PART1:NILIFUATA UTAJIRI WA KICHAWI NA KULAZIMIKA KULA NYAMA YA MAITI YA MTU ILIYOOZA/CHUMA ULETE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 191

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 ปีที่แล้ว +5

    Haya ndio Mambo ya kujifunza sio Kila siku kusikiliza umbea tu mala oooh diamond mzee nasibu sio baba yake Sasa sisi yanatuhusu nini, brother dv endelelea kuelimisha watu na jamii kwa ujumla🐓💪💪💪💪💪💪💪

  • @athumanmakale8221
    @athumanmakale8221 3 ปีที่แล้ว +4

    Top 10 Leo. Dav tupo pamoja tunashukuru tutalala vizuri baada ya kusikiliza story. 👍

  • @dennisjohn5435
    @dennisjohn5435 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii Kali kaka

  • @kolaasaid3336
    @kolaasaid3336 3 ปีที่แล้ว +1

    Vizuri sana davistar mata unatupatia elimu au simulizi zenye mafundisho mazuri sana ndani yake,endelea kutupa simulizi au hadithi Kama hizi kwasababu wengi tunaingia humo kwenye uchawi ila tukisikiliza mafundisho haya tunahairisha au tunayaacha Yale yanayofanana na hayo wanayosimulia ,kwaiyo basi endelea kutafuta hadithi nyingine zaidi na zaidi ili kutuelimisha ,ASANTE.

  • @halimamangala6731
    @halimamangala6731 3 ปีที่แล้ว +2

    Ngoma juu ya ngoma...gonga like kama unamuelewa DM

    • @jonaschizaji3171
      @jonaschizaji3171 3 ปีที่แล้ว +1

      Mwisho wa siku nacc tutakuw wachawi kwa hzi stor 😅😅😂

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      @@jonaschizaji3171 kabisaaa😂😂😂

  • @kelvinkatende3871
    @kelvinkatende3871 3 ปีที่แล้ว +3

    Sawa sawa

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 ปีที่แล้ว +1

    😂🤣🤣🤣 mwizi kapigwa na mjanja mwenzie noma sana aiseee

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 3 ปีที่แล้ว +6

    Masha Allah

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว

    Chuma uletee mbayaa sanaa

  • @jamilaally3172
    @jamilaally3172 3 ปีที่แล้ว +2

    Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big

  • @lissapoul5227
    @lissapoul5227 3 ปีที่แล้ว +4

    Haya ndo mambo nayapendaga..Oyooo

  • @babyboss2886
    @babyboss2886 3 ปีที่แล้ว +2

    Niko hapa, sema kusubiria

  • @mgenirasimi7771
    @mgenirasimi7771 3 ปีที่แล้ว +3

    Juzi nimezinguana na mama mchungaji mmoja mwisho wa siku kwenye maongezi yake akaropoka anasema kama ni uchawi tutaonyeshana sasa 😀 mpaka mda huu nawaza huyu mama mchungaji vip

    • @aiyamhassan1321
      @aiyamhassan1321 3 ปีที่แล้ว +1

      Hama mtaa mjomba hilo onyo sio mchezo 🤣🤣🤣🤣🤣

    • @mgenirasimi7771
      @mgenirasimi7771 3 ปีที่แล้ว

      @@aiyamhassan1321 sielewi ndg yangu huyu mama mchungaji kumbe ni mwanga

    • @aiyamhassan1321
      @aiyamhassan1321 3 ปีที่แล้ว +2

      @@mgenirasimi7771 kumbe we usikilizagi story humu ukasikia manabii wa uongo na wachungaji wa uongo ndio hao sasa

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว +1

      Mchawi

    • @aishaally8811
      @aishaally8811 3 ปีที่แล้ว +2

      Atakuonyexha kimaombi ataungunza vicomba vyako

  • @samakqlasamaka4508
    @samakqlasamaka4508 3 ปีที่แล้ว +2

    11 asante sana davi

  • @sabrinaibrahim8274
    @sabrinaibrahim8274 3 ปีที่แล้ว +3

    Dev nikutanishe na Hawa watu,,,, natamani kuwa tajiri

  • @mohamedimbinga225
    @mohamedimbinga225 3 ปีที่แล้ว

    Mwizi kaibiwa

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว +3

    Alhamdulillah w mwishoo 😥😥🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

  • @mwidadiabdalla3564
    @mwidadiabdalla3564 3 ปีที่แล้ว +2

    Pamoja bro

  • @aiyamhassan1321
    @aiyamhassan1321 3 ปีที่แล้ว +1

    Davista asante broo tunaendelea kujifunza kupitia wewe mungu akupe nguvu na afya uendelee kutupa mafunzo zaid

