PART4:MWANAUME ALIEPATA UTAJIRI WA KICHAWI WA KUISHI MIAKA 7 NA KUFA/NILIPANDA UCHI/KUKU HANA KICHWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 376

  • @kingkijaempire7356
    @kingkijaempire7356 3 ปีที่แล้ว +13

    Mbona unatuwekea vipande vya dakika fupifupi Davister tunaomba tuwekee angalau vipande vya dakika 35 Naomba kuwakilisha.

  • @coolmum7812
    @coolmum7812 3 ปีที่แล้ว +9

    Asante Sana davi pamoja sana much love from 254

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 ปีที่แล้ว +4

    Kwanza namshukuru Mungu kwa uzima na mtegemee yeye atakupa zaidi

  • @dashyajulius5513
    @dashyajulius5513 3 ปีที่แล้ว +7

    kweli rafiki mkia wa fisi...ukishiriki atakufirisiiii🤣🤣jamaa since day1 mmeenda kutafuta mganga alikwambia ana tamaa iweje umuamini kumpa mali zako ivo bro?but anyway vya shetan huwaga havidumu..kikubwa shukuru uhai unao

    • @richardcleophace4509
      @richardcleophace4509 3 ปีที่แล้ว

      Yaani. na alimbiwa kabisa yan kwamba huyu jamaa yako anatamaa kinyama afu baadae kamkabidhisha mali zote duuuhhhh......shetan shetan tyu

  • @awadhrajab9527
    @awadhrajab9527 3 ปีที่แล้ว +5

    Fulu Stol Tunasonga Nayo Mbere Jamani Kondoo Aliteseka Sana Uyo Akika

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 3 ปีที่แล้ว

    WaTanzania wengi ukichunguza utakuta mali zao za ushirikina asikwambie mtu. WaKenya sie ndio wapambanaji wa haki, Asante Davista matar kwa kuwekea mwanga jambo hili....Shetani amewavaa wakavalika !

  • @abdimohamed3953
    @abdimohamed3953 3 ปีที่แล้ว

    Pole ndugu mrudie MUNGU na ukubali kua hauna kitu na anza kutafuta upya hakika utafanikiwa nahata kama hakitakua kingi kama mwanzo ila kitakua nichenye kukutosheleza mahitaj na baraka pamoja na amani ndani yake

  • @venahsithole6463
    @venahsithole6463 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana kaka huyo rafiki yako alitaka kukutumia tena ni yeye alikufundisha ushirikina mshukuru Mungu kakutoa kwenye utajiri wakishirikina muombe Mungu atakupa utajiri wa halali usichoke kumuomba Mungu

  • @fasanitztiri5371
    @fasanitztiri5371 3 ปีที่แล้ว +3

    Aiseee maisha haya usiyachukulie kitoto

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว +1

    najma rafiki Hemed suleiman blessed mariam Fatma Fm morn Erici Neema Nasra Riziki Zabiya Amina Abuubakar Aisha upendo salim salim Fundi khulood Credo na wengineo njoon mambo tayar😍🇪🇭🇪🇭

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 3 ปีที่แล้ว

      Nimefika pamoja sana

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      @@fatmaalrshdii7615 Nmefurai kukuona kipenzi 😍😍😍😍

  • @jamilaally3172
    @jamilaally3172 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up

  • @deusmakoye9999
    @deusmakoye9999 3 ปีที่แล้ว +2

    Mbona jamaa anaonekana Kama anachezea simu usimuliaji wake unakuwa Kama mtu anayefanya mambo mawili kwa wakati mmoja mwambie atulie bana😅😅😅😅

    • @deelissa2746
      @deelissa2746 3 ปีที่แล้ว

      HV uoni kichwa chake kimetazm wap watu WENGINE hawawez kuongea kwa fujo ht iweje

  • @emmanelly6864
    @emmanelly6864 3 ปีที่แล้ว +2

    Shukuru Mungu uliponea, mali sahau ulipeana mwenyewe sasa ishi kwa neema ya Mungu na umtambue

