PART 6 STUDIO ZA KUZIMU USHUHUDA WA KENZO ATSUSHI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 16

  • @annissdaprincess3846
    @annissdaprincess3846 ปีที่แล้ว

    Amina hallelujah mubarikiwe zaidi nazaidi watumishi wa MUNGU ninapata nguvu mpya kupitiya ushuhuda huu

  • @doreenmartin3105
    @doreenmartin3105 ปีที่แล้ว

    Nimetiwa moyo sana na huu ujumbe.
    Hakik a maisha yangu yako katika kujaribiwa, mapepo yananishambulia sana... Kuna wakati nimetaka kukata tamaa, kwa sababu nimedhani nimeomba vya kutosha, nimefunga, nimepanda milimani kukesha na kuomba siku kadhaa lakini mashetani yameendelea kunishambulia sana.... Sasa himesikoa kenzo ilikugharimu miaka ishirini ya ushindi wa vita....Oooo nimeinuka! Nitaendelea kufunga na kuomba usiku na mchana najua huyu shetani ataanguka tu.
    Asante sana

  • @yudamwakatobe338
    @yudamwakatobe338 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mwana Mungu kwa ujumbe huu wenye nguvu wa neno la mungu

  • @SafiAkinyi8361
    @SafiAkinyi8361 ปีที่แล้ว

    AMEN AMEN AMEN 🙏 🙌 MUNGU AKUBARIKI SANAA NAWE PIA KWA USHUHUDA MZURI

  • @MaggyMuthoka-ce9lh
    @MaggyMuthoka-ce9lh ปีที่แล้ว

    Amen

  • @user-tz9ic7jn4j
    @user-tz9ic7jn4j ปีที่แล้ว

    Amen amen amen ubarikiwe mtumishi

  • @maryandason1815
    @maryandason1815 ปีที่แล้ว

    Amen blessed kwa testimony

  • @gracelauzi9746
    @gracelauzi9746 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU ATUSAIDIE TUSIMAME KATIKA UTAKATIFU WAKE TUTENDE YALIYO MAPENZI YAKE MUNGU AMINA

  • @loycejoshua531
    @loycejoshua531 ปีที่แล้ว

    MUNGU atusaidie

  • @doreenmartin3105
    @doreenmartin3105 ปีที่แล้ว +2

    Nimetiwa moyo sana na huu ujumbe.
    Hakik a maisha yangu yako katika kujaribiwa, mapepo yananishambulia sana... Kuna wakati nimetaka kukata tamaa, kwa sababu nimedhani nimeomba vya kutosha, nimefunga, nimepanda milimani kukesha na kuomba siku kadhaa lakini mashetani yameendelea kunishambulia sana.... Sasa himesikoa kenzo ilikugharimu miaka ishirini ya ushindi wa vita....Oooo nimeinuka! Nitaendelea kufunga na kuomba usiku na mchana najua huyu shetani ataanguka tu.
    Asante sana

    • @Joyceisaka
      @Joyceisaka 2 หลายเดือนก่อน

      Hakikaa tutiwe nguvu na hizi shuhuda na kusonga mbele tena

  • @user-lx3bw1uk3e
    @user-lx3bw1uk3e ปีที่แล้ว

    Amen

  • @barakabaraka4508
    @barakabaraka4508 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @barakabaraka4508
    @barakabaraka4508 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @Nenolamaarifa
    @Nenolamaarifa ปีที่แล้ว

    Amen

  • @barakabaraka4508
    @barakabaraka4508 ปีที่แล้ว

    Amen