PART3:MSUKULE ALIEULIWA KICHAWI NA KUPELEKWA GAMBOSHI AELEZA ALIVYOTOROKA GAMBOSHI NA MAISHA YA UKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 164

  • @maryamumapenzi1257
    @maryamumapenzi1257 3 ปีที่แล้ว +18

    SubuhanaAllah 😭😭😭yarabi dunia mm naiogopa nikisikia mambo kma haya eti mtoto anapondwa kma mahindi😭😭😭emungu wangu ole wangu mm binadamu😭😭😭 nijalie mwisho mwema Mungu wangu

  • @najmasaidi1412
    @najmasaidi1412 3 ปีที่แล้ว +10

    Mmmmmh jamani duniani kunamijitu inaloho za chuma😭mi adi naogopa ivyo😭😭😭😭😭😭

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      😭😭😭😭😭

    • @rebeccapmashauli2648
      @rebeccapmashauli2648 3 ปีที่แล้ว

      Mie Ndo maana huwa sipendi kusikiliza usiku yaani Naogopa sana hawa wachawi moto wao ni mwingi sana imagine mnabanika na kutangwa binadamu mwenzako du ni hatari

    • @najmasaidi1412
      @najmasaidi1412 3 ปีที่แล้ว

      @@rebeccapmashauli2648 Yani we achaa alafu watu wenyewe tunalala pekee etu😭😭😭😁😁😁

  • @zettyhassani2244
    @zettyhassani2244 3 ปีที่แล้ว +4

    Subhana Allah eemungu naomba nife kihalali sio adhabu hii

  • @videozaaj1069
    @videozaaj1069 3 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa bhn..eti "kwa sababu story inaendelea basi utajua mbeleni"😂😂😂😂😂😂

  • @angelmlay4173
    @angelmlay4173 3 ปีที่แล้ว +4

    Kumekucha uku hii story Ni 🔥🔥

  • @allyndingo1812
    @allyndingo1812 3 ปีที่แล้ว +2

    Daaaaaah tunamtwanga duuuuh to much hii sayari aki ya mungu kuna watu peponi watapasikia kwenye bomba...!!!

  • @innomushi5994
    @innomushi5994 3 ปีที่แล้ว +3

    Leo umechelewa sana mzee baba

  • @mariamshabani6853
    @mariamshabani6853 3 ปีที่แล้ว +6

    Thanks again big brother ❤️

  • @rappertinno4184
    @rappertinno4184 3 ปีที่แล้ว +3

    Oraaaa Oraaaa funika mbaya nomera uno
    Chapa nembo Davistar Nakubal

  • @rosecruiz4348
    @rosecruiz4348 3 ปีที่แล้ว +2

    Karibu tena kaka

  • @pascalyanga7211
    @pascalyanga7211 3 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubalisana kaka davista mata ukovizulisana

  • @macamezunguzungu5697
    @macamezunguzungu5697 3 ปีที่แล้ว +1

    Mpaka munatwanga watoto wa watu mungu piga kibiliti wachawi siku ya ukumu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @seasonepisode3328
    @seasonepisode3328 3 ปีที่แล้ว +2

    Nilipo ambiwa kua uyaone nilizani magorofa 🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️dunia mzitoooo hiii..

  • @salmakiyabosiriyamachoziha8756
    @salmakiyabosiriyamachoziha8756 3 ปีที่แล้ว +1

    Duuu wachawi mungu wateketeze kwa moto

  • @marychacha7084
    @marychacha7084 3 ปีที่แล้ว +1

    Hivyo vyote Ila faida hakuna..Mungu atulinde kwa kweli..

