MIKASA YA VAMPIRES KWENYE MAISHA YA UKWELI

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 887

  • @djgovione_official
    @djgovione_official 4 ปีที่แล้ว +91

    Wabongo Muache Unafiki Huyu Jamaa Apo Vizuri,Lalama Sio Nzuri,Chenye Sifa Kipewe Sifa,Musiwe Watu Wa Kuegemea Upande Mmoja! Hats Off Bro! Unaweza. Comment From 254

    • @francisruambothetechnician
      @francisruambothetechnician 4 ปีที่แล้ว +4

      Kwanza wcb amnaga vilaza ati, MTU akiwa wcb ujue ni fire

    • @handsomebabu5452
      @handsomebabu5452 4 ปีที่แล้ว

      Dj Govi One Official matako yako huyu unaweza mfananisha na jamaa

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว +2

      Hamna lolote hatusem kwamba ety tunamdharau ila huo ndo ukwel

    • @muslihmohd9420
      @muslihmohd9420 4 ปีที่แล้ว +3

      Yan hamfikii mtiga kwa chochote bora wamrejeshe tu

    • @queenwinnie256
      @queenwinnie256 4 ปีที่แล้ว +1

      @@francisruambothetechnician kabisa

  • @alinanuswemaclean1871
    @alinanuswemaclean1871 4 ปีที่แล้ว +15

    Story telling is an art, Jamal wewe ni noma sana, pamoja na kuandika simuliz kali lkn UNAZISIMULIA AS IF ulikuwepo kwenye hayo matukio. KEEP IT UP BRO

  • @jofreykyando2534
    @jofreykyando2534 4 ปีที่แล้ว +64

    Nimeipenda the story book, nakupongeza sababu simulizi inakwenda sawa na picha inanifanya hisia zangu ziende mbali...Big up saaaana.

  • @johnhamis3647
    @johnhamis3647 4 ปีที่แล้ว +11

    hii ni story na sio story tuu sabab mafundsho yake huez yapata ata university,, big up sana Jamal ,stori zako ni za kiufundi wa hali ya juu.

  • @emanueljoseph6170
    @emanueljoseph6170 4 ปีที่แล้ว +30

    jinsi ninavyozidi kumsikiliza Jamal April .ndivyo ninavyozidi kumkubali .keep it up bro

  • @tizoman7282
    @tizoman7282 4 ปีที่แล้ว +92

    The first viewer..drop your likes here if you are watching from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @dalancydevin4302
    @dalancydevin4302 4 ปีที่แล้ว +18

    Jamal 🔥 🔥
    Mtiga ✅✅
    Imeixha hiyoooo 🏃🏃

  • @kihimbotz5019
    @kihimbotz5019 4 ปีที่แล้ว +56

    Jamal your so mult talented.bro unaweza sana achana na izo kelele za watu saiv nshakuelewa upo vzr

    • @rodgerzdangote8629
      @rodgerzdangote8629 4 ปีที่แล้ว +1

      Back to me ni the same yuko vdhr

    • @lightnessshayo1783
      @lightnessshayo1783 3 ปีที่แล้ว

      Professional yake nzuri maana watu walimkejeli taratbu watamuelewaa

  • @harmonizevevo1092
    @harmonizevevo1092 4 ปีที่แล้ว +132

    Mm binafsi naipenda sana the story book 🤞🔥👽

    • @maleogame8745
      @maleogame8745 4 ปีที่แล้ว +4

      Jeshi nawew upo the story book

    • @abdlhaleem8380
      @abdlhaleem8380 4 ปีที่แล้ว +2

      Konde gang konde international konde artist number 1 in the world konde for everybody everybody..... Jeshiiiiiiiiiiiiii.......

