NILIWAHI KUSEMAAA WEWE HUSTAILI KUTANGAZA STORY BOOOK LEVEL YAKO YA UTANGAZAJI NI KUTANGAZA BBC MAAANA UNA KIPAJI ASILIA SAUTI ASILIA WEW NI MTANGAZAJI
Bro big up,wakati mwingine hawa wabongo wenzetu ndo wanajifanya wajuaji na ndo wakandamizaji kwa wabongo wenzao na ndio wanaowapa viburi hawa wawekezaji wa kigeni.
Huyu jamaa ana fasah sana napenda nimsikklize lakin nilimshusha thamn pale alipokuja na historia ya uongo hata mtoto mdogo pia humdanganyi kuhusu jemesari la africa addy ameen daad
Documentari mzuri ingawa imejawa ignorance kwa msimulizi. Fanya utafiti wako vizuri especially from the original native people of these holy spots on earth
Me napenda the story book. Ila ndugu Mtiga unda timuna walaukwa mwaka muwe mnatembelea eneo moja na kutupa stiri mkiwa live eneo LA tukio. Hii itatupa exposure sisi watz hats ninyi pia. Labda maeneo ya bahari au vipi ambavyo havina proof ndio mbakie kutusimulia tu
Wasimulizi kuweni wenyewe kwa sauti zetu original tumechoka nyinyi wasimulizi kuigiza sauti na Aninas Edger mnapenda sana watanzania kuiga iga tu bila ya ulazima wwte ule
asnte sana kaka mtiga tupo pamoja na tunapendezwa sana na story unazoweza kutujuza mungu akubariki...ila naomba kama utapendeza uwez kutuandalia simulizi ya the Greece mythology hasa upand wa story ya medusa..ni ombi lakn
Kama unapenda the storybook gonga 👍 tuende nalo
shakira khamis kweli eee
Yan the story book ndo mpango mzima
K
shakira khamis
So nice
Real talent. Nairobi, Kenya 🇰🇪 well represented. Kudos wasafi media
NILIWAHI KUSEMAAA WEWE HUSTAILI KUTANGAZA STORY BOOOK LEVEL YAKO YA UTANGAZAJI NI KUTANGAZA BBC MAAANA UNA KIPAJI ASILIA SAUTI ASILIA WEW NI MTANGAZAJI
Nikwel jamaa analipaj Na Saut ya ukwel
PETER WOLF niliwahi kusemaaa wewe hustaili
O
Daaaa nakubali sana
Wasafi media miaka mitatu ijayo mtatishaaa sanaaaa zaidi ya hapa MMEJIPANGA sana aiseeee 💪💪💪💪💪
Napendaga sana hizi story.shukran sana yaani humu duniani kuna vitu vya ajabu sana na vinaishi nasi.
Mtiga Abdallah wewe ni extra talented kwa kusimulia, Mungu akubaliki sana uendelee kutujuza habari muhimu kama hizi👏
Sijawahi Kupata Likes Jaman aaah Hata tano tu zanitosha. Wcb for life.. The story BookHaikamatikiiiiiiii
Dunia ina mambo
@@nicholasmuthiani3851 😂🤣🤣
Tamu i seee
hi
V
Hongeren Sana wasafi Media group nasi tupo nyuma yenu
npo pamoja na ww
Sanaa
Mnafanya nn nyuma ya wasafi,sema mko bega kwa bega
Nakuparisana stor book
Yep
Toa kuhusu simbawanga the zone of uchawi jamani na ss africa tunamaajabu yetu ila nakubar sana story zako bro kazi nzuri
Kweli Jack, iyo story iko poa ila atuletee za simba wanga hahaha😂 😂😂😂simba wanga inaleta rahaa zaidi.
