You still blessing me in 2021 Bro Ambwene who else is listening with me in this year,gonga like ,n Nguvu ya kujua mabaya Ina madhara mengi..,....... Moyo wa MTU ni kichaka,ohh mungu tuhurumie
Yan huu wimbo ndio kabisaaaaa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌Kama hujawah pitia Majaribu unaweza kuuchukulia wa kawaida unaskiliza km burudan unapita ila km ukiwa serious una jambo lako yatupasa Kujipa moyo Kuutafakar kutokufanya vitu vya haraka, na Vile vile Kabla ya kufanya jambo Yatupasa kutafakar faida na Hasara Mungu Awabariki wote mtakaopita kuinjilishwa na huu wimbo Mungu mbariki Mtumishi wako Katika Kile anachokifanya .
Mimi kila siku huwa sikosi kumuweka nyimbo zake huyu mwimbaji haswa tulikotoka, tangulia mbele na huu ni nyimbo ambazo zinauharisia wa maisha ya mwanadam kabisa !!!
Uwiiiiiiiiiiiiiiii huyu Yesu kwani jamn mbona yupo hivi??Anatendaga kupita kiasi chatulivyo waza Asante Yesu kristo,,Kweli wali chupa zidi kubarikiwa sana
Ubarikiwe sana mtumishi Ambwene. Nyimbo zako ndiyo nazielewa sana. Wewe ndiye mwimbaji wangu namba moja wa Gospel. Nilibarikiwa sana na Performance yako kwenye viwanja vya Majimaji Songea, December 2014.
Hii nyimbo ina ujumbe ambao huwezi kueleza mtu akakuelewa bali roho akufunulie. Wanadamu tunatumia nguvu kubwa kutatua matatizo ambayo atukuubwa kuyajua mabaya. Kumbe Mungu alituumba tujuwe mazur tu ambayo tungekuwa na fraha maishani mwetu kote
Who's watching 2024 ??
Nabarikiwa na Wimbo wako mtumishi wako na naomba Mwenyezi Muumba wa mbingu na nchi azidi kukuinua toka utukufu hadi utukufu.
Mungu aendelee ku shurulika nawe muinjolisti ,unatubariki na injili kupitia nyimbo zako
Wewe mwenyewe mashairi ya Roho mtakatifu Kristo Yesu azidi kuumbika zaidi ndani mwako
Jmn naupenda huu wimbo lzm nipite kuuskilze barikiwa kaka angu
You still blessing me in 2021 Bro Ambwene who else is listening with me in this year,gonga like ,n
Nguvu ya kujua mabaya
Ina madhara mengi..,.......
Moyo wa MTU ni kichaka,ohh mungu tuhurumie
Me too
Yan huu wimbo ndio kabisaaaaa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌Kama hujawah pitia Majaribu unaweza kuuchukulia wa kawaida unaskiliza km burudan unapita ila km ukiwa serious una jambo lako yatupasa Kujipa moyo Kuutafakar kutokufanya vitu vya haraka, na Vile vile Kabla ya kufanya jambo Yatupasa kutafakar faida na Hasara Mungu Awabariki wote mtakaopita kuinjilishwa na huu wimbo Mungu mbariki Mtumishi wako Katika Kile anachokifanya .
Hakika ndugu wangu umenena vema sana hakika nimeupenda ujumbe wako bure
Amina🙏
😊
Nimelia cnaa
Unatoka huu wimbo kama aliona yaliyokuwa kipindi hicho mama yang alipoteza maisha kwa cancer niliumia sana
Asante hili ni ombi langu mungu aziidi kukuinua
Nani Yuko hapa July 2024
Mimi kila siku huwa sikosi kumuweka nyimbo zake huyu mwimbaji haswa tulikotoka, tangulia mbele na huu ni nyimbo ambazo zinauharisia wa maisha ya mwanadam kabisa !!!