    • @sofiaasukuku8238
      @sofiaasukuku8238 4 ปีที่แล้ว +2

      Unapoteya Kimia Kimia ,kijana ipo siku utachekwa ,mda si mrefu tu

    • @officialyolovatz9902
      @officialyolovatz9902 4 ปีที่แล้ว +2

      Harmonize VEVO

    • @officialyolovatz9902
      @officialyolovatz9902 4 ปีที่แล้ว +1

      Konde upo the story book

  • @rajabukiseto4103
    @rajabukiseto4103 4 ปีที่แล้ว +36

    Mapema sana tumekiwashaaaa🔥🔥🔥🔥

  • @abdallahomari9860
    @abdallahomari9860 4 ปีที่แล้ว +27

    jamaal anakuja alafu anakataa like 2shine wadau

  • @ItsThedon2Lorenzo
    @ItsThedon2Lorenzo 4 ปีที่แล้ว +39

    Kama unaangalia uku ukiogopa , Gonga like apa tujuane ☠️

  • @amoskizigha4781
    @amoskizigha4781 4 ปีที่แล้ว +53

    Kwa mtindo huu sishangai kuona subscribers 1+ millions on wasafi media

  • @ommykhan1748
    @ommykhan1748 4 ปีที่แล้ว +23

    Jamal april master story... 🔥🔥

  • @sikukuugudeh6327
    @sikukuugudeh6327 4 ปีที่แล้ว +3

    Kuna mashabiki wa mtiga mashabiki wa the story book
    . Mi shabiki wa the story book so ata aje mama dangote asimulie bora awe vzur tu 🔥🔥🔥🔥

    • @cimpaye5625
      @cimpaye5625 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🙈

  • @elshaarawymuhabesh316
    @elshaarawymuhabesh316 4 ปีที่แล้ว +38

    Story book nafatilia kwa ukaribu...

  • @chicharitoronaldo5950
    @chicharitoronaldo5950 4 ปีที่แล้ว +6

    Endeleaa kutupa story book jamal usikatishwe tamaa na wapumbavu wanaolalamika wanamtaka mtiga...maisha lazima yaendelee!!!!

  • @abelmbilinyi1262
    @abelmbilinyi1262 4 ปีที่แล้ว +15

    Nakubal sana Jamal the King

  • @deeligt8268
    @deeligt8268 4 ปีที่แล้ว +108

    Jamani Kidogo kidogo mbona tutaelewana kwa they story book mpaka tuwe sawaa😂😂😂😂😂

  • @flownmagnifico5188
    @flownmagnifico5188 4 ปีที่แล้ว +279

    Kama ushamwelew jamal April gonga like ,anajua

    • @LyonWalker_
      @LyonWalker_ 4 ปีที่แล้ว +4

      Anajua sana

    • @brothermo9343
      @brothermo9343 4 ปีที่แล้ว +4

      Simuelewi kabisa huyu jamaa

    • @maleogame8745
      @maleogame8745 4 ปีที่แล้ว +5

      @@brothermo9343 hata Mimi sikuelewagi kabisa yani fra tuuh yani

    • @brothermo9343
      @brothermo9343 4 ปีที่แล้ว +2

      @@maleogame8745 huwezi kunifikia mm navyo mchukia

    • @malungiboyz9372
      @malungiboyz9372 4 ปีที่แล้ว +2

      @@maleogame8745 humuelew anavyosimulia au lugha sio yako

  • @sportplatform4318
    @sportplatform4318 4 ปีที่แล้ว +17

    Jamal- April... Kwakwel kaka unaweza sana.. yaan unaweza unakipaji sana Cha kuandaa story mawazo yapo logically

  • @rodgerzdangote8629
    @rodgerzdangote8629 4 ปีที่แล้ว +16

    Nimejikubali kuwa mmi sio muoga nimeangalia Niko peke angu saa Saba usku na nimemaliza kwel Mimi ni noma

    • @neemapemmanuel2681
      @neemapemmanuel2681 4 ปีที่แล้ว +2

      😂😂usitudanganye

    • @josephinepeter7393
      @josephinepeter7393 4 ปีที่แล้ว

      😈asa hpo cha ajbu nn

    • @rodgerzdangote8629
      @rodgerzdangote8629 4 ปีที่แล้ว

      @@neemapemmanuel2681 kweli tena amini 😂😂

    • @rodgerzdangote8629
      @rodgerzdangote8629 4 ปีที่แล้ว

      @@josephinepeter7393 😂😂😂labda kama wewe ushazoea movie za kutisha Ila Mimi still sijazoea naona natishwa

  • @fatumamohamed8645
    @fatumamohamed8645 3 ปีที่แล้ว +1

    Napenda sana Story book inanielimisha sana na kunielimisha
    Nimefahamu mengi sana Shukran sana Jamal mola Azidi kukupa Nguvu uzidi kutuelimisha zaidi 🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @dogolakejamalapril7589
    @dogolakejamalapril7589 4 ปีที่แล้ว +62

    JAMAL_APRIL ANATISHAAAAAAAA SANA UYU MWAMBA🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @zilizotufikia946
    @zilizotufikia946 4 ปีที่แล้ว +4

    Jamal uko viko vizuri pia , piga kaz story kaliiiii.....

