Nampenda bure huyu anajua haswa nilikua sjui kuhusu story book lakn saiv ni mfuatiliaji mkubwa wa hii story book yaan anahadithia kama unaona vile he is great 😍😍😍
Husseiny hassany ISHU SI TU KUMUAMINI MWENYEZI MUNGU !!! HUU USEMI NI WA WATU WASIOJUA UHALISIA WA MUNGU ... BIBLIA INASEMA "" HATA MASHETANI WANAMWAMINI MUNGU NA KUTETEMEKA"" WEWE UNASEMA KWA MDOMO TU UNAMWAMINI !! WAO HADI WANATETEMEKA !! YAKOBO2:19 USIJIDANGANYE KUWA KWA KUSEMA KWAKO ETI UNAMWAMINI MUNGU NDIO UTAINGIA MBINGUNI ...HUJUI MAANDIKO WALA HUJAMJUA MUNGU BADO!! NIKUULIZE SWALI ? JE MASHETANI KWA KUMWAMINI MUNGU HADI KUTETEMEKA JE HIYO ITAWAFANYA WAINGIE MBINGUNI ??? JIBU NI HAPANA !!!! NA MAANDIKO YANASEMA "" MOTO WA JEHANAM AMEWEKEWA IBILISI NA MALAIKA ZAKE(MASHETENI AU MAPEPO NA MAJINI YOOOOTE WALA HAKUNA JINI ZURI KAMA MNAVYOAMBIWA) KUMWAMINI MUNGU NI KWANZA KUJUA YUPO KWA UHALISIA WALA HAPO SI SWALA LA IMANI TUU.. TUNAJUA YUPO KWA UHALISIA MAANA KILA SIKU TUNAONA MATENDO YAKE NA MIUJIZA YA UUMBAJI WAKE AMBAYO HATA WANASAYANSI HAWAJUI VIMEUMBWAJE MFANO MFUMO WA UBONGO UNAOZIDI HATA COMPUTER YOYOTE DUNIANI.... PILI NI KUISHI KWA MATENDO MAMBO YANAYOMPENDEZA MUNGU. SIO UNAKULA RUSHWA UNATUKANA UNAENDA KWA WACHAWI NA WAGANGA NDUGU ZAO UNAIBIA WATU UNARUSHA WATU UNA WANAWAKE KIBAO UNA MAHASIRA YA AJABU AJABU NA KUPIGA WATU HATA MKEO NK HALAF UNASEMA NAMWAMINI MUNGU !!! YUPI??? MSIDANGANYIKE YESU PEKEE ALITUMWA ULIMWENGUNI KUWAPATANISHA WANADAMU NA MUNGU KWA KIFO CHA MSALABA ILI KUBEBA ADHABU YETU WANADAMU. NA ILITABIRIWA TANGU AGANO LA KALE. ISAYA 53 PIA ISAYA 7:14 Inasema bikira (bila mwanaume)atachukua mimba atamzaa Yesu......nk. ANAYEMWAMINI YESU NA KUKUBALI KAZI YA MSALABA NA KUWA ALIKUFA NA KUFUFUKA NA ATAIHUKUMU DUNIA HUYO HATAHUKUMIWA. USIPOMWAMINI YESU JEHANAM INAKUSUBIRI USIJIDANGANYE NA DINI NA KUSHINDANIA DINI.. YESU PEKEE NI NJIA YA UZIMA YOHANA 14:6.. UKIANZA MABISHANO NA USIPOSIKIA NI JUU YAKO. MIMI NIMESHAKWAMBIA NA HUTAJITETEA SIKU YA HUKUMU KUWA HUKUJUA YESU PEKEE NDIO NJIA YA MBINGUNI
Mi ntaenda ase nkaishi huko majengo ya bure kabsa izo sauti naweka sabufa naweka nyimbo zangu sitasikia vilio wangap wataniunga mkono tuende wote tuwe majiran like hapo chini haha
Tumefulai watanzania kwa kupata chombo kingine cha utangazaji hongereni Sana wasafi kwa jitihada zenu ila ombi la watzd namba za simu za hii midia ili tupate kuwarushia matukio ya mitaani hususani na hizi mvuwa zinazo endelea ndilo ombi
Juma Muharami, Hebu tuachaneni na mambo ya kisengesng jamn,,hebu 2jaribu kucomments mambo ya maana kiasi ya kwamba hata m2 akiiona 2 comment yako huna hata haja ya kumuomba LIKE,,mwenyw anakupa 2uu kwa comment nzr uloandika,,Sio unaandika comment ya kuomba LIKE:MFANO;(Eti mm leo wa kwanza,mara cjui leo nimewahi wapilii nipeni Like zng 2acheni ndg znguni waTZ pa1 na waZNZ cc sote ni damu...,,Naomba msamaha kama na mm nilikosea ktk matamshi mana na mm pia nina mapungufu yng ikiwa ni kiumbe niloumbwa.,2endelee kurekebishana panapoonekana sehemu hucka ya kuwa m2 kakoseaaa..,,_- (FROM ZNZ HAPA).,I love people all from TZ and ZNZ for micks.