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 3 ปีที่แล้ว +1

    Hizo mali zilikua lazma zipotee mana umevunja mikataba,,pole ndugu mrudie Mungu atakpa Mali zisizo na masharti😥,,,

    • @richardcleophace4509
      @richardcleophace4509 3 ปีที่แล้ว +1

      Mashart yaliishia pale kwenye kutoa kafala kondoo bora angebaki naze tyu mwenyewe na kama kupotea bola zingepotelea mkononi pake mwenyewe

    • @vaghoghontweki9827
      @vaghoghontweki9827 3 ปีที่แล้ว

      @@richardcleophace4509 Sasa mali za hvo hazina formula yaani kitendo cha kumkabdhi yule jamaa ake ndo ulkwa mwanzo wa kupotea hivo,,,na hata hyo mwenzake hawezi kukaa nazo ztapotea 2 sbb ili ziwepo znahtaji makubaliano ambayo tyr yameshakiukwa😥

  • @abdulbasitsalim6133
    @abdulbasitsalim6133 3 ปีที่แล้ว

    Namshauri
    Arudi kwa marasta
    Au mti mkavu akawaeleze
    Pengine upo ufumbuzi.

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 ปีที่แล้ว +2

    Huna akili pumbav wewe ndio mwenye kujiangamiza halafu mapesa unakwenda kumpa mtu zote huna ndugu au wazee

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว

      Kumbuka hixo ni pesa zakishetani hata haxingesaidia

  • @zettyhassani2244
    @zettyhassani2244 3 ปีที่แล้ว +12

    Rudi kwa marasta azifilisi izo Mali mkose wote

    • @gablielsamwely1081
      @gablielsamwely1081 3 ปีที่แล้ว

      Ni kweli bhana aludi kwa marastar afilisi mali izo au amludishie ina uma

  • @salisali3738
    @salisali3738 3 ปีที่แล้ว +3

    Ndio pesa za majini zilivyo huwezi miliki mpaka mwisho lazima ziwe na mwisho

    • @ednacelemon5950
      @ednacelemon5950 3 ปีที่แล้ว

      Mali ulimkabidhi usiseme umezurumiwa na ujue mali ya shetani aidumu mrudie Mungu.

    • @salisali3738
      @salisali3738 3 ปีที่แล้ว

      @@ednacelemon5950 mbona kama wani shutumu mm 😂😂😂😂😂

    • @ednacelemon5950
      @ednacelemon5950 3 ปีที่แล้ว +1

      @@salisali3738 hapana mpendwa, shutuma zangu ni kwa ajili ya msimuliaji yeye alitoa mali zote sasa bado anasema ni zakwake, ufahamu wake umefungwa siku ukifunguliwa atajua kuwa hiyo ndo njia ya majini kuchukua mali walizokuwa wamempa. Mpendwa uwe na amani labda ukienda huko na wewe amani itatiweka.

    • @salisali3738
      @salisali3738 3 ปีที่แล้ว

      @@ednacelemon5950 👍👍👍👍🌹

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 ปีที่แล้ว +2

    Mimi huyo rafiki yako ndio nimempenda rafiki wa dhati

  • @lanezboy7016
    @lanezboy7016 3 ปีที่แล้ว +6

    Gang Like kama unafatilia hii kitu

  • @millyaketch4968
    @millyaketch4968 10 หลายเดือนก่อน

    Kile ntakuu ambia sahau,uhai wako nii muhimu,kuna jambo litaa mpata,Yule kuku ataa mwandama,pambana, brother,heri jasho lako,kuliko maali ya shetani,uyo shetani amegeuza game uyo rafiki ndie ataliwa

  • @Teacher_01
    @Teacher_01 3 ปีที่แล้ว +2

    Pamoja davista tunataka story sio unatuletea udaku udaku 🙄🙄🙄
    Au mnasemaje wadau