  • @boniphacekatunzi7865
    @boniphacekatunzi7865 4 ปีที่แล้ว +163

    Noma sana gonga like kama unamkubal jamal

  • @leonardtiato2452
    @leonardtiato2452 4 ปีที่แล้ว +20

    Makini sana wataelewa tu me ndio ushanishika kabisa

  • @kirupyseleman582
    @kirupyseleman582 4 ปีที่แล้ว +22

    Narudia tena hyu jamaa ni moto wa kuchomea tofali yani unazima lakini unanguzaa the story book ndo kwanzaaa inanzaa noga

  • @fynmimo
    @fynmimo 4 ปีที่แล้ว +11

    yalitutesa mazoea2 kwa mtilga ila mwamba nshamuelewa alkuw mgen2 ila kazi nzur kka

  • @robinsonmwila9773
    @robinsonmwila9773 4 ปีที่แล้ว +18

    Tumeanza kumwelewa huyu jamaa

  • @shubackmashinga3535
    @shubackmashinga3535 4 ปีที่แล้ว +33

    Kama umemwona stefano savaton wa kwenye vampire diaries na mako gonga like...

  • @abdallahramadhan583
    @abdallahramadhan583 4 ปีที่แล้ว +5

    The story book naipenda sana

  • @thenextmvp8568
    @thenextmvp8568 4 ปีที่แล้ว +49

    Wangapi tumeanza ku comment comment nzuri baada ya kusikia yule jamaa alikua anajiona

    • @joelyfrenk9670
      @joelyfrenk9670 4 ปีที่แล้ว

      Dah... Yan nmeshtuka ila big up sanaa jml

    • @uwalily1668
      @uwalily1668 4 ปีที่แล้ว

      Inatisha jamani

  • @joycesilvesta3595
    @joycesilvesta3595 4 ปีที่แล้ว +16

    Wasafi kwa the story book mpo vzr aisee

  • @salimucvales7495
    @salimucvales7495 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah akupe maisha marefu.

  • @andrewvictor3326
    @andrewvictor3326 4 ปีที่แล้ว +18

    Like zenu wadau

  • @buffontv4183
    @buffontv4183 4 ปีที่แล้ว +45

    *mtiga abdallah* popote ulipo nenda kaombe msamaha wasaf maan Jamal ni atar sasa hiv kaziba pengo lako

    • @salehekibusa7759
      @salehekibusa7759 4 ปีที่แล้ว +4

      Yule kasha kula dili azam TV hawezi enda omba msamah sema Alisha zoeleka maskion mwetu

    • @handsomebabu5452
      @handsomebabu5452 4 ปีที่แล้ว +1

      rashid buffonTv hawezi ziba pengo la jamaa

    • @ruckdodo7120
      @ruckdodo7120 4 ปีที่แล้ว +1

      Uyu me simuelewi kbs

    • @ibrahmaba7217
      @ibrahmaba7217 4 ปีที่แล้ว +2

      Jamal ni KING

    • @beatricejoseph4203
      @beatricejoseph4203 4 ปีที่แล้ว

      Awap ww hamfikii n kam mtiga atapat seem ya kujiweka at a ww utasepa uku

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 4 ปีที่แล้ว +1

    Huku Zambia watu wananyonya damu za watu na sijui wanapeleka wapi Nasikia wanaingia Usiku na Kuna vitu wanapulizia ndani wote wanalala Kisha wanafanya Tukio Hilo la kikatili. Mm nipo mpakani na Zambia na juzi kumetokea taflani Kubwa Kati ya serikali na wananchi, wanachi wanaamini Tukio Hilo linafanywa na serikali Yao pia Kuna Baadhi ya watu wamekamatwa na wengine kuuwawa na wananchi wenye hasira kali. Pia watoto ndiyo wanauwawa Sana watu Zambia hawalali! Yani hofu imetanda Sana matukio hayo yameanza kutokea mpakani na Zambia lakini mwanzo yalianza kutokea Zambia ndani huko Sasa yanazidi kusogea Jirani na mpaka wa Tanzani. Mungu atuokoe kwa matukio haya hili linadhiilisha kwamba mwisho wa dunia umekaribia 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @kassimulugajo6512
    @kassimulugajo6512 4 ปีที่แล้ว +12

