I started loving this song after I came out of a 40 day fast in 2003. My life has never been the same again. The song still reminds me of that time and me getting out of the lowest moments of my life. Truly there is absolutely no other GOD and there is nothing and no power like HIM.
My dear Kumekucha Chris, I see you here. The God we serve is a living God. The same yesterday, today and forever more. May we never forget, He liveth in our hearts
Nakumbuka 2007 pale arusha kulikuwa na mkutano,alivyokaribishwa kuabudu,aise roho mtakatifu alishuka watu waliabudu haijawahi kutokeac,mchungaji anajaribu kunyamazisha watu ili ahubiri neno haikuwezekana,watu waliabudu jamani,sedekia was man of God I'm telling
moyoni moyoni.....nilimpata yesu kwa njia ya kusamehewa dhambi na kuwa mtakatifu kama mungu...sina dhambi na sidaiwi deni lolote...asante mungu kwa pendo lako kwangu.
This song saved my life when I had a dangerous infection of delta strain of SARS COV 2. Even as a Dr with speciality in immune systems, I could see death glaring at me. Every morning, I would listen to this song
Sifa zako bwana zitadumu milele 2022 niko hapa halelujah halelujah...rest in peace sedekia umetuachia nyimbo nyingi nzurii tunamsifu na kumuabudu Mungu
This is still so fresh to me as I listened to it in 2005 to date, even listening with my beautiful late hubby 5 months gone now to be with the Lord & praising him in his glory. Until that glorious day. 🙏🏾
Ma uncle used to play for me this song in 2009 but today it's 17th October 2022 and am plàying the tune to remember ma uncle...may his soul rest in peace Moga duku
Wanao sikiliza moyon 2024 mbarikiwe na Bwana
amen
nawe pia
Amen
Mwezi wa kwanza 2025 ninashukuru Mungu kwa kuwa moyoni nimempata Yesu , God bless us.
Today 20th of March 2024..niko hapa nikimskiza Mtumishi...Lala salama mtumishi wa Mungu..
Kama unawatch 2024 April 6th nipeeni likes..moyoni nimempata yesu
@@JohnPeter-uo6wb amen
Kama huku wimbo unakubariki huku mwaka wa 2024 ❤❤❤nipe likes 11/11/2024
Wanaomsikiliza 2024 Mungu awabariki mmepate yesu mioyoni mwenu
Rest in peace fanuel sedekia
I feel blessed in 2024 19 august kama uko blessed na hii siku ya Leo nipe likes
Nafeel Niko down but hii song imenipee nguvu kabisaa
HalleluYAH 🙏🙏 AMEN
Tunaomsikiliza Fanuel Sedekia 2023 na kubarikiwa na nyimbo zake tumtakie pumziko la amani.
I like most to listen
My mum loves this song,live long mum
Niko hapa
Wanaosikikiza 2023 fanuel Mungu awabariki
Wanaoangalia fanuel sedekia 2021 nakubarikiwa kwa wimbo huu wagonge like na tumtakie rest in peace mtumish wa Mungu
hakika mng alikupenda
I do and I will bcoz nabarikiwa
Hakika ninaposkiliza wimbo huu nauona uwepo wa MUNGU
R.I.P man of God
2022
Those listening to this same song repeatedly n feeling new blessings come we gather here.
3/4/2024 nabarikiwa na huu wimbo ❤❤ pumzika kwa amani mtumishi
Anaeneza Injili ingawa yuko Marehemu😢😢,,, Rip baba Zedekiah.
Naskia kubarikiwa jamani..
Bwana yesu asifiwe sana, sana 🙏 🙏
Feb2024
Njema Mno Neema Alfayo kanileta Hapa baada ya Kumsukia kwa Mwalimu Mkumbo oooo Hallelujah
Sauti ya kwanza walompata Yesu like hapa June2020....Jesus is Lord
Moyoni nimepata yesu Moyoni 🙏🙏🙏🙏October 2024
Wanaosikikiliza fanuel had 2020 like zenu jaman
Glory Ndosi Mungu amrehemu
likes zetu zitembee
Down moen
simon muia de wà
I feel like going straight to heaven
Wanaosikiza wimbo huu na wangependa mungu awaongezee miaka wawe wakisikiza,like jameni
I started loving this song after I came out of a 40 day fast in 2003. My life has never been the same again. The song still reminds me of that time and me getting out of the lowest moments of my life. Truly there is absolutely no other GOD and there is nothing and no power like HIM.
Rest in peace tutaonana tena...
My dear Kumekucha Chris,
I see you here. The God we serve is a living God. The same yesterday, today and forever more.
