Wema Sepetu baada ya kutoka Mahakamani

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2018
  • Kesi ya mrembo Wema Sepetu ya kukutwa na msokoto wa bangi imesikilizwa leo February 8, 2018 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambapo Inspekta wa Polisi, Wille ameieleza Mahakama kuwa hakuwepo wakati Wema akichukuliwa sampuli ya mkojo kwa Mkemia Mkuu wa serikali.

ความคิดเห็น • 83

  • @fathiamzee8312
    @fathiamzee8312 6 ปีที่แล้ว +1

    Nakupenda sana wema mungu atakupa wepesi inshallah

  • @shanisaidy5033
    @shanisaidy5033 6 ปีที่แล้ว +2

    Pole sana yataisha

  • @omarychediel1307
    @omarychediel1307 6 ปีที่แล้ว +1

    Love bebe sepetu

  • @husnahhamisi4488
    @husnahhamisi4488 6 ปีที่แล้ว +4

    Mbona akina Ray C hawakushtakiwa ndipo wamshtaki Wema? Wallahi Tz inaudhi😏

  • @jasminasha9551
    @jasminasha9551 6 ปีที่แล้ว

    Pole sana kwa usumbufu unaofanyiwa dear yataisha tu. Amiin

  • @bihizaclement9868
    @bihizaclement9868 6 ปีที่แล้ว

    Pole wema

  • @mwajumarashid4108
    @mwajumarashid4108 6 ปีที่แล้ว +2

    Penda sana wema wanaokuchukia watakufa na wivu wao

  • @victoriachitenje9290
    @victoriachitenje9290 6 ปีที่แล้ว

    pole da wema yataisha.

  • @fatmakassim7371
    @fatmakassim7371 6 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mtangazaji m ckumuelewa na kama huyo inspekta kajibu hivyo basi wema atashinda maa hakupata bangi chumbani kwa wema n kwa wafanykazi sasa uoni hapo kesi kwisha maana wakimchukua mkojo sahii na kama hatumii now bangi s mkojo utakuwa msafi sasa korti watasema labda n housegal

  • @user-dh8ll9zh1g
    @user-dh8ll9zh1g 6 ปีที่แล้ว +1

    Maskini wema mungu akusimamie

  • @daimavlog
    @daimavlog 6 ปีที่แล้ว

    CCM ishaanza mambo yake. Basi sawa.

  • @godsonshoot7438
    @godsonshoot7438 6 ปีที่แล้ว

    Tucheki kutazama Video zote mpya za BONGO Kiswahili🔥🔥

  • @fatmakassim7371
    @fatmakassim7371 6 ปีที่แล้ว

    In sha Allah yuwaeza shinda maana hio kesi hata c ngumu

  • @joycjames7362
    @joycjames7362 6 ปีที่แล้ว

    kumbe

  • @charitymnyazi5401
    @charitymnyazi5401 6 ปีที่แล้ว

    Jione vile

  • @issasalum274
    @issasalum274 6 ปีที่แล้ว

    Alice Supa jifunze Kiswahili, unapitisha immature. Kesi imea-hirishwa sio imeha-irishwa

  • @mbozder2748
    @mbozder2748 6 ปีที่แล้ว +3

    kwahio Information was fake..Alaf ni kama wema hii kiki ya mahakamani anaipenda sana..hivi kunakosekana way forward yakumaliza kesi.mtamaliza madera jamani ma hizi safari..saizi hukumu ingekua ishatoka au hata dhamana..lakini bado soyo soyo tu

  • @moshiamina5990
    @moshiamina5990 6 ปีที่แล้ว

    mnamchafua bana Tanzania sweetheart au ndo mti wenye matunda upigwa mawe? mwacheni bana wema wangu love you madame

  • @beatricejoseph5423
    @beatricejoseph5423 6 ปีที่แล้ว

    Dah?

