Huyu kapata Neema ya kuja kwa Kristo, ila bado anahitaji kupata ufunuo wa neno la Mungu kwa uongozi wa Roho Mtakatifu ili aone sawasawa.Anachinja ili baraka ziongezeke, kwa andiko gani tunabarikiwa kwa kuchinja? Labda aseme anatoa zawadi kwa watu, lakini haina uhusiano na maandiko.
Hongera kwa kuwa na baba ako wa imani mpaka sshv ambaye ni Ibrahim...ila tu ibrahim hakuongezewa baraka kwa kumchinja kondoo bali Mungu alimwambia "kwakua hukunizuilia mwanao wa pekee hakika yangu ktk kukubariki nitakubariki" then hujajua relevation hio pia tafsiri yake...kaachini ujifunze.
Isaya 66:3 kuchinja wanyama kama kafara ni chukizo kwa Mungu kaka yangu .waebrania 9:13_14 Basi ,si zaidi damu yake kiristo ambaye kwamba Roho wa milele alijitoa nafisi yake kwa Mungu kuwa sadaka isiyo na mawaa, itawasafisha zamili zenu na matendo mafu mpate kumwabudu Mungu aliye hai.waebrania 10:12 zabihu aliyoitoa yesu ni ya milele waebrania 12: 2 tukimtamtazama yesu mwanye kuanzisha na mwenye kuitimiza Imani yetu.kama yeye ndiye Muanzilishi wa Imani basi ni Baba yetu wa Imani. Pia ni Baba wa ibrahimu wa mani, kwa kuwa hatuwezi kuwa wana wa Ibrahim bila kumvaa kiristo.
Waebrania 9:28. Damu ya ngamia haiwezi kuwa na thamani sawa na ya Bwana Yesu iliyomwaika pale Msalabani Kalwari. Hata ungewachinja kwa mamilioni. Kuweni macho na manabii na wakeisto wa uongo.
KAFARA YESU ALISHAJITOA DAMU YAKE, ILISHATOLEWA NDIYO INATUSTAHILISHA! Kafara za wanyama zilikuwepo ila kwenye agano jipya Yesu akajitoa YEYE, hakuna mbadala wa Damu ya Yesu, damu za wanyama kwa sasa ni ushirikina na maibada ya mizimu! Damu ya Yesu Over Everything! IF YOU KNOW YOU KNOW ❕❗
Wew Kuna kitu ujaelewa. Ibrahimu hakupata utajili kwa kuchinja Ila mungu alimpa jaribio la lmani baada ya kushinda ndo mungu kampa baraka zote Sasa wew unapochinja mbuzi haina umhimu
Huyu ana sura mbili ni kama anatembea na imani ya alikosema ametoka, hajatoka ni kama wale viongozi wanaotokaga chama kimoja kwenda kingine meanwhile hawajaridisha kadi ya chama chao cha awali ndio huyu. Anapiga kote simultaneously na yuko kipesa zaidi wala si kuandaa watu kwenda mbinguni, sikiliza maneno yake mengi ni ya kufanikisha watu hapa duniani ni kama hawa sasa hivi wanashindana na waganga wa kienyeji kupata watu. IF YOU KNOW YOU KNOW❗❕
Mch.HAPO UNANENA KINYUME NA MADA HUSIKA. Hakuna mch wala MKRISTO anayeweza KUSEMA uwatukane waislamu. Wewe unatangaza kuchinja. kuchinja SIYO kwa sasa. Kwani kila anapokuja nabii wa MUNGU husema JAMBO la kufunga ukurasa wa aliyetangulia. YESU AKASEMA IMEKWISHAA PALE MSALABANI. Nakushauri RUDI kwa baba wako kieoho akukumbushe uliyofundishwa
Huyu anachanganya uislam na ukristo ,. Anataka kumix , Asa ukimix ukristo na uislam lazima watu wote pande zote wakushangae ,. Maaana kuna mengine wataona upo sawa na mengine wataona haupo sawa
Huyu sio mkristo hawa ndo wale matapeli , Mtume Paulo Alisha sema 6 Nastaajabu kwa kuwa mnamwacha upesi hivi yeye aliyewaita katika neema ya Kristo, na kugeukia injili ya namna nyingine. 7 Wala si nyingine; lakini wapo watu wawataabishao na kutaka kuigeuza injili ya Kristo. 8 Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri, na alaaniwe. 9 Kama tulivyotangulia kusema, na sasa, nasema tena, mtu awaye yote akiwahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo mliyoipokea, na alaaniwe.