@@saidyssaley1509 But Allah ndio youngest God. Miungu yote niliokua nimetaja apo juu ilianza kujulikana kitambo sana. Kila dini inawafuasi na wanaishi kwa misingi ya mafunzo ya dini zao sio misingi ya dini ya Allah. Jehovah anawafuasi wengi kuliko Allah
Wangapi tunaingalia 2025 gonga like apa .
Tunaemuelewa mtiga bdalah gonga like kwa upendo nice voice brother
isack peter namuelewa sana
Nakupenda sana
Nimeipenda iiii stoli
Huyu mtu ana talanter ya usimuliaji
Good
Ana sauti nzur sana anajua kazi anatulia ,he is just awesome..sijui jina lake but i adore him..
Mtiga abdallah
Huyu msimulizi anafanya kazi nzuri sana. Inabidi mtu atazame video mpaka mwisho
Wangapi tunaiangalia 2024 gonga like apa.
Wap
Unyax
Kumamako
Nampenda bure huyu anajua haswa nilikua sjui kuhusu story book lakn saiv ni mfuatiliaji mkubwa wa hii story book yaan anahadithia kama unaona vile he is great 😍😍😍
Weee gonga like apaa kama umepatamani huko kuishi kwá kudra za mwenyenz mungu😂😂❤
Haya twende mtu wangu 😂😂😂😂
KAMA UNAMU AMINI MWENYEZI MUNGU GONGA LIKE HAPO 💓💓👇👇
Husseiny hassany ISHU SI TU KUMUAMINI MWENYEZI MUNGU !!! HUU USEMI NI WA WATU WASIOJUA UHALISIA WA MUNGU ... BIBLIA INASEMA "" HATA MASHETANI WANAMWAMINI MUNGU NA KUTETEMEKA"" WEWE UNASEMA KWA MDOMO TU UNAMWAMINI !! WAO HADI WANATETEMEKA !! YAKOBO2:19 USIJIDANGANYE KUWA KWA KUSEMA KWAKO ETI UNAMWAMINI MUNGU NDIO UTAINGIA MBINGUNI ...HUJUI MAANDIKO WALA HUJAMJUA MUNGU BADO!! NIKUULIZE SWALI ? JE MASHETANI KWA KUMWAMINI MUNGU HADI KUTETEMEKA JE HIYO ITAWAFANYA WAINGIE MBINGUNI ??? JIBU NI HAPANA !!!! NA MAANDIKO YANASEMA "" MOTO WA JEHANAM AMEWEKEWA IBILISI NA MALAIKA ZAKE(MASHETENI AU MAPEPO NA MAJINI YOOOOTE WALA HAKUNA JINI ZURI KAMA MNAVYOAMBIWA) KUMWAMINI MUNGU NI KWANZA KUJUA YUPO KWA UHALISIA WALA HAPO SI SWALA LA IMANI TUU.. TUNAJUA YUPO KWA UHALISIA MAANA KILA SIKU TUNAONA MATENDO YAKE NA MIUJIZA YA UUMBAJI WAKE AMBAYO HATA WANASAYANSI HAWAJUI VIMEUMBWAJE MFANO MFUMO WA UBONGO UNAOZIDI HATA COMPUTER YOYOTE DUNIANI.... PILI NI KUISHI KWA MATENDO MAMBO YANAYOMPENDEZA MUNGU. SIO UNAKULA RUSHWA UNATUKANA UNAENDA KWA WACHAWI NA WAGANGA NDUGU ZAO UNAIBIA WATU UNARUSHA WATU UNA WANAWAKE KIBAO UNA MAHASIRA YA AJABU AJABU NA KUPIGA WATU HATA MKEO NK HALAF UNASEMA NAMWAMINI MUNGU !!! YUPI??? MSIDANGANYIKE YESU PEKEE ALITUMWA ULIMWENGUNI KUWAPATANISHA WANADAMU NA MUNGU KWA KIFO CHA MSALABA ILI KUBEBA ADHABU YETU WANADAMU. NA ILITABIRIWA TANGU AGANO LA KALE. ISAYA 53 PIA ISAYA 7:14 Inasema bikira (bila mwanaume)atachukua mimba atamzaa Yesu......nk. ANAYEMWAMINI YESU NA KUKUBALI KAZI YA MSALABA NA KUWA ALIKUFA NA KUFUFUKA NA ATAIHUKUMU DUNIA HUYO HATAHUKUMIWA. USIPOMWAMINI YESU JEHANAM INAKUSUBIRI USIJIDANGANYE NA DINI NA KUSHINDANIA DINI.. YESU PEKEE NI NJIA YA UZIMA YOHANA 14:6.. UKIANZA MABISHANO NA USIPOSIKIA NI JUU YAKO. MIMI NIMESHAKWAMBIA NA HUTAJITETEA SIKU YA HUKUMU KUWA HUKUJUA YESU PEKEE NDIO NJIA YA MBINGUNI
