PART3:NILIFUATA UTAJIRI WA KICHAWI NA KULAZIMIKA KULA NYAMA YA MAITI YA MTU ILIYOOZA/CHUMA ULETE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 199

  • @sheikhabdallahiddi3350
    @sheikhabdallahiddi3350 3 ปีที่แล้ว +15

    la haula walaaquwata ila billahi. mtegemeeni mungu Allah. yeye ndio mwenye bingu na ardhi .mali iliyo kwenye ardhi hii .yote ni ya Allah. KIla mtu amuombe mungu utapata KIla kitu.

  • @tarimowakweli
    @tarimowakweli 3 ปีที่แล้ว +4

    Mwambie Arudi Atubu na Ampokee Yesu Kristo kisha msaada atapata toka kwa Yesu na wandugu ktk Kristo Yesu tutamsaidia

  • @rukundoibrahim807
    @rukundoibrahim807 3 ปีที่แล้ว +4

    michezo hiyo ya mashetani davista masha ALLAH uko makini namwenye kuhojiwa iko makini.

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 3 ปีที่แล้ว +7

    From Taiwan 🇹🇼🇹🇼🇨🇳🇹🇿🇹🇿

  • @aishaally8811
    @aishaally8811 3 ปีที่แล้ว +6

    Hakuna utajiri mzr kama utajiri wa kupewa na mungu chakwanza hana mxharti cha pili yeye ndo mlinzi wa mali zako na wewe mwenyeo kikumbwa tumuche Allah ndo muwenza wa yote

    • @pili3750
      @pili3750 3 ปีที่แล้ว

      Naam

  • @jamilaally3172
    @jamilaally3172 3 ปีที่แล้ว +2

    Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up

  • @mustaphagairo1936
    @mustaphagairo1936 3 ปีที่แล้ว +2

    Mr DM naona leo huna kaz kuubwa, jamaa amekupunguzia kaz ya kuulza ulza maswali. Anajua kusimulia hatua kw hatua.

  • @angelmlay4173
    @angelmlay4173 3 ปีที่แล้ว +3

    Njoeni kumekucha uku🔥🔥

  • @allyiddakizimana7103
    @allyiddakizimana7103 3 ปีที่แล้ว +1

    Dah dogo amepitia makubwa, mie Alhamdulillah, stori za hapa napendaga kusikiliza tu, lakini huwa siamini kabisa kama yapo

    • @bikaseharsan1467
      @bikaseharsan1467 3 ปีที่แล้ว +1

      Ausio kwaiyo uongo au?

    • @hopedigitalmedia34
      @hopedigitalmedia34 3 ปีที่แล้ว

      Ally Idd Akizimana, kama hauamini hz story bac hauamini ktk Mungu wala dini kwani hakuna dini hisiyo tambua uchawi na hakuna anayemuamin Mungu na hacjue kuw hatui mkubwa ni shetani

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 ปีที่แล้ว

    Shuda yoote ya nini?. Huo utajiri tuuu.Pole Sanaa.

  • @matukicmagere3331
    @matukicmagere3331 3 ปีที่แล้ว +1

    Namba one

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 ปีที่แล้ว +1

    Aiseee ulale na maiti

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว +2

    Wa kwanza 🎊🎉🎉🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎊🎊🎊

    • @fatmamucha4419
      @fatmamucha4419 3 ปีที่แล้ว +1

      Hongera

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      @@fatmamucha4419 asante

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      @@sweetie6934 😂😂😂😂😂

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      @@sweetie6934 😂😂😂😂😂😂 mbavu zangu uwiiiiiii😂😂😂😂😂😂

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว +1

      Hongera kipenzi😍😍

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 ปีที่แล้ว

    Subhanah Allah, makaburi kuhamishwa balaa hii hawa watu kufanya mazinga umbwe hivi hujuwa kama kesho atakuja kufa na atakuja mjibu nn Mola wake