  • @issasalum274
    @issasalum274 6 ปีที่แล้ว

    Sahihisho la comment ya hapo juu "unapindisha kiswahili" sio "unapitisha immature"

  • @maryammohammed253
    @maryammohammed253 6 ปีที่แล้ว

    😨😨 imeairishwa tena mmh

  • @janejames1899
    @janejames1899 6 ปีที่แล้ว

    Akifungwa itapendenza inshallah Mwenyenzi mungu amsaidiye afungwe ata miaka mitatu

  • @ummulkheirzubeir6320
    @ummulkheirzubeir6320 6 ปีที่แล้ว +2

    Madame

  • @rachellebahati6510
    @rachellebahati6510 6 ปีที่แล้ว +5

    Muaceni wema .just wivu kuwafatiria wenzenu

  • @hopechidera
    @hopechidera 6 ปีที่แล้ว

    Kweli Wema una ujauzito,hayo matiti yaonyesha👀👀👀

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว

    Hii kesi inaisha lini jamani khaaa

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 6 ปีที่แล้ว

    Bangii??? Duh!

  • @seiffamau1450
    @seiffamau1450 6 ปีที่แล้ว +1

    izo n geresh tu iyi kes itaishaa mbn kw sabb ushrud ccn hd una vaa head phn na make up juu daaah hii nchi

  • @pili3750
    @pili3750 6 ปีที่แล้ว +1

    kwahio walikutana na diamond😂😂😋

  • @ashaally6993
    @ashaally6993 6 ปีที่แล้ว

    Hivi wewe dada mtangazaji unaendaga kufanya nini mahakamani yani lazima usisitizieage msokoto wa bangi!!!
    Huwezagi kutangaza kama wengine mambo yanayohusiana tuu na Wema kuhudhuria mahakamani?

  • @shafiikaorata1264
    @shafiikaorata1264 6 ปีที่แล้ว

    Hakuna kesi hapo tena the end

  • @choloboy9354
    @choloboy9354 6 ปีที่แล้ว

    Mm ningetakiwa na wema ningitaka kufanya kitu cha kherr sio chakishenzi nilitaka niowane nae niwe mchumba wa milele na mungu atupatie watoto.lakini sijawahi kuonana nae wala kuongea naee bali nilijaribu kujitokeza hivi sasa labda atapata kuiyona comment hii....lakini nimehofia kwa kubwa la mabisho 😂 amor rapa ashanteni

  • @rosemarybenjamin4333
    @rosemarybenjamin4333 6 ปีที่แล้ว

    Kadhuri😂😍😍

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 6 ปีที่แล้ว

    Huo mkojo wa wema unavozungumziwa Ni kama pembe ya ndovo.... Kumbe pembe ndio yaweza ingia utokeapo mkojo wa nanihino uyu

  • @TheBlkk100mk
    @TheBlkk100mk 6 ปีที่แล้ว

    watanzania wanapenda simu eheee

  • @hamadshein935
    @hamadshein935 6 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU CMAMA NINGELIKUWA HAKIMU NACKILIZA KESI YA HUYU PAKA.AMEKAMATWA NA KIDHITI NAFUNGA JALADA LA UPELELEZI.NAMUAMSHA 5 KEKO AKAPUMZKE.

  • @jaybchaponda6886
    @jaybchaponda6886 6 ปีที่แล้ว

    Sasa kuvuta bangi kuna tatizo gani ,watanzania mna mambo akhaa

  • @sumanlugwila5913
    @sumanlugwila5913 6 ปีที่แล้ว

    hiyo bosheni tu jaisharudi ccm hakuna kesi

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 6 ปีที่แล้ว

    aya bwn

  • @queenyahaya3147
    @queenyahaya3147 6 ปีที่แล้ว

    Kesi imekua ngumu daa dio dunia hii

  • @azontozonto8855
    @azontozonto8855 6 ปีที่แล้ว

    Huyu mschana nyuma nimfanyikAzi

  • @glorydonad8280
    @glorydonad8280 6 ปีที่แล้ว

    dah na uzur wako lkn dkt kanusa mkojo wako...hahahaaa

  • @riscaoscar521
    @riscaoscar521 6 ปีที่แล้ว

    Maisha yanaenda na umri unasonga mbele

  • @shilaali802
    @shilaali802 6 ปีที่แล้ว

    Hahahahahahah kweli make up ni nzuri leo una fanana uuufff

  • @whitneycharles4470
    @whitneycharles4470 6 ปีที่แล้ว

    ilo begi la msando km anasafiri😂😂😂😂

  • @shydollwaalihajj5142
    @shydollwaalihajj5142 6 ปีที่แล้ว +1

    jitu zima ovyooo

    • @salamia__mwangu599
      @salamia__mwangu599 6 ปีที่แล้ว

      shydoll wa Alihajj 😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @hotcakerealcake5412
    @hotcakerealcake5412 6 ปีที่แล้ว

