaidan 16 วันที่ผ่านมา +1

    Nimependa

  • @DoriceSephania-jh6lc
    @DoriceSephania-jh6lc 6 หลายเดือนก่อน +3

    Habr doctor kwann nachelewa kuingia kwenye sk zangu unakuta nakaa mwezi miez miwil bl kuona sk zangu doctor naomba unisaidie👏👏

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  6 หลายเดือนก่อน

      Nadhani hapo kuna shida uende hospitali watakuandikia Dawa

  • @LindaSalvatory-v2o
    @LindaSalvatory-v2o 8 หลายเดือนก่อน +1

    Asante doctor

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  8 หลายเดือนก่อน

      Okay

  • @OmbeniPallangyo-tv5dg
    @OmbeniPallangyo-tv5dg ปีที่แล้ว +1

    Asante sana doct

  • @MageMwalongo
    @MageMwalongo 10 หลายเดือนก่อน +2

    Habar docta xamani nimeanz period tareh 28 je xiku yang yakupata mimba ni xiku ya 11 au

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  10 หลายเดือนก่อน

      Fuatilia video zetu ndugu yangu

  • @aminahjaffu5119
    @aminahjaffu5119 2 ปีที่แล้ว +2

    Mzunguko wangu ni wa siku 30
    Nimeingia period tareh 30/10/2022 na period yangu naingia siku 7
    Je. Siku zangu za hatari ni kuanzia tarehe ngapi

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  2 ปีที่แล้ว

      Sikiliza video ya siku za hatari ya Dr.Mwanyika

  • @SaddaHussein-oc8ui
    @SaddaHussein-oc8ui 11 หลายเดือนก่อน +3

    dokta mm nimeingia period tareh16hadi tareh20 nimemaliza sasa ni siku ipi ya mm kushika mimba nikienda kwa mwanaume wangu

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  11 หลายเดือนก่อน

      Naomba ujifunze kujua mzunguuko wa hedhi kwanza kabla ya kujua siku za hatari kwenye video zetu hapa

    • @SaddaHussein-oc8ui
      @SaddaHussein-oc8ui 11 หลายเดือนก่อน +1

      anhaa sawa ila unaweza ukanisaidia

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  11 หลายเดือนก่อน

      Message WhatsApp namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu

    • @SaddaHussein-oc8ui
      @SaddaHussein-oc8ui 11 หลายเดือนก่อน +1

      @@DrMwanyika mbn sion namb je unawez ukanitumia tuwasiliane whatssap

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  11 หลายเดือนก่อน

      @SaddaHussein-oc8ui Iko kwenye profile picha hapo juu mkuu

  • @JulyCecile-t5k
    @JulyCecile-t5k หลายเดือนก่อน +1

    Mimi doct nabadilisha mwezihuu ninitatizo

  • @mariamnur1036
    @mariamnur1036 ปีที่แล้ว +2

    Mm Nina mzunguko kwa siku 7 tangu uschana wangu na sina matatizo yyte doctor

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  ปีที่แล้ว

      Hakuna mzunguuko wa siku 7 hapa Dunia naomba fuatilia video zetu kuhusu mzunguuko wa hedhi!

    • @fatmamrihani6828
      @fatmamrihani6828 11 หลายเดือนก่อน +1

      Huo sio mzunguko hizo n siku unazoingia hedhi😂😂

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  11 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

    • @HaruniEmillio
      @HaruniEmillio 7 หลายเดือนก่อน

      Kama nikiingia period tar 24 siku za kubeba mimba ni zipi

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  7 หลายเดือนก่อน

      @HaruniEmillio Fuatilia video zetu hapa TH-cam

  • @edithaprecious
    @edithaprecious 29 วันที่ผ่านมา +1

    Dr ukishikirik tendo siku ya 22 baada ya kumaliza period kwa mzunguko wa siku 28 unaweza kupata mimba au?

