Ooh my i love this man of God .Mara yangu ya kwanza kusikia ushuhuda wake ilikuwa 2015 wakati huo nilikuwa nafanya kazi nchi ya Saudia ilibidi nafuatilie ushuhuda wake kwa sababu nilokuwa naya ona huko uarabuni yalikuwa yananishangaza.Namshkuru kwa ushuhuda wake niliweza kujifunza mengi.mtumishi wa Mungu Paul Hussein live long in Jesus name🙏❤
Davistar thanks for bringing this man of God I will never get tired of watching his testimon,na ningependa kama ungeweza kuleta ushuhuda wa mtumishi Yohana kama hivi bila kelele kuna part zingine hatukuelewa vizuri sababu ya kelele 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Huyo mtu Ni muongo kabisa, maelezo yake Ni ya mtu mwenye chuki na uislam... Pia anaonekana Hana busara,huwezi kusema uislam umefungamana na uchawi wakati uislam umelaani Sana washirikina,. Huyo Ni mchawi hata Sasa.... Ameniudhi Sana
Kwa BWANA YESU KRISTO ndio sehemu sahihi kuliko zote Duniani na Wala hakuna Mungu mwingine zaidi ya yeye Utukufu na heshima ni Kwa BWANA YESU KRISTO milele na milele amini ukombolewe
Aki Davista umefanya jambo la maana kweli kumtafuta huyu mzee nilitaka kumsikiliza kwamakini najifunza mengi kutoka kwake. Kazi nzuri Davista ubarikiwe
Davistar Thank you for bringing Paul Hussein,please tell him that I love him in Christ Jesus.❤❤ God bless you Davistar ❤ This is awesome! God bless your ministry with finances you need to develop in the name of Jesus.
Ukristo bila uongo hupati waumini.ila ushauri wangu kwa wakristo faatilieni masomo anayosema kama yanapatikana katika uislamu.andika jina lake huyu jamaa umuone uongo wake katika kanisa la gwajma alafu aya anazotoa angalia kwenye quran tukufu kama zipo ili ujue ni muongo
Davista mata kama kuna siku umetafuta watu wa ushuhuda huyu ndio gwiji la wachawi wengine wote wanaiga tuu. Hakika sitakubali kupitwa na kila kipengele hapa naomba davista umuulize kila swali huyu jamaa ili tujue mengi
Din ya kiislamu ndio maana sihamin kabisa kwa nn kitabu cha din umsomee mtu azulike wakat Bible inasema usimuhukumu mwenzako ndio maana hata usome mtu kuanzia agano jipya had la kale awezi kuzuliza lakin wenzentu abdil sijui taihatu mmh
Testimonies born of Jesus Christ are meant to break chains of darkness and torture to those who are aimed. Jesus never allow a testimony like this for nothing but for a reason. And this is the reason to get rid of spiritual obstacles that one can think they are immovable. Every thing is possible in the hand of God.
Ahaaa, tatizo lako hukua Muumini tokea awali. Ulikuwa mshirikina na hukua Muumini. Elimu yako pia haikukusaidia, Na fanya urejee katika dini yenye kwenda sambamba na umbile uliloumbiwa.
Anapenda binadamu wote … Tuzidi kuomba rehema na neema zake kwa kuomba katika roho na kweli kwa kumwamini kuwa yeye ndiye njia pekee ya uzima wa milele…
Huyo muongo jinga wewe wapi Aya au hadidhi inayoruhusu watu wafanye ushirikina ? Walmushirikina fiinari jahanama Aya inasema washirikina watadum ndani ya moto wa jahanama milele na kamwe hawatatika humo sasa kama yeye alikuwa mchawi ni yeye mwenyewe
davista bwana sasa mbona kaanzia moja kwa moja kwenye matukio mwambie aanze historia yake ya safari yake ya kwenda huko arabuni nchi zote sasa yeye naona kaanza na simulizi ya wakati asharudi toka arabuni hizo nchi
kila level ya elimu ina documentation ya vyeti na mamlaka husika inayotoa vyeti hivyo. sasa huyu mzee kasoma uislam kwa miaka 22. mwambie atuletee Cheti cha diploma miaka 2 (Alharamain) Dedree Tripoli miaka 8 Degree ya pili Quwait miaka 6 PHD Iran miaka 4 Degree ya 4 uongozi miaka 2 saudi Arabia. Alafu atuambie kwenye kila level kajifunza nini, na kama ni uchawi atuambie miaka 22 yote kafundishwa uchawi upi kwa kila level.
mmh, world is full of consipiracy. kila mtu atataka atoe ushuhuda ili dini yake ionekane ipo sahihi na ya mwingine ipo wrong. mwisho wa siku kaa ukiamini katika Imani yako.
