Mtume Muhammad SAW alikua akilingania dining lkn hakumtukana mtu wala kumzarau mashekhe wetu mmezidi sasa apo afate nasaha au ayo maneno yasokua mazuri
Ustadhi shafii shomar umesema kweli baridi Hiyo Tanzania hakuna,lakini dunia ni kubwa,ninae mdogo wangu ni baharia amezunguka Sana kweli,Sasa akaniambia wamefika nchi moja kama sikosei ni Urusi Ukiyatoa maji kwenye chombo ukayarusha juu yakitua chini ni vipande vidogovidogo vya barafu
#Joe _zeno Habeeb Allah Mwenyew Hakuwah Kumwaita Mtume Jina Lake "Muhammad"" Akimuita Jna Lake Bas Husema Muhammad Rasuulullah Na Hasem Muhammad Hajawai Kumwita Hvy
Swali lako zuli nimelipenda ila natamani kukujibu ispokuwa sina elimu nalo ndajalibu kulitafutia majibu inshalaah nitakujibu au watakujibu wenye elimu majibu yapo ongera kwa Swali lako
@@saidizidadukanyida8875 hakuna mwislamu anaweza kujibu , ndo maana wote wanakaa kimya kwasababu wanajuwa , Hakuna aliefungisha ndoa ya Muhammad na Khadija, ili ndoa iwe halali
Ustadh Allah akuzidishie umri,hakika nakupenda Kwa ajili ya Allah,
Ila shafii jamani Allah akupe umri mrefu shekhe
Allah akulipe yalo na kher fil duniya wal akhr
Jazzak Allahu khairan ,tunakupenda saana Shekh wetu Allah akupe kilala hkeri
Masha-ALLAAH, shukran jazla sheikh ALLAH akujaalie umri mrefu ulio mwema
Maashallaha Sichokagi Kukusikiliza Mufti Wangu
sheikh twaomba uje kenya mombasa
Sheikh shafii unajua kutukosha mashallah ukumbusho mzur
ManshaAllah Allah ukulipe hapa dunian na kesho akhera
mashaAllah shekh
Alllah akuhifadh mzid kutuombea mola atusamehe sote dhamb zetu atujalie pepo yake atakama tuko na mapungufu
Mashalllah shek shafi nakupenda kwa hajili ya Allah
Mungu akupe umri
Mashaallah. shukran
Allahumma swalli wasallim wabarik alayh
Allah akulipe sheikh wetu
Mashalah ostdhi shafii mungu aendelee kukuweka kwenye hii dunia
Masha Allah sheikh Shafii
Namba za simu tutapataje sheikh wangu tafadhali naomba mimi ni Mfatiliaji mkubwa wenu
Masha allwah nakupenda kwa ajili ya allwah
Anaitwa ALLAH na sio Allwah
ALLAH Amweke maisha marefu na Afya njema nampenda kumsikiza yeyye na DR Zulle ALLAH awahifdi mashekh wote inshaala,
Shukran Shukran Shukran Shukran
Mashaallah tabarakallah
Allah atupokee in sha Allah 🙏
ALHAMDULI ALLAH DUA KABUUUL
Takibiir jamani mungu atupe afya
Manshalllah
mashallah mungu akuupe kheri
Takbir mashaallah ❤❤
Mashalla mungu akubarik shekh
Inshaalla ( tupe namba ya kuchangia)
Subhanallah
Shekhe shafii unajua kunivunja mbavu
Mashaallah tabarakaallah
Nakupenda kwajili Allah
You made it
SSP,, sichogagi kukusikiliza mashallah ❤️
Allwahu akbar
Mashallah Allah
Allah akbar
Haha! Sheikh Shafii umenivunja mbavu wallah. Dah! Ati jamaa alikuwa anauvunja mkojo "ko!" "ko!" "ko!" Aisee...Matata sana! Haha. Allahu Akbar!
