Solomon Mkubwa Mungu Mwenye Nguvu Official Video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 1.3K

  • @JosephKimeu-q7z
    @JosephKimeu-q7z 8 หลายเดือนก่อน +5

    Let the creator of the universe remember me by all my needs. Amen

  • @winfridaswila4126
    @winfridaswila4126 9 หลายเดือนก่อน +94

    Who is with me march 2024🥰🙏Huu wimbo hauchuji...much love from 🇹🇿

  • @mussaismail-o2f
    @mussaismail-o2f ปีที่แล้ว +4

    Kulala kuamka ni kwa neema yako tu😢 ahsante Yesu nakupenda sikuzote za uai wangu, much much I love you my Jesus my Lord❤

  • @stellawakesho8390
    @stellawakesho8390 7 วันที่ผ่านมา +4

    Leaving 2024 blessed, going to 2025 more blessed. God is good

  • @AMarie2326
    @AMarie2326 9 หลายเดือนก่อน +99

    Watching this in 2024, from The Netherlands, Mfalme wa dunia ni mwema, atukuzwe, ainuliwe!

    • @EuniceMumbe-zr9xh
      @EuniceMumbe-zr9xh 9 หลายเดือนก่อน

      2024 too ,,,, dear lord protect our country ❤

  • @marshalltito6656
    @marshalltito6656 8 หลายเดือนก่อน +14

    From USA never will I forget my childhood while in Kenya ,2024 it's a joy

  • @christianfunnyburundi
    @christianfunnyburundi 10 หลายเดือนก่อน +55

    2024, if this song is playing, it reminds me that I am not extinguished without Jesus, father, continue to be with us

  • @joycemusoga
    @joycemusoga ปีที่แล้ว +1

    I'm always blessed with mkubwa's songs.ubarikiwe sana solomon Mkubwa.

  • @LindaMugelwa
    @LindaMugelwa ปีที่แล้ว +3

    Asante Mungu wangu najua uko pande wangu kunibadirisha mayisha yangu Asante mungu

  • @mercyjepkoech9951
    @mercyjepkoech9951 10 หลายเดือนก่อน +184

    Who is here 2024.God is great

  • @gladysjeruto8248
    @gladysjeruto8248 10 หลายเดือนก่อน +26

    Coming across this sing in 2024 ...blessings

  • @lewiselengabo9695
    @lewiselengabo9695 11 หลายเดือนก่อน +2

    Ndugu Solomon wimbo wako huu sana kidogo hata nilipo pat

  • @estheromonyi4601
    @estheromonyi4601 ปีที่แล้ว +4

    Yaani huu wimbo unanitia nguvu

  • @GodyKaywanga
    @GodyKaywanga ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeen napenda ujumbe was hii nyimbo unanibaliki sana

  • @aramisy.cajigas744
    @aramisy.cajigas744 2 ปีที่แล้ว +934

    Jambo! I'm from Puerto Rico 🇵🇷 and I don't speak much Swahili, but... O sifuni Mungu! Napenda Yesu Kristo bwana! Mungu Akubariki!

  • @pendorobert3552
    @pendorobert3552 3 หลายเดือนก่อน +34

    Tuliokuja 2024 tujuane kwa like jaman na tumfate huyu YESU

    • @AnnWambo-r5u
      @AnnWambo-r5u 3 หลายเดือนก่อน

      Huu wimbo hautawai isha fashion

    • @AnnWanjiru-j7h
      @AnnWanjiru-j7h 18 วันที่ผ่านมา

      Ann

  • @HelenZawadi-os4zz
    @HelenZawadi-os4zz ปีที่แล้ว +11

    Nshkuru mungu kw knlinda nijapo npitia halingumu nitapo jina lake hnpa ksimama tena nkupenda mungu wangu