Husseiny hassany
Duuuhh kwel mtiga uko frshhh
If u are watch this story up to now just put u are comment here
@@amanismithk Aa
Ambaye Wana mkubali mtiga Abdallah gonga like tujuwane
na muamini mungu tuh
Aisee km unamkubali huyu jamaa kwa simulizi zake hizi gonga like yako hap
Simuizi nzuri sana,ndugu msimulizi wa hadithi unasimulia vizuri sana napenda kwa jinsi unavyoelezea,tunakuelewa vizuri sana.
kama tunaaangalia wote now gongaaa like twende sawaaaaaa
Kaka unajitaid kutujuza n habar zako respect very looking nc
bongeeeee la Story...MTOGA umetishaaa (WCB)
Sio mtoga mtiga
Hawa Ally nashukr jmn kwa kunirekebisha
Angumbwisye. Asanteee kushukuru
@@frankangumbwisye6624 you're well come
Hawa Ally wow😄thankx
duuh. hataree. Nzuri. Sana'a. kutufahamisha. hongera. uko. vizuri🔥🔥
daaah wewe una juwa kazi bro the stor book suka na tembe 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩blook the stor book i love you bro
Pamoja mon frère congolais na mimi napenda sana the story book.
hi story ya kangbashi ni kweli nime angalia kwa Google keep up bro 😱😱😱
Mtiga Abdala Asante sana kaka,ume fanya tukajua mengi, mwenyezi Mungu akumbariki
Yaan kila mtu anaye comment apa ni likes anaomba khaa..c mbadilike
nimejifinza yakujifunza kweli dunian kuna mengi! I like it
Hii ni hatari ivi hii dunia ni hatari tunastaili kumuabudu mungu kila wakati
Amen amen amen
Pumpabufu
@@hamidasultan3877 Sasa mpumbavu ni nani ni wew au🙄🙄
Unasimulia vizuri hongera sana🔥🔥🔥🔥
0688917393
Kama unakubali story books na simulizi tamu gonga like
mtigwa jmni haludishwe😢😢 huyu kaka anafaa sana kwenye the story book walllah kwanza anakuweka attention na anajua ❤❤ mtwiga mashaaallah mashaaallah❤
I like much the story book ✌️✌️
Hua Unanifanya nijisikie mwenye faraja Sana mtiga asante sauti nzuri Sana
Upo juu mzee baba mtiga nakukubari sanaaa blooo😀😀👍
Mtiga And Jamal you guys are the best
Ukweli zulfa
@@husseinyhassany5696 umeona eeeh these guys i can say ni one of the best presenter na kati ya program zinazoongoza kwa kupendwa wasafi na hii pia ipo
@@creeper6057 hawa wanaabudu shetani
@@husseinyhassany5696 sio kweli bwana wewe umejuaje kama wanaabudi mashetani come on hebu tufurahie wenzetu wanapofanya kitu kizuri basi mshkaji wangu
Mmh
Story book mnatufundisha mengi sana big up sana
Wangapi Tunapenda The Story book iwe kila Siku
haaas
Hatari sana
Hatari sana
Nipeni Mimi mjengo mmoja waone nitakavyoishi kwa furaha kubwa,Yesu ameshinda nasi tutashinda,iko nguvu ndani ya jina la Yesu kristo
Nenda tu watakuruhusu kuingia huko na waumini kadhaaa ujaribu
@@swaumdodoma7591 aaaaaaah
Hatar!!!! Mungu ni Mungu tu,atabaki kuwa Mungu tu
Mi ntaenda ase nkaishi huko majengo ya bure kabsa izo sauti naweka sabufa naweka nyimbo zangu sitasikia vilio wangap wataniunga mkono tuende wote tuwe majiran like hapo chini haha
