DALILI ZA MWANZO ZA HIV NA UKIMWI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 62

  • @Teaching356
    @Teaching356 2 หลายเดือนก่อน +4

    Anae ongea sauti ni kama mwenyewe ana ukimwi 😂😂😂😂😂nisameheni jamani😂

  • @obedmussa5099
    @obedmussa5099 4 ปีที่แล้ว +8

    Dokta uko vzr nadhan tumekuelewa

  • @ednahsambo2794
    @ednahsambo2794 3 ปีที่แล้ว +3

    Asantee doctor tumeelewa

  • @shabanimkumba1224
    @shabanimkumba1224 4 ปีที่แล้ว +5

    doctor mm Mwili unauma kunzia kiunoni mpaka Kwenye mabega nilikua nafanya Sana mazoez ya pushapu na yaviungo vya Mwili nimeacha Nazo nidalili

    • @marianahedward1157
      @marianahedward1157 4 ปีที่แล้ว +1

      Kunauwezekano wa kutopata ukimwi endapo unafanya ngono uzembe na MTU mwenye vvu

  • @PRMPS
    @PRMPS 3 หลายเดือนก่อน +2

    Vip Mimi nimetumia kondomu kwaufasaa Ila nina Homa vip inaweza kuwa dalili 😢

  • @happyzephania9413
    @happyzephania9413 14 วันที่ผ่านมา

    Doctor mm niliwah kutoka vipele vyekundu kweny matiti na mapaja baadae vikapotea nikanenepa hakuna mfano mbaya sana nilikuwa nanyonyesha mwanangu alianza kupungua bila sababu nahic n ukimw 😭😭

  • @kimsamir965
    @kimsamir965 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante doctar

  • @ابراهيم-ض6ص6غ
    @ابراهيم-ض6ص6غ 2 ปีที่แล้ว +9

    Je group o positive inaeza kuambukizwa virusi daktari nisaidie

    • @SholaSweetbert
      @SholaSweetbert 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ndugu ukimwi hauchagui group jilinde usidanganyike 😅

  • @kahejashukuru4797
    @kahejashukuru4797 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana

  • @malelabmalela5016
    @malelabmalela5016 4 ปีที่แล้ว +3

    jaman

    • @sabrinaerick2370
      @sabrinaerick2370 3 ปีที่แล้ว

      Kama unaukimwi unajuwa badaya sikungapi

  • @ARIYURAJABU
    @ARIYURAJABU 3 หลายเดือนก่อน

    Docta naomba kuuliza ivi kipimo Cha kinywani na kipimo Cha damu kwenye kidole kipi Bora zaidi katika kutoa majibu sahihi?

  • @LovenessGodbless
    @LovenessGodbless 2 หลายเดือนก่อน +2

    Doctor samahani je ukishiriki tendo na mtu mwenyewe HIV na anatumia dawa kunauwezekano wa kumuambukiza mwenza wake

  • @halimamgeza352
    @halimamgeza352 3 ปีที่แล้ว +14

    Docta je hizo dalili za Kwanza mtu anaweza kutumia dawa na akapona au ukiingia ndo bas

    • @florahmushi748
      @florahmushi748 4 หลายเดือนก่อน

      Swali zuri

    • @fanuelgibsonmtalikwa8784
      @fanuelgibsonmtalikwa8784 3 หลายเดือนก่อน

      Pole sana ndg yangu

    • @Startk840
      @Startk840 หลายเดือนก่อน

      ​@@fanuelgibsonmtalikwa8784😂

    • @dcgyywqswe4562
      @dcgyywqswe4562 หลายเดือนก่อน

      Hapana huwez pona ila huwez kupoteza maisha kama utawah kuanza dawa.

  • @mwanaherimo9462
    @mwanaherimo9462 2 ปีที่แล้ว +3

    Mtu anayetumia dawa anaweza muambikiz ambae atumi dawa..? 🤔

  • @MildredWalusuna
    @MildredWalusuna หลายเดือนก่อน

    Doctor,,mm niko n swali,, mbona mm naumwa n shingo n mabenga,, nasikia pain n ndani,,shida inaweza kuwa nini,,nimeumwa kwa muda,,bt ii mwaka nimeumwa sana,,plz nipe advice,, ni buy dawa gn

  • @ashleystarqueen8780
    @ashleystarqueen8780 ปีที่แล้ว +3

    Tafadhali naomba unisaidie kama mimi sijaona dalili ya homa ndani ya wiki mbili bwanangu anaumwa akona homa anasema koo pia yawasha na kuna vitu kama piple kwa makwapa yake zimemtoka nikawa natoa lkn mm sijaona dalili tafadhali nikitaka kuokoa afya yngu nitafanyaje tafdhal maana mm sion dalili

    • @bongoafya
      @bongoafya  ปีที่แล้ว

      Nicheki whatsapp
      0719814730

    • @florahmushi748
      @florahmushi748 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@bongoafya dr nakupigia

  • @Asmaa-nk4ef
    @Asmaa-nk4ef ปีที่แล้ว +1

    Jaman ugonjwa una Tisha huu

  • @user-nl6xf1cg2y
    @user-nl6xf1cg2y หลายเดือนก่อน

    Doct mimi naon kama kikohoz kinakua kinanisumbua pia na mafua

  • @dullahshaaban9050
    @dullahshaaban9050 3 ปีที่แล้ว +4

    Hivi ni kweli minyoo zinaweza kusababisha mtu kukohoa?