    • @jonaschizaji3171
      @jonaschizaji3171 3 ปีที่แล้ว +2

      Mwisho wa siku nacc tutakuw wachawi kwa hzi stor😂😂

    • @aiyamhassan1321
      @aiyamhassan1321 3 ปีที่แล้ว +1

      @@jonaschizaji3171 mungu atunusuru kwa kwel🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @jonaschizaji3171
      @jonaschizaji3171 3 ปีที่แล้ว +1

      Fanya mpango wafatiliaji wa hizi stor tujuane hata kwa group za whatsapp

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa yani

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว +1

      kabsa

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyo babu wa pwanii 🤗🤗😁😁😂

  • @rappertinno4184
    @rappertinno4184 3 ปีที่แล้ว +3

    Wa 100
    Chapa nembo Davistar Nakubal

    • @moreenmbatha1147
      @moreenmbatha1147 3 ปีที่แล้ว +1

      uongo 100 bado

    • @rappertinno4184
      @rappertinno4184 3 ปีที่แล้ว +2

      @@moreenmbatha1147 sasa et kila m2 wa kwanza wakwanza bac nimona mi niwe wa 100

    • @moreenmbatha1147
      @moreenmbatha1147 3 ปีที่แล้ว +1

      @@rappertinno4184 nimesoma somo kwako leo big up

    • @rappertinno4184
      @rappertinno4184 3 ปีที่แล้ว +1

      @@moreenmbatha1147 pmj

    • @moreenmbatha1147
      @moreenmbatha1147 3 ปีที่แล้ว +1

      @@rappertinno4184 safi

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677 3 ปีที่แล้ว +1

    Haya mliokua kwenye vikoba muda mwingine mnawaraumu waweka azina kua wanachukua ela mnasikia mambo hayo hahahah

  • @aiyamhassan1321
    @aiyamhassan1321 3 ปีที่แล้ว +2

    Aysha na pili njoon vipenz mambo tayar huku

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      Asante ndiyo nimefika

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      Asante kipenzi ndiyo nmefka 😘😘😘😘

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 ปีที่แล้ว +1

    Eti babu Mzee wa kijiwe, kahawa pembeni hivi😂🤣🤣🤣

  • @matukicmagere3331
    @matukicmagere3331 3 ปีที่แล้ว +2

    Wa kwanza

  • @issabakary3379
    @issabakary3379 3 ปีที่แล้ว +1

    Only davistamata & millady ayo

  • @hamadwaziri121
    @hamadwaziri121 3 ปีที่แล้ว +1

    Pili bebe njoo

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      Ndiyo nimefika. Asante

    • @hamadwaziri121
      @hamadwaziri121 3 ปีที่แล้ว

      @@pilimusa7770 karibu mama

  • @omarsharifa5606
    @omarsharifa5606 3 ปีที่แล้ว +2

    20leo 👌🔥🔥🔥🔥🔥

  • @evasaimon2101
    @evasaimon2101 3 ปีที่แล้ว +2

    Gd

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 ปีที่แล้ว +1

    Babu anataka kukupa uchawi lakini mdogo tu🤣🤣🤣🤣, aiseee hakuna uchawi mdogo wala mkubwa

  • @nasibubalonzizubusa3449
    @nasibubalonzizubusa3449 3 ปีที่แล้ว +2

    Mzee wa pwani anaturia kwenye kahawa tu story nyingi davistar usinichekeshe

  • @awadhrajab9527
    @awadhrajab9527 3 ปีที่แล้ว +1

    Uyu Mmefanana Vichwa

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว +1

      @@pilimusa7770 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      @@ayshamahariq6665 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      @@pilimusa7770 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @marthamaligo458
    @marthamaligo458 3 ปีที่แล้ว +2