  • @rikekikonyo2265
    @rikekikonyo2265 3 ปีที่แล้ว +2

    Pesa haina undugu ulifanya mistake kubwa sana kumwamini huyo rafiki ako, ungekaa nazo ufe nazo

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 3 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa akili hana kabisa!
    Unampa mali rafki yako bure afu we unaanza kuwa ombaomba! Sjawahi kuona! We ulishatibiwa na hukufariki upo unaishi; Sasa unagawaje mali zako? Nampongeza rafki yako huyo! Sasa kama umeshindwa kuendesha mali zako akusaidieje? Wacha ale maisha!

  • @evelynlehnard3928
    @evelynlehnard3928 3 ปีที่แล้ว +1

    Yesu peke yake ndiye jibu tu.

  • @tifababynchimbi8454
    @tifababynchimbi8454 3 ปีที่แล้ว

    Yaaani hapo ndo ajue ndo kachukuliwa kihivyo,yule mganga alimsaidia ili asife tu lkn kweny Mali ndo zimechukuliwa

  • @martinmaryogo6081
    @martinmaryogo6081 3 ปีที่แล้ว +2

    Amwachie tu mali, maan alimtaftia mganga na ndo aliempeleka huko tunduma, duuuh huyo marasta ni huyu wa zabron au mwngine

  • @mariajili6319
    @mariajili6319 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwenzake kamwendea kwa mganga 😂😂

  • @rechomhawila1686
    @rechomhawila1686 3 ปีที่แล้ว +4

    Wa pili

    • @macamezunguzungu5697
      @macamezunguzungu5697 3 ปีที่แล้ว

      Twende sasa pamoja mpaka mwisho wa story💪💪💪💪

  • @nasibubalonzizubusa3449
    @nasibubalonzizubusa3449 3 ปีที่แล้ว

    Pumbafu kweli huna Mama huna mke huna ndugu kumtesa kote huyo kondoo unamkata kipande kimojakimoja afu Mali unampa msenge huyo tulia hivyohivyo njaa ikuue

  • @asantielmoshi9905
    @asantielmoshi9905 3 ปีที่แล้ว +1

    Davistar pamoja sana
    Ila huo udaku usiulete huku tunataka story

  • @happyoshea
    @happyoshea 3 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂Nimecheka hapo ,eti ningedondoka tu wangenila

  • @halimamangala6731
    @halimamangala6731 3 ปีที่แล้ว +2

    Huku zambia mishumaa ya rangi zote zipo ni wewe tuu😄😄

    • @credo7837
      @credo7837 3 ปีที่แล้ว

      🙄

    • @SunsetHunter4526
      @SunsetHunter4526 3 ปีที่แล้ว +1

      Niagiziee mwekundu na blue niwe nawasha chumban usiku naipenda

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว

    Sasa umenusirika kifo tena wapeanaa😀😀😀😀😀😀kubwaa jinga uligeukwaaa lzm mana ujingaa wako tuu

  • @ramazubery2641
    @ramazubery2641 3 ปีที่แล้ว +3

    Mpumbavu kweli ww mjinga kabisa kwann usimkabizi mama au ndugu boya kweli story ilikua nzuri unaiharibu mwishoni kamuendee kwamarasta mjinga umeniboa kweli Yani😬.kweli movie ya kihindi ster kafa😂

    • @awadhially3753
      @awadhially3753 3 ปีที่แล้ว +1

      Kweri

    • @almasisaid7597
      @almasisaid7597 3 ปีที่แล้ว +1

      Ata mi nilimshangaa sana

    • @israelnibigira6016
      @israelnibigira6016 3 ปีที่แล้ว +1

      Boya sana dhhuuuuu

    • @richardcleophace4509
      @richardcleophace4509 3 ปีที่แล้ว +1

      Mbuz wa maskini hazai. Cjui hata ndugu hakua nao. Star wa picha kafa kaacha majambazi hai. Natamani kutoa neno bovu ila acha nikaushe tyu