Naombeni kuuliza kwa anaejua Biblia na history vizuri, Je Iblahimu alifanya ivyo kabla ya yesu kuja au baada ya yesu kuondoka, na wote ambao walitoa kafara je walifanya wakati yesu bado au wakati yesu ameahakuja na kuondoka?
UNASHINDA KWENYE MAOMBI WKT HUKO KWENYE MAOMBI KWENYEWE WANATAKA SADAKA HIYO SADAKA UNAITAFUTA SAA NGAPI? UNAACHA KAZI UNAENDA KUOMBEWA WAKATI ANAYEKUOMBEA YEYE YUKO KAZINI MAANA UNAMPELEKEA PESA WEWE UNAONDOKA NA MAOMBI(MANENO) WOTE MNAOKWENDA KUOMBEWA KILA MAHALI MBONA HAMBADILIKI? HAMJIULIZI? KATI YA KITU CHA KUPAMBANA NACHO TANZANIA NI UJINGA! NDIO UNAOZAA MATATIZO MENGI! UNAPOTEZA MUDA MWINGI KUOMBEWA HALAFU HAUBADILIKI NA BADO HAUSHTUKI, PESA HAIJI KWA KUOMBEWA, KUNA KANUNI, NDIO MAANA KUNA MATAIFA MNAYAJUA HAWAENDI KUOMBEWA OMBEWA LAKINI YAMEENDELEA!KUNA WATU BINAFSI WALIOENDELEA KUTOKANA NA KAZI WANAZOFANYA,KUNA KAZI UKIFANYA UNAENDELEA! WANA WAISRAELI WALIPOINGIA KANANI MANA ILIKOMA, MUNGU HAKUPI PESA ANAKUPA UWEZESHO WA KUZIPATA: WAZO/MBINU/ULINZI/AFYA NK, WALA HAKUNA MUUJIZA WA PESA YAKO KUONGEZEKA MFANO UNALIPWA LAKI TATU HALAFU UNATAKA MUUJIZA MATUMIZI YAKO YAWE YA MILIONI MOJA HAITAONGEZEKA NA UTAKUFA NA MADENI, MATUMIZI YAKO YATAINGIA KWENYE HIYO LAKI TATU YAKO! MUNGU HATOI PESA OTHERWISE WATU WASINGEKUWA WNASOMA AU KUTAFUTA FEDHA, ATAKUPA MBINU YA KUZIDISHA PESA ZAKO LKN HAONGEZI PESA KIMAZINGAOMBWE LAZIMA UFANYE KITU NDIO MAANA KUNA WATU WENGI NA NCHI NYINGI ZIMEENDELEA LKN HAZINA KUOMBEWA OMBEWA KILA MAHALI KAMA HUKU AFRICA! SERIKALI YA MBINGUNI NI MFANO WA HII YA HAPA DUNIANI: HAIKUPI PESA INAKUWEKEA MAZINGIRA YA WEWE KUFANYA KAZI ZAKO! MIFUMO IKIWA SAWA HAUTAUTAOMBEA UPATE FEDHA UTAOMBEA MAMBO MENGINE KAMA ULINZI WA FEDHA ZAKO, UTAOMBEA UKATILI/USHOGA/ULAWITI/ NK VIONDOKE! OMBEENI MIFUMO INAYOHUSIKA NA FEDHA WAHUSIKA WAWE WAADILIFU NA WABADILISHWE NA KUCHUKULIWA HATUA, HIZO NAFASI WAAJIRIWE WASIO NA AJIRA, LAKINI PIA MTU MMOJA MAHALI ALIPO AWE WA HAKI KWENYE MAENEO YOTE, IKIWA HVYO NA MIFUMO IKAKAA VIZURI KODI ITAKUWA CHINI THAMANI ITAPANDA HATA UKILIPWA LAKI 3 UTAKUWA NA THAMANI KUBWA! SERIKALI IWEKE MARUFUKU YA MAKANISA HAYA YANAYOONGEZEKA KILA SIKU WATU WANASHINDA HUKO WANAWAKE HUSUSAN, VIHELA VIDOGO WANAVYOPATA WANAPELEKA HUKO KODI HAIPATIKANI COZ WANAWAKE WAKO WENGI KULIKO WANAUME SASA WAKIWA WANASHINDA KWENYE MAOMBI IN VAIN TUNAFANYA NINI? IT'S LIKE HAWA WATUMISHI WANAWACHIA UMASKINI WAO WANAVUNA PESA ZAO.
