JINSI YA KUHESABU TAREHE YA KUJIFUNGUA|| JIFUNZE KUHESABU EDD|| DR. SARU||

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 133

  • @eliakatoki5618
    @eliakatoki5618 2 ปีที่แล้ว +5

    Naomba nisaidie Mimi niliingia mala ya mwisho tarehe tarehe 15/9/2021 mtoto naweza kupata mda gan

  • @dianaselestine3138
    @dianaselestine3138 2 ปีที่แล้ว +8

    Asanteee sana doctor kwa mafundisho mazuri, mi napenda kuuliza swali kidogo, tarehe 29/12/2021 ndipo niliona period ya kwanza, nilikuwa Naomba unisaidie kunihesabia ntajifungua tarehe ngapi na ni mimba ya kwanza 🙏🙏🙏

    • @aishacharles344
      @aishacharles344 ปีที่แล้ว +1

      Utazaa tareh 5/9/2022

    • @linahjoseph3926
      @linahjoseph3926 ปีที่แล้ว

      Na mm ni tarehe 13/4 kuona period je ni lini nitajifungua

    • @rizikimarie6765
      @rizikimarie6765 10 หลายเดือนก่อน

      Jinsi alivyo kwambiaga ilikuwa kweli? Ulizaaga uo mwezi 9 au mwezi 10? Nijibu tafazali

    • @MwanahamisNsila-sz1kr
      @MwanahamisNsila-sz1kr 7 หลายเดือนก่อน

      Tujibu basi vp ulizaa iyo date?

    • @StellastefanoMgalla-dd6qz
      @StellastefanoMgalla-dd6qz 2 หลายเดือนก่อน

      Dokita habali ya kazi samahan mimo piliod yangu ya kwanza niliona tarehe 10/4/2024 nitajifunguwa talehe gapi naomba nisaidie​@@aishacharles344

  • @SinorinaBaxweso
    @SinorinaBaxweso 8 หลายเดือนก่อน +2

    Habari docta

  • @halfankidaha4029
    @halfankidaha4029 ปีที่แล้ว +3

    Asante docta mm nashidwa kuelewa ninpopga hesabu napata 32ambayo ni siku mwez wa 3 je itakuwa mwez gan hapo sasa

  • @elizabethmhapa3658
    @elizabethmhapa3658 4 หลายเดือนก่อน

    Asante sana

  • @najmamgallah8154
    @najmamgallah8154 7 หลายเดือนก่อน

    Samahani doctor naomb unisadie, hedhi yng y mwisho n 22,8, 2023 je nitarajie kujifungua lini?

  • @KhadijaMuhamedi-l7u
    @KhadijaMuhamedi-l7u ปีที่แล้ว +1

    Asante sana doctor kwa mafunzobyako mm period yangu ya mwisho ilikuwa tarehe 7/3/2023 je mpaka sasa inaweeek ngapi doctor plss

  • @RechoMubwambo
    @RechoMubwambo 11 หลายเดือนก่อน +1

    Samahn docta m nilipata tarehe 20,_mwez watatu nikamaliza tareh 24 naoomba unisaidie kunihesabia nitajifungua tarehe ngap

    • @dr.sarupendoTV
      @dr.sarupendoTV  10 หลายเดือนก่อน

      unafaa uwe umeshajifungua sasa. hoogera daa

  • @JescaItenda
    @JescaItenda หลายเดือนก่อน

    Samahan Dr mimi sikumbuki siku yangu ya mwisho ,ila nakumbuka nmefanya tendo tarehe 1/9/2024 naomba unisaidie kujua ntajifungua lini

  • @MagrethIazaro-fv7lm
    @MagrethIazaro-fv7lm ปีที่แล้ว

    Ahsante doctor kwa mafunzo yako mimi period yangu ya mwisho tarehe 21.2.2023 je nina wiki ngapi

  • @sarahonesmo-cd7iz
    @sarahonesmo-cd7iz ปีที่แล้ว +2

    Habar doctor mm mwisho wa tarehe ya kubleed ni 30/8 je CK yang ya kujifungua ni lin

    • @dr.sarupendoTV
      @dr.sarupendoTV  9 หลายเดือนก่อน

      22 weeks 6days today

  • @LavendaNafula-zn8le
    @LavendaNafula-zn8le 7 หลายเดือนก่อน

    Habari docta naomb unisadie piriod yangu ilikua tarehe 5-mwezi wa nane nikamaliza tarehe 8 naomb unisaidie kunihesabia nitajifungua tarehe ngp please 😢😢😢