😅😅
broo upo vizuri
😂😂😂
Twende wote
@@GetrudaNehemiah hahaha shafikaa
simulizi nzuri sana na nimejifunza mengi
hao ndugu zetu wa china watujuze zaidi kuhusu kangbash
The Story Book is the most Episode which preferred with many people at Wasafi TV since created Big Up Mtinga Abdallah #
Bauujajzjkz
Nice
Mmmmhhhhh duniya simama.nishuke mungu tusaidie yawehukohuko china
Uko vzr brother ASante kwa story
2024 here we listen... 👍
Ukisikia mapinduzi ya habar ndo haya hongereni wasafi kwa kutupa burudani
Kama unaamini KUWA, UKIWA NA YESU UNAHISHI POPOTE KWA FURAHA LIKE.
TUNAISHI POPOTE MAANA YESU NDIE ATULINDAE
Wangapi tunaiangalia hii story 2020 gonga like mtigaa
2024😊
2024 december km bado upo hai
2024😅
Story nzuri pia mcmuliz anajua kutulis
Nakubari bro mtiga Asante kwa kuwa chomolea be trip! !☺☺
Duuuu majengomazur inaishimizim namashetani daaaaaaa
Hatari sana aisee mpk naogopa jmn
Nakubali saana simulizi zako kaka🙏
Piteni na like zenu ndugu leo wa 3
Anae mkubali mtiga kama mm basi like hapa
Story kali na nzuri piaa salout kwako mtiga abdalah
Kam@ unamkubali Jamal gonga like hpa chini
Daah!! Tatizooo Mtiga tunakusublii sanaaa adii jmoc aiseee 😬😬 Kama ulikua unawait jmoc ifikee ili umchekii the real deal gonga like apaah 🙌😆😝😝
Konki
jumamosi saa ngap
Wasaf.
Diamond
Diamond
Jaman kama binge kuwa huk binge karibu kuish manaaaa🥰🥰🥰🥰👍
Dah mzee uko vzur kwa hii kitu nakubali na naipenda kizazi Sana ☙💕👏👏👏
kama ndiyo kwanza unawatch honga like tuende pamoja
@Kelvin Novath peeeee
WCB 💥 wabunifu sana.
Kama umeichek 2020 gonga like twende sawa
safi sana tunajua vitu vingi kupitia the story book
Tumefulai watanzania kwa kupata chombo kingine cha utangazaji hongereni Sana wasafi kwa jitihada zenu ila ombi la watzd namba za simu za hii midia ili tupate kuwarushia matukio ya mitaani hususani na hizi mvuwa zinazo endelea ndilo ombi
Nilikua naitafutaa sana hii story BT now nimeipataa shukrani kaka
your the best mtiga abdallah
Sauti yako nzuri unashawishi mtu asikize story ata kama hakutaka kusikiza hongera
*hayah tunaomkubLi mtiga abdallah na kuwachomolea batr wasimuliz wengne tujuwane*
😂😂😂
@@mndigaboy2955 hivi sky na mtga n watu wawili tofauti?
@@hawaally5869 hahaha
Lkn @@hawaally5869swali lako sjalielewa hebu rudia tena swali lako🙏
@@hawaally5869 Sky ni wa sns na mtiga ni wa wasafi. Ni wawili tofauti. Au sijafaham suali?
aisee naikubali sana the story book
Tanzania ndio nchi pekee ambayo watu wanaomba like kwenye kaz za watu wengne sijui mnazipeleka wap
😂😂😂🤣
Haaahaa
Washambaa
Nakupenda sana Mtiga Abdalaah kwa kaz yako nzuri
❤❤❤❤❤❤❤❤
❤️❤️❤️❤️I love his voice ... amazing story 💯💯
Duuuu
Naipenda sana hii sauti. Masimulizi bora ya undani. Asante
Kaka nakuelewa sana
Sioni hasara mb's zangu ziishe kwa ajili yako
Thanks for Highlighting Historical teachings.