    • @shabanikhalid26
      @shabanikhalid26 10 หลายเดือนก่อน

      huo uchawi huo kapelekwa kuzimu huyo

  • @marianchamba3898
    @marianchamba3898 ปีที่แล้ว

    Vijana wetu Mungu awasaindie muweze kumtegea yeye

  • @aishaally8811
    @aishaally8811 3 ปีที่แล้ว +2

    Davistar mbana unatuchangaya bro ile pisi kali yako story yake imeixha

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 3 ปีที่แล้ว +1

      Neema unamwandama davista aisee 😂😂😂😂 toka janaa

    • @aishaally8811
      @aishaally8811 3 ปีที่แล้ว

      @@Teacher_01 haya nimeacha

  • @frankmtei3017
    @frankmtei3017 3 ปีที่แล้ว

    Wew umekaa kwenye kaburi buree, umeishia kupata mikosi... Pole

  • @mwanahamis5487
    @mwanahamis5487 3 ปีที่แล้ว

    Unahagaika kutafuta مال za dunia unapata unakufa unaziacha.. Turudini kwa Allah turidhike na umasikini wetu Kheir kidg kuliko kikumbwa

  • @sarahsaimon2318
    @sarahsaimon2318 3 ปีที่แล้ว +2

    Du jamani maisha haya 🤔🤔🤔

  • @hamisfakih4739
    @hamisfakih4739 3 ปีที่แล้ว +1

    Duh tutasikia mengi Kumbe kwenye hii dunia kuna mambo ya atar aseee

  • @mariajili6319
    @mariajili6319 3 ปีที่แล้ว

    Chuma ulete hina maanisha nini ? jmn watanzani mna Kiswahili kirefu sana ❤️❤️❤️

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      yan tafuta pesa uilete ndiyo maana yake 🤝🤝

  • @asingakani9138
    @asingakani9138 3 ปีที่แล้ว

    Cape town tuna enjoy good history

  • @ahyatibenn8319
    @ahyatibenn8319 3 ปีที่แล้ว

    SUBHANNA LLAHA...

  • @user-ft8cb3rq2k
    @user-ft8cb3rq2k 8 หลายเดือนก่อน

    Hatarii

  • @happylife349
    @happylife349 3 ปีที่แล้ว

    Me wanavosema kuwa unafukiwa ndani ya kaburi, sasa what if akufukie huko alafu akiendoka afe kabla ajakutoa, au akienda asahau kurud😅😅😅😅😅😅
    Watu wanajua kutake risk mweee!

    • @pili3750
      @pili3750 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂ni huzun kwa kweli

  • @mariamripiti2137
    @mariamripiti2137 3 ปีที่แล้ว +2

    Ujumbe wa, asubuhi bandugu tufanye kazi kwa bidiii utajili auji km unakuvywa maji

  • @oscarkibate1913
    @oscarkibate1913 3 ปีที่แล้ว

    Safi Sana kujituma nayo Niko number 78. 💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kwa Mara ya Kwanza niko na mgeni kutoka Simgifa

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว +2

    Aysha. Hamad. Khulood. Fatma. Kawthar. Sapna. Aiyam. Nguwalo. Jirani. Somoe. Griezmann. Amina. Najma. Kevarist. Kassim. Zuchu. Hushaby. Salim. Blessed. Zabiya. Fm morn. Njooni. 🎈🎈🎈🎈🎉🎊🎊🎊🎊🎈🎈🎈

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      @@sweetie6934 karibu kipenzi 😍😍😍😘😘

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว +1

      @@sweetie6934 pamoja sana wangu😍😍😍😍

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      @@sweetie6934 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mbavu zangu uwiiiii.

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      @@sweetie6934 sipajuwi. Ila mie juzi nimekumbuka mapupu na bandama. Nilikuwa napenda bandama hatari. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      @@sweetie6934 karibuu😍😍😍😍😘😘😘

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 3 ปีที่แล้ว

    Nitazidi kumtumanini Mungu aliyeniumba. Alijua kiwango cha kipato changu kabla nizaliwe. Mambo na ushirikina NO.

  • @fatmamucha4419
    @fatmamucha4419 3 ปีที่แล้ว +1

    Njoo huku davistar kutuletea mambo yetu

  • @veeinn7965
    @veeinn7965 3 ปีที่แล้ว

    Acha kabisa

  • @bintimrope
    @bintimrope 3 ปีที่แล้ว +1

    Eti tulizamilisha sana😂😂😂😂tulilazimisha ee. Mbona muoga nawe unataka pesa za mteremko

  • @seasonepisode3328
    @seasonepisode3328 3 ปีที่แล้ว

    Nenda ktk maombi ushafungua milango ya kuzimu kaka tena umelala kaburini...bila kufunga milango ya kuzimu Utofanikiwa