    • @ramazubery2641
      @ramazubery2641 3 ปีที่แล้ว +1

      @@richardcleophace4509 😂😂😂😂yalambavu zangu ster kafa majambazi wapo hai😂😂

  • @bintimrope
    @bintimrope 3 ปีที่แล้ว

    Hongera kwa kushinda umauti. Sasa si urudi kwa mganga alokusaidia ili afilisike huyo kenge asiona fadhila

  • @shizaarfred4059
    @shizaarfred4059 3 ปีที่แล้ว +2

    Duh kama ndoto leo 23 ipo sk nitakuwa 1 na sialiki jilan war nani dadek🏃‍♀️

  • @pili3750
    @pili3750 3 ปีที่แล้ว

    Daaah huyu boya kweli ningekua mie ningeenda kwa marasta nikamfanya kitu kibaya

  • @ninabizimana6869
    @ninabizimana6869 ปีที่แล้ว

    Uko Lofa Sana Uta Mwamini. Mtu kwenye pesa

  • @aminsalimali793
    @aminsalimali793 3 ปีที่แล้ว

    Safi kabisa davistar mata👍👍👍

  • @OmanCom-ky8tn
    @OmanCom-ky8tn 3 ปีที่แล้ว

    Davista mata naomba namba za huyo kaka ninashida nae

  • @kimjericho1163
    @kimjericho1163 3 ปีที่แล้ว

    Asante Davistar, tafadhali tupe namba za huyo kaka.

  • @doreemoshi8707
    @doreemoshi8707 3 ปีที่แล้ว +1

    Daaah marafikiikiii😭😭😭

  • @lasandrasandra7453
    @lasandrasandra7453 3 ปีที่แล้ว

    Bila shaka rafiki kakupiga kipande umpe mali zote ila kikubwa uhayi mshukuru Mungu

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 3 ปีที่แล้ว +3

    Mimba ulibeba mwenyewe, ulivyojifungua ukagawa mtt kwa mtu mwingine duuu.

  • @umpump8472
    @umpump8472 3 ปีที่แล้ว

    Wa TZ Wanavituko ajabu. Mimi niko 254. Naifatilia sana hi kipindi

  • @user-xw9hg3zr4d
    @user-xw9hg3zr4d 7 หลายเดือนก่อน

    Kaka mbona ujataja no zake tumsapoti angalau kidogo

  • @upendoluv7197
    @upendoluv7197 3 ปีที่แล้ว

    Yani ww Kaka Bora ungekomaa nazo mwenyewe tu..Na ukute kakuloga huyo Kaka loooh marafiki sio watu jamanii😭😭😭😭😭

  • @hamadwaziri121
    @hamadwaziri121 3 ปีที่แล้ว +3

    Pili njoo mama na mashemej zangu mjee

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 ปีที่แล้ว

      Mm hapa shem lako 🤗

    • @hamadwaziri121
      @hamadwaziri121 3 ปีที่แล้ว

      @@somoeawadh7774 hahaha karibu shemej yangu 😄😄😘

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 ปีที่แล้ว

      @@hamadwaziri121 Asante shem mahari peleka kwa Davistar kwanza

    • @hamadwaziri121
      @hamadwaziri121 3 ปีที่แล้ว

      @@somoeawadh7774 ndio mshenga Davistar usijal shemej kwa hilo

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 ปีที่แล้ว

      @@hamadwaziri121 Hapo sawa 🤝

  • @lugembeyahona7957
    @lugembeyahona7957 3 ปีที่แล้ว +1

    Simulizi ya kutunga

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว +1

    somoe pili Fatma Aiyam Ezakia Lily Rose upo? sapna kevarist doodluck salim salim credo Amina Aisha Mariam zabiya cute emmy Farhat salum Nguwalo Hemed rafki Eric na wengineo njooon mambo tayari 😍😍😍😍🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 ปีที่แล้ว