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  29 วันที่ผ่านมา

      Hapana

    • @edithaprecious
      @edithaprecious 29 วันที่ผ่านมา +1

      @@DrMwanyika okay sawa doctar but sijaingia period hadi sasa na siku yangu ya period ilikua jna trh 10 ,sijui tatzo ni nin lakin nanyonyesha pia

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  26 วันที่ผ่านมา

      @edithaprecious Message WhatsApp number iko kwenye profile picha hapo juu mkuu

  • @AmourMohammed-nk7zh
    @AmourMohammed-nk7zh 6 หลายเดือนก่อน +1

    Habari doctors mm toka nijifungue miezi saba sasa nimepata hedhi cku moja t sasa apo nahesabu vp

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  6 หลายเดือนก่อน

      Tafadhari sikiliza videos zetu ndugu

  • @LoneWolf-r3p
    @LoneWolf-r3p 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi nilipata talee 28 mwez wanne ,nimeugua cku 3 adi nne ,zimekata je cku zangu zaatari kuanzia taleengap kutokea apo

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  6 หลายเดือนก่อน

      Sifahamu ndugu yangu ujue mzunguuko wa hedhi kwanza

  • @LeoniahLeonard-xd8cg
    @LeoniahLeonard-xd8cg ปีที่แล้ว +1

    Dr abali naitaji kutumia kalenda kupanga uzazi wa mpango mizunguko wangu siku 28 siku atali ni zipi

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  ปีที่แล้ว

      Bonyeza link hii sikiliza video
      th-cam.com/video/-KbGU9cYwAw/w-d-xo.html

  • @MoïseMusengeBaruani
    @MoïseMusengeBaruani 6 หลายเดือนก่อน +1

    Dr tafadhali naomba nisaidie nilipokuwa sijazaa nilikuwa naenda tarehe 20 ila toka nizae inabadilika kuwa tarehe 3 nifanye je

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  6 หลายเดือนก่อน

      Naomba usikilize video vizuri Mkuu

  • @WalterWilliam-z9v
    @WalterWilliam-z9v 3 หลายเดือนก่อน +1

    Binafsi mm mzunguko wangu hauko sawa hubadilika Kila mwezi siku 28 wakati mwingine 30

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  2 หลายเดือนก่อน

      Message WhatsApp number iko kwenye profile picha hapo juu mkuu

  • @AnnaMasimba
    @AnnaMasimba 5 หลายเดือนก่อน +1

    Doctor kuna mzunguko wa siku29 au ukiwa unaoda vitone siku ya kwanza ya period auisebu? Na unaanza hesabu siku ya pili

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  5 หลายเดือนก่อน

      Naomba ufuatilie video zetu hapa TH-cam

  • @giftshauri8521
    @giftshauri8521 ปีที่แล้ว +1

    Mimi niliingia period tarehe 6 nikamaliza tarehe 8 nikakutana na mtu wangu tarehe 23 je naweza kupata mimba

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  ปีที่แล้ว

      Sifahamu mzunguko nitafute WhatsApp kwa maelekezo zaidi namba iko profile picha yangu hapo juu

  • @JescaMkali
    @JescaMkali 11 วันที่ผ่านมา +1

    Mh mm kil mwez ni tar Hy Hy inawah kidg nainacherewa kidg kwamfan tar21 mwez mwgn 22 hvhv sas unavyosem kil mwez natar tofaut cielew

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  10 วันที่ผ่านมา

      Message WhatsApp number iko kwenye profile picha hapo juu mkuu

  • @Nasma-p1d
    @Nasma-p1d 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mimba usoma kwenye kipimo ikiwa na umuri Gani?

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  6 หลายเดือนก่อน

      Fuatilia video zetu hapa TH-cam

  • @LeahMamkwe
    @LeahMamkwe 6 หลายเดือนก่อน +1

    Dokta me naingia tarehe 13 mzunguko siku 28 siku za hatari ni tarehe ngap

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  6 หลายเดือนก่อน

      Sikiliza video ya siku za hatari kwa Mjamzito ya Dr.Mwanyika

  • @peterkadelya5490
    @peterkadelya5490 ปีที่แล้ว +1

    Niandike namba nikutafute saiv soon namba yako

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  ปีที่แล้ว

      Namba iko kwenye profile picha hapo juu mkuu

  • @RhodaPhilipo-s3g
    @RhodaPhilipo-s3g ปีที่แล้ว +1

    Doctor naomba kuuliza kuja mzunguko wa siku 18?