May we never forget, He liveth in our hearts
Hello Chris. How did you do your 40 day fast? Was it fully without food or 6 to 6? I'd love to know
@@mwendwa_m am also wondering how she did it me on three days am praying for strength
Liked everyone's comment.. let's continue Fanuel's legacy .. tuendelee kumsifu mungu..nina furaha ..moyoni mwangu..nmempata yesu moyoni.❤❤
Pstr Ezekiel in Arusha amenikumbusha hii nyimboo,,,2024
Tunaofunga mwaka wa 2024 mwezi wa 12 na huu wimbo ,,,Mungu atubariki sana🙏
Wanaosikiliza 2024 Mungu awabariki sana mzidi kuona utukufu wa Mungu 🤲🏻🤲🏻
Moyoni nimempata yesu moyoni wanao penda hiyi nyimbo wandugu zangu warundi 🇧🇮 tujuane
It's until 2024 that I met this spirit filled song, may the Lord God almighty be praised
I'm here may 5th,2024. Listening to this song❤.I feel blessed
Namshkr KRISTO YESU kw sababu y ndugu Sedekia amekuwa baraka kwangu.🙏🙏🙏
Sauti ya nne pia tupo hapa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
👏👏
😂😂😂
Wanaotazama huu wimbo mbarikiwe sana 2023
Kama bado ujampata Yesu unakosa vitu vingi na mbinguni unaeza kosa kwenda kama utaamua kumtafuta Yesu
2024 still niko huku.Kuna nyimbo haziezi isha utamu
😢😢😢😢😢😢,,,, wimbo huuu nauimba nalia,,, Rest in peace mtumishi
Yesu asante kwa kuwa upo moyoni mwangu,Amina 🥰🙏
Sedekia alikuwa anamwabudu Mungu kwa furaha sana, may he rest in peace
Nakumbuka 2007 pale arusha kulikuwa na mkutano,alivyokaribishwa kuabudu,aise roho mtakatifu alishuka watu waliabudu haijawahi kutokeac,mchungaji anajaribu kunyamazisha watu ili ahubiri neno haikuwezekana,watu waliabudu jamani,sedekia was man of God I'm telling
2021 tukutane hapa ! Ooh hallelujah!
Rip brother
May his soul continue resting in peace
we here Bruh..Feel Blessed
Listening to this music in 2023... Tuimbe🎉... Barikiweni nyote
Never grows old
Rest in peace baba! You played your great role under the sun! Your sweet and blessing words are still living with us today😭🙏
Npend xn jmn mung akupotee kokt ulipo uk mbinguni
Amenmunguakupokeye
Amen
Bado nipo 2/1/2021 Kama nawe upo weka☑️☑️☑️
Npo
Oi
AMEN. AMEN. AMEN. HALLELUJAH!
5years down the line still listening to his songs rest easy legend👑
Am also here we thank God
Nikijua mahali nilikuwa naelekea kabla nimupate yesu moyoni
Who else is here listening to this blessing on quarantine 2020
Your still alive in spiritual world"**@ up to now.... 2023 by Joseph Geoffrey from Kilimanjaro
Kama na we unaona mpaka Leo bado yesu yupo moyoni kama mimi gonga like hapa kumsifu mungu
MUNGU akupumzishe kwa Aman mtumishi wake
Still watching 2020,Rest in peace man of God🙏🙏🙏we miss you 💔😭
Truly we miss him,may his soul continue resting in peace
@@kinglemuel8241 it's sad but all Glory to God
Amen
Llll9ll
..
Llllllllllllllllpp
Nikisikiliza nyimbo za mtumishi nahisi nywele zinasisimka kwa utukufu wa Mungu kweli Yahweh uimidiwe
Hata huu mwaka 2023 kuingia 2024 bado nimempata Yesu… kaa kwangu milele Eeh Bwana
moyoni moyoni.....nilimpata yesu kwa njia ya kusamehewa dhambi na kuwa mtakatifu kama mungu...sina dhambi na sidaiwi deni lolote...asante mungu kwa pendo lako kwangu.
Anyone listening to Fanuel Zedekia 2023 September nipe like jameni🙌🏾🙌🏾🙌🏾🇺🇸
elfu2021 Bado tupo. Tunamkumbuka aliyekua mwimbaji mkubwa mwenye nyimbo zakuleta faraja ❤️ Mungu akupumzishe mahara pema🙏
Asante Bwana kwa uzima niongoze niweze kutenda yaliyomena kabla sijafa 😇 Rest in peace Sedekia
april 7, 2020 bado inabariki sana
June 5
These spiritual voices will go along way and may God bless all who listen the same
Nani anasikiliza2021 na kubarikiwa na hii nyimbo
tupoo
Pip mtumishi wa Mungu.
J'aime beaucoup tes musiques qui m'amènent dans l' onction Divine ❤❤❤❤...