Hakuna anaejua dini ya kweli ipi Hadi ufe ndio utajua maana dini ni njia tu haimaanishi ambao hawapiti njia unayoipita wewe basi hawatofika kule uendako wewe. Hilo tu uislam na ukristo zote ni njia kikubwa ni matendo mema. Ukiwa muislam Kama unamatendo machafu Moto unakuhusu ukiwa mkristo Kama una matendo machafu pia Moto unakuhusu.
Waislam ndio mnao pinga hizi shuhuda, cha kuwashauri jitahidini kutafuta waganga ili mumpe namba Davister ili awaleteen nanyi Burudani maana ninyi hampende kuokoa nafsi zenu ila mnapenda kuzidi kuziangamiza kwa Waganga. Zikija stori za Waganga huwa hampingi kabisa
Kwanza kwenye UISLAM hakuna PHD wala Degree. Halafu Fuqhi ni sheria, Tawheed ndio kumjua Mungu. Huyu mzee mnafki sana kila neno mi hucheka sana, 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Halafu anataja wale watu wakubwa ili ionekane kweli. Njaa mbaya 😂😂😂😂😂
Davistar uwe macho! Kuitisha msaada mtandaoni ni hatari. Sio watu wote wanakupenda, hasa wale siri zao hufichuliwa kupitia kipindi chako. Huoni kama waweza kutumiwa majini na visirani?
Mtu huyu muongo sana fiq hi si elimu ya kumjuwa mungu ni elimu ya kumjuwa matendo ya ibada. Na tawheed ni elimu ya kumjuwa mungu. Huyu jamaa alidai akifundisha Burundi warundi walimtafuta akasepa
mimi ni Mkristo ninaomba huyu jamaa aseme alisoma na osama mwaka gani? hii kazi alioajiliwa na mubarack na..gadaffi..na kadhalika aliwezaje kufanya kazi kwa watu wa tatu kwa mazingira gani
Kwani wewe ndio utaenda motoni sisi wakristo tuache tuende motoni wewe inakuhusu nini jomba. Mbona tunakuja kufuatilianaa imani na tunakuja kunyimana amani tanzania.
jamaa aache kusingizia uislam aseme tu kwamba yeye alikua mchawi pamoja na familia yake.Abaki na mfumo kristo wake.Na hii ndo fimbo ambayo wachungaji wanaitumia kwa waumini wao ndio maana kanisani huwezi kuhoji kitu.
Huyu jamaa kaeleza vizuri sana kua ukiwa mkristo huja koka nibure tuu.. hata waislam muislsm bila imani thabiti nibure tuu kama alivyokua yeye huyo hakua na imani thabiti alikua mchawi
Kama kawaida tukizika tunamwambia ....UMUWEKE MALAIKA WAKO MTAKATIFU ALILINDE KABURI HILI .... na ndio mambo yanakua kama ivyo unakula bakora kwa kwenda mbele
Huyu mzee ni Wa mchongo lakini Allah atamuumbua katika uongo wake huu na kuichafua dini ya haki ila siku zote mambumbu ndio yanayobiruzwa kwa wakristo kwa kuwa mmezoea kuburuzwa buruzwa mnaamin uongo wa mwisho mtu mwenyewe anajichanganya kwenye maneno yake
Ooh my i love this man of God .Mara yangu ya kwanza kusikia ushuhuda wake ilikuwa 2015 wakati huo nilikuwa nafanya kazi nchi ya Saudia ilibidi nafuatilie ushuhuda wake kwa sababu nilokuwa naya ona huko uarabuni yalikuwa yananishangaza.Namshkuru kwa ushuhuda wake niliweza kujifunza mengi.mtumishi wa Mungu Paul Hussein live long in Jesus name🙏❤
Be blessed sana
Nenda uko
Nonesense
Ubarikiwe
Mambo gani uliyaona Saudi Arabia
This interview is very informative. Dr. Paul Hussein Mubarak is a wonderful resource for the the Christian church.
This man is surely a great servant of God.