      Nishafika mama 😘😘😘

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      @@somoeawadh7774 Nmefurai kukuona kipenzi 😘😘😘😘😍😍😍😍😍😍

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 ปีที่แล้ว

      @@ayshamahariq6665 mm zaidi sweetheart 🥰

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      @@somoeawadh7774 pamoja kipenzi 😍😍😘😘

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      Asante nishafika mpenzi😍😍😍😍😘😘😘

  • @nooor1120
    @nooor1120 3 ปีที่แล้ว

    Bora tafuta nyengine hizo achana nazo japo una dhiki ila vumilia na pambana Allah atajupa nyengine na rafiki utapata mwengine muhimu utulivu wa nafsi yako

  • @abdimohamed3953
    @abdimohamed3953 3 ปีที่แล้ว +1

    Tupo kwenye game mpaka mwisho wakipindi ngoja nijue marasta anafanya nini

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli ulipo Nipo

  • @jamilaishmail48jamilaishma2
    @jamilaishmail48jamilaishma2 3 ปีที่แล้ว

    Sasa bona asirudi kwa uyo mganga alimtibu amtengeneze rafiki yake amrudishie Mali zake

  • @najmasaidi1412
    @najmasaidi1412 3 ปีที่แล้ว +3

    Eheee kumbe kumekicha sasa😋😋😋😋wanangu wa nguvu njooni uku mambo uwanjani🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 ปีที่แล้ว

      Waaaah mpenz wangu 🥰🥰🥰🥰

    • @najmasaidi1412
      @najmasaidi1412 3 ปีที่แล้ว

      @@dorcaskidoti249 ohoo wewe nimekumiss mamaangu 😔😔😔😔😔

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 ปีที่แล้ว

      @@najmasaidi1412 nipo kipenzi changu, uko powa?

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      @@najmasaidi1412 😍😍😍😍

    • @najmasaidi1412
      @najmasaidi1412 3 ปีที่แล้ว

      @@dorcaskidoti249 hofu kwako2 mamy😔😔

  • @bushmechanic5991
    @bushmechanic5991 2 ปีที่แล้ว

    Keep up MY brother

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 3 ปีที่แล้ว

    D unaoneka siriasi sana vp bb kulikoni

  • @kendrickmakaveli1619
    @kendrickmakaveli1619 3 ปีที่แล้ว

    Blooo davistar mata naomb namba yako

  • @imagepower3641
    @imagepower3641 3 ปีที่แล้ว +1

    hizo mali hazikuwa zako,zilikuwa za shetani ,shukuru tu upo mzima,tafuta za kwako

  • @mouwanahamisi8216
    @mouwanahamisi8216 3 ปีที่แล้ว

    Yajayo yanafurahisha....kaka Bora uzma kupata Kun mung

  • @catherinewilliam2153
    @catherinewilliam2153 3 ปีที่แล้ว +2

    Uyo marasta ndo yule tunaemjua sisi au mwingine? N uyo Jamaal hana akili yaani siku ya kufa imepita afu bado kaenda kugawa Mali zake 😅😅😅 ye akadeki bahari tuu

    • @Laila-lz4ij
      @Laila-lz4ij 3 ปีที่แล้ว

      Inawezekana yule rafiki yake kamfanyia kitu😅

    • @credo7837
      @credo7837 3 ปีที่แล้ว

      Sio akili yakawaida rafikia yake sio mtu kamfanyia jambo

    • @catherinewilliam2153
      @catherinewilliam2153 3 ปีที่แล้ว +1

      Inawezekanaa ila na yeye bado ni mjinga maana kashindwa kujiongezaaa. Na kama aliweza kujitoa kafara ameshindwaje kumiliki Mali zake ye kama anaweza arudi tu kwa marasta atajua ukweli wa Mali zake na huyo rafiki yake