  • @kenyanniggar357
    @kenyanniggar357 2 ปีที่แล้ว

    kaka Davi,maswali mwisho wa kila hatua,nakili chini kaka

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 3 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmmh jamani Dunia hiiiii eemamaaaaaaaa Kuna Tisha hadi naogopa🤦‍♀️

  • @shaby988
    @shaby988 3 ปีที่แล้ว +2

    😀😀😀pili umeniwahi

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      Kabisaa
      😂😂😂😂😂😂

    • @shaby988
      @shaby988 3 ปีที่แล้ว

      @@pilimusa7770 😀😀😀😀😀😂😂takuroga

  • @user-br4hg9tb5c
    @user-br4hg9tb5c 18 วันที่ผ่านมา

    Davister kichwa panzi 😂😂😂 maswali hayakuishi unarudia rudia maswali hovyo hovyo 😅😅😅

  • @nahishakiyeassuman5541
    @nahishakiyeassuman5541 3 ปีที่แล้ว +2

    Boujour

  • @matheothomas1891
    @matheothomas1891 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani ivi Kweli mwenyezi mungu yupo Kweli na kama yupo anashuhudia yote yanoyofanyika na yanayo fanywa na hawa mafiraunii ila inauma sana maana Mimi mwenyewe dada yangu wakwanza alifariki akiwa mdogo 😭😭 inauma Sanaa

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว +3

    Aysha. Jirani. Blessed. Khulood. Somoe. Nguwalo. Hamad. Aiyam. Bady. Kevarist. Sapna. Fatma. Kawthar. Najma. Griezmann. Zabiya. Amina. Njooni. Davistar uwajani🎈🎊🎉🎈🎈🎈🎈🎈🎊🎉🎉🎉🎊🎊🎈

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 ปีที่แล้ว +1

      I’m here darling,,,vipi hichi kibaridi kwenu kipo maaa huku kwetu ni hatari

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      @@somoeawadh7774 sie lipo hatari.

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      @@somoeawadh7774 karibu kipenzi

    • @somoeawadh7774
      @somoeawadh7774 3 ปีที่แล้ว +1

      @@pilimusa7770 Asante

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      @@somoeawadh7774 pamoja

  • @alibashir210
    @alibashir210 3 ปีที่แล้ว

    Sasa,uko poa,mimi niko Kenya, Unaweza aje toa mtu kwa gambosh(msukule)please ...please nisaidie

  • @salamanauthartanzania6301
    @salamanauthartanzania6301 3 ปีที่แล้ว

    Naogopa jamani hasa usiku hata chooni naogopa kwenda mimi

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu anawaona jibu tosha hosipitalini watoto kufaa wachangaa nyinyi ndomwauwa

  • @alvinboss4749
    @alvinboss4749 3 ปีที่แล้ว

    Hii kitu ya moto sana daaah

  • @denizamahongo8557
    @denizamahongo8557 3 ปีที่แล้ว

    Hapo sasa vizuri, angalau leo tunaona mbili afadhali.

  • @lizzybeth6344
    @lizzybeth6344 3 ปีที่แล้ว +2

    Wapili tena

  • @monicasimpilu6257
    @monicasimpilu6257 3 ปีที่แล้ว +2

    Nimewahi hii story ipo vzr na msimuliaji ana jitahidi.

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว

    Kumbee aliwahifadhi watoto wakijana wake🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️msukulee jamani mwazika mgombaa

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว +2

    Wa kwanzaa🎊🎊🎊🎈🎈🎈🎈🎉🎉🎉🎈🎈🎈🎈🎈🎈🎈

    • @najmasaidi1412
      @najmasaidi1412 3 ปีที่แล้ว +1

      Na mimi je☹️☹️☹️☹️☹️

    • @shaby988
      @shaby988 3 ปีที่แล้ว +2

      Mtoto wa musa ulilala TH-cam

    • @najmasaidi1412
      @najmasaidi1412 3 ปีที่แล้ว +1

      @@shaby988 alipigiwa sm

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      @@shaby988 😂😂😂😂😂😂 nilikuwa nasikiliza episode iliyopita. Ndiyo nikaibamba na hiii😂😂😂😂😂

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      @@najmasaidi1412 karibu kipenzi😍😍😍😍

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 3 ปีที่แล้ว

    Jamaniii looh

  • @yustakipenya6231
    @yustakipenya6231 3 ปีที่แล้ว

    Umeiba uko wanalalamika p tv

  • @christinamsigwa804
    @christinamsigwa804 2 ปีที่แล้ว

    Hadithi inafanana na yule msukure Cosmas.wa jactan Msafiri.dah

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 3 ปีที่แล้ว

    Unaroho Sana kusikiliz mazito haya

  • @seasonepisode3328
    @seasonepisode3328 3 ปีที่แล้ว +1

    🤗🤗🤗🤗🤗

  • @PascalChiume
    @PascalChiume 6 หลายเดือนก่อน

    Simulizi au mahojiano??

