THE CLASSIC SAIGON EP 2 : KALAPINA ALIKUA BAUNSA WANGU/HASHIM DOGO NI HATARI SANA/SUGU AHESHIMIWE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • Sehemu ya pili ya maongezi na Saigon ambapo anaendelea kutupa madini mbali mbali ambayo ni muhimu katika historia ya game la Bongo.

ความคิดเห็น • 86

  • @mosse1466
    @mosse1466 3 หลายเดือนก่อน +12

    11.29 shukran sana kutambua mchango wangu. DJ Mosse hapa.

  • @REVOLUTIONARYLYRICS
    @REVOLUTIONARYLYRICS 4 หลายเดือนก่อน +13

    Rusha mikono yako hewani kama unapenda hii fani...au sio! Oi🇰🇪

  • @AbdulrahmanAwadhi-no5pq
    @AbdulrahmanAwadhi-no5pq 4 หลายเดือนก่อน +14

    Mimi mwenyewe nilikuwa kwenye video ya Oyaa Mselaa Oyaa Mwanzo wa 90's ilifanyika TNSko Cotaz..

  • @Chemba67
    @Chemba67 3 หลายเดือนก่อน +4

    Tuleteeni huyo Hashim dogo jamani maana ametajwa saaaana kila sehemu kwa miaka mingi mnoo ......Tafadhari sana bwana Kuvi

  • @nzalinextlevel4515
    @nzalinextlevel4515 4 หลายเดือนก่อน +6

    leo umenikosha sana umeniletea mtu ambaye kani fanya kupambana mpaka leo naishi Dallas Texas USA , Kalinye , Kalinye OOOH OOOHiiiiii

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  3 หลายเดือนก่อน

      Respect

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  3 หลายเดือนก่อน

      Pamoja sana

  • @BebaKulwa
    @BebaKulwa 4 หลายเดือนก่อน +10

    Huyu mwamba ni mnyamwezi sana

    • @westcijosh
      @westcijosh 4 หลายเดือนก่อน

      Ana balaa saigon

  • @nasserm.nasser5087
    @nasserm.nasser5087 3 หลายเดือนก่อน +1

    Saleh Mzee upo na nafurahi kukuona na furaha pamoja na mitihani mingi ulopitia
    Kama utanikumbuka, mimi ni Nassor ama don Nas kama ulivyokuwa ukiniita pale Almuntazir
    Nitafute, yaani umenikumbusga enzi zile ulivyokuwa ukiachia freestyle kila sehemu

  • @trayoversion
    @trayoversion 3 หลายเดือนก่อน +3

    Saigon Njoo na Album alafu ndo uendelee na Mambo yako kuna kitu tunakosa kwenye huu utamaduni

  • @ksonrap
    @ksonrap 4 หลายเดือนก่อน +7

    Oiiiioii 💥💥💥 Salute 🫡 Saigon Was The Best Of All The Time's

  • @harrysonngosha7931
    @harrysonngosha7931 4 หลายเดือนก่อน +4

    Uyo saigon ni mtu na nusu namkubali sana kuliko hatari yenyewe mpe salaaaam zangu

  • @trayoversion
    @trayoversion 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mtafute na KALI P,HASHEEM DOGO,KBC,

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t 4 หลายเดือนก่อน +6

    Fid Q kamsikiliza sana huyu jamaa Saigon, Saigon akiwa anaongea namsikia Fid q ndani yake, fid Katoka 2004 Saigon kaanza mziki 96 je nani atakua aliiga miondoko ya mwenzake kwat ya Fid na Saigon?

    • @westcijosh
      @westcijosh 4 หลายเดือนก่อน

      Kwani we unasemaje?😂😂

    • @joshuamuro9494
      @joshuamuro9494 4 หลายเดือนก่อน

      Saigon kanza 1992 Fid akiwa bado mtoto mdogo!!

    • @timothymikola2317
      @timothymikola2317 3 หลายเดือนก่อน

      Saigon mkubwa sana 1976 na fid q 1982

    • @godsson5954
      @godsson5954 3 หลายเดือนก่อน

      fid wa juzi sana ukute alikaua chekechea wakt saigon anachana

    • @RaiderTube
      @RaiderTube 3 หลายเดือนก่อน

      FID alikua anapangusa kamasi kipindi Saigon yuko town

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 4 หลายเดือนก่อน +4

    Hawa ndo wenye rap yao bongo

  • @Jabali_Media
    @Jabali_Media 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dah Bonge umetisha Sana kumleta huyu mwamba Saigon... Huyu jamaa ndo alinifanya nikaioenda hip-hop ya bongo Kupitia kipindi chake cha Hip-hop Base

  • @beatbyrich2891
    @beatbyrich2891 3 หลายเดือนก่อน +1

    Saigon anazungumza slang ya marekani kwa mfumo wa lugha ya kiswahili.