    No moja leo

  • @rebeccapmashauli2648
    @rebeccapmashauli2648 3 ปีที่แล้ว +1

    🤣😂Haya Mie hapa wa mkia Leo ☺️

  • @mwamurekadenge2161
    @mwamurekadenge2161 3 ปีที่แล้ว +1

    Appreciate you bro ur story divester mata 🔥💯 👊

  • @gmdecoration6044
    @gmdecoration6044 3 ปีที่แล้ว +4

    Woyoooo kumekucha tena wekambali nawatoto🔞

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 ปีที่แล้ว +2

      Hatuambiani darling 😥😥😥

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว +2

      shem lngu mbona hukumuita mtoto mdogo jaman 🤔 toa makosa nkuozeshe 🤗

    • @gmdecoration6044
      @gmdecoration6044 3 ปีที่แล้ว +1

      @@somoeawadh7774 nisamehe mrembo wangu🙏🏻🙏🏻

    • @gmdecoration6044
      @gmdecoration6044 3 ปีที่แล้ว +1

      @@ayshamahariq6665 hatari sana nimemsahau wife🤓🤓🤓

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 ปีที่แล้ว +1

      @@gmdecoration6044 😌😌😌

  • @jangombeboys4536
    @jangombeboys4536 3 ปีที่แล้ว +3

    👍

  • @catherinewanjiru7136
    @catherinewanjiru7136 3 ปีที่แล้ว +2

    👌

  • @bintimrope
    @bintimrope 3 ปีที่แล้ว +2

    Weeraa weeraaa✌✌😘tunaanza nayo leo

  • @asingakani9138
    @asingakani9138 3 ปีที่แล้ว

    Cape town online, davista mata is number one

  • @aliciahmbura5943
    @aliciahmbura5943 3 ปีที่แล้ว +4

    Top 15🤣🤣

  • @ixmaillypeter5109
    @ixmaillypeter5109 3 ปีที่แล้ว

    Mwiz kaibiwa saf iyo

  • @aishasaid6749
    @aishasaid6749 3 ปีที่แล้ว +1

    Wa mwanzo leo

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanga bwana...Choka mbaya ila Hawakom!!

  • @nurdintembo9212
    @nurdintembo9212 3 ปีที่แล้ว +1

    Mr..fact mtu makini

  • @thewomanofsteel3970
    @thewomanofsteel3970 3 ปีที่แล้ว +1

    👍🔥

  • @mikabaylon1756
    @mikabaylon1756 3 ปีที่แล้ว +2

    As usual

  • @shukurumgaya5950
    @shukurumgaya5950 3 ปีที่แล้ว

    Tupo pamoja kka

  • @davidwambura5915
    @davidwambura5915 3 ปีที่แล้ว +1

    Kama kweli hizo shuhuda zenu ni za kweli kwa nini mnaficha sula zenu, acheni kutunga na kuwadanganya Watu.

    • @jacksonnyange5334
      @jacksonnyange5334 3 ปีที่แล้ว

      Nikama zablon alivyodanganya watu marasta kumbe mihuni tu uyo marasta tapel tu

    • @lulendamilu8265
      @lulendamilu8265 ปีที่แล้ว

      @@jacksonnyange5334 kumbe na wewe alikutapeli😂😂😂😂

  • @karrolleschon3986
    @karrolleschon3986 3 ปีที่แล้ว +1

    🇰🇪🗨👏

  • @jonaschizaji3171
    @jonaschizaji3171 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂🤣🤣Humu ndani Kuna pisi kali huwez amin nazenyewe zinafatilia uchawi

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      @@pilimusa7770 😂😂😂😂😂

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      @@ayshamahariq6665 😂😂😂😂😂😂

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      @@pilimusa7770 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว +1

      @@pilimusa7770 nakutakia uxkumwema kipenzi😍😍

  • @anitamageni3487
    @anitamageni3487 3 ปีที่แล้ว +2

    Tupo pamoja wa 33 leooooo

  • @pitabilali4553
    @pitabilali4553 3 ปีที่แล้ว +2

    1

  • @juliejulie8704
    @juliejulie8704 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimechelewa hizi free WiFi za wenyewe😌shida

  • @bulugukayala9241
    @bulugukayala9241 3 ปีที่แล้ว +1

    Wa 22 man from nh'undulu (misungwi)

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว +1

      @@pilimusa7770 😂😂😂😂😂

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว +1

      @@ayshamahariq6665 umeona eee. Yani nimecheka kweli

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว +1

      @@ayshamahariq6665 mambo vipi.