Davistar thanks for bringing this man of God I will never get tired of watching his testimon,na ningependa kama ungeweza kuleta ushuhuda wa mtumishi Yohana kama hivi bila kelele kuna part zingine hatukuelewa vizuri sababu ya kelele 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hakuna cha kunitenga na upendo wa YESU
Kwa Yesu raha tupuuu ,acha nikunje nne mie . Ubarikiwe sana mtumishi watching from Norway 🇳🇴🇳🇴🇳🇴
Ameeen
Asifiwe Mwokozi wetu Yesu kristo 🎤
Ameeen Hallelujah hallelujah litukuzwe milele na milele jina la BWANA wetu YESU KRISTO
Wow. Hata mwili WA mkristo aliyekufa,unalindwa, hallelujah.
Jina la Yeshua Messiah Lihimindiwe milele na milele Amina.nimesikiza ushuhunda zake na mafundisho.abarikiwe sana
This is ANOTHER Big ONE. Praises and reverence To the ALMIGHTY GOD 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
amen
Huyo mtu Ni muongo kabisa, maelezo yake Ni ya mtu mwenye chuki na uislam... Pia anaonekana Hana busara,huwezi kusema uislam umefungamana na uchawi wakati uislam umelaani Sana washirikina,. Huyo Ni mchawi hata Sasa.... Ameniudhi Sana
Kwa BWANA YESU KRISTO ndio sehemu sahihi kuliko zote Duniani na Wala hakuna Mungu mwingine zaidi ya yeye Utukufu na heshima ni Kwa BWANA YESU KRISTO milele na milele amini ukombolewe
Yesu kimbilio
Wow this is a great man of God alinifanya nikapenda kufuata shuhuda I listened to him many yrs bk akiwa Rwanda n Davista Mata hongera na kila la heri
Aki Davista umefanya jambo la maana kweli kumtafuta huyu mzee nilitaka kumsikiliza kwamakini najifunza mengi kutoka kwake. Kazi nzuri Davista ubarikiwe
Hakika Yesu ndie kimbilio kwa watu na makabila yote duniani
Hongera Davistar hii ya 🔥🔥🔥🔥asante najifunza🇰🇪🇰🇪
Yaani mchumgaji nishamuelewa sana juu ya ukristo na ukristu ubarikiwe sana nishajifunza tayari
Davistar Thank you for bringing Paul Hussein,please tell him that I love him in Christ Jesus.❤❤
God bless you Davistar ❤
This is awesome!
God bless your ministry with finances you need to develop in the name of Jesus.
Pongezi sana Davista nilikuomba umlete huyu mtumishi wa Mungu long time ago and at finally is here. Ohh thanks Lord
Davista Mata,GOD BLESS YOU, MUCH MORE
Hallelujah. Mungu ni mwaminifu kutulinda kila wakati.
Ushuhuda mzito umeimarisha Imani yangu sana baba
Bwana Yesu asifiwe.
Asante yesu sifa nautukufu zikurudie
hongera sana kutuletea mtumishi wa mungu
Twende kazi twende kazi
Mtangazaji Mtu wa Mungu ,muulize Mchungaji swala lililoshamiri kwa wachungaji na manabii,na makuhani kuhusu swala la kutumia maji.chumvi,mafuta n,k
Osama amesomea marekani mwanzo mwisho Osama hakusomea saudia na wanaobisha waingie gugle waulize yaani anadanganya mchana kweupe
Ok kumbe jamaa ni muongo🤔
Ameitaja Al haramain tu ila vyuo vya hizo nchi zingine hajataja hata kimoja hapo kwa mtu timamu atajua kuwa huyo hajawahi kutoka nje ya tz
Hamna kitu hapa anataka biashara tu
God bless Hussein Mubarak..I learned a lot when he spoke in Kigali at apostle gitwaza church
Salute davista
Glory to God Amen, 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tunalindwa na malaika, hallelujah.
Amen
Yani mtumzima unaandaa pumba kudanganya watu, njaaa mbaya sana .
Uislamu ni uchawi
Jamaa ametembea, Aisee!!! Kumbe tunakutanaga na watu waliotembea sana dunia hii!
Ndiyo hivyo, lkn kuna mijitu inasema anaongopa! Ngoja dawa iwaingie ili waelewe uislamu ni nini!