    kama umeshaanza kumuelewa huyu jamaa gonga like

  • @jordanjorang1501
    @jordanjorang1501 4 ปีที่แล้ว +6

    This is amazing story in which when you hear on it you feel very exited

  • @abubakarimsere
    @abubakarimsere 4 ปีที่แล้ว +8

    GONGA LIKE KWA JAMALI MUSTAPHA

  • @saleheomary4947
    @saleheomary4947 4 ปีที่แล้ว +106

    Kwa wale wnaosema hajui km unaona Ni rahic nenda ww kasimulie,plz hexhimu kazi&kipaji cha m2 kazi nzur J@mal.

  • @theemayakerke5033
    @theemayakerke5033 4 ปีที่แล้ว +5

    Iko sawa lakini tumezoea Jamal April. Mregeshe tafathali.

  • @davisdeo7571
    @davisdeo7571 4 ปีที่แล้ว +7

    This story is amazing

  • @set-px8un
    @set-px8un 4 ปีที่แล้ว +4

    The story book is amazing💪✊✊

  • @peterfrancis8133
    @peterfrancis8133 4 ปีที่แล้ว +12

    Naipenda sana The story book

  • @jamesnganga5210
    @jamesnganga5210 3 ปีที่แล้ว +4

    I love the story book love the talent

  • @boazmvellah6286
    @boazmvellah6286 4 ปีที่แล้ว +8

    Duuuh mtangazaji mpya story tam 🙆🙆

  • @user-zs1on8yr4b
    @user-zs1on8yr4b 7 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda sana story book

  • @NiaKelly-sh4hj
    @NiaKelly-sh4hj 2 หลายเดือนก่อน

    Nawakubali Sana wasafi munatufanya tujuwe mengi Kama tuko wengi tunayo ikubali wasafi gonga like tujuwe the story book ni 💯💯💯💯💯💯💯💯

  • @muhamedsamtero2367
    @muhamedsamtero2367 4 ปีที่แล้ว +1

    Umetisha kaka na hii story

  • @luckyyusto8159
    @luckyyusto8159 4 ปีที่แล้ว +13

    Mwazo mgumu ila wataelewa2 bro keep it up

  • @happynesmtita2492
    @happynesmtita2492 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana Kaka unatujuza megi sana

  • @musajuma4682
    @musajuma4682 3 ปีที่แล้ว

    Wasafi u can!! Your promicing coz your have employed and lifted many people from hard life!!

  • @bartvonline9084
    @bartvonline9084 4 ปีที่แล้ว +17

    Anakunywa damu za watu mpaka anavimbiwa 😃😂😅
    .
    NAOMBENI M SUBSCRIBE CHANNEL YANGU 🙏 🙏

  • @mdigokhan8227
    @mdigokhan8227 4 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂Mimi ni mmoja wapo ambae ile hadithi ya mwisho wa dunia nilisikiliza dakika 3 tu nikaachana nayo 😂

  • @Scopeboii
    @Scopeboii 4 ปีที่แล้ว +1

    Subcribe my TH-cam channel kufahamu mtu aliyetunga wimbo wa UEFA na pia mwanamke aliyewahi kufanya mapenzi na wanaume wengi zaidi duniani , fahamu pia mtu aliyegundua na kutengneza remote na mwanzilish wa kwanza wa kituo cha redio subcribe ufahamu mengi ndani ya Scope online tv naombeni support yenu Sana nyie km Wana the story book naamini bila nyiny siwezi kitu asanteni

  • @musalucas1192
    @musalucas1192 4 ปีที่แล้ว +13

    tulio jiandikisha kwenye daftr la mpiga kura alafu tukaja kuskiliza storybook like apa

  • @galusijerome5763
    @galusijerome5763 4 ปีที่แล้ว +9

    Mzee baba Kuna viumbe kama binadamu wanaitwa pembero wapo kama watu hivi itafute chanzo had kuwa vile ni nn asante

  • @simonbanyase2528
    @simonbanyase2528 4 ปีที่แล้ว +8

    Mtiga abdallah walai huyu alikuwa vizuri Sana kusimulia hii the story book ndio tunasikiliza Ila Kuna kitu tunamiss chenye kilikuwa kinafanya tuhamasike zaidi kusubiri the story book...