    • @aminanikwuzwe7864
      @aminanikwuzwe7864 2 หลายเดือนก่อน

      Amen amen asante mungu wangu ulie mbinguni

  • @ilhanomar5984
    @ilhanomar5984 หลายเดือนก่อน

    Asante Kwa wimbo ya kututia guvu 😢Ameeen and Ameeen Asante Mungu wema wako

  • @kambiyusufu2776
    @kambiyusufu2776 9 หลายเดือนก่อน +24

    Ukimuita yesu anakuja kua naimani tu amen

    • @HalimaMilongia
      @HalimaMilongia 7 หลายเดือนก่อน +1

      Ikiwa umeokoko lakin

    • @janetkanini4455
      @janetkanini4455 5 หลายเดือนก่อน +1

      Very true

    • @buqi38
      @buqi38 5 หลายเดือนก่อน +1

      Amina asante Yesu wangu🥰🙏

    • @aminanikwuzwe7864
      @aminanikwuzwe7864 2 หลายเดือนก่อน +1

      Asante Jesus kristo🙏🙏🏻🙏

  • @francescammari5337
    @francescammari5337 10 หลายเดือนก่อน +1

    Na hakika ni kwa Neema tu
    TunakushukuruBaba yangu wa mbinguni
    Solomon akubariki

  • @alexmwangi5913
    @alexmwangi5913 9 หลายเดือนก่อน +8

    This is the best motivating song,Thanks to those supermetro drivers wenye hucheza hii Ngoma asubuhi na mapema tukienda job,it makes me feel siku moja nita make it

  • @joanrwegoshora785
    @joanrwegoshora785 ปีที่แล้ว +2

    Baba utukuzwe,Baba uinuliweee

  • @PhilomenaSteven-tq2tx
    @PhilomenaSteven-tq2tx ปีที่แล้ว +16

    Wanipa tumaini la maisha yangu na natembea nawe mi kwaneema Yako baba🙏🙏🙏🙏🙏

  • @deleted.2416
    @deleted.2416 ปีที่แล้ว +7

    amen, ꨄ︎ pretty said i have cried with ts pretty songs i have screamed with ts pretty songs i have yelled with ts pretty songs. i have stomach problems ts eats me. ts cuts me. ts swallows me i am young but still growing i pray ts song helps a broken and lost soul like me ‚that's really hurting a lot whoever reads ts please pray for me in your pretty prayers , ꨄ︎ i pray to heal inside.

    • @elfridaanja2023
      @elfridaanja2023 หลายเดือนก่อน

      Your healed in jesus name.

    • @MoshiLumambo
      @MoshiLumambo 14 วันที่ผ่านมา

      God will heal you !!

  • @hellenmwendwa8719
    @hellenmwendwa8719 ปีที่แล้ว +27

    4'36 Am 2023
    This song will never grow old
    Like for reminder

  • @justusekandjo1
    @justusekandjo1 11 หลายเดือนก่อน +1

    2024, I'm blessed by this song

  • @amonmandago7744
    @amonmandago7744 3 หลายเดือนก่อน +26

    Who's with me today September 2024.
    Blessings 🙏

  • @lewiselengabo9695
    @lewiselengabo9695 11 หลายเดือนก่อน +14

    Nilipata ugonjwa wa ganzi mguu na mkono wimbo huu ulinifariji sana hata tangia miaka ya 2016 ubatikiwe solomon mimi niko amerka mji wa missouri

    • @buqi38
      @buqi38 5 หลายเดือนก่อน +2

      Mungu akusaidie na akuponye ndugu yangu,usikate tamaa 🥰

    • @aminanikwuzwe7864
      @aminanikwuzwe7864 2 หลายเดือนก่อน +1

      Amen amen🙏🙏🙏🙏🙏🙏Asante mungu🙏🙏🙏

  • @LYDIAH-sr7oh
    @LYDIAH-sr7oh 10 หลายเดือนก่อน +4

    ⁷avery ammezing song,lnnoveralator kwamboka from 🇯🇴 ❤❤❤🎉🎉🎉.

