SHEIKH KADOGOO, CATHERINE RUGE NA MBOWE WAWEKA MSISITIZO HAI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 12

  • @majidimussa8678
    @majidimussa8678 2 หลายเดือนก่อน +3

    uyu kaka Anaongea vzrii sana

  • @JacksonFrances
    @JacksonFrances 2 หลายเดือนก่อน +5

    Hakika CHADEMA Mnatupa Matumaini Ni Wakati wa Watanzania Kufanya Maamuzi Sahihi Kwenye Uchaguzi Huu Kuwaondoa CCM Haraka iwezekanavyo"

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 2 หลายเดือนก่อน

      Matundu ya vyoo. Ni kichefuchefu katika KARNE hii. Imebaki tu kutapanya rasilimali za nchi hii. Makamanda PAMBANENI

  • @sammykateregga6238
    @sammykateregga6238 2 หลายเดือนก่อน +3

    VIONGOZI WA CDM NASHAURI KATIKA MIKUTANO YOTE MSISITIZE JUU YA WANACHAMA KUJIANDIKISHA NA KUONDOKANA NA WANACHAMA MASHABIKI WASIOKUWA NA UWEZO WA KIPIGA KURA.

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s หลายเดือนก่อน

    CCM ni kichaka cha majambazi

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 หลายเดือนก่อน

    acha kudanganya watu,eti sheikh kwa sababu ya ndevu na kilemba!!hakuna serekali duniani inayogawa pesa kwa watu wake!!kama hamtafanya kazi hamrabadilika!!
    Mama yetu mpendwa SAMIA SULUHU HASAN Katoa fursa kwa watu kifanya kazi na biashara bila kubughudhiwa!!
    Hongera raisi wetu mpendwa SAMIA SULUHU HASAN HAKIKA UNAUPIGA MWINGI WAPINZANI WATASUBIRI SANA

    • @DiwaniMwafongo
      @DiwaniMwafongo 2 หลายเดือนก่อน +3

      Watu ambao hawajatailiwa kichwani ni kama wewe.
      Wewe ni chawa upinde!!

    • @ibrahshifta1595
      @ibrahshifta1595 2 หลายเดือนก่อน

      ,Hajitambui huyo alafu ni mgonjwa wa akili ,achana nae ​@@DiwaniMwafongo

    • @illomowerner7690
      @illomowerner7690 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@DiwaniMwafongo kabisa KAMANDA Mwafongo

    • @mgungulem3187
      @mgungulem3187 2 หลายเดือนก่อน +1

      Mama
      Mamamako

    • @DiwaniMwafongo
      @DiwaniMwafongo 2 หลายเดือนก่อน

      @@hamzakimaro3764
      .....ya mamako ya huyo mamako