  • @emmyfoyi8461
    @emmyfoyi8461 ปีที่แล้ว +1

    Doctor daaaah kwel kbs hapa nina mimba nimepiga hesabu kweli Tarehe imekuja kama nilivyokadiriwa clinic

  • @wahidaswaibu6821
    @wahidaswaibu6821 3 ปีที่แล้ว +5

    Asalam alaykum warahmatullh wabarakatu

  • @PriscaSimon-k4q
    @PriscaSimon-k4q ปีที่แล้ว

    Asante sana doctor kwa mafunzo yako mazuri na kama period ya mwisho ni tarehe 25.1.2023 atatalajia kujifungua lini

    • @dr.sarupendoTV
      @dr.sarupendoTV  ปีที่แล้ว

      1/11/23 Hongera mama na Shukran kwa comment yako

    • @BethinaMlawa-k1u
      @BethinaMlawa-k1u 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@dr.sarupendoTVahsante sana Dr samahan mm tarehe ya mwisho kuona period ilikuwa 26/4/2024 na niko na mimba ya miez miwili nawiki mbili je naweza kujifungua lini madam nisaidie tafadhar

  • @MatiasNicholas
    @MatiasNicholas 5 หลายเดือนก่อน +1

    Sanahan mm mala mwisho kuona sk ilikua tareh3?mwwz 10j najifungua lin plese nakuom dadang

  • @latifaomari5592
    @latifaomari5592 ปีที่แล้ว

    Asante dokta kwamafundisho mimi niliona mara yamwisho siku zangu trh tano mwezi wa kumi na moja mwaka 2022 je nitarjie kujifungua mwezi gani?

    • @dr.sarupendoTV
      @dr.sarupendoTV  ปีที่แล้ว

      Agosti 12 mwaka huu. Hongera mno

    • @GentilleMuhasa-dt8fv
      @GentilleMuhasa-dt8fv ปีที่แล้ว

      Asante kwa mafundisho mimi Mara ya mwicho niliomba 23/02/2022 sasa muganga anasema ntahifunguwa 30/11/2022

  • @sweettumatuma8116
    @sweettumatuma8116 10 หลายเดือนก่อน

    Habari dr mimi nilianza hedh tarehe 15 mpaka 18 mwezi wa 8 jee nitajifungua lini

    • @dr.sarupendoTV
      @dr.sarupendoTV  10 หลายเดือนก่อน

      Leo hii uno na wiki 20 na unatarajiwa kujifungua tarehe 21 Mei mwakani. kila lakheri dada

  • @peterhusen8846
    @peterhusen8846 2 ปีที่แล้ว +1

    Mm nilipata pliod yang mwez wa 10 talah 24 nitajifungua lin naomb kujua

  • @carolynewerunga9112
    @carolynewerunga9112 5 หลายเดือนก่อน

    Doctor na nikipata mimba januari tarehe moja 2025 nafaa kujifungua mwezi wanane 2025 au ni watisa 2025

  • @magrethemmanuel5479
    @magrethemmanuel5479 5 หลายเดือนก่อน

    Ahsant dr mm tarehe yakuona period 26.9.2023 najifungua lin

  • @marryhezroni3317
    @marryhezroni3317 ปีที่แล้ว

    Dkt samahani period yangu ya mwisho ilikuwa tarehe 19, 4, 2023, hapo hadi sasa niko na week ngapi

  • @Tedymussa
    @Tedymussa 7 หลายเดือนก่อน

    Samahani doctor Mimi period yangu ya mwisho tarehe 2/9/2023 je nategemea kujifungua lini

    • @dr.sarupendoTV
      @dr.sarupendoTV  7 หลายเดือนก่อน

      Leo hii una wiki 29 na siku tano, targhe ya kujifungua au edd ni 8/6/24 kila la kheir mpenz

  • @kimbejoseph
    @kimbejoseph ปีที่แล้ว +1

    Siku ya mwisho ya herdhi ni tarehe 4/4/2022 kwaiyo nitarajie kupata mtt tarehe mgsp

  • @ashakhamis9093
    @ashakhamis9093 ปีที่แล้ว

    Mm mwisho kuona piriod ni tareh 18/7 /2022 sjui mimba Ina miez mingap? Na sjui ntajifunguwa mwez gn plss naomba msaaada juu ya Hilo?