  • @wanzalaemma2149
    @wanzalaemma2149 ปีที่แล้ว +2

    Good song, Infact it my best in my life am Ugandan from mbale city

  • @LiddyDeHustler
    @LiddyDeHustler 4 หลายเดือนก่อน +37

    Who's here August 😢 2024 ...kulala kuamka ni kwa Neema ya Mungu 😢

    • @fidelonditi6730
      @fidelonditi6730 3 หลายเดือนก่อน

      Hello I wanna know you

  • @ChamaKapanga
    @ChamaKapanga หลายเดือนก่อน

    May his name be praised for ever 😢😢😢 from USA Erie Pennsylvania

  • @sweetprincess4771
    @sweetprincess4771 3 ปีที่แล้ว +20

    Mie napend ujumbe wa hii kwaya hii japo mie ni muislamu💜💕❤️

  • @mwajabukapemba5458
    @mwajabukapemba5458 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🖐️🖐️🖐️ mungu wetu mwenye nguvu January 2023 tunaondoka nayo

  • @TheSalvationCreek
    @TheSalvationCreek ปีที่แล้ว +198

    This song will forever hold a special place in my heart. In 2011 I was in a fix, no hope, not able to go back to school with so much obstacles surrounding my life. I played this song on repeat endlessly, everyday. I turned it into a prayer, deeply and intentionally focusing on every word. It didn't take long, things turned around for the better. Now I listen to it and my heart is thankful and in awe of what God can do for those who trust Him.

    • @rebeccah357
      @rebeccah357 ปีที่แล้ว +2

      Amen 🙏

    • @ianmurengu1540
      @ianmurengu1540 ปีที่แล้ว +2

      Amen

    • @jforeign254
      @jforeign254 ปีที่แล้ว +1

      Amen 🙏

    • @henrynyamokeri7316
      @henrynyamokeri7316 ปีที่แล้ว +5

      You touched my heart. Thank you for sharing your experience and testimony. You are not a lone. When I listen to this song, tears roll down my face. Tears of joy when God has brought me from. I was dead but He brought me back and gave me a chance. This song is a masterpiece blessing to many and to those who sat, took time to practice and decided to put those words into a song, let the Holy Spirit continue blessing you and fill you with His mercy and love.

    • @TheSalvationCreek
      @TheSalvationCreek ปีที่แล้ว +2

      @@henrynyamokeri7316 Wow! There's healing in true worship. More blessings to you.

  • @naomitesh
    @naomitesh 11 หลายเดือนก่อน

    God your grace is sufficient 🙏🙏🙏kila asubuhi yanipa nguvu.

  • @Bonvivant_Richard_Mayila
    @Bonvivant_Richard_Mayila 2 หลายเดือนก่อน +3

    Everyone reading This comment may you get what you waited for so long till you get shocked with that Miracle❤️🤲

  • @Bornagainbro
    @Bornagainbro 2 หลายเดือนก่อน +1

    If you're listening to this song in 2024, take a moment to say a big THANK YOU LORD 🙏

  • @Jane-h5n7u
    @Jane-h5n7u หลายเดือนก่อน +3

    Leo taree 13/11/2024 nikiwa art plus jalan ampang kuala lumbar Malaysia 🇲🇾 nilikuwa nasoma kitabu cha isaya 8:6 mungu akaniamba nimsifu kupitia nyimbo hii ubarikiwe sana Solomon mkubwaa

  • @godfreysadala3365
    @godfreysadala3365 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huu wimbo naupenda sana umekuwa ukinifariji kila siku miaka na miaka katika mapito mengi nayopitia nikiusikiliza huu wimbo huwa napita salama Mungu ni mkuu sana hata sasa napata tumaini katika shida yangu ya kupata kazi naamini Mungu atanipatia kazi njema.

  • @KinyiLiemba-vl1lh
    @KinyiLiemba-vl1lh ปีที่แล้ว +6

    Kuna.nyimb zingin.ukisikilz unaona kam unakuf Kesh.hii nyimbo❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @Lecturer_Harun
      @Lecturer_Harun 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂

    • @buqi38
      @buqi38 5 หลายเดือนก่อน

      Ishindwe katika jina la Yesu kristo,Mungu tunayemwabudu ni Mungu wa uhai na uponyaji,yupo na wanaomwita milele atatulinda na kutuponya hadi mwisho,katika neema ya bwana wetu Yesu kristo,Amina🥰🙏

  • @Redeemed-y
    @Redeemed-y 2 ปีที่แล้ว

    Neema yako fadhili zako kila asubuhi 🙌🙌🙌Ni mpya tena zanufariji moyo niamukapo.....