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว +1

      @@pilimusa7770 Alhamdulillah kipenzi xjui ww😘😘

  • @moreenmbatha1147
    @moreenmbatha1147 3 ปีที่แล้ว +3

    siku hizi niko busy whatsapp hadi nachelewa hivi😁😁😁😁 14 sawa tu

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      wachaaaaaaaaa weeeeeeeeeeee😁😁🤸‍♀️🤸‍♀️

    • @moreenmbatha1147
      @moreenmbatha1147 3 ปีที่แล้ว

      @@ayshamahariq6665 😁😁😁😁😁

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 3 ปีที่แล้ว +2

    Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli endelea kutusomesha wanafunzi wako tunaelewa bila kutuchapa viboko

  • @butondodavid2105
    @butondodavid2105 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwahyo wizi nao imekua kazi cyo

  • @kawtharsaleh9229
    @kawtharsaleh9229 3 ปีที่แล้ว +1

    Nimtihan

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว +1

      Hatari yani. Mambo vipi ndugu yangu.

    • @kawtharsaleh9229
      @kawtharsaleh9229 3 ปีที่แล้ว

      @@pilimusa7770 safi mzima ww nakutafuta sikuoni

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      @@kawtharsaleh9229 nipo. Ila nachelewa mara nyingi. Nashukuru uko poa kipenzi

    • @kawtharsaleh9229
      @kawtharsaleh9229 3 ปีที่แล้ว +1

      @@pilimusa7770 Al hamdulillah mshokru allah bidada

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      @@kawtharsaleh9229 amiin.

  • @denizamahongo8557
    @denizamahongo8557 3 ปีที่แล้ว +1

    Kama kawaida tupo pamoja

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 ปีที่แล้ว +1

    santa

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 2 ปีที่แล้ว

      Team hammamu tupo hp live🤳na intanet ya mwarabu ya bule🏃‍♀️🏃‍♀️

  • @aloneally544
    @aloneally544 3 ปีที่แล้ว

    Mi naona watu watamuiga huyo...bora asitaje njia au dawa hizo majina yake

  • @hamisfakih4739
    @hamisfakih4739 3 ปีที่แล้ว +2

    Me wa 25 jaman 😔😔

  • @shizaarfred4059
    @shizaarfred4059 3 ปีที่แล้ว +1

    Nisha wasili japo kwa kuchelewa so kes

  • @mouwanahamisi8216
    @mouwanahamisi8216 3 ปีที่แล้ว +1

    P1 san 155 😊

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 ปีที่แล้ว +1

    Buku ni pesa ngapi ya ki Tanzania??

  • @frankchaka6208
    @frankchaka6208 3 ปีที่แล้ว +2

    No view yet?

  • @najmasaidi1412
    @najmasaidi1412 3 ปีที่แล้ว +4

    🙄🙄🙄🙄🙄🙄🤸🤸🤸

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 3 ปีที่แล้ว +1

      Mbona sarakasi tena mdau Mwenzangu pamoja sana

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว +1

      @@sweetie6934 kaona shetani huyo😂😂😂.maaana si kwa misarakasi hiyo

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว +1

      Hiyo misarakasi veeeepeeeeee😂

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว +1

      @@fatmaalrshdii7615 sanaa

    • @najmasaidi1412
      @najmasaidi1412 3 ปีที่แล้ว +1

      @@sweetie6934 wee navyoogopaa😭😭😭

  • @mariamripiti2137
    @mariamripiti2137 3 ปีที่แล้ว

    😄😄😄

  • @hadeelahmad7463
    @hadeelahmad7463 3 ปีที่แล้ว

    Bona hukumalinza Ile ya sukule

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 ปีที่แล้ว +1

    Buku ni pesa ngapi ya ki Tanzania??