bongoclassafya
bongoclassafya
  • 21
  • 282 083
Vyakula vya protini
Vyakula vya protini
มุมมอง: 38

วีดีโอ

NATAMANI KWAKWELI JAMANI
มุมมอง 1363 ปีที่แล้ว
Nishairi lenye mahadhi ya ainayake yasiyo chosha hatakidogo kusikiliza linahusu tamaa zamoyo
ELIMU NIKILAKITU
มุมมอง 523 ปีที่แล้ว
nishairi zuri lenye kuhasisha nakuleta ladha juu ya umuhimu waelimu
JIFUNZE KITU HAPA
มุมมอง 523 ปีที่แล้ว
JIFUNZE KITU HAPA
UTENZI WA KIFO CHA MAALIM SEIF
มุมมอง 3.6K3 ปีที่แล้ว
Innalillahi wa inna ilayhi rajiuun
Njia za kupima ujauzito.
มุมมอง 11K3 ปีที่แล้ว
Video hii itakufundisha njianza kupima ujauzito pamoja na njia za asili zikizotumika kupima ujauzito nyakati za zamani.
Siku ya kupata ujauzito
มุมมอง 4193 ปีที่แล้ว
Video hii itakwenda kukufundisha namna ya kuijuwa siku ambayo unaweza kupata ujauzito.
Vyakula Hatari kwa mimba changa
มุมมอง 15K3 ปีที่แล้ว
Kuna vitu vingi vinavyochangia ujauzito kutoka, lakini vyakula huchangia kwa kiasi fulani. Video hii inakwenda kukuorodheshea vyakula hatari kwa mwenye mimba changa
Dalili kuu za vidonda vya tumbo na chanzo chake.
มุมมอง 1.4K4 ปีที่แล้ว
Vidonda vya tumbo vina dalili nyingi. Video hii inakwenda kukuletea dalili ambazo zimekuwa zikipatwa na watu wengi wenye vidonda hivi. Pia viideo hii inakuletea vyanzo vikuu ay vidonda vya tumbo. bongoclass.com/vidonda-vya-tumbo/vidonda.html
NJIA ZA KUONDOA KICHEFUCHEFU
มุมมอง 7K4 ปีที่แล้ว
NJIA ZA KUONDOA KICHEFUCHEFU
MIMBA YA MWEZI MMOJA
มุมมอง 24K4 ปีที่แล้ว
Utakwenda kujifunza dalili za mimba ya mwezi mmoja. Kumbuka kuwa dalili hizi zinaweza kunasibiana na mengine yahusuyo afya kama itakavyo elezwa kwenye video hii. bongoclass.com/afya-ya-uzazi/dalili-za-ujauzito.html
DALILI ZA MWANZO ZA HIV NA UKIMWI
มุมมอง 63K4 ปีที่แล้ว
DALILI ZA MWANZO ZA HIV NA UKIMWI
SIKU YA KUPATA MIMBA
มุมมอง 3064 ปีที่แล้ว
Ijue siku hatari kwa kupata ujauzito, zijue na dalili zake.
mimba ya siku moja
มุมมอง 76K4 ปีที่แล้ว
Dalili kuu za mwanzo za mimba changa bongoclass.com/afya-ya-uzazi/dalili-za-ujauzito.html
DALILI ZA MINYOO
มุมมอง 37K4 ปีที่แล้ว
Zijuwe dalili za minyoo hapa bongoclass.com/minyoo/index.html
SIKU YA KUPATA MIMBA
มุมมอง 2114 ปีที่แล้ว
SIKU YA KUPATA MIMBA
DALILI ZA MARADHI YA INI
มุมมอง 4.2K4 ปีที่แล้ว
DALILI ZA MARADHI YA INI
MAMBO HATARI KWA UJAUZITO
มุมมอง 1K4 ปีที่แล้ว
MAMBO HATARI KWA UJAUZITO
CHANGAMOTO ZA UJAUZITO NA MIMBA CHANGA
มุมมอง 14K4 ปีที่แล้ว
CHANGAMOTO ZA UJAUZITO NA MIMBA CHANGA
SIRI NZITO KUHUSU VIRUSI VYA KORONA (CORONA) KUHUSU chanzo chae na historia yake toka miaka ya 1960
มุมมอง 2794 ปีที่แล้ว
SIRI NZITO KUHUSU VIRUSI VYA KORONA (CORONA) KUHUSU chanzo chae na historia yake toka miaka ya 1960
NI ZIPI DALILI ZA MIMBA CHANGA
มุมมอง 24K4 ปีที่แล้ว
NI ZIPI DALILI ZA MIMBA CHANGA