  • @SamwelNyabute
    @SamwelNyabute ปีที่แล้ว +3

    Napenda hiki kingoma sna in anytym nikiskiza huwa inaniencourage sna epia inanigusa miyo
    Snasna.
    May God bless solomon

  • @clintonosiega4988
    @clintonosiega4988 ปีที่แล้ว +1

    Of late this hit has been my anthem kwanza kale kapart ka '...ulimpa Mungu nini wewe kusudi uwe jinsi ulivyo..."

  • @jamesmbua5339
    @jamesmbua5339 4 ปีที่แล้ว +301

    I believe this will be our Heavenly anthem when we get to heaven as we sing along Jesus Christ.

  • @RoseChepkemoi-i3m
    @RoseChepkemoi-i3m 3 หลายเดือนก่อน +1

    Who is here with me 2024 this song is a blessing

  • @joyce1081
    @joyce1081 5 หลายเดือนก่อน +4

    Every time when i here this song i must cry😭😭😭😭😭😭😭
    Dear lord remember me wherever you remembered orphan childrens 😭😭😭😭😭😭

  • @berylumukoro9303
    @berylumukoro9303 ปีที่แล้ว +1

    Amen…Mungu mwema 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿

  • @leonardkirong6958
    @leonardkirong6958 ปีที่แล้ว +3

    Hakika ni mwenye nguvu..ninaamini

  • @Humble22z-ef
    @Humble22z-ef 10 หลายเดือนก่อน +2

    Baba utukuzwe ......baba uinuliwe ....kulala na kuamka ni neema ya mungu .........neema yako baba inastahili

  • @godlovephilemon5626
    @godlovephilemon5626 4 ปีที่แล้ว +91

    Miaka 7 iliyopita hii nyimbo bado inafanya vizuri sana.Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu!!!!

    • @marymuyonga3741
      @marymuyonga3741 3 ปีที่แล้ว +2

      Hubari kiwe sana mtumishi wa MUNGU

    • @erickbandio4048
      @erickbandio4048 2 ปีที่แล้ว +2

      @@marymuyonga3741 MUNGU AMUINUE SANA

    • @bondur33
      @bondur33 6 หลายเดือนก่อน +2

      Even right in 2024 it's doing great

    • @aminanikwuzwe7864
      @aminanikwuzwe7864 2 หลายเดือนก่อน

      Mubalikiwe🙏🙏🙏🙏❤️thank you Jesus🙏🙏🙏

  • @JacklineNight-o8y
    @JacklineNight-o8y 29 วันที่ผ่านมา +1

    This reminds mi of some yrs back, when I was jobless, liked this

  • @carolineokonya7449
    @carolineokonya7449 3 ปีที่แล้ว +68

    Who is here with me 2021 this song is a blessing to me

  • @ElizabethMoraa-c6v
    @ElizabethMoraa-c6v 4 หลายเดือนก่อน

    Umenitoa mbali baba😭
    Utukuzwe milele

  • @janenyambura9010
    @janenyambura9010 ปีที่แล้ว +17

    Who is with me here 2023,God you're so faithful in my life,I have gone through alot but the Grace of God is sufficient in my life. Be blessed man of God.

  • @wasongajohn4160
    @wasongajohn4160 2 หลายเดือนก่อน +1

    Oh my Lord. Worship doesn't get better than this~ uhimidiwe Baba. Solomon Mkubwa, Mwenyezi Mungu akubariki sana brother

  • @hylinekerubo9294
    @hylinekerubo9294 2 ปีที่แล้ว +4

    Ninaposikia huu wimbo Naomba mungu afungue milango ya kazi, am giving up

  • @CRYPTOLIFESTYLE-q6q
    @CRYPTOLIFESTYLE-q6q 25 วันที่ผ่านมา

    Solomon mungu akupe uzima uendelee kumutumikia miaka mingi tunakupenda sana baba ubarikiwe ❤❤ nakupenda sana kutoka RDC🇨🇩 lakini nakaa Kampala

  • @beldineopar1916
    @beldineopar1916 ปีที่แล้ว +8

    2040 we'll still be here listening to this great masterpiece ❤

  • @Mm_kenya
    @Mm_kenya 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu wetu mwenye uwezo ni baba wa milele.Amina

  • @am_vinda
    @am_vinda 3 ปีที่แล้ว +52

    I'm a living testimony of how God answers prayers. Never give up, pray constantly with utmost faith and see Him performing miracles in your life.