  • @Patience.67
    @Patience.67 2 ปีที่แล้ว

    Wachawi, waganga, na wakala w giza wasipotubu hukumu ya mungu unawangoja gehanamu

  • @congoboymbeyas2440
    @congoboymbeyas2440 3 ปีที่แล้ว

    Nimekereka Kuona story nzuri kama ihi imeisha

  • @anitamageni3487
    @anitamageni3487 3 ปีที่แล้ว

    Dahhh nimechelewa jamani kwa ajili ya gangaa

  • @kwezijohn6706
    @kwezijohn6706 3 ปีที่แล้ว

    Dunia hii jmn duh

  • @emmanelly6864
    @emmanelly6864 3 ปีที่แล้ว

    Maajabu

  • @drnow1528
    @drnow1528 3 ปีที่แล้ว

    Umefanana na ushahidi wa Kosma

  • @samoocoolingsystem93
    @samoocoolingsystem93 3 ปีที่แล้ว

    Nani amemuona masai akichezea mti

  • @fridakamasho1572
    @fridakamasho1572 3 ปีที่แล้ว

    May God have mercy

  • @bulugukayala9241
    @bulugukayala9241 3 ปีที่แล้ว

    Good story

  • @bhokemasyaga4654
    @bhokemasyaga4654 3 ปีที่แล้ว

    Dunia ina mambo 🤔

  • @venahsithole6463
    @venahsithole6463 3 ปีที่แล้ว

    Kitenge tu bibi kaamua kumua mwanae Mungu atusaiďie jamani

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 3 ปีที่แล้ว

    Duh duniani kuna mambo kitenge tu unataka kumuua mwanao ila ndo hvyo kijijin kwetu mama mdgo alimuua Mtoto wa dadake alikuwa dokita muhimbili ndo alikuwa kaajiliwa kisa kitenge cha zawadi eti kawa wa Mwisho kwenye mgao wa zawadi

  • @innomushi5994
    @innomushi5994 3 ปีที่แล้ว

    Ila bana Davistar umeibania sana muda aisee!!!

  • @neemalambo9790
    @neemalambo9790 3 ปีที่แล้ว

    Jamani nimemkumbuka Zabron

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 3 ปีที่แล้ว

    Thanks brother, God bless your work 🙏

  • @credo7837
    @credo7837 3 ปีที่แล้ว +1

    🤔🤔🤔🤔

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว

      Veeepeeeee😂😂😂

    • @credo7837
      @credo7837 3 ปีที่แล้ว +1

      @@pilimusa7770 hatari sana

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว

    Ohoo wanakataa ulimi kwachini ndohutaongeaa

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 3 ปีที่แล้ว

    Astghafiruh ,,, davsta unayo kumsikilz live mie mbn namuogopa ss dah hii dunia n yaajabu

  • @matheothomas1891
    @matheothomas1891 3 ปีที่แล้ว

    Dini cku hizi haisahidii maana ata wao viongozi ni hao haoo

  • @benomwazembe4765
    @benomwazembe4765 3 ปีที่แล้ว

    Kaua watu 8 ,Duuuuuuuuu

  • @hamisfakih4739
    @hamisfakih4739 3 ปีที่แล้ว +1

    Duh makubwa

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว

    Jamani mbona huyo bibi anarohoo ngumu hivyo kuambiwa sina pesa yakukununulia kitenge ndouuemtu wakati ushamuulia watoto wake nane??huyo mtoto alijua mama yake sio mtu mxuri akaamua kutomununulia aisee watoto nane hivyo nimisukule

  • @teddysisty320
    @teddysisty320 3 ปีที่แล้ว

    Dunia Ina Mambo mengi Sana jmn

  • @thegreat.9869
    @thegreat.9869 3 ปีที่แล้ว

    Weka ingine mze davi

  • @karrolleschon3986
    @karrolleschon3986 3 ปีที่แล้ว +1

    🇰🇪👏👏

  • @happyoshea
    @happyoshea 3 ปีที่แล้ว

    Mmh ,mmmh 🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @deusmakoye9999
    @deusmakoye9999 3 ปีที่แล้ว