دفاعا عن سيدنا ونبينا محمد عليه الصلاة والسلام للشاعر البطل عامر بن سالم الصبري من جمهورية اليمن
th-cam.com/video/R-vw9tidJd8/w-d-xo.html
Mashallaw
Bwana ustath shafy hayo mafuta yanayo pooza viungo watu kama sisi tulio mombasa tukihitaji tu fanyeje shekh wangu?
Masha Allah Daawa ya hikma sanaa
Mashaallah Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
Mashallah 🥰 mawaidha mazuri
0:28 0:29 0:30
Ahsant shekh
Nakuona shekh wangu nipo omani ila hapo nikwangu hapo
Mtume Muhammad SAW alikua akilingania dining lkn hakumtukana mtu wala kumzarau mashekhe wetu mmezidi sasa apo afate nasaha au ayo maneno yasokua mazuri
🌃🙏🏻🙏🏻🙏♥️♥️♥️
Ustadhi shafii shomar umesema kweli baridi Hiyo Tanzania hakuna,lakini dunia ni kubwa,ninae mdogo wangu ni baharia amezunguka Sana kweli,Sasa akaniambia wamefika nchi moja kama sikosei ni Urusi Ukiyatoa maji kwenye chombo ukayarusha juu yakitua chini ni vipande vidogovidogo vya barafu
MashaaAllah TabarakaAllah
shafii ala akupe umlimrefu namazuli iri uwenderee kutupa dawa
Wallahy mawaidha yako napenda sana kukuskiliza, yani adi ukamalize mie sina mbavu🤣🤣🤣mashallah 🤲 et mwalim madrasa achemshe misahafu ale 🤣🤣
Ulipo nipo sheikh wangu
Barıdi hyo iko hku uturuki 🇹🇷😄😄
Hahahahaaaaaaah unatisha sana shekhe shafi
Ìla shafi namkumbalingi sana mafunzo yake ahh swandakta
😂😂😂😂 🙌🙌 shekh shafii huo mkoj kwel ulikuw unavunjik 😂😂😂😂
katika vitu vinne vya kumuangalia mwanamke ni dini tu mali c lazima kma unataka mwenye mali unataka kulelewa na kusimangwa
Mashallah الله يحفظك ويعطيك صحة وسلامة
Eti hatuna visa tukishuka tunakamatwa🤣🤣🤣 we Kula Washington kwa macho
😀😀😀😀
Ndiyo mana allah katuambia guyo sheytwani iblis ndio adui
Waislamu, napenda kujuwa, Ni Nani au Sheikh gani aliefungisha ndoa ya Muhammad na Khadija?
#Joe _zeno Habeeb Allah Mwenyew Hakuwah Kumwaita Mtume Jina Lake "Muhammad"" Akimuita Jna Lake Bas Husema Muhammad Rasuulullah Na Hasem Muhammad Hajawai Kumwita Hvy
Samahan Cjajib Swal Lak ila Nmekupa Uhalisia
@@jamilasefu1868 jibu swali?
Swali lako zuli nimelipenda ila natamani kukujibu ispokuwa sina elimu nalo ndajalibu kulitafutia majibu inshalaah nitakujibu au watakujibu wenye elimu majibu yapo ongera kwa Swali lako
@@saidizidadukanyida8875 hakuna mwislamu anaweza kujibu , ndo maana wote wanakaa kimya kwasababu wanajuwa , Hakuna aliefungisha ndoa ya Muhammad na Khadija, ili ndoa iwe halali
Astagfrullah malaika hawaku goma na wawezi goma kumuasi mola wao Mlezi
Km nimemuona sule au vp
Fakih Mbarouk na kionjo cha kasida mpya ya harusi th-cam.com/video/9T5U4frOm_Y/w-d-xo.html
Ko ko ko
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣dah nimecheka kma mwehu etiiii anaongeza ayiiin
Mchenzo wa nyembo
nasaha na bashasha🤣🤣
🤣🤣🤣🤣
Hahaha 😂
Matapeli wa Dini hawa haifai hata kuwaskiliza
Hacha kuwadhalilisha Allah ndo mjuzi wa kila kitu
We unarahana wewe Allah akusamehee
Mashallah...
Mashaallah
Mashaallah