    • @credo7837
      @credo7837 3 ปีที่แล้ว

      @@catherinewilliam2153 sio amrudie muumba aendelee na ushirikina tena

    • @credo7837
      @credo7837 3 ปีที่แล้ว

      @@catherinewilliam2153 ushikina nihatr akili yako yote wanaipumbaza huyo kafany jambo bila idhini yake nimadawa

  • @shabaniramadhani4109
    @shabaniramadhani4109 3 ปีที่แล้ว +1

    Ujafa lkn wenyewe ndi wamechukuwa malizao mikononi mwako ila na huyo rafik yako mali hazita du kamweli shetani ni shetani tu bro

  • @kenedypaulo4557
    @kenedypaulo4557 2 ปีที่แล้ว

    Nitumie namba tuwe tunamsaidia hela yakula

  • @doramkolo1745
    @doramkolo1745 3 ปีที่แล้ว

    Huyo marasta hata kwa yule zablon nilimsikia

  • @salmakiyabosiriyamachoziha8756
    @salmakiyabosiriyamachoziha8756 3 ปีที่แล้ว

    Mmm pole hapo shatani tu ulimp maan kam millala chuma kimoja ukamuonni joka pole pesa za nguvu za giza ni shid nyumba je mjinga ulipon kif hiy siku huyo si mtu ni jini

  • @gaomariwa7637
    @gaomariwa7637 3 ปีที่แล้ว

    Davista mbona huulizi zile tranker zilileta pesa baada ya kutibiwa

  • @kawtharsaleh9229
    @kawtharsaleh9229 3 ปีที่แล้ว

    Bora lakini kaka angu fanya kazi upate kwa jasho lako

  • @asingakani9138
    @asingakani9138 3 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema

  • @oscarlemamaringo8081
    @oscarlemamaringo8081 3 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo uwoga wako umekuponza nenda kwa marasta

  • @marychacha7084
    @marychacha7084 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni mganga ndie alifanya hivo ili ugawe kwa mwingine...Wala sio akili yako..hakuna Cha mganga anaekupa utajiri ukaufurahia kwa ulaini..vya shetani siku zote haziliki... waweza kuta huyo mganga amemfanya rafiki yako akugeuke...nae ipo siku ataanza kulipa na atajutia..tuache tamaa

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      Kabisaa

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 3 ปีที่แล้ว

      Unadhani atadumu nazo?Yeye ndio yatamuua we subiri tu

  • @mwajabumaulid7104
    @mwajabumaulid7104 3 ปีที่แล้ว

    Davista sahv tunataka uwahoji waganga wenywe wanaotoa utajili wa namna hii

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 ปีที่แล้ว

    Lakini huyu pia sio rafiki mzuri

  • @mabulamasunga7378
    @mabulamasunga7378 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana

  • @zakiarama9909
    @zakiarama9909 3 ปีที่แล้ว

    Devista leo uko makini sanaaa

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 ปีที่แล้ว

    Kk ulifanya makosa kumpa hela, kama ww uliogopa na ukaamuwa umfanyie hivo hapo yy ndio mwenye mamlaka

  • @vellarose2596
    @vellarose2596 3 ปีที่แล้ว

    Waaa pole

  • @mariamripiti2137
    @mariamripiti2137 3 ปีที่แล้ว +1

    Aisee Marasta🔥🔥🔥🔥

  • @stevenomaly4850
    @stevenomaly4850 3 ปีที่แล้ว

    Mm tangu mwanzo nilijua tu huyu kuna mahali atakwama! Unampaje mtu mali kirahisi hivyo? Atafute nauli arudi kwa mganga

  • @umpump8472
    @umpump8472 3 ปีที่แล้ว

    Bahati yako rudi kwa kamba ya mungu

  • @nasibubalonzizubusa3449
    @nasibubalonzizubusa3449 3 ปีที่แล้ว

    Ubinadamu kazi

  • @romytz7200
    @romytz7200 3 ปีที่แล้ว +1

    Fire fire

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 ปีที่แล้ว

    Vijana Wana haraka ya mali sasa wajione shida ambae wanapitia mashaka na uchungu tubu