Mapeeana nimewah leo ata like moja jamn
Juma Muharami, Hebu tuachaneni na mambo ya kisengesng jamn,,hebu 2jaribu kucomments mambo ya maana kiasi ya kwamba hata m2 akiiona 2 comment yako huna hata haja ya kumuomba LIKE,,mwenyw anakupa 2uu kwa comment nzr uloandika,,Sio unaandika comment ya kuomba LIKE:MFANO;(Eti mm leo wa kwanza,mara cjui leo nimewahi wapilii nipeni Like zng 2acheni ndg znguni waTZ pa1 na waZNZ cc sote ni damu...,,Naomba msamaha kama na mm nilikosea ktk matamshi mana na mm pia nina mapungufu yng ikiwa ni kiumbe niloumbwa.,2endelee kurekebishana panapoonekana sehemu hucka ya kuwa m2 kakoseaaa..,,_-
(FROM ZNZ HAPA).,I love people all from TZ and ZNZ for micks.
@@allyderossi9742 that is true bro
I love the water book
Tigaaaa boy wasafiii bless up
Hii nimeipenda sana asante MONDI ahsante WASAFIII...
Wa 15 kucoment ....big up wasafi kwa story nzr
Your Gud bro ...hiyo sauti kipaji ....I love story book
Waa!! Sisemi kitu 🤗🤗👌
Nakuelewa sanaa Mtiga unajuwa unacho fanya
Ngoja nikaamie mimi huko nile bata pekee yangu ila kabla sijaenda kwanza napitia kwa bibi sumbawanga kujiboost
😂😂😂😂😂
😂😂😂
Kama una Mkubali mtiga like twende sawa
Nimependa wasafi TV, story ni nzur sana
Mashaallah raha sana bro 👍
king of voice 😍😍😍
Duh inatisha sana
The story book ninoma xana bro unajua 🙌
Hiii Dunia Anaijua ALLAH pekee
Majaab ya Allah
Kwaivo Jehovah, Krishna, Buddha na Mungu Mingine hawajui chochote kuhusu dunia hii?
@@BigZhumbe Yap hawajuwi chochote ktk ufalme wake Allah ila alitakalo Allah ndo watakalolihuwa
@@saidyssaley1509 But Allah ndio youngest God. Miungu yote niliokua nimetaja apo juu ilianza kujulikana kitambo sana. Kila dini inawafuasi na wanaishi kwa misingi ya mafunzo ya dini zao sio misingi ya dini ya Allah. Jehovah anawafuasi wengi kuliko Allah
@@BigZhumbe msubirie uyo yehova wako siku ukifika ndo utajua mbivu na mbichi
BIG UP BROTHER
Mtiga abdallah the geneus man
Kama ni sauti2 mzee baba ipo yaaan 🔥🔥🔥🔥
👍👍👍
One of the best voices,the narrator.
Voice of wonder....mtiga u have got good voice keep it up!
Yani acha tuu
@@rehemambonea4972 mmmmmm
Si unafunza sana bro
Mtiga Abdallah nakukubali sanaaaaa 💪👌
Nakubari sana ubunifu wenu keep on ....
Wasafi 👍👍👍
brother ungelikuwa mwlimu, basi ungelifundisha somo la historia au uraia, wanafunzi wangelifahuru vizuri,
Thanx for your teachings.
Mungu akuzidishie kwa kutupatia stori za kusisimua
UKO VIZURI SAAANA MTIGAH NA JAMAL APRIL KEEP GOING DOING IT
SHAIDANI MLIMWA mmmmh aiseee mambo mazitooo hayaaa mh
SHAIDANI MLIMWA mmmmh aiseee mambo mazitooo hayaaa mh
Mwenyezi mungu atupe subra.
Big up mtigaa 💪💪💪
I will follow your nyayo
Mondi mwenyewe anafuatilia Storybook kwa TH-cam haamini anachokiona Kwa huyu jamaa MTIGA
Hahaha
Sir-idd Ke hahhh
😀😀😀
Sir-idd Ke 😂😂😂😅😅😅
hahahaha
Hongera mjuba upovizuri sana
Wapi likes za wakenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wanao tazama the story book
Wakenya sisi hatuna ujinga huo wakuombana like na kupeana