    • @kyalomuia866
      @kyalomuia866 3 ปีที่แล้ว +5

      Amen,,may God always show you the way ,to be a living testimon all days of your life

    • @Seannahimana
      @Seannahimana 2 ปีที่แล้ว +1

      Amen

    • @am_vinda
      @am_vinda 2 ปีที่แล้ว +1

      Amen

    • @marinteldaisy855
      @marinteldaisy855 10 หลายเดือนก่อน +1

      I'm also a living testimony that God answers after being rejected and treated bad by family and friends now here I'm living great being lifted from grass to grace by a stranger I thank God🙏🙏

  • @joycemailu2859
    @joycemailu2859 2 ปีที่แล้ว

    Amen.... neema zako zatosha kila asubuhi .To God be the 😤

  • @Kipsigis_Princess254
    @Kipsigis_Princess254 ปีที่แล้ว +18

    Everytime I listen to this song i feel some type of way and it's like am in the presence of God. My eyes can't stop tearing....I know we are many

  • @wahidakisingo3588
    @wahidakisingo3588 ปีที่แล้ว

    MUNGU WETU MWENYE NGUVU,,,BABA WA MBINGUNI,,,🙏🙏🙏

  • @njorogelisa1583
    @njorogelisa1583 3 ปีที่แล้ว +58

    Mungu wetu mwenye nguvu, ni Baba wa Milele
    (Mungu wetu mwenye nguvu, Baba wa milele)
    Eeh Eeh Ni Mwenye nguvu, Ebeneza Baba wa milele
    (Mungu wetu mwenye nguvu, Baba wa milele)
    Wanipa mema, wewe ni mwenye nguvu, Baba wa milele yote
    (Mungu wetu mwenye nguvu, Baba wa milele)
    Nguvu zako zashangaza Dunia, uliumba mbigu pasipo nguzo,
    Hewani Baba.
    (Mungu wetu mwenye nguvu, Baba wa milele)
    Uko mwema, Bwana, matendo yako ni ya ajabu sana aaaaa
    Neema yako, fadhili zako, kila asubuhi
    Ni mpya tena zanifariji moyo niamkapo baba
    Nikikosewa na maisha, wanipa tumaini la kupata maisha Baba
    Wajapo nicheka majirani wangu
    Wewe upo upande wangu, Uhimidiwe Yahweh
    Neema yako, fadhili zako, kila asubuhi
    Ni mpya tena zanifariji moyo niamkapo
    Wanipa tumaini la maisha Baba yangu o duniani
    Natembea nawe Baba yangu,
    Hujaniacha mimi o Baba
    Neema yako, fadhili zako, kila asubuhi
    Ni mpya tena zanifariji moyo niamkapo
    Wanipa tumaini la maisha Baba yangu oooh duniani
    Natembea nawe Baba yangu,
    Hujaniacha mimi
    Oooh Baba.
    Neema yako, fadhili zako, kila asubuhi
    Ni mpya tena zanifariji moyo niamkapo
    Kulala, kuamka
    Ni kwa neema yake Mungu, Ndugu yangu,
    Ulimpa mungu nini wewe
    Kusudi uwe jinsi ulivyo?
    Usijivune bure ni neema yake baba.
    Neema yako, fadhili zako, kila asubuhi
    Ni mpya tena zanifariji moyo niamkapo
    Aiiiii, Yesu, nani kama wewe Bwana, Sina mwingine kukuliko wewe, mfalme wa dunia ni wewe, mwanzo na mwisho ni wewe Baba aaa oh Yesu
    Baba utukuzwe, Baba uinuliwe
    Rafiki yangu, I love you, I love you, I love you Baba yo
    Baba utukuzwe, Baba uinuliwe
    Maneno yako yafungua watu, yafungua watu, yafungua watu
    Baba utukuzwe, Baba uinuliwe
    Sitasahau uliponitoa, Umenitoa mbali, umenitoa mbaali baba
    Baba utukuzwe, Baba uinuliwe
    Oooh oooh, uhimidiwe yahweh
    Baba utukuzwe, Baba uinuliwe
    Rafiki yangu nakupenda sana, nakupenda sana, nakupenda sana Baba eeh
    Baba utukuzwe, Baba uinuliwe
    Rafiki yangu I love you, I love you, I love you, I love you
    Baba utukuzwe, Baba uinuliwe
    Sitasahau ulikonitoa, Umenitoa mbali, umenitoa mbaali baba
    Baba utukuzwe, Baba uinuliwe
    Maneno yako Yana nguvu sana, Yana nguvu sana, Yana nguvu sana Baba
    Baba utukuzwe, Baba uinuliwe
    Kwa neno lako Lazaro kafufuka, kafufuka, Kafufuka Yesu wangu
    Baba utukuzwe, Baba uinuliwe
    Rafiki yangu nakupenda sana, nakupenda sana, nakupenda sana Baba
    Baba utukuzwe, Baba uinuliwe
    Oooh oooh, Baba, ooooo, Baba, ooooo Baba, mmmmmm, noono, ooooo, , Baba yoyyo