  • @seasonepisode3328
    @seasonepisode3328 3 ปีที่แล้ว

    Yn wotee nyinyi roho zenu zipo kuzimu.majini wamewaacha kwanza ili ela zao ziendelee kutumiwa na wanadamu

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 ปีที่แล้ว

    Aiseee hiyo ilikuwa shughli kwa kweli

  • @nasrasway7143
    @nasrasway7143 3 ปีที่แล้ว

    Ivi davista yule alikuaga na shida kama ya uyu alikuaga bado miezi 4 alishakufa? Yule alifanyaga ili mama yake aishi vizuri alafu mama yake akafa

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 3 ปีที่แล้ว +1

    Kuchelewa nayo 🥺

  • @kelvindaudi6765
    @kelvindaudi6765 3 ปีที่แล้ว

    Sawa sawa kaka

  • @rukundoibrahim807
    @rukundoibrahim807 3 ปีที่แล้ว +1

    michezo hiyo ukamkabidhi rafikiako mali ilikua umkabidhi hata ndugu yakoooo.

  • @zettyhassani2244
    @zettyhassani2244 3 ปีที่แล้ว +3

    Wa3leo like jomon

    • @credo7837
      @credo7837 3 ปีที่แล้ว +1

      Hahahah hiyo nimekupa

    • @zettyhassani2244
      @zettyhassani2244 3 ปีที่แล้ว

      @@credo7837 thx broo

    • @credo7837
      @credo7837 3 ปีที่แล้ว

      @@zettyhassani2244 pamoja sister

  • @credo7837
    @credo7837 3 ปีที่แล้ว

    Daah kumbe hukuambulia kitu mahangaiko yote hayo

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 3 ปีที่แล้ว

    davist naomba namna zake hyo jamaaa

  • @nasrasway7143
    @nasrasway7143 3 ปีที่แล้ว +2

    Uyo jamaa yako nenda kwa yule mganga kamloge arudishe mali zako tahira yule

  • @rappertinno4184
    @rappertinno4184 3 ปีที่แล้ว

    Chapa nembo Davistar Nakubal

  • @cliffordmaboi2298
    @cliffordmaboi2298 3 ปีที่แล้ว

    Davistar sio mganga ni marasta.

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 3 ปีที่แล้ว +1

    Davistar ❤😘🇴🇲

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      😘😘😘😘😘😘😘😘

    • @credo7837
      @credo7837 3 ปีที่แล้ว

      @@ayshamahariq6665 🙄

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      @@credo7837 Nmefurai kukuona kipenzi 😍😍

    • @credo7837
      @credo7837 3 ปีที่แล้ว

      @@ayshamahariq6665 hata mim kumbe upo

    • @sapnaabdallah1084
      @sapnaabdallah1084 3 ปีที่แล้ว

      @@credo7837 hahaaaa 🤣🤣ww hupewi makopa kopa hasara yako

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 3 ปีที่แล้ว

    Siungeuliza mgagha ushauri kabla ya kupeana vitu vyako

  • @peterstewart9935
    @peterstewart9935 2 ปีที่แล้ว

    huyo jamaa aliyemdhulumu huyu jamaa anaitwa nani?

  • @oprahsalum8185
    @oprahsalum8185 3 ปีที่แล้ว

    Nenda kwa maziwa tuuuu yupo Yesu Kristo pale

    • @fadhiliswalehe9286
      @fadhiliswalehe9286 3 ปีที่แล้ว +1

      Huko ndo atapotea kabisa mana wanatumia nguvu za kichawi

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      @@fadhiliswalehe9286 kabisaa

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 ปีที่แล้ว

    Dhuuuu, kumbe kulikuwa na viumbe wanakula chenye unakata