Hahahahahaaaaaaaah
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Duh..! Mecheka mie
No 1 fan..na wa kwanza kufika hapa leo
Wasafi mmefeli sana kumtowa mtiga abdallah uyu ndiyo really voice
Bora umerudi tena wasafi kaka wewe ndo unasauti yakusimulia🔥🔥
Hajarudi
xkuping ww hapo wa faida...uko vizuri xana!!!💪💪💪💪
The story book hapana machizoo! 😎%100🔥🔥🇹🇿
Fact
Bro big up,wakati mwingine hawa wabongo wenzetu ndo wanajifanya wajuaji na ndo wakandamizaji kwa wabongo wenzao na ndio wanaowapa viburi hawa wawekezaji wa kigeni.
Baba wew unasauti ya pekee huwezi kuchoka kusikiliz stor zako
Asante Sana Niko pamoja nawe kwenye story book inamafunzo Sana hongera
Dahaaa THE STORY BOOK Naikubali sana Zaidi ya Sana Tupe Vitu Mkuu
Stori zavutia sana...gonga like kama tuko pamoja from TANGA tanzania
Salute to all the comrades of the story book in particular Wasafi media Big up always 📖📖📖📖📖
hahaha
Anae kubali the story Book agonge like huku akiamin km mm kwamba kuna 40% tu za ukweli Vinginevyo kufurahisha channel 😋😋
Leo nimewah naitaj like zangu
Mussa Yohana hatuqki
@@kessygifty6509 sawa tu
Nimeipenda sauti ya mtangazaji yuko makini
Mashaallah story mzuri
Hii inazidisha Imani endelea bro na ww inatakikana umuamini mungu zaidi shukran bro
i appreciate u bRo kwa hadithi kali kama hizi ila tuendelezee part 2 stor ya 2pac amaru shakur
Professor Jamal unajua kutupa madini tofauti hngr
Anaelezea vizur sana inamfanya mtu avutiwe sanaa yuko poa sana very interesting good keep it up
Hiki kipindi nakipenda mtuekee story kila siku 💥💥
I appreciate wtv
SIKUKUU GUDEH nendeze
Nedee
E
kagame
What a fascinating story ooh I've got goosebumps all over a sudden ,I like it!
Huyu jamaa ana fasah sana napenda nimsikklize lakin nilimshusha thamn pale alipokuja na historia ya uongo hata mtoto mdogo pia humdanganyi kuhusu jemesari la africa addy ameen daad
Kipindi changu pendwa👽 wcb family without peace we can't go nowhere thanks my fans 😍
Mpe konde gang like yake kwa kupenda the story book
Konde
Sana konde gand4ever body
saw 📱
Nice
Sawaaa Kaka
Thanks so much watching from Ugandan 🇺🇬🇺🇬
Tunakuomba uenderee kutoa story Nzuri
Dah wee jamaa unatuburidisha snah kwa habar nzur
Napenda Hiyo Background Music 😂😂😂ina nata na simulizi
Zone of silence. Nimekuelewa👌
Aooo watu watatu wasafi Ni Mkubwa fella, Sallam na Babu Tale
🤣🤣😅
Sallam ndio Yule mwanamke 😂😂😂
Hahahaaaah
OXTINHO 15 😂😂😂
OXTINHO 15 hahahhhah shenzi kabisaa
mimi nimesoma huko form 5
Kwaiyo?
Kweli
😂😂
Mzee baba Juliet and lomeol asee
😂😂😂😂😂😂
Nilimic sana story book
Zona del silence htariiii sanaa kazi mzri mtigaaa
Strory book ni bomba sanaa
Napenda hizi stori zenu kwakweli.
watu mko faster naomben like na mm
Thanks to the story book teller nimechifunza mengi
Pa1 sanaaaa
Iko kidudu chekundu nlikuw navionaga zaman kipind mvua ikikalibia tulikuwa tunaviita vidudu vya mungu! Akn saiz sjawah kuviona
Love this guy
marry him
Asante wasafi
More creativity is observed
Salute brother and GOD bless you🙏🙏🙏
Gostei do vídeo.
