Jamaa muoga sana wa Maisha,, HAJIAMINI kwa level ya juu sana. Alichifanyiwa hakivumiliki..amedhalilishwa na Konde pia na Poshy. Ila ana hofu maisha yatamchapa hivyo anajitahidi kujidai yupo sawa.. ili aonewe huruma ikitokea nafasi KONDE
Ila bhana XXL imepoteza kitu am just saying me ni shabiki mkubwa tangu miaka ya 2012 ilikuwa ni kipindi mchana chenye kusikilizwa zaidi but for now msikilizo umepungua baada kutoka kwa adam mchomvu na dozen,,,Hawa waliobaki hawana ubunifu nazungumzia mmoja mmoja mfano. Kennedy na John Jackson wanafanana tofauti sauti tuuuu minnah anakitu Cha kuvutia unataman kumsikiliza to cut a long story short mmekiua kipindi asee.
Yatakukuta mengi mnooo seven umetelekeza mtoto wako hutoi hata mia aliumwa tukakupigia ukatutukana huna utu wee kaka,utafanya vingi ila 😅acha tucheke tu,damu yako inakulilia
Mbona muonekano wa ofisi mnauficha ???? Yaani view za camera ziko very close kwa watu yaani hadi hatujui studio ina rangi gani yaani hatujui hata watu wa pembeni waliokaa ni wakina nani
Mina nakutamani mzuri sana kama zamaradi mtetema❤❤❤❤❤😢😢😢. Konde baba wa imani wa uhuuuu mziki🎉🎉🎉🎉. Mleteni na clam vevo apo afanyiwe interview. Dar msambwanda wa pos 😂😂😂😂😂😂😂😂
Hii situation nailewa..dem unamlete kwa ur freinds alafu anapenda ur freind ...inauma..tho hio sikunyang'anywa..n bahati mbaya tu
Jamaa muoga sana wa Maisha,, HAJIAMINI kwa level ya juu sana.
Alichifanyiwa hakivumiliki..amedhalilishwa na Konde pia na Poshy.
Ila ana hofu maisha yatamchapa hivyo anajitahidi kujidai yupo sawa.. ili aonewe huruma ikitokea nafasi KONDE
Yaani vijana bwana,alorr of money(mnaharibu lugha za watu)
Labda kuna mengne nje ya mapenzi. But wanaume tunasamehe tunapiga hatua mbele
Iko Waz mkuu👊
Kama unamkubar seven tia like hapa👍
mwanaume ukiwa hujui women nature utateseka sana
4 real
Kondeboy noma sana
Ndogo kitu kibaya sana kinawapa uchizi vijana
Watangazaj wa clouda bana swali dooogo wanazunguuuuuuuuuuuuuuuruuuuuka
Wananiboa kweli
Nmekuelewa anamaanisha alikuwa anakaa na harmonize akimwambia amempenda posh akamuonesha picha harmo akamtaman akamzunguka akachukua chombo.... Harmo hakufanya poa
Dj seven anaulizwa hiyo mama unaishi hapo anajilambalamba konde boy kamnyoosha
😅😅😅😅😅
😂😂
Meena ❤
😅😅 sud asee umenyokaa snaa
Clouds mnakwama wapi hata Camera mnashindwa kununua 😅 mna Camera moja
Move on Brow
Matangazo ni mengi sanaah
Ila bhana XXL imepoteza kitu am just saying me ni shabiki mkubwa tangu miaka ya 2012 ilikuwa ni kipindi mchana chenye kusikilizwa zaidi but for now msikilizo umepungua baada kutoka kwa adam mchomvu na dozen,,,Hawa waliobaki hawana ubunifu nazungumzia mmoja mmoja mfano. Kennedy na John Jackson wanafanana tofauti sauti tuuuu minnah anakitu Cha kuvutia unataman kumsikiliza to cut a long story short mmekiua kipindi asee.
Yatakukuta mengi mnooo seven umetelekeza mtoto wako hutoi hata mia aliumwa tukakupigia ukatutukana huna utu wee kaka,utafanya vingi ila 😅acha tucheke tu,damu yako inakulilia
Mbona wanawake wengi nendeni Brazil Ecuador
Mlivowambea mmejizunguusha kumuuliza
Bro tatizo sio ww but tatizo aliekuwa Dem wako
Mwanamuk nigalama bro usicezeey kond boy jeshi hanautani.kwenye utunzi
We issa Brown unajificha uso wa nini? Tunakujua 😅
Seven inaonyesha maisha yamempiga,,,leo anaongea kwa adabu, anaomba poo kiaina.
Mbona muonekano wa ofisi mnauficha ???? Yaani view za camera ziko very close kwa watu yaani hadi hatujui studio ina rangi gani yaani hatujui hata watu wa pembeni waliokaa ni wakina nani
Counterfeit ama contraband
Uyoo dem anafanana nawarundi.
Hahahha
Seven midemu ipo kibao tu yenye misambwanda zaid ya Posh
Be a gentleman
Kwani weunaonaje
Huyu Mwana ana HEKIMA hatari!
Acha kutoa toa ulimi mtoto wa kiumeeee auu bwabwaaa
Ila seven kapungua
Kitojikubali
Ulimi kama mjusi anae winda 😂😂😂😂 hapo sijapenda kijilamba lamba
Tatizo ni kutojiamini na kutojijaza
Anaongea kwa uchungu namuhisi kabisa
Watangazaji hua wanakua mafala saaaana
Wanawake tunaangalia pesa
Ndio maana siamini KWENYE mapenzi
Au jamaa bwabwa alimtaka harmo posh akamtibulia?
Hiyo Cap ya Seven mbona kama kaazima kwa kondeboy au nyie mnaonaje
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Yaani dume zima linalamba lamba lips 😂😂😂😂😂
Nakupa time huyo dem hakai Sanaa huko time yake inahesabika na tutajua sababu tu za yeye kuachwa na harmonize
Harmo akimuacha yule mhhh nitaiheshim pesa miaka yote
Mina nakutamani mzuri sana kama zamaradi mtetema❤❤❤❤❤😢😢😢. Konde baba wa imani wa uhuuuu mziki🎉🎉🎉🎉. Mleteni na clam vevo apo afanyiwe interview. Dar msambwanda wa pos 😂😂😂😂😂😂😂😂
mwamba kabila gani huyu?
7 drop that shit
Contraband is not magendo jamani kwa ivo tuseme smuggling ni nini??
Kwani nyie watu hamjui kitu kinachoitwa dictionary? Zitumieni acheni kujidhalilisha mitandaoni.
Hamo sijawah mkubali
Hata hivo mtu hawezi kukubariwa na wote kwaiyo siyo kosa
Wewe nani anakukubali
Hata wewe kunawatu hawakubari virevire😂😂😂
@@user-fm2pw7il4lvile vile sio virevire
Si tunamkubali 😅😅😅😅
Wewe dada anaitwaga nani
Mina Ally
Huyu seven anaonekana alikua anamtaka poshy ila domo zege
HARMO MSHAMBA TU
Xxxr mmetisha sama
Gold digger akikukimbia usilaze damu vuta chombo kingine chap
seven kafanana na songa flani hivii
Kwenye XXL ametoka Adam Mchomvu amebaki Soud Brown, akili zao wanazijua wenyewe
Wana akili mbovu sana 😅😅
Kwan Adam kaenda wapi?
@@mrsinia3064 Yupo Jahazi na B dozen