    • @mossesawadh7962
      @mossesawadh7962 4 ปีที่แล้ว +1

      SIMON BANYASE weh hukuitaji story inaonexha ulikua unapenda comedy tu. Huna lolote

    • @deejaykingp2558
      @deejaykingp2558 4 ปีที่แล้ว

      Achen hzo bwana nyie 255 dj king p

  • @juniorclassic1779
    @juniorclassic1779 4 ปีที่แล้ว +7

    Amazing 💥💥💥

  • @lucianjr6807
    @lucianjr6807 4 ปีที่แล้ว +3

    Nakubali sana unajua brother keep it Up

  • @calvinpeter2017
    @calvinpeter2017 4 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizuri bro safi sana

  • @officialwilondja9443
    @officialwilondja9443 4 ปีที่แล้ว +7

    Niatal kwel
    Kam ahuj hogop pg la like twend saw

  • @hamislihullah8360
    @hamislihullah8360 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtiga ndo baba la
    o jamal badocdo sanaaaa

  • @subraissiaka6440
    @subraissiaka6440 2 ปีที่แล้ว +4

    Voice 🔥🔥😍🇧🇮

  • @finnabeautykonki9409
    @finnabeautykonki9409 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali kazi Yako Jamal😊

  • @justineulirki5806
    @justineulirki5806 4 ปีที่แล้ว +30

    According to movie ya dracula part one, vempires original yao ni yuda eskaliyoti aliyo msaliti yesu na akaalaniwa akanyimwaa hakii ya kufa wala kuishiii katika mwanga 🤓🤓🤓🤓

    • @obarcriss8725
      @obarcriss8725 4 ปีที่แล้ว +2

      brooo mbona bible inasema yuda alijinyonga na akafa

    • @rweenysamuel8146
      @rweenysamuel8146 4 ปีที่แล้ว

      @@obarcriss8725 Licha ya kujinyonga lakin Yesu alienda kuzimu kuwafungulia, watu waliokua wakifa na roho zao zikashikiliwa kuzimu

  • @josephinepeter7393
    @josephinepeter7393 4 ปีที่แล้ว +3

    Imalizie hapahapa jaml Lyke ur voice

  • @chekanao4492
    @chekanao4492 4 ปีที่แล้ว +4

    Nakubali sana

  • @salumderulo1278
    @salumderulo1278 4 ปีที่แล้ว +3

    Tutaelewana tu Taratibuuu....JAMAAL🔥🔥🔥

  • @mavokogeofrey8904
    @mavokogeofrey8904 4 ปีที่แล้ว

    Jamal Jamal Jamal.... The story book imekua tamu sana saiv zaid.... 🙌

  • @robinrobert5993
    @robinrobert5993 4 ปีที่แล้ว +2

    mmh mzee bab unazid kunikosh asee wape za uso team Mtigaaa

  • @mustafamatimbwa8673
    @mustafamatimbwa8673 4 ปีที่แล้ว

    Mimi naqubali kazi yako atacho fanya mondi cpigi kabxha yan unajitaidi vzuri tyuu saudt wa2 wakezowe bx watakupenda tyuuu love wcb love wasafitv

  • @ipkisstyz8880
    @ipkisstyz8880 4 ปีที่แล้ว +2

    noma xn

  • @zainamatiyabobintiaware8955
    @zainamatiyabobintiaware8955 3 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa Sana, Mungu Akubariki kabisa

  • @t-mwana4510
    @t-mwana4510 4 ปีที่แล้ว +11

    Vampires ikikuuma pia we unakua vampires??