  • @DereckMuya-uo1ul
    @DereckMuya-uo1ul 4 หลายเดือนก่อน +3

    Saigon ni mtu hatar katika hip hop

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 4 หลายเดือนก่อน +4

    Saigon noma sana uyo jamaa kwenye hip hop

  • @issangwana9470
    @issangwana9470 4 หลายเดือนก่อน +4

    Comon mtupu sigon

  • @DaudiSaid-bj7dh
    @DaudiSaid-bj7dh 4 หลายเดือนก่อน +3

    Saigon Bado hajapata mshindani wake katika hardcore

    • @praxdesigns8686
      @praxdesigns8686 3 หลายเดือนก่อน

      Conboi Canabino ashachukua nafasi yake kutoka kwa sauti na language usage

  • @sausimwita3200
    @sausimwita3200 4 หลายเดือนก่อน +4

    Afate hashim dogo aisee

  • @carlosmzena548
    @carlosmzena548 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ngoma yangu kali ya Saigon ni Fikra Pana na nisamehe

  • @beatbyrich2891
    @beatbyrich2891 3 หลายเดือนก่อน +1

    Imam Abas?

  • @brianbrayoo1590
    @brianbrayoo1590 4 หลายเดือนก่อน +4

    OLD SCHOOL in building...

    • @mikachristopher8240
      @mikachristopher8240 4 หลายเดือนก่อน

      Nafurahi tunaanza kurudisha historia

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 4 หลายเดือนก่อน +5

    MBONA HAMNA SESSION YA KUCHANA JAM💥💥💥💥

    • @atenionesmo_A10
      @atenionesmo_A10 3 หลายเดือนก่อน

      jamaa saiv n shekhe

    • @abdallahdataguy
      @abdallahdataguy 3 หลายเดือนก่อน

      @@atenionesmo_A10 😀

  • @KelvinIsrael-pl6lz
    @KelvinIsrael-pl6lz 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka kuvi tuletee hasheem dogo

  • @mohamednindi7497
    @mohamednindi7497 3 หลายเดือนก่อน

    I enjoyed this seriously

  • @simonlukiko2850
    @simonlukiko2850 3 หลายเดือนก่อน +1

    AKIRI NI NYWERE KILA MTU ANA ZAKE

  • @richardcastromzena5136
    @richardcastromzena5136 4 หลายเดือนก่อน +2

    Unique sisters please

  • @NotiAbdullah-d1f
    @NotiAbdullah-d1f 2 หลายเดือนก่อน

    This is sinza king 👑

  • @gwantadibusta
    @gwantadibusta 4 หลายเดือนก่อน +3

    Oiii oiii ebana daaah

  • @nyumbanituthegendaheka7222
    @nyumbanituthegendaheka7222 3 หลายเดือนก่อน

    Saigon true Legend...Dar ndipo ilipoanzia mikoani wakwafwatia..Sinza wakilisha

  • @edoedwine5913
    @edoedwine5913 3 หลายเดือนก่อน +1

    jamaa anakumbukumbu sanaaa

  • @brain_ujazo
    @brain_ujazo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ebwana Sanaaa Saigon Saigon

  • @nzalinextlevel4515
    @nzalinextlevel4515 4 หลายเดือนก่อน +1

    UMEWAKA KWELIIIIIII

  • @simonlukiko2850
    @simonlukiko2850 3 หลายเดือนก่อน +1

    KWANZA unit - keep it real

  • @idrisahussein6654
    @idrisahussein6654 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaaa hazeek

  • @markmwaghogho9226
    @markmwaghogho9226 4 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana...mnafanya kazi nzuri sana, huku kwetu Kenya hakuna channel kama hizi za kuhoji magwiji wa kitambo, kupata historia ya hiphop Kenya inakuwa vigumu sana

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  4 หลายเดือนก่อน +3

      Asante sana ,nintaka kuja Kenya kuwahoji Aisee ,tuombe uzima

    • @saidsidaz
      @saidsidaz 3 หลายเดือนก่อน

      Noma, ila sikiliza interview ya sharama hapHapa utapata kujua kitu khs kenya

    • @markmwaghogho9226
      @markmwaghogho9226 3 หลายเดือนก่อน

      @@saidsidaz sharama si mkongwe wa hiphop kenya

  • @jamalmakishe4850
    @jamalmakishe4850 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo ndo mchenguaji sasa aka MC

