MA SHA ALLAH SHEIKH (DR)SULE MAY ALLAH AZZA WAJJAL PROTECT YOU AND YOUR TEAM ON THE DA’AWAH WORK YOU ARE DOING. MAY ALLAH AZZA WAJJAL REWARD YOU AND YOUR TEAM ABUNDANTLY ALLAHUMMA AMEEN.
Nakukubali uelewa wako dr.bali la kuongezea ni kuwa mto Nile huanzia mto Kagera ambao ukiwa kwenye mashua mto huonekana wazi maji take kutiririka bila kuchanganyikana na maji mengine ya ziwa.nahisi maji hayo yamto hukutana na shimo linaloibukia Jinja nakufanya Kama chemichemi uliyosema.fuatilia ukweli huu sheh
maana kuna blue nile na white nilee na white nile baadhi ya chanzo chake ni burundi ila sio mto wote na pale ni asilimia chachee sana na asilimia kibwa ni ziwa victoria
@@fatmaabdallah7709 MUNGU WETU ANAZAA KWA NENO LAKE NYIE MUNGU WENU AZAHI NDO MAANA ANASEMA HANA MTOTO MUNGU WETU YUKO NA MAJINA 23 NYIE MUNGU WENU YUKO NA MAJINA 99 ALLAH NI BABA ???
Voisa classic elewa Kaka huku soma hata CRE shuleni kapata kuelewa, mwalimu kasimulia vizuri uzao wa nabi musa ulivio kua zama hizo kulikua na changamoto nyingi sana kutokana na utawala wa pheraoni. bada ya tarifa kufikia pharao kutoka kwa watalam wa kienyeji kua kuna mtoto wa kiume ata zaliwa na ataupindua ufalume wa pheraoni ndipo amuri ikatoka katika taifa la misiri kwa jumula kua watoto kuanzia miaka mitatu kurudi chini wakiume wote wauawe na wakuzaliwa vile vile
Huyu. Sule hajui lolote kuhusu ukristo ila anajifanya anajua nikushauri kitu wewe sule shika imani yako acha kupotosha wato haujui chochote hata ukiishoma bibilia haujui unachokisoma unaongea ujinga tu wewe soma quran tu
MA SHA ALLAH
SHEIKH (DR)SULE MAY ALLAH AZZA WAJJAL PROTECT YOU AND YOUR TEAM ON THE DA’AWAH WORK YOU ARE DOING.
MAY ALLAH AZZA WAJJAL REWARD YOU AND YOUR TEAM ABUNDANTLY ALLAHUMMA AMEEN.
Mashallah.Allah akuongoze utuelimishe zaidi
Dk sulle mungu akulinde sana maana huwa unaelezea historia vizuri hata kama hujasoma utaelewa tuu jazakalah khaira sulle
Mash Allah my brother Dr Sule Mola Akuhifadhi
Dr.sule nakufuatilia Sana 🤝🙏🏼 na najifunza mengi kuhusu uislam
Alhamdulillah
Mash Allah ndugu kwenye imani
Mashaallah 💓💓
Jazakallahu khaira
Nimenufaika sana..alhamdulillah.Allah akulipe inshaallah.
