MFANYABIASHARA WA NGURUWE AINGIA SOKONI ARUSHA, AFANYA TUKIO LILILOPELEKEA AKIMBIE "NASAIDIA WAMAMA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 79

  • @samiramawby1257
    @samiramawby1257 2 หลายเดือนก่อน

    Kaka Umewezaaaaaaaaaaaaa yaani Mungu akubariki sijui nikupigie vigeregere vingapiii siku nyingine wape nguruwe wale

  • @TOGOLANIDICKSON
    @TOGOLANIDICKSON 3 หลายเดือนก่อน +1

    Majina ya Arusha......kichwa mbayaaa...

  • @aileenmphuru5106
    @aileenmphuru5106 3 หลายเดือนก่อน +13

    Mwogope Mungu mbona wanapokuja kuwekeza kwenye miradi yako unawazungusha.? Unawasainisha mikataba isiyotekelezeka. Mtu anawekeza akijua atapata faida muda wa malipo ukifika hakuna cha faida wala nini. Hata hela aliyowekeza pia inakuwa shida kumrejeshea. Kwa kweli umeua ndoto za wengi. Jitafakari sana na hiyo miradi yako machozi ya watu yatakumaliza.

    • @salumukabonge7160
      @salumukabonge7160 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mi pia ashaniliza huyo baba. Anaonekana mpole kumbe tapeli.

    • @salumukabonge7160
      @salumukabonge7160 3 หลายเดือนก่อน

      Mi pia ashaniliza huyo baba. Anaonekana mpole kumbe tapeli.

    • @StellaMwasha
      @StellaMwasha 3 หลายเดือนก่อน

      Haaaa

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 2 หลายเดือนก่อน +1

      Usimtegemee mwanadmu ktk mafanikio yako. Tengeneza banda fuga mwenyewe.
      kwann msiokee kabla hajaenda kusaidia huko sokoni

    • @aileenmphuru5106
      @aileenmphuru5106 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@hellendaniel3809 Tumeongea Ili wengine wasije wakaingia kwenye mitego yake. Wewe unajuaje hatujaongea wakati ndiyo kwanza umeiona leo. Kila mahali nitakapoona habari zake nitasema huyu ni tapeli.

  • @VictorJohn-fu7ch
    @VictorJohn-fu7ch 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania siami ❤❤ Mmeskia amesema Yesu nimume wa wajane alaf amesema yeye ni ameokoka jaman kuokoka ndyo mpango mzima karibun kwa Yesu

    • @TheresiaAndrea-hv9dg
      @TheresiaAndrea-hv9dg 3 หลายเดือนก่อน

      @@VictorJohn-fu7ch siyo maneno yake ni ya Biblia

  • @florarwegerera8025
    @florarwegerera8025 3 หลายเดือนก่อน +5

    Kazi nzuri sana kaka, Mungu akubariki sana

  • @samiramawby1257
    @samiramawby1257 2 หลายเดือนก่อน

    Hongera kaka Mungu akuongezee ulipotoa🙏🙏

  • @SinemaZaChina
    @SinemaZaChina 3 หลายเดือนก่อน +4

    kitimoto kafanya kazi ya moto 🔥🔥

  • @felixhaule
    @felixhaule 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mhuni wa Vanilla huyu alibananishwa na Bashite😅

  • @sumbaonline4002
    @sumbaonline4002 3 หลายเดือนก่อน +9

    Huyu jamaa si ndy yule wa Vanilla😂😂😂

    • @godykilian
      @godykilian 3 หลายเดือนก่อน +2

      Yeah ndo huyu mwenye mashamba ya vanilla Morocco na Zanzibar 😂😂

    • @salumukabonge7160
      @salumukabonge7160 3 หลายเดือนก่อน

      Ndo huyo. M kaniliza kwenye vanilla.

