LISSU AMTAJA HAYATI MAGUFULI na RAIS SAMIA - "NAMSINGIZIA? RIPOTI HII INA MAPUNGUFU MAKUBWA"...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 42

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  4 หลายเดือนก่อน +3

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm

  • @VisentJohn-r3r
    @VisentJohn-r3r 4 หลายเดือนก่อน +7

    Nabado magufuli oyeeeeeeeeeeeee, magufuli juuuu shida yenu kila kitu mnapinga mkipewa uhuru mnaharibu mtajuana

  • @SalumObed
    @SalumObed 4 หลายเดือนก่อน +1

    Akili nyingi sana mzee

    • @AmiriMatinde-x7h
      @AmiriMatinde-x7h 4 หลายเดือนก่อน

      😂akili gani na kila siku wimbo ni magufuli badala atafute hoja za msingi asaidie watanzania wanyoge

  • @Madangaclassicwear
    @Madangaclassicwear 4 หลายเดือนก่อน +3

    😅😅😅😅😅😅hawahawa walikua wanampinga magufuli lkn kiukweli Tanzania saivi 😢😢😢😢😢

    • @MkoloniKitangita
      @MkoloniKitangita 4 หลายเดือนก่อน +1

      We waache2 c wanajikuta miungu hawatajulikana wameisha ishaje

  • @zengomikomangwa9264
    @zengomikomangwa9264 4 หลายเดือนก่อน +3

    Hivi Ulaya au Wazungu ndo wanajua sana Demokrasia au ni kuwaamini tu kuwa wao wanajua.

    • @MbangulaTungaliwe
      @MbangulaTungaliwe 4 หลายเดือนก่อน

      wanajua na hata sisi waafrika tunajua ila wanatukumbusha tunapokosea kwa makusudi hata nao wazungu wakikosea mfano walipomuua Gaddaf hata sisi waafrika uliwasema

  • @fahamnitwahir9249
    @fahamnitwahir9249 4 หลายเดือนก่อน +3

    Lissu ana akili sana

    • @AmiriMatinde-x7h
      @AmiriMatinde-x7h 4 หลายเดือนก่อน

      Lisu yeye aseme tu afadhali magufuli

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa hili taifa letu tunahitaji Mungu sana na si mawazo ya wanadam, naamdika moja kwa moja barua hii Mungu tusaidie utupe viongozi wewe watakaongoza vizur taifa letu ambao hawana chuki na taifa letu wasio penda kulalamika yaliyopita yamepita

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 4 หลายเดือนก่อน +2

    Sawa sawa naishairi serikali ifanye kila hali asilimia zishuke zaidi hatutaki uhuru wa kuongea huo uhuru wa kuongea anaetaka uhuru huo aende akaishi nchi za mashoga na wasagaji sisi sio wapuuzi kama hao

    • @MirajiMbolile
      @MirajiMbolile 4 หลายเดือนก่อน +1

      Umekuwa ng'ombe ? Watanzania bana kama huna mawazo nyamaza wapo wenye mawazo wataongea .

  • @dr.rajabmlekwachimile8699
    @dr.rajabmlekwachimile8699 4 หลายเดือนก่อน

    Tuna tatizo Gani sisi maneno ni mengi kwa miaka Hamsini Neno Moja tu UCHUMI halipo!

  • @alexandermutakha882
    @alexandermutakha882 4 หลายเดือนก่อน

    Nenda ukachonge viazi ulaya

  • @simonlukiko2850
    @simonlukiko2850 4 หลายเดือนก่อน +2

    HILI JAMAA NI LI SENG KWELI MAGUFURI MAGUFURI NENDA UKO KWA HAO MASHOGA FALA WEWE LINAFIKI

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o 4 หลายเดือนก่อน

    Umekubari mziki WA magufuli.

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 4 หลายเดือนก่อน

    Hata ninyi mkitawala mtakua zaidi ya hapo. Hao wanaopanga hizo alama wao wanapangiwa na nani?