ความคิดเห็น

  • @EsterWiliam-to5mb
    @EsterWiliam-to5mb 9 วันที่ผ่านมา

    Daah thanks u doctor

  • @TenglosNaaj
    @TenglosNaaj 10 วันที่ผ่านมา

    Asnte San doctor

  • @chrotildamathias9610
    @chrotildamathias9610 14 วันที่ผ่านมา

    Mbona doctor hajibu sasa

  • @happyzephania9413
    @happyzephania9413 15 วันที่ผ่านมา

    Doctor mm niliwah kutoka vipele vyekundu kweny matiti na mapaja baadae vikapotea nikanenepa hakuna mfano mbaya sana nilikuwa nanyonyesha mwanangu alianza kupungua bila sababu nahic n ukimw 😭😭

  • @Warda-o7e
    @Warda-o7e 17 วันที่ผ่านมา

    Tatizo mtangazaji umekunywa kvant nyingi😢

  • @NailaAmir-l9p
    @NailaAmir-l9p 19 วันที่ผ่านมา

    🙏

  • @MamaJesca
    @MamaJesca 22 วันที่ผ่านมา

    Mbn dalili hzo cn lakini kipimo kinaonesha unavirs au

  • @user-nl6xf1cg2y
    @user-nl6xf1cg2y หลายเดือนก่อน

    Doct mimi naon kama kikohoz kinakua kinanisumbua pia na mafua

  • @KhadijaJacob
    @KhadijaJacob หลายเดือนก่อน

    Ivi kunenepa nakwenyewe ni dalili ya ukimwi je kama mjamzito kanenepa inaweza kua ni dalili ya ukimwi?

    • @dcgyywqswe4562
      @dcgyywqswe4562 หลายเดือนก่อน

      Ndio hii ni miongoni mwa dalili... Thabiti

    • @KhadijaJacob
      @KhadijaJacob หลายเดือนก่อน

      @@dcgyywqswe4562 unanenepa ndan ya muda gan kuanzia upate maambukizi

  • @mwinyifakiomar4167
    @mwinyifakiomar4167 หลายเดือนก่อน

    Asnt sana

  • @BrightYuvenal
    @BrightYuvenal หลายเดือนก่อน

    😢😢😢

  • @MildredWalusuna
    @MildredWalusuna หลายเดือนก่อน

    Doctor,,mm niko n swali,, mbona mm naumwa n shingo n mabenga,, nasikia pain n ndani,,shida inaweza kuwa nini,,nimeumwa kwa muda,,bt ii mwaka nimeumwa sana,,plz nipe advice,, ni buy dawa gn

  • @user-sd7ms7wf9t
    @user-sd7ms7wf9t หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @MariaKibua
    @MariaKibua 2 หลายเดือนก่อน

    asante doctor

  • @juliethalananga6524
    @juliethalananga6524 2 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana kwa kweli kwa Elimu hii.