Amiin
JazzakaAllah kheyr
Yarabi tujaalie mwisho mwema
Alhaj, mash Allah, alhamdulillah najifunza historia yakiislamu kupitia post zako. Allah Akuhifadhi na usichoke kutuelimixa
My icon in Islamic narratives
Masha Allah ❤❤❤
الله اكبر
Masha Allah
Allah Akbar
Alahu akbar
Mashallah
Asalam aleykum alhaj dk sule na mazinge nawapenda kwa ajili ya Allah na Allah awalinde wapambanaji munaongea bila woga Allah awahifadhi
Amiin Ya Rabb
SWALALAHU ALEYHI WA SALAMA 🤗🤗🤗
Shukran
Mafudisho masuri sana
Mungu akujalie allahaji Sule
Ewe mwenyezi MUNGU mkuu
Allha akuongoze katika mema shehe sule uzidi kutuongoza nasi
Mashaallah
QURAN NI KITABU YA MOHAMMED
Kumbe Mbeya ndomji ulioko juu Duniani mashaall
Kakwambia afrca sio duniani
Yaah nandiomaana Kuna baridi sana
Marahba
Nakukubali uelewa wako dr.bali la kuongezea ni kuwa mto Nile huanzia mto Kagera ambao ukiwa kwenye mashua mto huonekana wazi maji take kutiririka bila kuchanganyikana na maji mengine ya ziwa.nahisi maji hayo yamto hukutana na shimo linaloibukia Jinja nakufanya Kama chemichemi uliyosema.fuatilia ukweli huu sheh
The source of River Nile is Burundi in southern province called Bururi
MSHENZI WEWE RUDI SHULE UKASOME
@@kbmsouth 😁😂😂😂😂🙆
kila nchi ina historia yake
Sheikh umejidanganya mtoo nil unaanzia burundi sio Uganda
Unaanzia Uganda kutoka ziwa Viktoria.
sheikh rejea darasani
kabla hujapinga unatakiwa uende darasani usome kwanzaaa
maana kuna blue nile na white nilee na white nile baadhi ya chanzo chake ni burundi ila sio mto wote na pale ni asilimia chachee sana na asilimia kibwa ni ziwa victoria
Niuganda my
Dr Sulley
ACHENI KUJIFARIJI
ULE MUNGU ALIYEMUTUMA MUSA KWA FARAO JINA LAKE NI JEHOVAH
SWALI:: ALLAH ANAITWA JEHOVAH ??
Mungu ndo huyo huyo mmoja sisi tunamwita Allah wewe ukipenda mwite Jehovah na wengine wanaita mulungu wengine Jah mwite unavyotaka
@@fatmaabdallah7709 MUNGU WETU ANAZAA KWA NENO LAKE
NYIE MUNGU WENU AZAHI NDO MAANA ANASEMA HANA MTOTO
MUNGU WETU YUKO NA MAJINA 23
NYIE MUNGU WENU YUKO NA MAJINA 99
ALLAH NI BABA ???
Keli*#
Nani mtemi
Hakuna mtu anaetwa Musa kajenga pyramid alikuweko mtumwa mwalimu you don’t know history
African history kuelewa ni jambo la muhimu sana wapi ama nani kasema musa kajenga pyramid una sikio ila husikizi babas
Mwalimu ana simulia vizuri uzao wa musa ulivio kua enzi hizo za pheraoni
@@kennedyochieng7935 Na hakuna mtu aneitwa Musa
@@kennedyochieng7935 Hakuna mtu anaeitwa Musa kafanyuwa utumwa na Furaun hizo ni hadisi za wazungu na Charelton Heston yule mzungu walotenganeza movie
Hii story kwa sisi wakristo inasimulia ni yesu sasa huku mbona anatajwa musa?
Voisa classic elewa Kaka huku soma hata CRE shuleni kapata kuelewa, mwalimu kasimulia vizuri uzao wa nabi musa ulivio kua zama hizo kulikua na changamoto nyingi sana kutokana na utawala wa pheraoni. bada ya tarifa kufikia pharao kutoka kwa watalam wa kienyeji kua kuna mtoto wa kiume ata zaliwa na ataupindua ufalume wa pheraoni ndipo amuri ikatoka katika taifa la misiri kwa jumula kua watoto kuanzia miaka mitatu kurudi chini wakiume wote wauawe na wakuzaliwa vile vile
Hahaha
Haifanani na story ya yesu.umechanganya sehemu bila shaka😊
Kwamba yesu alizaliwa misri au
Huyu. Sule hajui lolote kuhusu ukristo ila anajifanya anajua nikushauri kitu wewe sule shika imani yako acha kupotosha wato haujui chochote hata ukiishoma bibilia haujui unachokisoma unaongea ujinga tu wewe soma quran tu
muogope mungu ulichokipost utakuja kukikumbuka
Mashallah
ALLAHU AKBAR