YOUNG LUNYA NA WAKAZI KIMEUMANA LIVE TIMES FM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 มิ.ย. 2024
  • All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
    Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
    Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

ความคิดเห็น • 79

  • @godsson5954

    hiki kizazi hakina talent, case closed

  • @mohamedilukwaya2713

    They not like us team mbuzi

  • @djfunk255

    That's true, hauezi kua km wao na wao hawawezi kua km wewe.

  • @SwahiliAmbasador954

    Mwambieni Lunya apige kazi wakimkataa hao wasanii wenzake sisi tulio waajili ndio tunamtaka Lunya na sio hao wasanii wenzake piga kazi mwamba mimi nakukubali sana na uku mtaani una fan base yakutosha❤🎉🎉

  • @AugustinMuswabantu

    Akuna rapper apa

  • @PaulNgoroi-xv3eq

    Mbuz humuwezi bebelu sababu kumbuka msingi ambazo umekufanya uonekan Leo Hapo kunamabroo ambao hutakiw kuwa diss lespect mfano kama nyigi danyik Uuuunju mexcortizy fresh like unh kamusi mbwa mzee mbeya boy chuma lugombo kadigo kwaiyo angalia unachokiongea unapo stay on media

  • @EllyMhoja

    nakubali young lunya✌

  • @Issamuemede

    Mi kwangu si kutarajiya kama the got of all time anashindwa ku free style in punch line

  • @SwahiliAmbasador954

    Kiukweli mimi sio shabiki wa hip hop nyimbo za Lunya nazifahamu lakin huyo wakazi siijui ata nyimbo yake moja

  • @dkensmopainvevo3683

    Shout out to country wiz🎉

  • @shukranisibale1739

    Kwa wakazi namtetea Lunya wakazi hata kuimba hajui

  • @user-pt7lc4xu3d

    Mbona lunya mkali asee wakazii maneno tuu mengii

  • @stonestz8815

    Kuna rapa anamashavu kama chura...😂 sema umezingua ku-freestyle huwezi ila kutoa mistari kwenye ngoma yoyote imekushinda 😂 GOAT rudi bandani

  • @user-rp1ly4xc8k

    Mbora wa mda ote kwenye kizazi cha lunya ni Dizasta

  • @donlee9992
    @donlee9992 14 วันที่ผ่านมา +1

    Motoo sana

  • @shadrackdebora8436

    You are best Lunya, be you as you men...

  • @MaliaLazaro

    Kwa iyo story yako tu nimekukubal my boy

  • @samwelamon7672

    Kuna watu wanaitwa KICHWA KUMZIDI that's WABIRO WAKAZI , time ya mwenzio haijalishi anaimba nini wewe inakujaa CHUKI inakutesa,, even wewe hujui kuchana niwakawaida sana kujificha kwenye kimvuli cha wachanaji wa TAMADUNI MUSIC na mwamvuli wote wa ukanda ule sijui kikosi kazi an all dat, ndio inakurembeshea wewe kujiita mcee,, ila mwenyewe mwenyewe na kingereza chako na majigambo yako WAKAZI WEWE SIO MCEE MKALI WA KUMDISS DOGO HATA KIDOGO,, Chuki inakutesa,, nimda wake, haijalishi anaimba nini,,, Ana hit JAIVA na sauti lake baya akiimba matusi eti MTOTO KAUTAKA utafwananisha na anachoimba LUNYA..? ushamba flan kutaka kujiona unaijua sana RAP, Cake ya taifa ni kubwa sana changamka Ukate kipande chako,, time unayotumia kusema lunya anakata kubwa unatushangaza..!wakati na wewe ni mcee fanya nawewe KAMA WASEMAVYO KIKOSI KAZI

  • @NoelChambo

    LUNYA NDIYO KING WA RAP KWA SASA, HATE NDIYO INAWASUMBUA WATU.😂