Nakupenda bure we kaka maan unaongea mamb yenye unafaham na Ikifik mahal kitu hich hukifaham unasema ukwel sio kama yul fala 😂😂#HMG kazi kusema Uwongo tu !
Mwandaaji na msimuliaji jaribuni kusoma vitabu vingi na kwa ufasaha zaidi ili msitupotoshe na mjaribu kupata evidence kabla hujatoa makala na ndio maana umeanza na maneno "HADITHI NJOO UONGO NJOO UTAMU KOLEA" haaahaaa jipange but big Up kwa kijitahidi.
Ahsante. kweli nimetazama picha anazotumia nizawazungu dhihirisho kuwa muandishi wa simulizi hana ufasaha wa mambo anayo dokeza. huu niwakati wetu kusimulia historia yetu kutokana na ukweli wa kiafrika wala sio kulingana maoni ya mzungu muongo.
Hongera bro unasimulia vizuri. Lakini jaribu kuwa professional Zaid kuliko entertainer, Kama ulivosema firauni Remesis wa pili inakadiriwa ameishi miaka mingi Sana, na ametawala kwa muda miaka 96, wakat historia iko wazi kwenye vitabu vya egyptionist (Wana historia wa historia ya Egypt), amezaliwa 1303 BC na amefariki 1213 BC (kabla ya ukirsto) akiwa na umri wa miaka 90. Hakuna Mambo yakukadiriwa hapa toa tarehe Zaid umetoa tarehe za firauni wawili tu. Nakukubali kazi yako ya usimulizi, ila ukitoa habari sio sahihi unadanganya watu wengi.
Mwili wa firaun ulipelekwa ufaransa sio kwa kuharibika ila kwa kutaka kuchunguza tu! na waligundua alikufa maji. M'mungu hawesi kumkausha firaun kwa Ahadi halafu aharibike sio sawa rekebisha hapo.
Upo vizuri lakini fuatili historia ya watu weusi ambao ndio walikuwa viongozi wa afrika ya kaskan na tuache historia za waarabu waliowafukuza weusi na wao kushika maeneo yote, tunaomba fuatilia utupe ukweli,
Yule firauni aliyeoa hadi dada zake kweli naamini michepuko waliianzisha hao huko! Sisi tunaendeleza Jadi tu jamani kwa kuwaenzi wahenga 😂😂 ila kuna mipaka ya kutotembea na ndugu.
Mtiga abdallah na jamali mustapha nyie watu hatari sana voice konk kaama unawakubali hawa watu wa the story book gonga like
Nakubali xana
Allahumma ansurnah ewe mwenyez mung tunaomb utuepushe na balaa la dunia hii ewe ya rabbii
duuh.... mb zangu zimepata pakuishiaaa.... thanks bro
Napenda sanaa story na una voice nzur ya kuhadisia story hongera broo
Uko vizuri mzee
Zko vizur xna
@@taizaniluboy7695 🙏🙏🙏
@@jairzinhojunior5653 Tena Sana ila ndyo hyo kashahama wasafi media
sema mashallah
Una voice nzr Kaka angu,ALLAH akubariki😘
BC mwambie akuowe
Zainab Mussa mamb
Hhahaha
@@fatmanasornasor9047 ukowp ww
😂😂😂😂😂
Wanao penda the story book Kama mm like apa💪💪💪
Mecky Kyerux support us our Best song
POULSEN MC 👍👍👍
Kama kawaida nataka xtory kama zote
👔
Tunaipenda sana
Kama na ww unamkubali jamaa huyu mtoa story gonga like 🔙
atar sana
Sanja Og nice
Hiistori ni ya uongo
Uyu Jamaa namkubali sana
Safi
Sauti daaaaaah mutangazaji nakupenda burrrrre 💕 🇫🇮 🇫🇮 🇫🇮
Mtiga voice 💜😍😍😍🙌
Story amazing... Kuna mengi nilikuwa sifahamu.. Sasa nimefaham... Hongereni WASAFI MEDIA MUENDELEZE HUU UTAMU KUNOGA....
Noma sana eti baraka wanakojolea mto aisee walikua washenz sana hawa mafiraun
Kama wewe piya unamini mungu atabaki kuwa mungu Basi gonga like hapa twende sawa mungu Ni mungu jamani hathihakiwi
Kama unaikubali the story book ..gonga like hapaa
Sauti ya mtangazaji kidogo ifanane na Millard ayo! Ni fire 🔥!