  • @fatmamhea1212
    @fatmamhea1212 2 ปีที่แล้ว

    Mm ya trh ya mwisho ni 4 mwezi wa 8 plz nihesabie nimeshachoka

  • @salmaomar6472
    @salmaomar6472 6 หลายเดือนก่อน

    Dokta mm period yangu ya mwisho ni 13/1/2024 matarajio yangu ya kujifungua itakuwa lini

    • @JudithNabintu-m1k
      @JudithNabintu-m1k 6 หลายเดือนก่อน

      Your due date is October 19 2024🎉

  • @estermkwizu
    @estermkwizu 5 หลายเดือนก่อน

    jee kama ni tarehe 31 mwezi wa nane ndo nmeanza period najifungua linii

  • @nicodemusletaba9263
    @nicodemusletaba9263 2 ปีที่แล้ว

    Plz doctor nataka unihesabie,nliona period ya mwisho tarehe 3/11/2021,niambie ikona week gapy

  • @cynthiabovanizer1633
    @cynthiabovanizer1633 2 ปีที่แล้ว +1

    Mim niliona siku zangu siku ya mwisho ilikiwa tarehe 10 mwez was nne na Nina ujauzito je nitakuwa na mimba ya miez mingapi na nitajifunguwa lini

  • @lucasbigawa3108
    @lucasbigawa3108 2 ปีที่แล้ว

    Dr plz nmeshindwa kuelewa tarehe yangu n 26/02 /2022

  • @gressjoseph5615
    @gressjoseph5615 3 ปีที่แล้ว +1

    Mi cjaelewa hata nimeingia tarehe 13 mwezi wa 6 nikatoka 17 ko mimba yangu inaumri gani na nitajifungua lini

  • @SharifaRajabu-ys8tq
    @SharifaRajabu-ys8tq ปีที่แล้ว

    Asante doctor lakin Mimi nimeshindwa kwenye njia zote period yangu ya mwisho ni tarehe 26/03/2023 naomba unisaidie kuhesabu

  • @JescaMarwa-q3m
    @JescaMarwa-q3m หลายเดือนก่อน

    Habari doctor je kama period imesha 27-7-2024 inakuaje hapo

    • @dr.sarupendoTV
      @dr.sarupendoTV  หลายเดือนก่อน

      hongera Leo upo wiki nane. targhe ya kujifungua mwezi wa tano tarehe 3

  • @khanifakhalfan389
    @khanifakhalfan389 ปีที่แล้ว +1

    Doctor Samahan mm period yang ya mwisho niliingia 28mweza wa 4 had 31 je nitakuwa na ujauzito wa wiki ngap ikiwa leo ni tareh 10/5

  • @LindsyShannz
    @LindsyShannz 3 ปีที่แล้ว

    Nice. Nimeelewa

  • @mariamhamady1834
    @mariamhamady1834 2 หลายเดือนก่อน

    Me period nimeona mwisho tareh2 mwenz 5 mimba inaweza ikawa ina wik ngap

  • @SafiaNassorOmar
    @SafiaNassorOmar 6 หลายเดือนก่อน

    Mm ultrasound yangu inasema trh 17 /2024 ni kwel hii trh

    • @dr.sarupendoTV
      @dr.sarupendoTV  6 หลายเดือนก่อน

      Tumia Tarehe ya period hio ndio sahihi mda mwingi

  • @KhairatSalim
    @KhairatSalim ปีที่แล้ว

    Mm niliona piliod yangu ya mwisho 5 mwezi wa nane tafadhali niesabie

    • @dr.sarupendoTV
      @dr.sarupendoTV  11 หลายเดือนก่อน

      Leo una wiki 17 na siku moja hongera mwaya

  • @florienneniyonsavye3113
    @florienneniyonsavye3113 8 หลายเดือนก่อน

    Mme period ya mwisho 18/7/2024 najifunguwa lini?

    • @JudithNabintu-m1k
      @JudithNabintu-m1k 6 หลายเดือนก่อน

      Your due date is November 6 2024

  • @ashaali6125
    @ashaali6125 9 หลายเดือนก่อน

    Mimi dr niliingia tarehe23 mwezi 4 jeee naomba unambie ntajifungua lini

    • @dr.sarupendoTV
      @dr.sarupendoTV  9 หลายเดือนก่อน

      41 weeks today hongera

  • @hamisijumbe3942
    @hamisijumbe3942 2 ปีที่แล้ว +2

    Samahani mm nimeibeba.mwezi.wa.3 talehe 22 je.kujifunguwa.wangapi

    • @cecylawa7975
      @cecylawa7975 ปีที่แล้ว

      Tar km yangu ila Kwa 2023 je ulijifungua tar ngap mpendwa

  • @elizabethmrema6598
    @elizabethmrema6598 2 ปีที่แล้ว

    Mm sjaelew jmn mm hedh yangu ilikua tr 20 mwz 10 mwk 2021 ndio siku yng y Mwisho je nitajifungua tr ngp