  • @djtrigaa
    @djtrigaa 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo Hashim I wish nimuone kwenye the classic

  • @WilsonMkisi
    @WilsonMkisi 4 หลายเดือนก่อน +3

    KuviFact We need Dizasta Vina

    • @westcijosh
      @westcijosh 4 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂hii ni ya melegend dizazsta vina wa juzi tu hapa

    • @stuartikonko1941
      @stuartikonko1941 3 หลายเดือนก่อน +1

      Dizasta Sasa atahadithia nn kuhusu classic acheni ushabiki sehemu zisizofaa

    • @pamamaganza9468
      @pamamaganza9468 3 หลายเดือนก่อน

      Achana nae hajui malegend rap pengine

    • @RaiderTube
      @RaiderTube 3 หลายเดือนก่อน

      Hiki sio kipindi cha hip hop hii ni the classic, hii ni kwa watu nguli tu. Huwezi kumuona dizasta hapo labda 20yrs mbele

  • @AmusedAstronomicalModel-lq3yu
    @AmusedAstronomicalModel-lq3yu 4 หลายเดือนก่อน +1

    Yeeeeeeaaaaaaahhhhhh.......!

  • @SalimSalim-ls9lg
    @SalimSalim-ls9lg 4 หลายเดือนก่อน +1

    Ajeb sana

  • @aaronjohn416
    @aaronjohn416 4 หลายเดือนก่อน +1

    Saigon still got it 🔥

  • @innocentmushi1550
    @innocentmushi1550 4 หลายเดือนก่อน +1

    Take a ride🔥

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 4 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi MUNGU mwema saana kwakweli

  • @yudaogonyi2383
    @yudaogonyi2383 4 หลายเดือนก่อน

    Saigon needs party 2 and 3 and 4 and 5…..

  • @johnrichard5482
    @johnrichard5482 4 หลายเดือนก่อน

    Ebaan Daaaah... Oi Oi Oi Oiiii... #SAIGON 🇹🇿🎧🎤🎵🔥🔥🔥💥💥💥💥💥

  • @DaudiSaid-bj7dh
    @DaudiSaid-bj7dh 4 หลายเดือนก่อน

    Umeuaaaaa Saigon 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @mzadomwongozo3671
    @mzadomwongozo3671 4 หลายเดือนก่อน

    "Pina anasema tukam***e."
    Hahahahahaha

  • @WilsonMkisi
    @WilsonMkisi 4 หลายเดือนก่อน

    Lini utamleta Dizasta Vina

  • @ikabako2454
    @ikabako2454 3 หลายเดือนก่อน

    Unga unamaliza wasanii wetu !

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  3 หลายเดือนก่อน

      Saigon havuti Unga na hajawahi vuta unga acha hizi ndugu

  • @EliezerGodfrey
    @EliezerGodfrey 4 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @michaelginnerykisura9668
    @michaelginnerykisura9668 4 หลายเดือนก่อน

    Natamani ya dizaster vina

    • @RaiderTube
      @RaiderTube 3 หลายเดือนก่อน

      Dizasta sio Legend

  • @mlamytz
    @mlamytz 4 หลายเดือนก่อน

    Kat ya saigon na fid q nan kamcopy mwenzie

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 4 หลายเดือนก่อน

      Fid

    • @seifmiraji43
      @seifmiraji43 3 หลายเดือนก่อน

      Kiumri Saigon mtu mzima kuliko fid q jibu unalo mwenyewe

    • @jumaamanghi8764
      @jumaamanghi8764 3 หลายเดือนก่อน

      Saigon mc na Rapa WA siku nyingi Sana toka 1996 namsikia huyu jamaa nikiwa mtoto mdogo

    • @gudaguda2170
      @gudaguda2170 3 หลายเดือนก่อน +1

      Uliyeuliza wewe ndio wale madogo mnaozingua

    • @RaiderTube
      @RaiderTube 3 หลายเดือนก่อน +1

      Saigon kaanza game 1992 fid 2006 sijui

  • @angelsblackboard8008
    @angelsblackboard8008 4 หลายเดือนก่อน +1

    Njaa inamfanyaga huyu jamaa anafanyaga mambo ya hovyo sana.

    • @pamamaganza9468
      @pamamaganza9468 3 หลายเดือนก่อน

      Aliyekwambia jamaa ananjaa nani, ndo nyie madogo wa juzi hamjui kitu