  • @LovenessGodbless
    @LovenessGodbless 2 หลายเดือนก่อน

    Doctor samahani je ukishiriki tendo na mtu mwenyewe HIV na anatumia dawa kunauwezekano wa kumuambukiza mwenza wake

  • @DeoTarimo-x8y
    @DeoTarimo-x8y 2 หลายเดือนก่อน

    Je kuwashwa mwil

  • @MasokaYangya
    @MasokaYangya 2 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @Teaching356
    @Teaching356 2 หลายเดือนก่อน

    Anae ongea sauti ni kama mwenyewe ana ukimwi 😂😂😂😂😂nisameheni jamani😂

  • @user-yo1kj1wu3i
    @user-yo1kj1wu3i 2 หลายเดือนก่อน

    mim nina vindonda2 kwenye mdomo vip naona sielewi

    • @Teaching356
      @Teaching356 2 หลายเดือนก่อน

      Kapime

  • @kungugeni
    @kungugeni 2 หลายเดือนก่อน

    Ukitomba peku auwezi kupata ukimwi ukitumia kondomu ni raisi kupata ukimwi akiri kichwani kwako

  • @OmbeniRobert
    @OmbeniRobert 2 หลายเดือนก่อน

    Nimekwishaa

  • @rahulraphael7324
    @rahulraphael7324 3 หลายเดือนก่อน

    Ndo unatufundisha nn km husemi madhara gani yanatokea

  • @marianamichael5406
    @marianamichael5406 3 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @AyubuMwasenga-u8f
    @AyubuMwasenga-u8f 3 หลายเดือนก่อน

    😂

  • @PRMPS
    @PRMPS 3 หลายเดือนก่อน

    Vip Mimi nimetumia kondomu kwaufasaa Ila nina Homa vip inaweza kuwa dalili 😢

  • @ARIYURAJABU
    @ARIYURAJABU 3 หลายเดือนก่อน

    Ivi mbu aking'ata mwenye virusi anaweza kuambukiza wengine

    • @Teaching356
      @Teaching356 2 หลายเดือนก่อน

      Hapana mbu uambikiza malaria.

  • @ARIYURAJABU
    @ARIYURAJABU 3 หลายเดือนก่อน

    Docta naomba kuuliza ivi kipimo Cha kinywani na kipimo Cha damu kwenye kidole kipi Bora zaidi katika kutoa majibu sahihi?

  • @user-zr9go2zl6m
    @user-zr9go2zl6m 4 หลายเดือนก่อน

    Kwani minyoo ndo amoeba??

  • @MusaMasagula
    @MusaMasagula 4 หลายเดือนก่อน

    Hata mim nmetembea kwa mda mlef namweny ukimw lasipo kujua hiz dalil kwang sjazion ila nimenenepa san niuchov t ndio upo

  • @eugeniakilawe198
    @eugeniakilawe198 4 หลายเดือนก่อน

    Thanks

  • @JolistaThomas-mc8jt
    @JolistaThomas-mc8jt 5 หลายเดือนก่อน

    Je doctor nimepima Sina virus lakn mpenz wangu niliyekuwa nae alikuwa muadhilika lakn Nina Miaka miwili sas nimeachana nae lakn napata homa Kali

  • @TamarahSarah
    @TamarahSarah 9 หลายเดือนก่อน

    Mimi nimeswakia mswaki wa mgonjwa wa ukimwi mswaki wake nilichanganya mswaki lkn niliukuta ukiwa mkavu je naweza kupata?

    • @florahmushi748
      @florahmushi748 4 หลายเดือนก่อน

      Yaani Nasubiri Ili jibu kwa hamu

    • @Teaching356
      @Teaching356 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@florahmushi748kama aliswaki kwa muda mfupi ukautumia ndio labda kama ameswaki na mswaki ukakaa masaa kadhaa hupatwi na kwa vitu vya ncha kali ni ivo ivo.

    • @NuratyAlly-lq7xc
      @NuratyAlly-lq7xc 2 หลายเดือนก่อน

      Duuuh ni hatari mno

  • @user-cq6vi2ih9o
    @user-cq6vi2ih9o 10 หลายเดือนก่อน

    Inaez athir human respiratory system?