Wanaongalia 2024 niwaone
This song saved my life when I had a dangerous infection of delta strain of SARS COV 2. Even as a Dr with speciality in immune systems, I could see death glaring at me. Every morning, I would listen to this song
This song will never grow old, RIP love, still on 2021
Amen rest in peace
Amen Rip
A man of God ,we miss you fanuel,connect us to the spirit❤❤❤❤❤❤like if you agree
You won't understand how many times I have played this song. Glory be to God!
Wanaosikiliza wimbo huu siku mbili kabla ya mwaka 2023 kuisha
Like hapa tarehe 30 /12/2023
Mungu ni mwema
Mbinguni ni kuimba tu. Libarikiwe Jina lako Yesu Kristo
Wote mnaosikiliza wimbo huu sasa hivi wamempata Yesu moyoni. Mbarikiwe sana.
The king lives on, Fanuel was indeed blessed. It's 2024
Nikisikia huu wimbo nakumbuka mahali Mungu amenitoa hdi xx namushukuru
2022 and this song still is a blessing
Am here listening 🎧
@@lauraatiks1335 jk
Yes a big Blessing..
I love this song much blessings
@@gladysnzuki4759 01000
Naona hayo mashati yenu!!! Hahahaha, inafurahisha kuangalia mwaka huu 2022. Tunammiss Sedekia.
I have listened to this song since 2009 and it still never grows old.Thank you man of God Fanuel and continue resting in peace 🕊️
Sifa zako bwana zitadumu milele 2022 niko hapa halelujah halelujah...rest in peace sedekia umetuachia nyimbo nyingi nzurii tunamsifu na kumuabudu Mungu
leo 2021 june na barikiwa na nyimbo za mtumishi wa mungu fanueli sendekia mungu wambinguni atatuinulia sendekia mwingine
This is still so fresh to me as I listened to it in 2005 to date, even listening with my beautiful late hubby 5 months gone now to be with the Lord & praising him in his glory. Until that glorious day. 🙏🏾
January 2021 Moyoni Nimempata Yesu🙏🙏❤️ Mungu Ninakupenda
Halleluyah, nimempata Yesu moyoni, kweli furaha imejaa sana kwako tukiamini upo na Baba muda huu
My late father loved this song so much, , I really miss him.
Moyoni mwangu nimempata yesu❤❤❤❤❤
2024. Songs sung under the anointing of the Holy Spirit will never lose their power. Hallelujah am still blessed
19/10/2024 it blesses me...moyoni nimempata yesu
Ma uncle used to play for me this song in 2009 but today it's 17th October 2022 and am plàying the tune to remember ma uncle...may his soul rest in peace Moga duku
Rest in peace Fanuel😭, your songs are such a blessing to me
Rest in peace, dear brother
Sema nini huko mbinguni mtakuwa mnaimba sana. Haina mfano. R.I.P Fanuel
Mungu aiweke mahari pemaa peponii mwimbaji wa Mungu
Tunaoangalia video hii Nov 2022,hakika Sedekia alikuwa mtumishi wa MunguMUCH LOVE
This songs reminds me that my God has always been faithful to me😊😢
Continue resting in peace sedekia nyimbo bado tunasikisa
Fanueli sedekia hakika uwaweza mungu awe nawe mpaka mwisho wa dahari😭
Kwa wenye tuko gulf country 3/12/2024 kweli tumempata yesu moyoni hallelujah 🎉🎉🎉🎉❤
Am grieving right now, I lost my loving Younger Sister. Why me lord!
11/09/2021 I'm still watching this my best song ever.
2023 Bado tunaskiza moyoni nimempata yesu ❤❤❤
In my heart I've got Jesus❤❤ forever in me feeling so blessed ❤
Moyoni nimempata Yesu moyoni 🙌
Huu wimbo sichoki kuusikiliza yaani unabariki sanaaa. Amina
This was the greatest worship leader and his song are simple to follow ,may God be with his family.
Tuna kuukumbuka Sana Kaka yangu mwalimu wangu was sande school
The song is a legacy of blessings, the song really touches.
Nina furaha moyoni mwangu nimempata Yesu moyoni... hallelujah 🙌🙌🙌🙌. Sing with the angels Man of God 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Huwa nabarikiwa na nyimbo za Fanuel sana
Wimbo wenye nguvu zamwenyezi mungu uendelee kupumzika kwa amani
Amina Ninafulaa nimempata Yes moyoni MUNGU akulaze maalipema nausikiliza wed Nov 2024
Huu wimbo inafanya maxhozi yangu inatiririka tu NIKIKUMBUKA huyu mpendwa.Mungu alimpenda zaidi
Fanuel songs reminds me of my late dad...he used to love all his songs...to date i keep listening to them just to make me feel close to my dad
Not only to Him alone but also to the almighty God