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  ปีที่แล้ว

      Sijakuelewa ndugu yangu

  • @witnessmmari9902
    @witnessmmari9902 ปีที่แล้ว +1

    habri docta nna swali la muhimu Jee mfano mzunguko wangu ni siku 28,lakini mwezi uliofuata nikaja kupata hethi tarehe ya mbele kwa kupishana siku mbili, inamana huo mwezi nikihesabu mzunguko utaku 30sio 28 tena hilo ni tatizo?

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  ปีที่แล้ว

      Hapana unaweza ikatokea hivyo ila hazitakiwi kupishana sana labda kuwa 35 au 22 hiyo si sawa ila kwa hivyo ni kawaida t

    • @witnessmmari9902
      @witnessmmari9902 ปีที่แล้ว +1

      asante docta kwakunielewesha

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  ปีที่แล้ว

      Okay

  • @happyisack2732
    @happyisack2732 ปีที่แล้ว +1

    Doctor samahani Mimi naingia period siku 4 je siku zangu za hatari ni zipi?

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  ปีที่แล้ว

      Sikiliza video ya siku za hatari ya Dr.Mwanyika

  • @jamilamohammed2441
    @jamilamohammed2441 ปีที่แล้ว +1

    Mm wala mzunguko wango hauko sawa period nimeingia 24/ 10 /2022 na period iliyo fata nimeingia 21/ 11 /2022 na period naingia siku 7

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  ปีที่แล้ว

      Nitumie message WhatsApp number iko kwenye profile picha yangu hapo juu kwa maelekezo zaidi

    • @jamilamohammed2441
      @jamilamohammed2441 ปีที่แล้ว +1

      Okay sawa

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  ปีที่แล้ว

      Okay

  • @GetrudaLaurent-yn8rx
    @GetrudaLaurent-yn8rx ปีที่แล้ว +1

    Hello Dr,,,,,,, naomba jiuliza jinsi ya kuhesabu siku ya kubeba mimba au kwakuwa wanasema Ni cku kumi nne ndo hyhy ya kila tare ya kila mwez......pleas help me

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  ปีที่แล้ว

      Tuma message WhatsApp number iko kwenye profile picha hapo juu

    • @GetrudaLaurent-yn8rx
      @GetrudaLaurent-yn8rx ปีที่แล้ว

      @@DrMwanyika jamn Dr mme wangu huwanga Ni mkorofi so tafadhali naomba nijibu haphapa

  • @sarachaula236
    @sarachaula236 ปีที่แล้ว +1

    Samahan Dr kama hedhi umepata ucku je unaanza kuhesabu ck unayoamkia au unahesabu cku ya nyuma yake

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  ปีที่แล้ว

      Unahesabu tu kwa kufuata mfumo wa masaa siku mpya inaanza saa 6 kamili usiku

    • @sarachaula236
      @sarachaula236 ปีที่แล้ว +1

      @@DrMwanyika asante Dr nashukuru

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  ปีที่แล้ว

      Okay

  • @mwanjafides4088
    @mwanjafides4088 ปีที่แล้ว +1

    Mzunguko wa hedhi ya mwanamke wa siku 30 unahesabuje?

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  ปีที่แล้ว

      Nitafute WhatsApp number iko kwenye profile picha yangu hapo juu

  • @Melvinreshma
    @Melvinreshma 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nitaptaje namba yako ya whatsap

    • @Melvinreshma
      @Melvinreshma 6 หลายเดือนก่อน +1

      Whatsap no

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  6 หลายเดือนก่อน

      Iko kwenye profile picha hapo juu

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  6 หลายเดือนก่อน

      Naomba unitumie message WhatsApp

  • @FatmaMbulyanga
    @FatmaMbulyanga ปีที่แล้ว +1

    Amahani.dokt.mm.nimeaza.kuona.ckuzang.taree29.nimetumia.siku.cta.je.sikuzang.zahari.zip

    • @DrMwanyika
      @DrMwanyika  ปีที่แล้ว

      Message Whatsapp namba iko kwenye profile picha juu mkuu