  • @janethferous
    @janethferous 4 หลายเดือนก่อน

    Katika mtu alie kuwa anampinga magufur ni huyu jamaa kila kitu alicho kuwa anafanya magufur aliona kibaya hata kama nikizuri sijawahi kukupenda nasita wahi kukupenda kwa sababu sikiongoz mzalendo zaidi ya chuki

  • @lingwamalagila3003
    @lingwamalagila3003 4 หลายเดือนก่อน

    Yani huyu Lissu mimi sijui kama anajitambua sasa kama unaalazimisha na hauna kibali kwa nini yasikukute wewe ungetafuta sera unazokuja nazo unaongea mno na kelel amabazo always sijaona mambo ya maana unayojadili we are tired na kelele zako

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hiv mnapowakusanya hawa manyan'gau ili iwe nn? Huyo alipigwa risasi na wenzie analijua hilo? Tokeni hapa hamna lolote la kuisaidia nchi zaidi ya kuichonganisha nchi

    • @ReyySanka
      @ReyySanka 4 หลายเดือนก่อน +1

      Kwahiyo wew unafurahia kwa yanayoendelea

    • @MkoloniKitangita
      @MkoloniKitangita 4 หลายเดือนก่อน +1

      Anajipendekeza2 ka zezeta kujitambua aaaah! Muone vile

    • @juniorsteve7582
      @juniorsteve7582 4 หลายเดือนก่อน

      Shikamoo kaka jambazi

    • @IvetaSteven-b9z
      @IvetaSteven-b9z 4 หลายเดือนก่อน

      MABUMUNDA KAZIYENU NI MUMEZESHWA TU

  • @Thwahasopayiikaji
    @Thwahasopayiikaji 4 หลายเดือนก่อน

    Mr lisu anaye panga hizo asilimi ni nani? Nakama sio hao jamaa zako wazungu hakika wewe ni mnafiki

  • @MatokeoBahati-e8u
    @MatokeoBahati-e8u 4 หลายเดือนก่อน

    Kuna watu hapa mnakoment kwa kuludia ludia sijui vichwa vyenu vina maji sijui nyie ni vichawa yani hii tanzania acha tumuachie mungu maana yeye ndio muweza

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ole wenu muandamane na mkiandamana nyie viongozi mkae mbele kuna kitu mkione vizuri maana mkikaa nyuma hamatakiona vizuri

    • @goblessjrtz5464
      @goblessjrtz5464 4 หลายเดือนก่อน

      Wewe umbwa unatisha nani?

  • @HaroubRumbungu
    @HaroubRumbungu 4 หลายเดือนก่อน

    Mechi ya yanga na CBE ni saa ngapi?

  • @lingwamalagila3003
    @lingwamalagila3003 4 หลายเดือนก่อน

    Magufuli alishafariki kila maneno yako ni magufuli hakosi huna sra wewe

  • @humphreybilly7437
    @humphreybilly7437 4 หลายเดือนก่อน

    Kila kijana Alie comment mda huu sijui mna ttzo la kuto elewa? Au vichwa vyenu vina maji? Jaribu kusikiliza.

  • @TanzaniteInAmerica
    @TanzaniteInAmerica 4 หลายเดือนก่อน

    Zuchu amemnunulia baba yake gari mbona hamjaliongelea hilo but alivyomnunulia Angela kila media imepost?

    • @hoseamwambambale3503
      @hoseamwambambale3503 4 หลายเดือนก่อน +1

      We auna akili ww yaani zuchu ni wannn

    • @TanzaniteInAmerica
      @TanzaniteInAmerica 4 หลายเดือนก่อน

      @@hoseamwambambale3503 you must be out of your mind , I was not talking to you. Mind your business

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kwan hawa wanataka nn kwenye nchi yetu? C wangeenda kwenye nchi zao huko ubelgiji? Yaan yote hiyo ni kutetea matumbo na koo zao ni ujinga mtupu

  • @SurprisedCamel-ow6md9
    @SurprisedCamel-ow6md9 4 หลายเดือนก่อน

    Shida yako ndoiyo nenda kwawazungu ubeligiji unashida ww

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 4 หลายเดือนก่อน

    Hamjielewi mtawadanganya hao hao mazombi kwa wanaojielewa tunajua hila zenu