Ukristo bila uongo hupati waumini.ila ushauri wangu kwa wakristo faatilieni masomo anayosema kama yanapatikana katika uislamu.andika jina lake huyu jamaa umuone uongo wake katika kanisa la gwajma alafu aya anazotoa angalia kwenye quran tukufu kama zipo ili ujue ni muongo
Kasoma vyuo vyote hivyo lakini kiarabu n'a koloani anayosoma utacheka hivi wanafanya hivi kwamanufaa gani
Mzee Kajani ametesa watu sana unacho sema ni ukweli.
Davista mata kama kuna siku umetafuta watu wa ushuhuda huyu ndio gwiji la wachawi wengine wote wanaiga tuu. Hakika sitakubali kupitwa na kila kipengele hapa naomba davista umuulize kila swali huyu jamaa ili tujue mengi
Hongera baba poul
Din ya kiislamu ndio maana sihamin kabisa kwa nn kitabu cha din umsomee mtu azulike wakat Bible inasema usimuhukumu mwenzako ndio maana hata usome mtu kuanzia agano jipya had la kale awezi kuzuliza lakin wenzentu abdil sijui taihatu mmh
Waislamu Yesu anawapenda sana.
Ataa cc tunampenda maan ni nabii wetu huoo
Huyo ni wakala wa ibilis
Ushuhuda ni mzuri Ila kitu ambacho sijapenda ni mtangazaji hajatulia kabisa na anaonekana Kama ana haraka anataka kuondoka, naomba ubadilike hapo
Best story ever
Huyo amenibariki sana na shuhuda zake naomba namba yake ya simu na pia anaweza kututembelea kisumu?
Atataja namba mbeleni mtumishi usijali
Testimonies born of Jesus Christ are meant to break chains of darkness and torture to those who are aimed. Jesus never allow a testimony like this for nothing but for a reason. And this is the reason to get rid of spiritual obstacles that one can think they are immovable. Every thing is possible in the hand of God.
Part 2 please
Sikizeni msemao kuwa Uislamu unakataza uchawi. Sheikh mwenyewe hapa asema kuwa wasomi wa viwango vya juu vya uislamu ni LAZIMA wasomeshwe uchawi!
Muongo sana acha kudandanya watu
DAVISTA MTU HUYU NO MUONGO SANA SANAAAA
mmmmmmmmmmmmmmmhhhhhhhh
We shetani takataka mchawi mkubwa
Unasikiliza uongo wa nini mbona jomba unapenda kutishiana maisha sana
Hii channel kaiharibu huyo davista,
@@manguloabawali4747 kaiharibuje mbona unaifuatilia kuisikiliza fala ww?
Hakuna sheikh aliyesoma elimu ya juu kama yako alafau akawa mkristo baadae
Safii ;kitambo kumsikia paul
Ahaaa, tatizo lako hukua Muumini tokea awali. Ulikuwa mshirikina na hukua Muumini. Elimu yako pia haikukusaidia, Na fanya urejee katika dini yenye kwenda sambamba na umbile uliloumbiwa.
Yesu anawapenda sana waislam
Anapenda binadamu wote …
Tuzidi kuomba rehema na neema zake kwa kuomba katika roho na kweli kwa kumwamini kuwa yeye ndiye njia pekee ya uzima wa milele…
Huyo muongo jinga wewe wapi Aya au hadidhi inayoruhusu watu wafanye ushirikina ? Walmushirikina fiinari jahanama Aya inasema washirikina watadum ndani ya moto wa jahanama milele na kamwe hawatatika humo sasa kama yeye alikuwa mchawi ni yeye mwenyewe
Uislamu ni imani ya kichawi
Utajua hujui hiyo sku ikifika utajua niimani yakichawi au laa
@@yunusramadhan2546 wacha tuone ukweli utakuwa wapi na nani ataingia motoni,kama tulio mwamini kristo au mlio mwamini mtu wenu !!
@@yunusramadhan2546 cku gan make sis sio nyie sis tunaimani yetu mzee
Tuko pamoja mtumishi davistar
Yani kumsikilza huyu mtu ni kukosa akili.
Amen 🙏🙏🙏
Huo ni uwongo mtupu kama ni kweli atoe hizo digree zake? Alafu osama bin laden haitwi bilal huo ni uwongo
davista bwana sasa mbona kaanzia moja kwa moja kwenye matukio mwambie aanze historia yake ya safari yake ya kwenda huko arabuni nchi zote sasa yeye naona kaanza na simulizi ya wakati asharudi toka arabuni hizo nchi
David, umuone hussein kwenye vidole vyake; ikona fanya uchawi wake, mchunguze vizuri.