    • @frankngoloka5416
      @frankngoloka5416 3 หลายเดือนก่อน

      Watanzania sisi wengi Bado wajinga,huyu anacheza na akili zetu wabongo,vanila watu wamepigwa

    • @fatmaabdallah7709
      @fatmaabdallah7709 3 หลายเดือนก่อน +1

      Jamani huyu jamaa ht anavyoongea anaonekana kabisa ni mgonjwa wa akili 😂

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ubarikiwe na uzidishie mara dufu

  • @sunaybrajabu238
    @sunaybrajabu238 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu kaka anaishi na Kiki na nyie kina milard jaribuni kutafuta Habari zenye mashiko, huyu alijisemea ni muwekezaji wa vanilla kwenye chinjachinja ya makonda hamna mtu hapa

  • @KoleYasini
    @KoleYasini 3 หลายเดือนก่อน +7

    Si MTanzania ni mkongo analazimisha kuongea Kiswahili, uhamiaji mchunguzeni lipo jambo hapo.m

  • @vero57
    @vero57 3 หลายเดือนก่อน +3

    Safiii sanaa mjomba 👌👍👏👏👏🥳🥳

  • @Joh-p9f
    @Joh-p9f 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sasahivi anauza nguruwe; ameacha wapi Vanilla?

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 หลายเดือนก่อน

    Duh asee huyu jamaa kuna kitu flan kichwani haipo sana 😂

  • @fhugghi4109
    @fhugghi4109 3 หลายเดือนก่อน

    Ila huyo jamaa huwaga simuelewagi kabisa 😂😂😂😂

  • @sunaybrajabu238
    @sunaybrajabu238 3 หลายเดือนก่อน

    Mwandishi Umeniangusha Sana si ukuje hata unihoji mie huku 😂

  • @RashidRamadhani-b5o
    @RashidRamadhani-b5o 3 หลายเดือนก่อน +1

    Cedric kaze mtupu 😂😂😂

  • @safinamdingi7912
    @safinamdingi7912 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa amewajuaje wajane hapo sokoni na hao single mama? Sana zingie bhanna.😂 Ok sawa aliyoungisha
    Baada ya kuvinunua amevipeleka wapi??kwa wahitaji au.mwandishi tunaomba majibu.😂😂😂

  • @aishaabrahaman9957
    @aishaabrahaman9957 3 หลายเดือนก่อน +2

    Eeeeeh nimeamu Eeeeeh 😂😂😂niwasaidie Eeeeeh

    • @ndennkya9554
      @ndennkya9554 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 3 หลายเดือนก่อน +2

    Wajinga mtapigwa sana pesa tulio soma cuba tumeelewa plan yake

  • @MihayoBalele
    @MihayoBalele 3 หลายเดือนก่อน

    Said mkondya a.k.a Mr manguruwe mradi wake upo Dodoma Kijiji cha Mai mai

  • @Iceefilmstv
    @Iceefilmstv 3 หลายเดือนก่อน

    Mbn eeeh nyingi 😂😂😂😂😂

  • @Darian2550
    @Darian2550 3 หลายเดือนก่อน

    Tajiri wa Vanila Africa na Duniani mwenye Mashamba Morogoro, Kenya na Zanzibar, kumbe pia anafuga nguruwe?😂😂😂

  • @samsonjoseph670
    @samsonjoseph670 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa wa vanilla 😂

  • @AnnaKasi
    @AnnaKasi 3 หลายเดือนก่อน

    Safi iyo

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 3 หลายเดือนก่อน

    NimesikiyaVibayaAu.Mungu.au.Yesu..makubwa.haya.hongerakwakuwaungisha

  • @karibunyumbani3824
    @karibunyumbani3824 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa kwani wanaouza sokoni ni ma single mothers MUNGU atusaidie tutaangamia kwa kukosa maarifa

  • @SophiaPatson
    @SophiaPatson 3 หลายเดือนก่อน

    Sio huyu wa vanila wa Alusha kwa makonda?

  • @happymakambi233
    @happymakambi233 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi vanilla ilikuwaje ...
    Huyu kaka huyu nyie

  • @danielkivuyo3671
    @danielkivuyo3671 3 หลายเดือนก่อน

    Safi sana

  • @TheresiaAndrea-hv9dg
    @TheresiaAndrea-hv9dg 3 หลายเดือนก่อน +1

    Arusha mna mambo

  • @Japhary-sx3je
    @Japhary-sx3je 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe acha sifa za kijinga msaada uwa autolewi ivyo acha sifa

  • @barackmoses7003
    @barackmoses7003 3 หลายเดือนก่อน

    Kiswahili kigumu au mhamiaji

  • @RaphaelMkhandy
    @RaphaelMkhandy 3 หลายเดือนก่อน

    Nice❤

  • @yohanaagastinymasumbuko8181
    @yohanaagastinymasumbuko8181 3 หลายเดือนก่อน

    S mkulima wa vanilla wa makonda hyu

  • @ISSACKRICHARD
    @ISSACKRICHARD 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu muhaya mjanja sanaaaa😅😅😅😅😅

    • @yukundapeter8200
      @yukundapeter8200 3 หลายเดือนก่อน +1

      Km hujui kabila la m2 funga domo lako.