Umeonaaa eehh
Galina ukweli hilooo
Umeonaee mwenyewe nilijua Ni yeye
Mmh!!
Ndiyoo
Una sauti nzuri allah akujalie
Shukrani sana story book,mumetufunza mengi
Daah uko safi saana mwanangu umetulia kinomanoma yani big up
Waaah story nzuri sana 🤔
I love story book nzur sana 🙌
Nakupenda bure we kaka maan unaongea mamb yenye unafaham na Ikifik mahal kitu hich hukifaham unasema ukwel sio kama yul fala 😂😂#HMG kazi kusema Uwongo tu !
Salma Zayn please support US our song... Cvsavaiva ft baraka da prince ..bwax if you like u can subscribe and like and share please we need ur support
Hahaaaa
Ndo king wa mastory
🙌🙌MAMBO MAZURI KABISA HAYA
Muelezaji bora saana ubarikiwe Mungu akuzidishie kila la kheri
Napendaga sn The story book hasa nikiwa cna kazi nasikiliza mpk na enjoy
Du?zik of po
Wafuasi wa The Story Book Like Hapa Tjuane
Kaka mngu akubariki
Muweke English subtitles coz wasafi TV ni brand kubwa , watu tofauti wanaangalia.
Karama Nazareno:Kwani ndo lugha ya taifa hiyo??!!.
Hii ni redio sio tv
Yeah radio 🙏
@@allyderossi9742 ndo utumwa wa wajinga Kama wanataka English waende U S A
Kweli
Kaka una sauti tamuuu yaaan😋😘😘na hadithi tamu endlea kutultea tusiyoyajua...
kaka abdala cjawah kukupinga kwanza unasauti ya ajabu sana zidi kutuletea story nzuri
I like the story book thank you for this
Napenda sana story book
Noma Sana aisee
Una kipaji bro..keep it up
Kwakweli nina furaha sana kwani napenda sana kujua mambo yakale na yenye mafunzo napenda sana hadith thank you for making my TH-cam useful to me
Horus , my favorite God
First person to View!!! I'm Sultan from Cape Town! !!
Thanks
Dah the story book ni nomaaa
Sana
Daaah mie mtangazaji tuuu nipo hoiii nakupenda
The story book is amazing
Bu
Mwandaaji na msimuliaji jaribuni kusoma vitabu vingi na kwa ufasaha zaidi ili msitupotoshe na mjaribu kupata evidence kabla hujatoa makala na ndio maana umeanza na maneno "HADITHI NJOO UONGO NJOO UTAMU KOLEA" haaahaaa jipange but big Up kwa kijitahidi.
Ahsante. kweli nimetazama picha anazotumia nizawazungu dhihirisho kuwa muandishi wa simulizi hana ufasaha wa mambo anayo dokeza. huu niwakati wetu kusimulia historia yetu kutokana na ukweli wa kiafrika wala sio kulingana maoni ya mzungu muongo.
amesimulia uwongo wa kiwango kikubwa sana, ameandika story kwa kusoma vitabu vya uwongo vya waarabu na wazungu
Someni gur an jmn vizuri Na hadithi za mitume huo ni ungo mtupu
Musipoteze ukweli jamani ni dhambi kubwa hii TV ya wasafi ikoje jmn
Nakukubali sana mtiga were n number one tanzania
Firauni mikaure alinitanganya kusimamisha jua ajiita mungu mafirauni walioga mukojo wajiita mungu walikata pua na kupata wanja/ngunitv
Watching /ngunitv
Noma sana menkaur
Sauti ya huyu kaka ni nzuri sana 😊
usitaman sauti zawenzio sawa usirudie tens kwan yakwako mbaya et
wanaopenda wassaf like apa
Kwakwel mtiga abdallah una good voice kaka the story book iko good
ukopoa kwa kutupa stori nzuri broo
Hongera bro unasimulia vizuri. Lakini jaribu kuwa professional Zaid kuliko entertainer, Kama ulivosema firauni Remesis wa pili inakadiriwa ameishi miaka mingi Sana, na ametawala kwa muda miaka 96, wakat historia iko wazi kwenye vitabu vya egyptionist (Wana historia wa historia ya Egypt), amezaliwa 1303 BC na amefariki 1213 BC (kabla ya ukirsto) akiwa na umri wa miaka 90. Hakuna Mambo yakukadiriwa hapa toa tarehe Zaid umetoa tarehe za firauni wawili tu. Nakukubali kazi yako ya usimulizi, ila ukitoa habari sio sahihi unadanganya watu wengi.
huyo firaun walosumbuana na mussa mke wake alikua asia....... Anyway em dadis tena
Skywalker Cool noma xana
napenda sana the story book inamafunzo mazuri
Jamn nakupenda ww msimuliz hasa saut yako na kiswahili chako fasaha natamn nione sura yako
Mwili wa firaun ulipelekwa ufaransa sio kwa kuharibika ila kwa kutaka kuchunguza tu! na waligundua alikufa maji. M'mungu hawesi kumkausha firaun kwa Ahadi halafu aharibike sio sawa rekebisha hapo.