    • @rehemamasoud2352
      @rehemamasoud2352 2 ปีที่แล้ว

      Nlivyoelewa mimi ni kwamba kma hiyo tarehe 20 ndio tareh yako ya kuanza kuona hedhi k la ya kupta mimba ( yaani nleed ilianza tareh 20 had tarehe kadhaa) kwa mwez wa 10 unachukua 20 unaongeza 7 unapta tareh 27 kwenye mwez unatoa 3 hivyo 10 toa 3 unapata 7 na mwaka unaongeza moja unapata 2022 hivyo tarehe ni ltarege 27.07.2022 ( Leo) utupe mrejesho sasa kma zimepatia au zimekarbiana....

  • @tutindagajohn
    @tutindagajohn 2 หลายเดือนก่อน

    Samahani doctor kama mtoto alikalia mguu nini dawa yake
    Tangia nimejifungua mguu mmoja unauma Sana naomba msaada

  • @nairaswaleh3079
    @nairaswaleh3079 3 ปีที่แล้ว

    Dr piriod yangu ya mwisho nilipata 28.10.2020 matarajio itakua lini?

  • @sarahonesmo-cd7iz
    @sarahonesmo-cd7iz ปีที่แล้ว +3

    Siku ya mwisho ya hedhi ni 30/8 je naweza PATA mtoto mwez gan

  • @AttuMhiche
    @AttuMhiche 6 หลายเดือนก่อน

    Tarehe ya kwanza ya hedhi31/1/2024nitajifungua lini

  • @sharifarashidy536
    @sharifarashidy536 ปีที่แล้ว

    dokta tareh 12 /12/2022

  • @Irene-gq9pz
    @Irene-gq9pz 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani hivi ukitumia kidonge alafu ukienda kufanya ten unapata mimba

  • @jumamalenga4239
    @jumamalenga4239 2 ปีที่แล้ว

    Dkt Mimi piliod yangu ya mwisho nimeona talee 26 /10/2022 je najifungua talee ngap?

  • @meaningoflife651
    @meaningoflife651 3 ปีที่แล้ว

    Sorry doctor mm cjaelewa ktu kdg tu? Yani unatakiwa uanze kuhesabu tarehe ya kwanza ya uliyo ingia period? Au tarehe uliyo maliza period? Mfano mm nliingia period mwezi wa 5 tarehe 4 nikamaliza tarehe 8 toka apo sijapata tena period kwahy Nataka kujua mimba yangu Ina miezi mingapi,?

  • @EvethaBurra
    @EvethaBurra 8 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini unajumlisha 7,9 na unatoa 3

    • @dr.sarupendoTV
      @dr.sarupendoTV  8 หลายเดือนก่อน

      Siku saba za week na miezi mitisa ya mwaka

  • @maryamujuma5596
    @maryamujuma5596 2 ปีที่แล้ว

    Samahan naomba unihesabie mm tarehe yng ilikuwa22-6 2021

    • @dr.sarupendoTV
      @dr.sarupendoTV  2 ปีที่แล้ว

      Uko wiki 41 kama uchungu haujaanza jipeleke hospital mwenyewe

    • @maryamujuma5596
      @maryamujuma5596 2 ปีที่แล้ว

      Xx mbona juz nimeenda cpital nimeambiwa nna wki31 na mm kwa nnavyohic nishapitiliza

    • @dr.sarupendoTV
      @dr.sarupendoTV  2 ปีที่แล้ว

      @@maryamujuma5596 kama tarehe yako ni hio ulionipa umepitiliza

    • @dr.sarupendoTV
      @dr.sarupendoTV  2 ปีที่แล้ว

      @@maryamujuma5596 th-cam.com/video/WGtSb_L1xg0/w-d-xo.html

    • @maryamujuma5596
      @maryamujuma5596 2 ปีที่แล้ว

      @@dr.sarupendoTV mm nakuwa nahic km nataka kutoka kitu huku chin nikitembea alafu tumbo linanibana na kuniachia alafu natoka na uchafu mweupe