Kaja kufata sadaka maskini aliona hana mafanikio akaona abadili dini imemleta huko tamaa ya visadaka sadaka akishiba utamuona anarudi kwenye uislamu njaambaya maskini siunamuona umondani ya suti
Ipm umesema vyema njia Yako ni mpya tumekutambu wewe haupo kwenye njia yetu wakristo Hila unajitabulisha kwenye ukristo na biblia ilishasema yahache magungu na ngano yamee pamoja mwenye shamba wakati WA kuvuna atachua ngano na mathayo 24:24 unatimiza unabii Yesu hakuchinja Wala mitume wake hawakufanya hicho katika agano jipya
SASAA IPM MBONA UMEPOTOSHA ANDIKO? IBRAHIM HAKUCHINJA AWAPE MASKINI NYAMA.ALICHINJA AKAITEKTEZA KWA MOTO IWE SADAKA KWA MUNGU WAKE. WAPO WALIOXHINJA KUWAPA WATU CHAKULA NA MASKINI PIA.KWA HIVYO SOMA UPYA ANDIKO.
Aí você, estragou um pouco ,esmael era o primogénito do Ibrahim,por isso Deus falou pra Ibrahim,que tinha que sacrificar o seu filho primogénito(UNICO)
Baba umeongea point sana mungu akubariki
Huyu kapata Neema ya kuja kwa Kristo, ila bado anahitaji kupata ufunuo wa neno la Mungu kwa uongozi wa Roho Mtakatifu ili aone sawasawa.Anachinja ili baraka ziongezeke, kwa andiko gani tunabarikiwa kwa kuchinja? Labda aseme anatoa zawadi kwa watu, lakini haina uhusiano na maandiko.
Hongera kwa kuwa na baba ako wa imani mpaka sshv ambaye ni Ibrahim...ila tu ibrahim hakuongezewa baraka kwa kumchinja kondoo bali Mungu alimwambia "kwakua hukunizuilia mwanao wa pekee hakika yangu ktk kukubariki nitakubariki" then hujajua relevation hio pia tafsiri yake...kaachini ujifunze.
Isaya 66:3 kuchinja wanyama kama kafara ni chukizo kwa Mungu kaka yangu .waebrania 9:13_14 Basi ,si zaidi damu yake kiristo ambaye kwamba Roho wa milele alijitoa nafisi yake kwa Mungu kuwa sadaka isiyo na mawaa, itawasafisha zamili zenu na matendo mafu mpate kumwabudu Mungu aliye hai.waebrania 10:12 zabihu aliyoitoa yesu ni ya milele waebrania 12: 2 tukimtamtazama yesu mwanye kuanzisha na mwenye kuitimiza Imani yetu.kama yeye ndiye Muanzilishi wa Imani basi ni Baba yetu wa Imani. Pia ni Baba wa ibrahimu wa mani, kwa kuwa hatuwezi kuwa wana wa Ibrahim bila kumvaa kiristo.