😂 😂 😂 Hapo kwa kukatwa pua
nakubali story zako zina refresh ubongo
Mhhh.....kama unasikiliza 2020.........GONGA like
Amazing story
14:31 hahahha paka akizaliwa bongo ataishi kweli kwa stress mara atasingiziwa mchawi au kuzibuliwa vibuti.
Lkn paka wingine vijiz tu.
Du? Ziko poa Sana tuna enjoy
Upo vizuri lakini fuatili historia ya watu weusi ambao ndio walikuwa viongozi wa afrika ya kaskan na tuache historia za waarabu waliowafukuza weusi na wao kushika maeneo yote, tunaomba fuatilia utupe ukweli,
İna lillah wainailah rajiuni
Unatisha sana kaka kwa sauti
that so educating
Kuchepuka kitambo sanaa, mm ni nani jamn😁😁😁
Nakubari kazi zako sana unajua kutangaza story
aixeee km unamuelew huy jamaa gong like hp
Yaan kumbe mjonga
Nani kasikia michepuko
Like twende sawa
Wsf asante sana kwa history unatujenga kiakili big up sana
Jamaa anajua kubrodcast bigup sanaa
Gonga like twende sawa
Jamaa ana jua🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
A good story teller
Usimulizi mzuri kabisa kaka
Nimeushuhudia mwili wake nilipo tembelea Egypt.....kweli mungu yupo........
kama una amini na mimi ni filauni gonga like twende pamoja.
Angalau nikasikia hadithi njoo uongo njoo utam koleaa 😃
Naipenda sana the story book
The story book👌👌👌👌👌
Maashallah
Leo ndio nimeuelewa huo msemo wa "'ukistajaabu ya musa, utayaona ya firauni '"
Sasa huo mto c unaconnection na ziwa Victoria? So tunakula sato walking kila naniii🤣🤣🤣
Mto unanzia victoria kwenda kwenda bahar ya sham
Safi sana story izi
Allah is greater
I like the story book
Who watch it December
From vyetnam i like ther story book from wasafi tv
Do u understand swahili?
nice story 😘😘😘😘
mm nawakubali kwa voice hahaha🙌
Kuna katoto kodogo nipo nako apa naangalia nae video ii kana niambia nikiwa mkubwa nataka kuwa kama filauni nikamzabua konzi la uzito.
Emmanuel Inyasi 😂😂😂fala kwel ww umemuonea tu
Emmanuel Inyasi hhhhhhh duh
@@fasconeroh8740 weh! Tengua kauli
@@ishany6005 🏃
muombeee usimpige maana roho inafwata anayeyanena
Muweke English subtitles coz wasafi TV ni brand kubwa
Kweli brother 💪
hahahahahahaha walewanao penda kusoma coment tujuane
Ndio maana hata wasanii waume sikuizi nao wajipaka makeup Hao ndio wameiga Hao mafirauni
Very nice mpaka nimeinjoy yan kucikiliza
martha john p
Nakukubali sana aiseee🔥🔥
Story nzuli kweri
Aisee bro nakupigia saruty
Big up kwa story nzuri na ya kuvutia
From Kenya napenda sana Wasafi TV and the story
Naku fuatiliya sana bro 💪🏻💪🏻
Asante wasafi
from Kenya nakukubali sana naomba utoe the story book ya kanumba
Huyu kaka anaye towa story anaweza sana
"paka ajichanganye azaliwe kule tandalae ataelewa stress zake" 😂😂😂
😁😁😁😁
I miss Jamal ❤️❤️
Yule firauni aliyeoa hadi dada zake kweli naamini michepuko waliianzisha hao huko! Sisi tunaendeleza Jadi tu jamani kwa kuwaenzi wahenga 😂😂 ila kuna mipaka ya kutotembea na ndugu.