  • @maryeer6392
    @maryeer6392 11 หลายเดือนก่อน

    Doctor, naomba kujua kama ukinywa juice ya manjano pilipili manga na ubuyu una mathara yapi Kwa mjamzito?🙏

  • @maryeer6392
    @maryeer6392 11 หลายเดือนก่อน

    Doctor, asante kwa mafunzo, ilaah naomba ulete somo la wanawake wenye miaka zaidi 40+, na bado wanatamani kupata mtoto,🇰🇪.

  • @tumainiyoltan2050
    @tumainiyoltan2050 ปีที่แล้ว

    Kwanza siku ya hedhi yako au siku uloshiliki tendo?

  • @Asmaa-nk4ef
    @Asmaa-nk4ef ปีที่แล้ว

    Jaman ugonjwa una Tisha huu

  • @ashleystarqueen8780
    @ashleystarqueen8780 ปีที่แล้ว

    Tafadhali naomba unisaidie kama mimi sijaona dalili ya homa ndani ya wiki mbili bwanangu anaumwa akona homa anasema koo pia yawasha na kuna vitu kama piple kwa makwapa yake zimemtoka nikawa natoa lkn mm sijaona dalili tafadhali nikitaka kuokoa afya yngu nitafanyaje tafdhal maana mm sion dalili

    • @bongoafya
      @bongoafya ปีที่แล้ว

      Nicheki whatsapp 0719814730

    • @florahmushi748
      @florahmushi748 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@bongoafya dr nakupigia

  • @mwajumamussa9359
    @mwajumamussa9359 ปีที่แล้ว

    Shukurani

  • @maiyaseif1300
    @maiyaseif1300 ปีที่แล้ว

    Kwani Kuna kipimo cha minyoo

    • @AgustRahma
      @AgustRahma 7 หลายเดือนก่อน

      Unapimw kupitia choo

  • @husnaharuna717
    @husnaharuna717 ปีที่แล้ว

    Mimi tumbo linaniuma

  • @abdallahkikungulu9141
    @abdallahkikungulu9141 ปีที่แล้ว

    Tatizo unaongea vitu unafananisha na vitu vingine tutaelewaje

  • @aishakhatibu2175
    @aishakhatibu2175 ปีที่แล้ว

    Dokta tangu nitumie siku za hatar kusex na mwezngu nahis nna gesi na kichwa kinauma sana najihis mchofu sana je nidalili ya mimba au ni gesi tu

    • @bongoafya
      @bongoafya ปีที่แล้ว

      www.bongoclass.com/hq/ Wasilina nami hapa

  • @bituniyhassan1940
    @bituniyhassan1940 ปีที่แล้ว

    Dr nimemalz pd mfano Jana leo nikakutan na mwanaume vp hap

    • @bongoafya
      @bongoafya ปีที่แล้ว

      Huwezi PATA mimba hapo

  • @jemimabarnaba1348
    @jemimabarnaba1348 ปีที่แล้ว

    Samahan dactar j kubabuka mdom nay n dalili ya kwaz?

  • @rahmawilliam6522
    @rahmawilliam6522 ปีที่แล้ว

    Asante dr

  • @alicewambui3507
    @alicewambui3507 ปีที่แล้ว

    Minyoo unaweza sababisha kutobeba mimba

  • @faizatabu8839
    @faizatabu8839 ปีที่แล้ว

    Mimi nilipima mstari Moja hujatoka vizuri mwengine hikatoka Kwa mbali na nimeona dam nyepesi Kwa siku 3 hikaisha sijui ni mimba na mdomo mchungu

    • @bongoafya
      @bongoafya ปีที่แล้ว

      Ni mimba hiyo, hongera

  • @bendasalim5637
    @bendasalim5637 ปีที่แล้ว

    Samahani mim tombo langu lote limebadilika nakukuwa mwekundu

    • @bongoafya
      @bongoafya ปีที่แล้ว

      Wasilina nami hapa www.bongoclass.com/hq/