Waebrania 9:28. Damu ya ngamia haiwezi kuwa na thamani sawa na ya Bwana Yesu iliyomwaika pale Msalabani Kalwari. Hata ungewachinja kwa mamilioni.
Kuweni macho na manabii na wakeisto wa uongo.
Mafundisho kuhusu ukristo yanahitajika sana, hakuna kuchinja ktk ukristo. Vinginevyo tuone mahali ktk bbl YESU mwenyewe akichinja.
Na wanaosali kwako nawashangaa sana
IPM Hakika Umenena VEMA 🙏🙏🙏
IPM ni nduma kuwili
KAFARA YESU ALISHAJITOA DAMU YAKE, ILISHATOLEWA NDIYO INATUSTAHILISHA!
Kafara za wanyama zilikuwepo ila kwenye agano jipya Yesu akajitoa YEYE, hakuna mbadala wa Damu ya Yesu, damu za wanyama kwa sasa ni ushirikina na maibada ya mizimu!
Damu ya Yesu Over Everything!
IF YOU KNOW YOU KNOW ❕❗
Wanaosema bwana yesu alitolewa kafara kwa Sababu yetu hebu some ni-math 23:33-38 mumsikie mwenyezi mungu alivyo kasirika
Wew Kuna kitu ujaelewa. Ibrahimu hakupata utajili kwa kuchinja Ila mungu alimpa jaribio la lmani baada ya kushinda ndo mungu kampa baraka zote Sasa wew unapochinja mbuzi haina umhimu
Nimekuelewa jamaas
Umetumwa na shetani kuharibu ukristo
Wewe ipm acha uongo kuchinja hakuruhusiw
Kuchanganya dini mbili 😮😮lazima hutaeleweka😮
Kabisa, huyu hana Mwelekeo. Anaitwa duma kuwili
Huyu ana sura mbili ni kama anatembea na imani ya alikosema ametoka, hajatoka ni kama wale viongozi wanaotokaga chama kimoja kwenda kingine meanwhile hawajaridisha kadi ya chama chao cha awali ndio huyu. Anapiga kote simultaneously na yuko kipesa zaidi wala si kuandaa watu kwenda mbinguni, sikiliza maneno yake mengi ni ya kufanikisha watu hapa duniani ni kama hawa sasa hivi wanashindana na waganga wa kienyeji kupata watu. IF YOU KNOW YOU KNOW❗❕
Mch.HAPO UNANENA KINYUME NA MADA HUSIKA. Hakuna mch wala MKRISTO anayeweza KUSEMA uwatukane waislamu. Wewe unatangaza kuchinja. kuchinja SIYO kwa sasa. Kwani kila anapokuja nabii wa MUNGU husema JAMBO la kufunga ukurasa wa aliyetangulia. YESU AKASEMA IMEKWISHAA PALE MSALABANI. Nakushauri RUDI kwa baba wako kieoho akukumbushe uliyofundishwa
Huyu anachanganya uislam na ukristo ,. Anataka kumix ,
Asa ukimix ukristo na uislam lazima watu wote pande zote wakushangae ,. Maaana kuna mengine wataona upo sawa na mengine wataona haupo sawa
Huyu sio mkristo hawa ndo wale matapeli , Mtume Paulo Alisha sema 6 Nastaajabu kwa kuwa mnamwacha upesi hivi yeye aliyewaita katika neema ya Kristo, na kugeukia injili ya namna nyingine.
7 Wala si nyingine; lakini wapo watu wawataabishao na kutaka kuigeuza injili ya Kristo.
8 Lakini ijapokuwa sisi au malaika wa mbinguni atawahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo tuliyowahubiri, na alaaniwe.
9 Kama tulivyotangulia kusema, na sasa, nasema tena, mtu awaye yote akiwahubiri ninyi injili yo yote isipokuwa hiyo mliyoipokea, na alaaniwe.