  • @wasafishadrack8398
    @wasafishadrack8398 2 ปีที่แล้ว

    good job 🇨🇩🇨🇩❤️

  • @winniejustine2051
    @winniejustine2051 3 ปีที่แล้ว

    Dah! Pole sana dogo mungu akujalie dv weka namba yake

  • @naomiakoth2958
    @naomiakoth2958 3 ปีที่แล้ว +2

    Woi 😢😢😢😢😢 I better die poor

  • @suleimaniyasri6527
    @suleimaniyasri6527 3 ปีที่แล้ว

    Hela hizi dah.. Xem ya duniaa tyu ukifa uyaoni wala nini

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 ปีที่แล้ว +1

    Waganga wote wakuda wapuuuuzi wa maadili😎😎😎😎

  • @tatukizunga9107
    @tatukizunga9107 3 ปีที่แล้ว +1

    Oyoooooooo Kama kawa wa 2 Leo na nitaota usiku Ku cha😂😂

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 ปีที่แล้ว

    Pole sana kk

  • @Teacher_01
    @Teacher_01 3 ปีที่แล้ว +1

    Leta story ya yulee dada bhanaa😛😛😛😛 et wadau mnasemajee

  • @karimreldalaal1387
    @karimreldalaal1387 3 ปีที่แล้ว +1

    Waziiiìii

  • @alphoncemichael1288
    @alphoncemichael1288 3 ปีที่แล้ว +1

    Yapuuu

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 ปีที่แล้ว

    Hayo masharti hamna afadhali kk

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว

    Duuuu hayo masharti bn AI miaka tano duniani mara kidonda la tatu kafaraa yawatu hapo siungeua mana wataka utajiri hichokidondaa ndugu jamani tena huwa hakifungwii bnaweeee masharti zingine bn

  • @josephineasiza7888
    @josephineasiza7888 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akuponye

  • @mouwanahamisi8216
    @mouwanahamisi8216 3 ปีที่แล้ว

    Mung akuongoze Kaka atakusaidia kl hatua dua

  • @salmasalma8203
    @salmasalma8203 3 ปีที่แล้ว

    Hatr snaaaa

  • @nickbrown8350
    @nickbrown8350 4 หลายเดือนก่อน

    Ila hii story inatisha 😅😅😅

  • @dripboy2026
    @dripboy2026 3 ปีที่แล้ว

    Bola nife masikini kuliko kufuata utajiri wakichaw alafu mwisho wa siku narud tena kwenye umasikini kama zamani tena zaidi ya mwanzoni 😥😥

  • @kisurangusa554
    @kisurangusa554 3 ปีที่แล้ว

    Davistar yu makini sana,

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว +1

    Duuu makaburi yanahamishwaaa🤦🏻‍♂️🤦🏻‍♂️🤦🏻‍♂️🤦🏻‍♂️huyo mganga sio kidogo tena yawatu maarufu hao walixikwaa nasanduku za mamilioni

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว +1

    Anatia imani kweli

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 ปีที่แล้ว

    😂🤣🤣🤣 kk Davi wadaisha watu wasaidie iende yote sio🤣🤣🤣🤣

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว

    Mchagaaaa ukanasaaa Haha wafikiria kila duka liko tuu

  • @zettyhassani2244
    @zettyhassani2244 3 ปีที่แล้ว +1

    Watu wengine wanamioyo migumu loh

    • @deelissa2746
      @deelissa2746 3 ปีที่แล้ว

      Me swala la kuona makabur ni hapo r.i.p mtafuta pesa za kichaw😂

  • @veronicasteven2243
    @veronicasteven2243 3 ปีที่แล้ว

    Duuuuuuh MUNGU WANGU MUNGU WANGU NIANGALIE MJA WAKO NISOFIKE HATUA YA KUKIFULU 😭HAKIKA INATISHA

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 3 ปีที่แล้ว

    Ndio maana Mungu akisema Ni rahisi ngamia kupenya katika tundu la sindano kuliko TAJIRI kuingia ufalme wa mbinguni

  • @fatmamucha4419
    @fatmamucha4419 3 ปีที่แล้ว +1

    Hamchelewi

  • @lissapoul5227
    @lissapoul5227 3 ปีที่แล้ว

    Daah!huyu mvulana kiboko..yaan anakubal kuzikwa kabisa na maiti juu..je mganga asingekuja kumtoa??iyo ni big noooo

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว

    Kulala makaburini simchezo tena uko hai utajiri zingine bn nomaa

  • @rappertinno4184
    @rappertinno4184 3 ปีที่แล้ว

    Chapa nembo Davistar Nakubal

  • @josephineasiza7888
    @josephineasiza7888 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @dripboy2026
    @dripboy2026 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwan Watu wenye mikasa kama huu unawapataga wap DM

    • @Teacher_01
      @Teacher_01 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

  • @ivaniavianarodrigo7201
    @ivaniavianarodrigo7201 3 ปีที่แล้ว

    aende msikitini akamuombe mungu wake.