    Hii simulizi sijui nishaisikiaga wapi aisee

    • @tuzakavera534
      @tuzakavera534 3 ปีที่แล้ว +1

      Kuna jamaa msukuma aliisimulia kwenye page ya jacktan msafiri huyu jamaa kakopi tu si muhusika

    • @deusmakoye9999
      @deusmakoye9999 3 ปีที่แล้ว

      @@tuzakavera534 au sio kweli bana umenikumbusha nilikuwa navuta picha haiji kabisa wakati hii story nishawahi isikia kabxa

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

    Alhamdulillah w mwisho nmepata mxba😭😭🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭

    • @fatmaalrshdii7615
      @fatmaalrshdii7615 3 ปีที่แล้ว

      Pole kesho basi wai

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      @@fatmaalrshdii7615 Asante kipenzi😍😍😍🤗🤗

    • @suleimanmustapha101
      @suleimanmustapha101 3 ปีที่แล้ว

      Innaa Lillaahi Wainnaa Ilayhi Rajiuun,pole sana habiibatiy!

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      @@suleimanmustapha101 Asante kipeni😭😭

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 3 ปีที่แล้ว

      @@suleimanmustapha101 😍😍🤝🤝

  • @jangombeboys4536
    @jangombeboys4536 3 ปีที่แล้ว

    💪💪💪💪💪

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 3 ปีที่แล้ว

    Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu waukweli ulipo Nipo

  • @oscarlemamaringo8081
    @oscarlemamaringo8081 3 ปีที่แล้ว

    Leo nimejitaidi kuwai japo nipo 34

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 3 ปีที่แล้ว

    Tunasubiri 4 tafadhali kila mara nachungulia tu sionii🤦‍♀️

  • @florencerose859
    @florencerose859 3 ปีที่แล้ว

    Nawapata viema

  • @elizanzula8375
    @elizanzula8375 3 ปีที่แล้ว

    Wachawi wana laana sana just imajine mtoto mdogo mateso hayo atakua amekosa nini?hapa silaha iliyobaki ni maombi tu MUNGU atupe nguvu maana kuna mapambano makali tunaosema ni wazuri kwetu kumbe wanatuzubaisha tu hili watumalize kisiri eeh MUNGU tuokoe na haya.

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 3 ปีที่แล้ว

    santa davi

  • @khadijaomari9344
    @khadijaomari9344 3 ปีที่แล้ว

    hii story kama niliwai hisiki hapa hapa kwa David star

    • @tuzakavera534
      @tuzakavera534 3 ปีที่แล้ว

      Uko sahihi hii stori huyu jamaa kakopi mahali kwa jacktan msafiri

  • @nurdintembo7480
    @nurdintembo7480 3 ปีที่แล้ว

    Mr..fact mtu makini...tunatoa bandama na moyo

  • @fatmamucha4419
    @fatmamucha4419 3 ปีที่แล้ว

    Njoo ingawa, usk mnaogopa

  • @yushuaissa467
    @yushuaissa467 3 ปีที่แล้ว

    Gamboshi ya Kenya iko wapi?

  • @gizzoforshizzo
    @gizzoforshizzo 3 ปีที่แล้ว

    Copy & paste from Promoter TV, Umekosa contents umeamua kuiba shuhuda za kweli za watu na kuziedit then umetafuta hao jamaa zako ukawamezesha script then uibie watu upuuzi mtupu

  • @angeljasson4376
    @angeljasson4376 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe gambush waliniulia mwanangu 😭😭😭

  • @eshalibaba1195
    @eshalibaba1195 3 ปีที่แล้ว

    Yani mtu unauwaa watuu 8 bila hurumaa

  • @shizaarfred4059
    @shizaarfred4059 3 ปีที่แล้ว

    ☹☹

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 3 ปีที่แล้ว

    Dunia kweli si mchezo

  • @tuzakavera534
    @tuzakavera534 3 ปีที่แล้ว

    Copy and paste

  • @kelvinwalter3435
    @kelvinwalter3435 3 ปีที่แล้ว

    Duuh had bandama

    • @pilimusa7770
      @pilimusa7770 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 ปีที่แล้ว

    Mungu anawaona jibu tosha hosipitalini watoto kufaa wachangaa nyinyi ndomwauwa