Falo directamente d Moçambique
From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 much love keep educating us💯💯💯
hizi likes watu mnaomba zanini hebu na mimi naziomba ninywee chai jaman..
Michael Yordan hahahaha
😬
😀😀😀
Ningeweza ningekupa tano ungeshiba
haya chukuw yangu iyo
Nataman story ziwe kil siku aseee 👏🏽👏🏽👏🏽
Duuuh nimeipenda hiyo
Thanks a lot by telling us good history.....
Tanzania oyeeee 🇹🇿🇹🇿
Oyeeee👏👏😂
Saw taifa langu
Hongera msimuliaj hauchoshii jmn haina part 2😍
Apo ni kweli mi nilienda nshakutana nao waliomba mbege
Ulisikiliza kwenye bright side
Big up brother kwa stor kali like zenu jaman
likes likes likes kwa MTIGA ABDALLAH
nairobi nawapata vipoa...storybook and the past videos zipostiwe ...mtigah sauti yako ni ya dhahabu bro
hakustali kutoka mtiga katika the story book
Gonga like kama unaikubali the story book kutoka wasafi FM
mtinga ivi unajuwa mm nishabiki wako naomba siku uje mbezi bichi shibe
Nakubali
Thomas mbithi mks.Hayo ni maajabu kweli,
kusema ukwel wasafi media mmekja kuleta mapinduzi ya burudan yan m2 unaenjoooooy mngu awatangulie kwenye kila mnacho kibun sisi mashabik tupo nyumayen
Mungu yupo atawaongoza kwa wale watendao haki
Bring back our Mtiga bro platnumz!!!
Uko vzr kaka
Kiukweli story nzuri bt naombaa uandae story ya mao ze dong the first president of chiner
Documentari mzuri ingawa imejawa ignorance kwa msimulizi. Fanya utafiti wako vizuri especially from the original native people of these holy spots on earth
Me napenda the story book. Ila ndugu Mtiga unda timuna walaukwa mwaka muwe mnatembelea eneo moja na kutupa stiri mkiwa live eneo LA tukio. Hii itatupa exposure sisi watz hats ninyi pia. Labda maeneo ya bahari au vipi ambavyo havina proof ndio mbakie kutusimulia tu
Amazing story thanks
Zone of Silence 🤝
Panatisha, Nilipita hapo back in the days... 😊
😃😃😃😃😃
Daaaah! Napenda sana story zako
Naomba hictolia ya sadamuhusen
Pendz story za ajabu zilizotokea duniani
Jamanii the storybook hatari gonga liker twende sawa😅😅
Kama wewe umewah kusikiliza simulizi za mtigaaaabdala.....gonga like
Dah amaizing hayo maeneo yalokaa latitude moja ni hatareee
Lakin mbn mnacherewesha lakin kipindi
Nakubari sana kaka
Hadithi hadithi...hadithi njooooooo....next!!!
Wow! It's so interesting
its good history.from Tanzania.
Wasimulizi kuweni wenyewe kwa sauti zetu original tumechoka nyinyi wasimulizi kuigiza sauti na Aninas Edger mnapenda sana watanzania kuiga iga tu bila ya ulazima wwte ule
Wangapi Tunao watch The STORY BOOK 2020 Good Work
Mtiga umeyumba,, Jmos iliyopita ulipitiwa.. Haukutuhabatisha
Nakubar hz story sio mchezo
ivi nyie mnaomba like mnazipereka wapi
tanks somoeh
asnte sana kaka mtiga tupo pamoja na tunapendezwa sana na story unazoweza kutujuza mungu akubariki...ila naomba kama utapendeza uwez kutuandalia simulizi ya the Greece mythology hasa upand wa story ya medusa..ni ombi lakn
Safi sana mkubw unajua
The story book is amazing weldone
I love the story book
Kama unaikubali story book nakuifutilia like apo
I like de place