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 ปีที่แล้ว +2

    NIMESIKIA KWAMBA DALILI HIZI ZINAFANANA NA DALILI ZA MAGONJWA MENGINE...... SO SIULIZI SWALI DAKTARI AMETOSHA.....

  • @MusaMasagula
    @MusaMasagula 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hata mim nmetembea kwa mda mlef namweny ukimw lasipo kujua hiz dalil kwang sjazion ila nimenenepa san niuchov t ndio upo

  • @JolistaThomas-mc8jt
    @JolistaThomas-mc8jt 5 หลายเดือนก่อน +1

    Je doctor nimepima Sina virus lakn mpenz wangu niliyekuwa nae alikuwa muadhilika lakn Nina Miaka miwili sas nimeachana nae lakn napata homa Kali

  • @chrotildamathias9610
    @chrotildamathias9610 13 วันที่ผ่านมา

    Mbona doctor hajibu sasa

  • @MamaJesca
    @MamaJesca 22 วันที่ผ่านมา

    Mbn dalili hzo cn lakini kipimo kinaonesha unavirs au

  • @jemimabarnaba1348
    @jemimabarnaba1348 ปีที่แล้ว +1

    Samahan dactar j kubabuka mdom nay n dalili ya kwaz?

  • @careenpaul2328
    @careenpaul2328 3 ปีที่แล้ว +6

    Doctor na koo kukauka je??

    • @FrolianaBernad
      @FrolianaBernad 3 หลายเดือนก่อน

      Nacheka kama mazuri

  • @kungugeni
    @kungugeni 2 หลายเดือนก่อน

    Ukitomba peku auwezi kupata ukimwi ukitumia kondomu ni raisi kupata ukimwi akiri kichwani kwako

  • @TamarahSarah
    @TamarahSarah 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi nimeswakia mswaki wa mgonjwa wa ukimwi mswaki wake nilichanganya mswaki lkn niliukuta ukiwa mkavu je naweza kupata?

    • @florahmushi748
      @florahmushi748 4 หลายเดือนก่อน

      Yaani Nasubiri Ili jibu kwa hamu

    • @Teaching356
      @Teaching356 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@florahmushi748kama aliswaki kwa muda mfupi ukautumia ndio labda kama ameswaki na mswaki ukakaa masaa kadhaa hupatwi na kwa vitu vya ncha kali ni ivo ivo.

    • @NuratyAlly-lq7xc
      @NuratyAlly-lq7xc 2 หลายเดือนก่อน +1

      Duuuh ni hatari mno

  • @user-yo1kj1wu3i
    @user-yo1kj1wu3i 2 หลายเดือนก่อน

    mim nina vindonda2 kwenye mdomo vip naona sielewi

    • @Teaching356
      @Teaching356 2 หลายเดือนก่อน

      Kapime

  • @violetnjau6290
    @violetnjau6290 3 ปีที่แล้ว +2

    Dokt mtu anaeza kukaa miez zaid y mitatu bila kupata dalili hizo zote

  • @OmbeniRobert
    @OmbeniRobert 2 หลายเดือนก่อน

    Nimekwishaa

  • @BrightYuvenal
    @BrightYuvenal หลายเดือนก่อน

    😢😢😢

  • @ARIYURAJABU
    @ARIYURAJABU 3 หลายเดือนก่อน

    Ivi mbu aking'ata mwenye virusi anaweza kuambukiza wengine

    • @Teaching356
      @Teaching356 2 หลายเดือนก่อน

      Hapana mbu uambikiza malaria.

  • @KhadijaJacob
    @KhadijaJacob หลายเดือนก่อน

    Ivi kunenepa nakwenyewe ni dalili ya ukimwi je kama mjamzito kanenepa inaweza kua ni dalili ya ukimwi?

    • @dcgyywqswe4562
      @dcgyywqswe4562 หลายเดือนก่อน

      Ndio hii ni miongoni mwa dalili... Thabiti

    • @KhadijaJacob
      @KhadijaJacob 29 วันที่ผ่านมา

      @@dcgyywqswe4562 unanenepa ndan ya muda gan kuanzia upate maambukizi

  • @jacksonombati3896
    @jacksonombati3896 4 ปีที่แล้ว +1

    Daktari je mtu anaye tumia Arvs vizuri anaweza kumuambukiza mtu virusi vya ukimwi?

    • @bongoafya
      @bongoafya  4 ปีที่แล้ว +1

      Nicheki hapa kwa mawasiliano, Bofya link hapo chini maandishi ya bluu:-
      bongoclass.com/ushauri.html

    • @judithnikasi3651
      @judithnikasi3651 3 ปีที่แล้ว

      @@bongoafya habr

    • @mmjj1574
      @mmjj1574 ปีที่แล้ว

      @@bongoafya naomba Yako dokta tuwasiliane samaan

    • @JosephuSwai
      @JosephuSwai 3 หลายเดือนก่อน

      Hawezi