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 ปีที่แล้ว

    Pamoja saana mzee baba🙄🙄🙄

  • @pili3750
    @pili3750 3 ปีที่แล้ว

    Mbona kama kwa marasta 😂😂

  • @evachuwa3809
    @evachuwa3809 3 ปีที่แล้ว

    Da mambo ni moto Davistas mtu makini oyeeee

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 3 ปีที่แล้ว

    Kumekucha alhamdulillah

  • @aminabhitalio8143
    @aminabhitalio8143 3 ปีที่แล้ว

    Stor nzur

  • @farhathamdansalum9725
    @farhathamdansalum9725 3 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣 kk Davi eti wajuwa jamaa katuma mtoto sio

  • @elizanzula8375
    @elizanzula8375 3 ปีที่แล้ว

    Kuliko kupotelea kwa waganga weka number tukuchangie kaka

  • @tonyphilip7104
    @tonyphilip7104 3 ปีที่แล้ว

    Flowing

  • @mouwanahamisi8216
    @mouwanahamisi8216 3 ปีที่แล้ว

    Dah ....utajiri huo 😳

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 3 ปีที่แล้ว

    Baada ya kipigo ukaacha chuma ulete 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @rebeccapmashauli2648
    @rebeccapmashauli2648 3 ปีที่แล้ว

    Inaogopesha lakini😭😭😥

  • @allyndingo1812
    @allyndingo1812 3 ปีที่แล้ว

    Kaz inaendelea mchizi aliekuwa anaendesh baiskeli uchi karudi huku
    Huyu jamaaa nimecheka mpka bc mchizi noma....!!!!

    • @nurafedrick378
      @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣huku Akiogaa nakuchezaa uchii

    • @sapnaabdallah1084
      @sapnaabdallah1084 3 ปีที่แล้ว

      Yaani hunishindi mm nilicheka anakatika mauno

    • @allyndingo1812
      @allyndingo1812 3 ปีที่แล้ว

      @@sapnaabdallah1084 htr xna

  • @shabaniramadhani4109
    @shabaniramadhani4109 3 ปีที่แล้ว

    Watu mnalala humu nini mi wa sekunde 16

  • @jacksonnyange5334
    @jacksonnyange5334 3 ปีที่แล้ว

    Mganga wa kwel anakueleza shida sio wewe unaanza kumuambia shida bora huyo kuliko yule wa zablon

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 ปีที่แล้ว

    Wavijana awache uzembe kwua nini huweke maktaba na mashaitani? kwua shida ya kidonda, kaf m kuishi

  • @sapnaabdallah1084
    @sapnaabdallah1084 3 ปีที่แล้ว

    Heheeeee tangazo linanifrahisha wote michepuko 🤣🤣🤣

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      kabsa kipenzi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      tsha sana kipenzi Hongera 😍😍😍😍

    • @sapnaabdallah1084
      @sapnaabdallah1084 3 ปีที่แล้ว

      @@ayshamahariq6665 ahsante
      😘😘siku hizi tunapewa dozi Kutwa Mara ngapi?

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      @@sapnaabdallah1084 karbu kipenzi 😍😍 🤝🤝 tunapewa doz nanan wngu??