Unauonaje uchawi mikononi
kila level ya elimu ina documentation ya vyeti na mamlaka husika inayotoa vyeti hivyo.
sasa huyu mzee kasoma uislam kwa miaka 22. mwambie atuletee
Cheti cha diploma miaka 2 (Alharamain)
Dedree Tripoli miaka 8
Degree ya pili Quwait miaka 6
PHD Iran miaka 4
Degree ya 4 uongozi miaka 2 saudi Arabia.
Alafu atuambie kwenye kila level kajifunza nini, na kama ni uchawi atuambie miaka 22 yote kafundishwa uchawi upi kwa kila level.
Mimi napenda aje shehe nguNguli hapa atoe ushuhuda wake lkn asiwe mazinge wala mwaipopo, waje wengine wageni tuwasikie! Wakija wachungaji mnawasema vibaya kuwa wanauvuruga uislamu wakati wanaongea ukweli wao.
Najua unadharau wakristo na unatuona wajinga mimi nakuambia tukana kashifu laani dharau hatumuachi Yesu milele
Kasema wazaziwake walikua wachawi kwanini aharibu ada namuda kusoma vyuo vyoote nchi zote hizo hivi kunachizi anaweza amini hii hadithi
Haya maswali ni muhimu sana 😂😂😂
Mjinga huyu atafuta pesa,tapeli,tamaa ya pesa Tu,soon Allah atamlipa,mnafiki mkubwa tu
Yesu ni jibu
Davister pls usije thubutu kukatiza ushuhuda wa huyu mtumishi kama ulivyokatiza ushuhuda wa Meshack…
Ubarikiwe Bro 🙏🏾🙏🏾
Yes, please
mmh, world is full of consipiracy. kila mtu atataka atoe ushuhuda ili dini yake ionekane ipo sahihi na ya mwingine ipo wrong. mwisho wa siku kaa ukiamini katika Imani yako.
@Nuru beauty& kitchen huombwi kuaminiani
Davista MUNGU akubaliki sana
Davistar where is our favourite Msabato😂😂😂
Mzee kanyerere favourite msabato. Hivi kwanini ukikutana na msabato anakuhubiria usabato badala habari ya Yesu jamani
🤣🤣🤣🤣
Ujambazi wizi utapeli umewajaa kazi ya kudanganya watu ili apate kuwaibia watu
Duhhhh cna iman kabs na kipindi hiki tutakujib kwa Hoja maliz kipindi kwanz #hamwezi kuua uislam kwa story book
MUISLAM YOU'RE AMBAYE AMUAMINI YESU HUYO SIYO MUISLAM
Kama umwamini Yesu kwani tumekuomba umwamini? Wewe amini utakacho jomba
@@victorbeno yesu nani yesu SI kama wewe tu
@@womanofsteel1402 hawezi kusikia huyooo
Hakuna anaejua dini ya kweli ipi Hadi ufe ndio utajua maana dini ni njia tu haimaanishi ambao hawapiti njia unayoipita wewe basi hawatofika kule uendako wewe. Hilo tu uislam na ukristo zote ni njia kikubwa ni matendo mema. Ukiwa muislam Kama unamatendo machafu Moto unakuhusu ukiwa mkristo Kama una matendo machafu pia Moto unakuhusu.
Ww ni wakala wa shetani
huna hoja wew!
Niulize swali lolote kama mm sina hoja. Hao mnao waskiliza wakala wa shetwani lakn nyinyi hamjui
Mr facts
Nimeona Hussein..Kwa mda mrefu sijawahi msikia tena
Nahisi nilimuona mara ya kwanza kwa bishop gwajima
Nimechelewa but mradi nimefika
Waislam ndio mnao pinga hizi shuhuda, cha kuwashauri jitahidini kutafuta waganga ili mumpe namba Davister ili awaleteen nanyi Burudani maana ninyi hampende kuokoa nafsi zenu ila mnapenda kuzidi kuziangamiza kwa Waganga. Zikija stori za Waganga huwa hampingi kabisa
Huwa hawaipigi mawe Imani ya mtu
Kwanza kwenye UISLAM hakuna PHD wala Degree. Halafu Fuqhi ni sheria, Tawheed ndio kumjua Mungu.