Mimi nyimbo zake zote kwangu zipo safi sana
Hakika umekitumia vyema kilichowekwa ndan yako na mungu wako.........umeongea nasi vyema
Mungu atusaidie kwakweli,sikiliza nguvu ya kujua.heli moyo ungejazwa na mambo mema.🙏🙏
Kweli moyo wa mtu ni kichaka,Balikiwa sana nyimbo zako mtu wa mungu,hasa huu na walidhani wanatukimbiza
Uwiiiiiiiiiiiiiiii huyu Yesu kwani jamn mbona yupo hivi??Anatendaga kupita kiasi chatulivyo waza Asante Yesu kristo,,Kweli wali chupa zidi kubarikiwa sana
Ukimjua Mungu utapata neema ya Kukusaidia Mungu atakupa njia ya kutokea Ulipoishia Kuwaza ndipo Mungu huanzia kumove na ww
Mungu zidi kunifundisha yalio mema nibadilishe mungu
Mtumishi wa Mungu be blessed more than your expectations in Jesus name. Nimesikizia nyimbo zako na zina mafundisho mema sana 🥰🥰
Be blessed father Ambwene🇹🇿
Nice song 🇨🇩🇺🇲🇺🇲🇺🇲🇺🇲🗽🙏🙏
MUNGU azidi kukubariki ambwene mwasongwe na azidi kuku tiya nguvu kwa Kazi yake
Ubarikiwe sana mtumishi Ambwene. Nyimbo zako ndiyo nazielewa sana. Wewe ndiye mwimbaji wangu namba moja wa Gospel. Nilibarikiwa sana na Performance yako kwenye viwanja vya Majimaji Songea, December 2014.
mi
Mungu akubariki mimi naishi Burundi yesu akubariki
Mungu awe nawe ndugu, nyimbo zako zina upako ndani yake
Huu wimbo jamen😢😢MUNGU AKUBARIKI Bro
Wangapi tumemuona joelrwaga gonga like
Yeah nmemuona
mungu akubariki uzidi kumtumikia kwa viwango vya juu
MUNGU NI MUNGU
namuona joel lwaga akiwa anapikwa..so nice
Hongra sana mtumishi wa MUNGU ambwene
Siwezi kuacha kisikiliza nyimbo zako 🙏🙏
Amen ubariwesana 🎉🎉🎉❤❤❤❤mtu wangu wanguvu kaka mkubwa
Ambwene jaman cna cha kusema nakupenda sana una imba kwakwel..mungu kaweka kitu ndani yako.barikiwa mtumishi
Kaa karibu na uaridi unukie ndo nakiona kwa Joel lwaga,wimbo mzuri unatafakarisha Sana😭🙏
Wewe ni gwiji bro upande huu
Ubarikiwe sana mtu wa Mungu.wimbo huu umejibu maswali yangu mengi.
Ambwene MUNGU wangu wa mbinguni akuinue zaidi
Nakupenda sana ambwene nyimbo zako zinanikosha mungu akutie ngunguv uzid kusonga mbere kwa huduma yake
Mungu akutie nguvu mzee wa nyimbo ngumu
Gwamaka David 😀😀😀
asante munguu!!
Talent
A blessing
God's son
Passion;- thats what you are bro
Good
Nimebarikiwa sana, Mungu azidi kukuinua
Haujawahi kukosea Ambwene
Yani katika waimbaji wanyimbo za injili,nikiambiwa,,ni chague mmoja,, juwa na mkubali sana tena sana, AMBWEBNE MWASONGWE MWAMLENGA,
Hii nyimbo ina ujumbe ambao huwezi kueleza mtu akakuelewa bali roho akufunulie. Wanadamu tunatumia nguvu kubwa kutatua matatizo ambayo atukuubwa kuyajua mabaya. Kumbe Mungu alituumba tujuwe mazur tu ambayo tungekuwa na fraha maishani mwetu kote
Be blessed soo much I can't tired to hear your songs 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wimbo huu pindi ninapo usikiliza huwa unanipa faraja sana hasa kipindi hii ambacho mama yangu mzazi amefrki tangulia mama na cc tutafuata mama
Ulpo Mungu wako u p1 nawe daima akurnde milele 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nakupa big up mwasongwe
Real strong message, please Lord be us in everything all the time, take care of family. Ooh YES LORD
Very deep and so powerful message. God bless you more.
Newest fan.. you bless alot. Pepea ndugu. Kenya.kiambu.