    Hakuna mwema

  • @asmabintikiwashatz9321
    @asmabintikiwashatz9321 6 ปีที่แล้ว

    kaz munayo ww kesh mond kes leo

  • @hamdounkhamis8813
    @hamdounkhamis8813 6 ปีที่แล้ว

    Hii ishu ya kukumbatiana na wakili imetoka wapi tena?? Upuuzi huu munaofanya

    • @zamali3986
      @zamali3986 6 ปีที่แล้ว

      ni kosa tena inaonesha kuwa hakuna kitu hapo

  • @suberaamani77
    @suberaamani77 6 ปีที่แล้ว

    😀😀😀😀😇😀

  • @venancebasil4656
    @venancebasil4656 6 ปีที่แล้ว

    hahahaaa

  • @laythatoman3945
    @laythatoman3945 6 ปีที่แล้ว +3

    Silipendi ili bibi au atokee nyangavu anijibu coment yangu labda anijibu wema maana ukikoment humu kuna mafala yanaumizwa na mambo ya watu

    • @tatut3889
      @tatut3889 6 ปีที่แล้ว

      LAYTHAT OMAN 😀😀😀😀😀😀😀😀

    • @AyshaAysha-ig1qi
      @AyshaAysha-ig1qi 6 ปีที่แล้ว +4

      Sakina Juma umpendi wema kwani yuala kwenu au alishawai kuomba kitu aina haja umpende akipendwa na MUNGU yatosha aina haja umpende wewe nyoko😏😏😏😏

    • @laythatoman3945
      @laythatoman3945 6 ปีที่แล้ว

      Aysha Aysha nlisema litatokea senge linijibu ala sijalikusudia ww nyoooooo

    • @halimasali.8081
      @halimasali.8081 6 ปีที่แล้ว +1

      Sakina Juma swadaktaaaa

    • @aksantedeborah7913
      @aksantedeborah7913 6 ปีที่แล้ว +2

      LAYTHAT OMAN jinsi humpendi nando jinsi anapaa juu, Wewe unadhani ukimchukia utampunguzia nini wewe 🤣😂😂😂😂 crazy talk,. Hujui tu jinsi watu wanavyo kuchukia kushinda unavyo mchukia nyoo

  • @issadesmond477
    @issadesmond477 6 ปีที่แล้ว +1

    Serekali ya magufuli itawanyoosha na mtanyooka tu ni lazima

  • @laythatoman3945
    @laythatoman3945 6 ปีที่แล้ว +7

    Lifungeni ilo wema uko

    • @anitafaith5537
      @anitafaith5537 6 ปีที่แล้ว

      LAYTHAT OMAN lifungwe

    • @sifamugongo8186
      @sifamugongo8186 6 ปีที่แล้ว +4

      Kama wema anafungwa utapata Nini, nataka kuku uliza Kama, unamujuwa Mungu kweli? neno la Mungu Lina sema chuki Ni zambi, wema Alisha kukukoseya, Kama apa, umuombe musama, ukumbuke Kuna kihama!

    • @saumuhassan1365
      @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว

      hajati ally Exactly my dear

    • @khadijajuma7142
      @khadijajuma7142 6 ปีที่แล้ว +2

      Kama jela pazuri mpeleke mwanao,mschiuuuuuuuuu roho mbayaaaa nyambafu

    • @user-yz7rq6ef1y
      @user-yz7rq6ef1y 6 ปีที่แล้ว

      LAYTHAT OMAN aah kwan alikuchugulia mumeo wwwweee