Huyu mzee mnafki sana kila neno mi hucheka sana, 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Halafu anataja wale watu wakubwa ili ionekane kweli.
Njaa mbaya 😂😂😂😂😂
Huyu ni muongo huyo mi mwenyewe alishindwa kujibu hoja zangu mpaka akanibrock hakuna kitu hapo
Maswali yepi alishindwa kuyajibu natamani niyajue.
@@benjathekingofficialshows awe na hoja zipi na wakati majini ni nduguze na bado Quran yenyewe ilishushwa na majini sasa majini yanatoa hoja wapi?
Uyu mzee mnafki sana quran yenyewe ajui kusoma njaa tu
Tunakuombea ndoa ya furaha,Davistar.
Watu waongo kweli.
Hivi mtu mwenye akili zake anamuelewa huyu mzee???😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Davistar uwe macho! Kuitisha msaada mtandaoni ni hatari. Sio watu wote wanakupenda, hasa wale siri zao hufichuliwa kupitia kipindi chako. Huoni kama waweza kutumiwa majini na visirani?
Mbona kama hatoi uahuhuda wake jinsi alivyoanza mpaka akaaweza kumiliki majini na hio elimu alivoipata kwa mtiririko mzuri.. anaunga unga sana
Mtu huyu muongo sana fiq hi si elimu ya kumjuwa mungu ni elimu ya kumjuwa matendo ya ibada. Na tawheed ni elimu ya kumjuwa mungu. Huyu jamaa alidai akifundisha Burundi warundi walimtafuta akasepa
mimi ni Mkristo ninaomba huyu jamaa aseme alisoma na osama mwaka gani? hii kazi alioajiliwa na mubarack na..gadaffi..na kadhalika aliwezaje kufanya kazi kwa watu wa tatu kwa mazingira gani
Kua n'a akili hivi story km hii ujaijuatu nizakutunga
Ha hahaha bora wew umeshtukia inshu
Hii story yakutunga mpuuzi mkubwa uyuu
Uyu jamaa akapimwe akili izi adisi tulitolewa tulivokuwa chekechea adisi za kitabunii
Kwani wewe ndio utaenda motoni sisi wakristo tuache tuende motoni wewe inakuhusu nini jomba. Mbona tunakuja kufuatilianaa imani na tunakuja kunyimana amani tanzania.
Mimi napenda aje shehe nguNguli hapa atoe ushuhuda wake lkn asiwe mazinge wala mwaipopo, waje wengine wageni tuwasikie! Wakija wachungaji mnawasema vibaya kuwa wanauvuruga uislamu wakati wanaongea ukweli wao.
jamaa aache kusingizia uislam aseme tu kwamba yeye alikua mchawi pamoja na familia yake.Abaki na mfumo kristo wake.Na hii ndo fimbo ambayo wachungaji wanaitumia kwa waumini wao ndio maana kanisani huwezi kuhoji kitu.
Ila wakristo usanii mwingi sana😂😅
alikua muislam akaona atoke? mhhh wacha atoke kila mtu ataubeba mzg wake
Adam haji,omary mnyesheni na omary mzanzibari na tumuongeze meshack alafu leten takataka zenu tuweke mdaharo
NADHANI TAARIFA ZAKE NIZAONGO
Dah acheni uongo jamani
Huyu jamaa kaeleza vizuri sana kua ukiwa mkristo huja koka nibure tuu.. hata waislam muislsm bila imani thabiti nibure tuu kama alivyokua yeye huyo hakua na imani thabiti alikua mchawi
Kabisa broo
Kama kawaida tukizika tunamwambia ....UMUWEKE MALAIKA WAKO MTAKATIFU ALILINDE KABURI HILI ....
na ndio mambo yanakua kama ivyo unakula bakora kwa kwenda mbele
Huyu mzee ni Wa mchongo lakini Allah atamuumbua katika uongo wake huu na kuichafua dini ya haki ila siku zote mambumbu ndio yanayobiruzwa kwa wakristo kwa kuwa mmezoea kuburuzwa buruzwa mnaamin uongo wa mwisho mtu mwenyewe anajichanganya kwenye maneno yake
Namsikiliza nikiwa arusha sinoni
Ubalikiwe sana.
@@eaglecrown1101 ubarikiwe nawe pia mtumishi karibu arusha
Mzee Kajani nilikuwa namsikia alikuwa na treni.
Treni ya kichawi?
,🙏🙏🙏