  • @fredrickmsomba4123
    @fredrickmsomba4123 4 ปีที่แล้ว +13

    Kama umemuona Cassidy wa Supernatural na pia unasapoti Mtiga Abdalah arudi gonga like.😂

  • @stevebayo1396
    @stevebayo1396 2 ปีที่แล้ว

    Jamal kiusema ukweli nakukubali cana nakuombea kwa mungu akujalie maisha marefu uzidi kutujuza zaidi

  • @stevewesco7566
    @stevewesco7566 4 ปีที่แล้ว +2

    Wasafi chama laooo

  • @dugabeachonline4493
    @dugabeachonline4493 4 ปีที่แล้ว +12

    Kama ushagundua kuwa uzuri wa hizi kaz hutegemea content na sio mtoa story..
    Nipe SUB kweny channel yangu... Ipo kitaaluma zaid
    💃

  • @RamadhanYassen
    @RamadhanYassen 3 หลายเดือนก่อน

    Jamal up vizuri sana

  • @nisilesanga3602
    @nisilesanga3602 4 ปีที่แล้ว +11

    Pita na like hawa jamaa ni noma😄

  • @emmi4319
    @emmi4319 4 ปีที่แล้ว +27

    Maybe I'm the first

  • @nthgroup9707
    @nthgroup9707 3 ปีที่แล้ว +1

    I really love it wow endelea hivyo

  • @recheljoel4142
    @recheljoel4142 2 ปีที่แล้ว +1

    Amazing voice keep it up

  • @hbclassicfighter7159
    @hbclassicfighter7159 4 ปีที่แล้ว

    Naipenda sana story book ningependa kama ingekuwepo Mara kwa Mara coz tunajifunza meng kupitia story book

  • @legendofxxxtentacion6879
    @legendofxxxtentacion6879 4 ปีที่แล้ว +3

    da kweli Dunia Ina vitu vya ajabu

  • @davidhaule7380
    @davidhaule7380 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana mkuu uko una improve day to day..

  • @saidmazibo6334
    @saidmazibo6334 4 ปีที่แล้ว +4

    Upo vzur mzee

  • @mussajuma7460
    @mussajuma7460 4 ปีที่แล้ว +4

    Akh mm nilisoma ile story ya dracula nikauangalia na ule mchezo wa dracula mwaka 1990 nikaona hamna kitu ni story tuu

  • @geoffreyibrahim7438
    @geoffreyibrahim7438 3 ปีที่แล้ว

    Unaweza sana jamal congore kwako proffessol

  • @elshaarawymuhabesh316
    @elshaarawymuhabesh316 4 ปีที่แล้ว +7

    Kumbe vampire ni kweli sio movie tu.....

  • @onelovechannel2179
    @onelovechannel2179 2 ปีที่แล้ว

    Umekuwa babu wangu sasa,I like the story book

  • @dalancydevin4302
    @dalancydevin4302 4 ปีที่แล้ว +10

    😏😏kuna mijitu inakera mtiga mtiga km mnaweza nenden wcb mukaajiriwe muximulie na nyinyi km mnaweza kila mtu na nafax yke na kipaj chake mtiga ametolewa kwaxababu maalum jamal atabak kuwa Jamal na mtiga atabaki kuwa mtiga ww mwenyewe huwez kupendwa Na wa2 wote pesa inaongea ht kama ataongea km chura ila ana lipwa mtiga Na jamal wote wanaximulia vzr japo kuwa kila m2 ana ladha yke maxikion

  • @franklinemoi8516
    @franklinemoi8516 4 ปีที่แล้ว +4

    Nakubaliii 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

  • @ramxoram5640
    @ramxoram5640 4 ปีที่แล้ว

    Dah Jamal mwanzo ulikua kama hatukuelew vzur ila sasa wewe ni fire moto balaaaaaaaaa umetisha mwamba

  • @almasially6509
    @almasially6509 4 ปีที่แล้ว +11

    Uko vizuri ila hauna vituo yani haupumziki! fix hapo mzee baba na iyo background sound haisikiki vzuri, inasikika kwa mbali sana

    • @elshaarawymuhabesh316
      @elshaarawymuhabesh316 4 ปีที่แล้ว +1

      Haya ndio mawazo yanayohitajika na sio kuponda... Nimependa hii comment kk

    • @almasially6509
      @almasially6509 4 ปีที่แล้ว

      @@elshaarawymuhabesh316 shukran bro, karibu

  • @myinnervoiceitsallaboutthe8739
    @myinnervoiceitsallaboutthe8739 4 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥🔥 koki sana @TRUST TV

  • @emanuelkasiano4913
    @emanuelkasiano4913 4 ปีที่แล้ว +1

    Uko vzur Kaka keep it up👍👍🙏