Naombeni kuuliza kwa anaejua Biblia na history vizuri, Je Iblahimu alifanya ivyo kabla ya yesu kuja au baada ya yesu kuondoka, na wote ambao walitoa kafara je walifanya wakati yesu bado au wakati yesu ameahakuja na kuondoka?
UNASHINDA KWENYE MAOMBI WKT HUKO KWENYE MAOMBI KWENYEWE WANATAKA SADAKA HIYO SADAKA UNAITAFUTA SAA NGAPI?
UNAACHA KAZI UNAENDA KUOMBEWA WAKATI ANAYEKUOMBEA YEYE YUKO KAZINI MAANA UNAMPELEKEA PESA WEWE UNAONDOKA NA MAOMBI(MANENO)
WOTE MNAOKWENDA KUOMBEWA KILA MAHALI MBONA HAMBADILIKI? HAMJIULIZI?
KATI YA KITU CHA KUPAMBANA NACHO TANZANIA NI UJINGA! NDIO UNAOZAA MATATIZO MENGI!
UNAPOTEZA MUDA MWINGI KUOMBEWA HALAFU HAUBADILIKI NA BADO HAUSHTUKI, PESA HAIJI KWA KUOMBEWA, KUNA KANUNI, NDIO MAANA KUNA MATAIFA MNAYAJUA HAWAENDI KUOMBEWA OMBEWA LAKINI YAMEENDELEA!KUNA WATU BINAFSI WALIOENDELEA KUTOKANA NA KAZI WANAZOFANYA,KUNA KAZI UKIFANYA UNAENDELEA!
WANA WAISRAELI WALIPOINGIA KANANI MANA ILIKOMA, MUNGU HAKUPI PESA ANAKUPA UWEZESHO WA KUZIPATA: WAZO/MBINU/ULINZI/AFYA NK, WALA HAKUNA MUUJIZA WA PESA YAKO KUONGEZEKA MFANO UNALIPWA LAKI TATU HALAFU UNATAKA MUUJIZA MATUMIZI YAKO YAWE YA MILIONI MOJA HAITAONGEZEKA NA UTAKUFA NA MADENI, MATUMIZI YAKO YATAINGIA KWENYE HIYO LAKI TATU YAKO!
MUNGU HATOI PESA OTHERWISE WATU WASINGEKUWA WNASOMA AU KUTAFUTA FEDHA, ATAKUPA MBINU YA KUZIDISHA PESA ZAKO LKN HAONGEZI PESA KIMAZINGAOMBWE LAZIMA UFANYE KITU NDIO MAANA KUNA WATU WENGI NA NCHI NYINGI ZIMEENDELEA LKN HAZINA KUOMBEWA OMBEWA KILA MAHALI KAMA HUKU AFRICA!
SERIKALI YA MBINGUNI NI MFANO WA HII YA HAPA DUNIANI: HAIKUPI PESA INAKUWEKEA MAZINGIRA YA WEWE KUFANYA KAZI ZAKO!
MIFUMO IKIWA SAWA HAUTAUTAOMBEA UPATE FEDHA UTAOMBEA MAMBO MENGINE KAMA ULINZI WA FEDHA ZAKO, UTAOMBEA UKATILI/USHOGA/ULAWITI/ NK VIONDOKE!
OMBEENI MIFUMO INAYOHUSIKA NA FEDHA WAHUSIKA WAWE WAADILIFU NA WABADILISHWE NA KUCHUKULIWA HATUA, HIZO NAFASI WAAJIRIWE WASIO NA AJIRA, LAKINI PIA MTU MMOJA MAHALI ALIPO AWE WA HAKI KWENYE MAENEO YOTE, IKIWA HVYO NA MIFUMO IKAKAA VIZURI KODI ITAKUWA CHINI THAMANI ITAPANDA HATA UKILIPWA LAKI 3 UTAKUWA NA THAMANI KUBWA!