    • @ConsalvaMumbara
      @ConsalvaMumbara 3 หลายเดือนก่อน

      Sio muhaya huyu mbona haongei kingereza,huyu tena sidhan kama ni mtanzania huyu.

    • @SalomeHaonga
      @SalomeHaonga 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mtanzania huyu wa mbozi kiswahil chetu Huwa tunagandamiza sana

    • @Thadei_kameta5458
      @Thadei_kameta5458 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@SalomeHaonga Hahaha kabisa Nahaonga

  • @aishaabrahaman9957
    @aishaabrahaman9957 3 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂daaaah

  • @traudkamugisha8051
    @traudkamugisha8051 3 หลายเดือนก่อน +1

    Seminary ipi?? Million inanunua nini?

  • @neemasamweli9004
    @neemasamweli9004 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe single mother ni mama mwenye mtoto mmoja na hamsemi?

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona fujo fujo tu watu wa Arusha

  • @evalinekimario7883
    @evalinekimario7883 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani usiwape hiyo hela wakaongeza mtaji ?wewe unanunua tena kwa bei ileile .hujawasaidia umewawezesha kurudi nyumbani mapema kwakuwa wamemaliza mzigo ilaa hakuna msaada hapo

  • @MagrethMushi-e8t
    @MagrethMushi-e8t 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu ambariki

  • @Sauliproducts
    @Sauliproducts 3 หลายเดือนก่อน

    Tapeli hawamjui tu

  • @mugapro
    @mugapro 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa mpaka kaanza kufanana na mifugo yake

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 3 หลายเดือนก่อน

    Angalieni sana, huu ni muda wa uchaguzi,,,,

  • @innocentboykid244
    @innocentboykid244 3 หลายเดือนก่อน

    Hii gari nilikutana nayo jana moshi ikielekea hko

  • @WildStanley01
    @WildStanley01 3 หลายเดือนก่อน

    Tapeli mkubwa

  • @Afsa-z2v
    @Afsa-z2v 3 หลายเดือนก่อน

    Mkongo man huyo

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 3 หลายเดือนก่อน +3

    Biashara ya nguruwe ni biashara haramu mkifa mtajuta

    • @philemonmagesa5548
      @philemonmagesa5548 3 หลายเดือนก่อน +2

      Kwahyo kama kwako haramu ni haramu ni kwa wote kama ingelikuwa ni haramu ingepigwa marufuku na serikali yetu ninyi ndo wale mnaojifanya mnashika dini sana wakati mnakula hiyo kitimoto sirini waislamu wenzenu wasiwaone kwenye watu wengi unajikuta umeshika dini

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@philemonmagesa5548kwako wewe ni halali kwa maandiko gani?!

    • @HASASON
      @HASASON 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hamna watu wanakula nguruwe kama waislamu, halafu kwanini nguruwe tu ila pombe na umalaya mnaongoza?

  • @AllyMpandu
    @AllyMpandu 3 หลายเดือนก่อน

    Lafidhi ya Kinyarwaanda ,ni yule wa Vanila

  • @berthamayunga6487
    @berthamayunga6487 3 หลายเดือนก่อน

    Eeeeeeeeeee🙏

  • @sayunichullahkadinda8775
    @sayunichullahkadinda8775 3 หลายเดือนก่อน

    Eeeeeh.. eeeeeh

  • @TheresiaAndrea-hv9dg
    @TheresiaAndrea-hv9dg 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mbona anarafudhi ya kikenya

    • @WaziriRamadhan-ML
      @WaziriRamadhan-ML 3 หลายเดือนก่อน

      Ni mnyakyusa na hii ndiyo rafudhi yao ya kinyaki

    • @SeraphineKamau-db9ty
      @SeraphineKamau-db9ty 3 หลายเดือนก่อน

      Wakenya hawaongei hivi