  • @conslataaita7331
    @conslataaita7331 3 ปีที่แล้ว

    Mimi mara yangu ya mwisho kuona ni 11/5/2021 nitaona lini tena jibu

  • @leokadiadgerevas4484
    @leokadiadgerevas4484 3 ปีที่แล้ว

    Je kama imeingia 20/10 2020 na kutoka 23 matalajio ni lini

  • @fredychristopher5660
    @fredychristopher5660 3 ปีที่แล้ว

    Me mara ya mwsho kuon period yangu ni tarehe 25/7/2020je nitajifungua lini

  • @judithalex5057
    @judithalex5057 2 ปีที่แล้ว

    Kama sikumbuki tarehe y mwisho y period

    • @halimasaidi3369
      @halimasaidi3369 2 ปีที่แล้ว

      Doctor mm nimeona tarhe 11/7/2021je nitjifungua mwenz wa ngapi na tarhe ngap naomba msaada

    • @dr.sarupendoTV
      @dr.sarupendoTV  2 ปีที่แล้ว

      Leo hii Uko wiki 37 kwa hio wiki tatu tangia leo ama mda wowote ukifikisha wiki 38. Hongera mno

    • @dr.sarupendoTV
      @dr.sarupendoTV  2 ปีที่แล้ว

      Scanning itasaidia

  • @Nwowbeei
    @Nwowbeei 2 ปีที่แล้ว

    Dr ikiwa terehe ni 28/2/2022 na umeamua kutumia method no2 ambayo una plus 7 kwa tarehe na una ibdoa 3 kwa mwezi na kwa mwqkq unaongeza 1, swqli ni!! Hapo kwa mwezi utaondoa vipi mwezi wa pili unodoe 3?? 2-3?

    • @dr.sarupendoTV
      @dr.sarupendoTV  2 ปีที่แล้ว

      Tarehe yako itakuwa 5/12/2022. Hongera

  • @mariamumohamedi4047
    @mariamumohamedi4047 ปีที่แล้ว

    Sasa period yako ya mwisho kama ilianza tareh 31 itakuwaje hapo ukijumlisha na saba

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 ปีที่แล้ว

    Sijaelewa chochote, Sasa kama mtu piriad yake mwezi WA 10 anapangaje

    • @dr.sarupendoTV
      @dr.sarupendoTV  11 หลายเดือนก่อน

      nipe tarehe yako nikufanyie

  • @samiraahmed3832
    @samiraahmed3832 3 ปีที่แล้ว

    mbona hujibu coment

    • @dr.sarupendoTV
      @dr.sarupendoTV  3 ปีที่แล้ว

      Pole. Swali lako lilikuwa lipi

    • @aminamnyalu3525
      @aminamnyalu3525 3 ปีที่แล้ว

      @@dr.sarupendoTV mimi mwisho kupata hedhi ni 25/2/2021 je natarajia kujifungua lini?

    • @dr.sarupendoTV
      @dr.sarupendoTV  3 ปีที่แล้ว

      @@aminamnyalu3525 2/12/2021. Mungu akutangulie

    • @emmyemmy2553
      @emmyemmy2553 2 ปีที่แล้ว

      Sasa issue ya 2 weeks before na 2 weeks after ikoje?

    • @halimasaidi3369
      @halimasaidi3369 2 ปีที่แล้ว

      Doctor hunijbu

  • @peterhusen8846
    @peterhusen8846 2 ปีที่แล้ว

    Naomb nijib dockit

  • @sharieffardhil-vj1pf
    @sharieffardhil-vj1pf ปีที่แล้ว

    Nina swali. Hv mwanamke ambae hajawahi kuzaa. Akibeba mimba inaweza kuzid miezi tisa na hajajifungua?

  • @lahaburwabunywenge6784
    @lahaburwabunywenge6784 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi mwisho wa kupata edhi ilikua tarehe 2/3/2021 na kukutana Tena na mwanaume ilipita Kama wiki mbili je matarajio yangu ya kujifungua ni lini naomba unisadie

    • @madamlusy-dw9lk
      @madamlusy-dw9lk ปีที่แล้ว

      Mimi nimeblidi tarehe 24 je naweza kuwa .jammzito kwa leo

  • @goodnesssamwel223
    @goodnesssamwel223 3 ปีที่แล้ว +2

    Dr ww ni kiboko

    • @dr.sarupendoTV
      @dr.sarupendoTV  2 ปีที่แล้ว

      Shukran

    • @josephdaud9053
      @josephdaud9053 2 ปีที่แล้ว

      Tarehe yamwisho ni12mwez2 mwaka2022

    • @josephdaud9053
      @josephdaud9053 2 ปีที่แล้ว +1

      Tarehe yang.yamwisho ni12mwez2mwaka2022 ntajifungua lini