SERIKALI IWEKE MARUFUKU YA MAKANISA HAYA YANAYOONGEZEKA KILA SIKU WATU WANASHINDA HUKO WANAWAKE HUSUSAN, VIHELA VIDOGO WANAVYOPATA WANAPELEKA HUKO KODI HAIPATIKANI COZ WANAWAKE WAKO WENGI KULIKO WANAUME SASA WAKIWA WANASHINDA KWENYE MAOMBI IN VAIN TUNAFANYA NINI? IT'S LIKE HAWA WATUMISHI WANAWACHIA UMASKINI WAO WANAVUNA PESA ZAO.
Duh! Mungu kunyamaza kwa watu kma hawa haikupaswa kabisa, shetan anainua watu wake kwa kas sana now days
Wa2 wenye upeo mkubwa n uwezo w kufikili ndio wtakuelwa dini sio 7bu ykugombna wla kupondana achana nao ambao sio waelwa
Huyu bado hajafahamu nguvu ya musalaba
Japo umesilimu waulize wakiristo yesu akubatiza MBONA WAO wanabatiza
Unachinja kwa nini?
Ukweli lazima useme sio kutukana kwamfano yohana alivyo mwambia ukweli helode
Wewe iphm acha kupotosha wana Mungu kumbuka wana aruni walifio tuoa saka yaa moto kanisan wakafa sasa naa wewe pia kaifanye uona
Asa uyu anasema anama PHD ya dini mbona anashindwa kujua hata jambo hili dogo la injili ilikuja kwa lengo gani
Kaja kufata sadaka maskini aliona hana mafanikio akaona abadili dini imemleta huko tamaa ya visadaka sadaka akishiba utamuona anarudi kwenye uislamu njaambaya maskini siunamuona umondani ya suti
Jamani mtimueni huko arudi kwenye diniyake hajui anafanya nini njaa mbaya tamaa imemleta huko visadaka
Rudi kwa baba wako kiroho ukumbushwe uliyofundishwa
Ipm umesema vyema njia Yako ni mpya tumekutambu wewe haupo kwenye njia yetu wakristo Hila unajitabulisha kwenye ukristo na biblia ilishasema yahache magungu na ngano yamee pamoja mwenye shamba wakati WA kuvuna atachua ngano na mathayo 24:24 unatimiza unabii Yesu hakuchinja Wala mitume wake hawakufanya hicho katika agano jipya
Yesu alichinja wapi?
Hajawai hangaika na utajir hii yako ww unae taka kua tajir
@@ibrahimovicsonda4892 kafara ni zakishetsni
Mfudishe Ndacha,yule anapenda sana,kutukana uisslam.
Rudi kwenye Dini yako wewe acha ujinga? Akuna wokovu duniani ..
Huyu bado anatoa kafara kama washirikina wachawi.
Mifano yako hata haina mantiki
Assistindo apartir de Moçambique-Nampula
Huyu jamaa bado ana imani ya Uislam alievaa koti la msalaba
Wewe ni shetani mwana w shetani wewe wewe ni WAKALA WA KUZIMU
SASAA IPM MBONA UMEPOTOSHA ANDIKO? IBRAHIM HAKUCHINJA AWAPE MASKINI NYAMA.ALICHINJA AKAITEKTEZA KWA MOTO IWE SADAKA KWA MUNGU WAKE. WAPO WALIOXHINJA KUWAPA WATU CHAKULA NA MASKINI PIA.KWA HIVYO SOMA UPYA ANDIKO.
Aí você, estragou um pouco ,esmael era o primogénito do Ibrahim,por isso Deus falou pra Ibrahim,que tinha que sacrificar o seu filho primogénito(UNICO)
Lete andiko linapoonesha mungu alisema wamtoe ismaili kafara
volta pra sua religião verdadeira irmão,que allah te faça voltar pra o caminho certo
Kumbe Uislamu ni samia suluhu na majaliwa? Huyu bado ana Uislamu Mwingi sana. Ukiokoka unaasi kabisa kule ulitoka
@@Blessedboi8019 mmemezeshwa chuki na sio imani, mikristo mingi ina roho mbaya sana,,,