  • @awadhrajab9527
    @awadhrajab9527 3 ปีที่แล้ว +1

    Uyu Alikua Muoga Sana Unatakiwa Uwe Jasili Usio Na Of Hata Kichembe Fanya Kama Igizo

  • @eliasgembe5800
    @eliasgembe5800 3 ปีที่แล้ว

    Duuh watu wako fasta saanaaaaa

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 3 ปีที่แล้ว

    Wa kwanza leo

  • @zedianagasper9475
    @zedianagasper9475 3 ปีที่แล้ว

    Ndo maana hela hazikai chuma leta wapo

  • @awadhrajab9527
    @awadhrajab9527 3 ปีที่แล้ว

    Yani Ayo Nimakabuli Ya Mikoa Mingi Yaliozikwa Watu Maalufu Mikoa Yote Sio Kinondoni Tu Nimakabuli Waliozikwa Watu Maalufu Nasio Kinondoni Tu Kama Alivomwambia Kifupi

    • @deelissa2746
      @deelissa2746 3 ปีที่แล้ว +1

      We ndio ujaelewa

    • @awadhrajab9527
      @awadhrajab9527 3 ปีที่แล้ว

      @@deelissa2746 Kwaivo Anaposema Makabuli Ya Watu Maalufu Tanzania Inamana Matajili Wa Tanzania Wamezikwa Apa Kinondoni Arusha Akuna Matajili Mwanza Mbea Dodoma Na Mikoa Mingine Wote Walizikwa Apa Kinondoni Akuna Sema Makabuli Yakiwa Njiani Nawe Kila Siku Unapta Apo Nilazima Yako Makabuli Au Kabuli Utakua Unalicheki Kila Siku Sasa Siku Usipoliona Unaweza Kupata Mstuko Na Kujaza Watu Kwa Mshaango Wa Kutokuliona Kabuli Na Ususha Makabuli Ya Apa Dar Au Seemu Yenye Makazi Ya Watu Jilani Wako Majilani Wataungana Nawewe Kwa Mshangao Wakutoliona Kabuli Apa Mjini Ususa Apa Dar Makabuli Mengine Ndo Kamba Za Makahaba Wauza K.Usiku Alafu Makabuli Yapotee Gafla Lazima Dar Ingekua Gumzo

    • @deelissa2746
      @deelissa2746 3 ปีที่แล้ว +1

      @@awadhrajab9527 we kabila gn,alf jifunze kujiongeza na kuelewa😂

    • @deelissa2746
      @deelissa2746 3 ปีที่แล้ว +1

      @@awadhrajab9527 iyo comment sijaisom maan ni ndefu Alf najua sitaielewa pia,😂

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah w mwishoo😭😭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 3 ปีที่แล้ว

      Pole my

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      @@fatmaalrshdii7615 Asante kipenzi 😍😍😍😍

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      @@fatmaalrshdii7615 Za asubui

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 3 ปีที่แล้ว

      @@ayshamahariq6665 nashukuru Mungu mimi mzima wa afya njema

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 3 ปีที่แล้ว

      Ayshaaa!
      Wewe wa wa-2 kutoka mwisho, mie wa kwanza.
      Ila umekuwa adimu jmni! Pokea 😘😘

  • @frankmtei3017
    @frankmtei3017 3 ปีที่แล้ว

    Duu, afadhali hukurudi, maana ungerudi SAA hizi tungekua tunaongea mengine....

  • @LoFi_120
    @LoFi_120 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwa mfano mganga akafa kabla ya kukufukua.

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 3 ปีที่แล้ว

    Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli ulipo Nipo

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 ปีที่แล้ว

      🙄🙄🙄🙄😔😔😔😔😔😔😔😔

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 3 ปีที่แล้ว

      @@dorcaskidoti249 kwema

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 ปีที่แล้ว

      @@fatmaalrshdii7615 kdg naumwa mimi kwa ajili ya kaka yako, vipi ww my uko poa??😔😔😔😔😔

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 3 ปีที่แล้ว

      @@dorcaskidoti249 jamani pole Mimi niko Poa

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 3 ปีที่แล้ว

      @@fatmaalrshdii7615 mbona hujanitafuta jana nilikupa number zangu?😥😥😥😥 kaka mtu hanipendi na dada mtu nae ivoivo😥😥😥😥😥😥😥😥😥😔😔

  • @karrolleschon3986
    @karrolleschon3986 3 ปีที่แล้ว

    🇰🇪💬💪

  • @najmasaidi1412
    @najmasaidi1412 3 ปีที่แล้ว

    😘😘😘😘😋😋😋💪💪

  • @mariamripiti2137
    @mariamripiti2137 3 ปีที่แล้ว

    Sasa ikitokea babu huku nyuma kafa na wewe upo ndani ya kabuli aise

  • @evamakoi668
    @evamakoi668 3 ปีที่แล้ว

    Hatariii