Moyo wangu tulia kwa Yesu❤
2020 Bado moyo wangu umetulia kwa yesu
Wimbo mzuri sana
Aki nyimbo zake zanifanya nihisi Niko kanisani...mungu akuzidishie mtumishi
Mungu nisaidie n jue ukweli wako ilininapo ya fahamu ya ulimwengu unitie nguvu.ujumbe. nzuri.
Asante kwa iyoo wimbo, niko DRC
asante kaka kwa nyimbo nzuri zinanibariki we love dady please like it love from tz
MUNGU Wa mbinguni nipe nguvu na Neema ya kukujua ulivyo mwema
Yap yap Ambwene Mungu akuongezee Mistariii mingiiiii tumabarikiwa sana kwa uimbaji wako na tunapokeaaaaaaa
Ubarikiwe mtumishi nyimbo zako zinanisogeza mahali,Mungu akubariki endelea kunyenyekea
Unanibarik sana mtumishi wa mungu
Mungu akubariki sana Mtumishi
Songs are always a blessing to me brother
Nice song servant of Almighty God
Amen asante kwa kutukumbusha nguvu ya kujua
Very impressive song.we in Burundi can't stop listening to your songs.be blessed,Tulagukunda
Nabarikiwa na nyimbo zako abwene Mungu akuinue kwa kiwango kingine na usibadilike baba
.🙏🙏🙏🙏🙏 Cna cha kuongea ni kujifunza Na kusaidia tuuuu
Hallelujah hallelujah hallelujah Lord Amen Amen
This song is packed with wisdom.. nguvu ya kujua mabaya kuna madahara mengi.. ni heri moyo wako ungejawa na mambo mema
Ubarikiwe muinmbaji wangu pendwa
Asante Ambwene Kwa zawadi iliyoizawadia moto wangu, Mungu akuzidishie
Thank you for blessing us Mtumishi wa Mungu 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Barikiwa Ambwene kwa ujumbe
Mulwa.
Very powerful song😇🙏🏽 I’m really blessed mtumishi wa Bwana. May Almighty GOD continue to bless you sana👌🏾👌🏾❤️
Very blessing song Ambwene. God be with you.
That's for good song god bless u.
SAWAA KABISAA Mungu akubariki saana - Nipo Dodoma Nkuhungu
Very Nice barkiwa sana
Utukufu kwa MUNGU
I can see joel lwanga..kweli we need to humble
Mungu azidi kukuinua atuinue nasi pia
sifa na utukufu zimurudie Mwenyezi Mungu
Ubarikiwee mtumishi,🙏🙏
The song it really reflex our life, Mungu tusaidie kwenye swala la kuamini marafiki 🙏
Nyimbo hii nzuri sana barikiwa mno tunajifunza mambo mengi
Ubarikiwe mtumishi nabarikiwa Sana na huduma yako inaniponya na mungu aendelee kukuangazia yaliyomema na huduma yako iendelee daima
mungu akubariki sana kakang kwakuuhubili injili yabwana kwanjia ya nyimbo zenye kubarikiwa sana
Love the song,Goodwork
Genuine Gift from Heaven. Very Powerful
Ameeen nimebarikiwa sana
MUNGU AENDELEE KUKUTUMIA KWA VIWANGO VYA JUU ZAIDI UTUKUFU UNA YEYE,NGUVU YA KUJUA MABAYA HAKIKA KUNA MADHARA MENGI
This man wee...very deep revelation
Mungu azidi kukubariki 🙏🏾
Mungu akubaliki mtumishi
Dady nawapenda sana Niko Zambia lakini nyimbo zako hata zamani zinanibaliki
Happy new year Everyone in Advance.. 2021 Tujazwe Na Mambo Mema tu
Amen amen
Amina nimebarikiwa
@@happyirenefridahilda4871 kkkl
barikiwa sana mtumishi
Huuuuu wimbo umenipa nguvu mpya ubarikiwe sana kaka Ambwene
Mungu azidi kukutumia kwa viwango vya juu zaid,nabarikiwa sana na nyimbo zako
merci beaucoup pour cette magnifique chanson 🙏🏽🇨🇩
Amina ubalikiwe Baba
LET ME BE WITH YOU LORD IN MY SPRITUAL LIFE IN JESUS NAME, AMEN.
Ubalikiwe mishi ambwen