Mashaallah Allaah akuongoze na akuepushie nafitna za ulimwengu na akukinge na maradhi mabaya na mwisho mwema Inshaallah ❤ Nakupenda kwa ajili ya ALLAAH ❤
MashaAllah tabaraka Allah sheikh Allah akuajalie kila la kheri katika mambo yako leo hapa duniani na kesho akhera na atuajalie sote waislam na mwisho mwema
Wallah nikikusikilizaga Imani inazidi wallahAllah swt akujaalie pepo ya firdausi ww na kizazi chako amin
Mashaallah Allaah akuongoze na akuepushie nafitna za ulimwengu na akukinge na maradhi mabaya na mwisho mwema Inshaallah ❤ Nakupenda kwa ajili ya ALLAAH ❤
Jazakka Allah kheri Allah akupe umri mrefu sheik wetu
Amiin
Mashaallah sheikh Allah akuhifadhi
Rabbi inn Lima anzalta ilayya min khayri faqeer
MashaAllah sheikh Allah akuhifadhi na Shari za dunian na kesho akhera
ma Sha Allah kipenzi chetu Allah azidi kukusimamia uzidi kutujuza zaidi in Sha Allah
Masha Allah Sheikh BarakAllah feek 🙏🙏🙏
MashaAllah tabaraka Allah sheikh Allah akuajalie kila la kheri katika mambo yako leo hapa duniani na kesho akhera na atuajalie sote waislam na mwisho mwema
Maashaallah tabarakaallah tuandikiye izo duwa tujifundishe utatusaidiya
YAAAANII uwaga nasikiaa aaamanii saaaana nikisikiliza mawaidha yaakoo
La illaha ila anta subhanaka inn kuntu mina dhwalimina
Mashaalah sheikh wangu
Mashallah sheikh wetu Allah akulipe zaid akhera na dunia inanifundisha mengi wallah 🙏
Mashaallah mwenyezi mungu akupe umri mrefu uzidi kutujuza duniani na akhera❤amiiiin ❤
Allah atupe wepesi atutakabaliye dua zetu inshaallah
Mashaallah sheikh wetu❤❤❤
Mansha’Allah sheikh Shukran Jazaakum Allahu
Manshaallah tabarakallah allahu akujaliye heri yadunia nayaahera
Naakujaliye naati firdaus inshaallah
Maasha allah allah azid kukubarik shekh wet
Shukran jazakallah Allah atufanyie wepesi
Asalam aleykum warahmatallah Allah akuzidishie Kila la kher kwakeli unatukumbusha sana na kutuelimisha
Allhamdulillah Allah akuhifadhi
AllahuAzzauwajallah akuondolee magumu akupe umri mrefu pia akupe jannatul firdaus
Shukuran sheikh othman wag ❤❤❤
Allaah akuhifadhi
Tunafaidika sana na mawaidha na adh'kari mbalimbali
Alhamdulillaah
MashaAllah Allah azidi kuku ongoza sheikh
Shukraan sheikh Michael kwa mafunzo mazuri
Allah akulipe shekh wetu
Jazaka Allahu kher
MashaAllah Allah akupe umri mrefu na akupe furaha hapa duniani na kesho akhera. Aaaamin
Shukrani Allah Akuongezeye elimu
Allahu akbar mashaallah Allah akulipe kila kheri tunafaidika mengi n'a wewe
Asante sana shekh kwa elmu mzuri
Mashaallah
Mashalllahu Taqabalahu
SHEKHE ungetuandikia hizo Dua kwa kiswahili hakika ingependeza Sana!!!
Naam allah akuripe kheli shekhe
MAY ALLAH BLESS YOU.
Kila la kheri shekh
Mashallah hekh othuman Allah akupe khery jaman mwenye kuijua dua ya Ayubu naomba aniindikie nam niijue inshallah
Yaa rabbi anniiy massaniyadhurru wa anta arhamu rraahimiin
Mi naomba tafsiri yake
Mi naomba tafsiri yake
Masania dhur waanta arhama rahimini farhamni birahmatika ya rabi
Rabbi anniii massaniya dhurru wa Anta arhama rraahimiin.
🎉🎉🎉🎉🎉mashaallaah kweli kabisaaa
Mashallah
Assalamualaikum warahmatu Allah
Nimejisikia faraja Sana na haya mawaidha
Alhamdulillah
Haniallak shekh
Asalam Alaykum aliyeelewa dua vizuri,naomba aiandike kwa kiswahili tupate kuisoma InshaAllah Allah awalipe kwa Aliym
❤❤
❤❤❤❤
0:09
.
Siri z dua kwl hasa hamzitaji ni km vile mfanya biashara ukimlz biashara unayofanya inalipa atakujibu hailipi kumbe hataka ufanye n ww
Naomba number ya whatssp
Masha Allah Sheikh BarakAllah feek 🙏🙏🙏
Mashallah
Mwenyimungu akupe tawfik njema.
❤❤