  • @BonaneIbrahim-be8xt
    @BonaneIbrahim-be8xt 3 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda hii nyimbo iko ndani maneno ya mungu Asante sana Naipenda sana sana

  • @LazaroMathias-f3h
    @LazaroMathias-f3h หลายเดือนก่อน +3

    MUNGU wetu mwenye nguvu , neema zako fadhili zako kila asubuhi ni mpya tena za nifariji moyo niamkapo.

  • @davidkipkoech4277
    @davidkipkoech4277 ปีที่แล้ว +1

    Mimi ni mlevi and this song keeps me going nikiendelea kupambana na hii maisha

  • @JapheeJoms
    @JapheeJoms ปีที่แล้ว +8

    With you my lord Jesus Christ yote yawezekana, I thank you for blessing the work of my hand... Jinsi nlivyo mm na kila nlicho nacho n kwa neema ya mungu🙏🙏🙏

  • @lindershirima3711
    @lindershirima3711 11 หลายเดือนก่อน

    Rafiki yng wa maisha Yesu❤

  • @andrewmayaka9681
    @andrewmayaka9681 ปีที่แล้ว +3

    Kulala kuamka ni Kwa nehema yake, uniliwe baba I love you 🙏

  • @aworcissy9042
    @aworcissy9042 ปีที่แล้ว +2

    The song that goes directly to my DNA

  • @foxmotorsmbeyaltd3351
    @foxmotorsmbeyaltd3351 ปีที่แล้ว +3

    Amen In 2023 Hata Sasa Ni Bwana Ametusaidia 🇹🇿🙌

  • @PeninahAlivitsa
    @PeninahAlivitsa 8 หลายเดือนก่อน +1

    2024 April am here baba utukuzwe

  • @nancienancy.5913
    @nancienancy.5913 3 ปีที่แล้ว +27

    Huu wimbo unapaswa kuwa na more than 10m viewers....God bless you Mtumishi.

  • @lydiahnafula180
    @lydiahnafula180 ปีที่แล้ว +1

    Wanipa Tumaini la Maisha Eeh Baba😢😢

  • @philodaniell9096
    @philodaniell9096 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu wetu. Baba yetu. Wah. Who is here after the horrible floods and heatwaves in many parts of the world in 2024 may . Its been a lot for many people the world over . What we know is that our God is merciful ❤

  • @JecintaWanjiku-j3x
    @JecintaWanjiku-j3x 3 หลายเดือนก่อน +1

    Since I was a young girl this man of GOD has ministered to me with this song in my tough times end even right now in 2024 September 😢😢am still saying ni mungu mwenye guvu in everything am going thrue.tgank you man GOD

  • @essymutua.1908
    @essymutua.1908 2 ปีที่แล้ว +7

    Nakupenda sana Baba 🥳

  • @CarolineNdinda-ij8ww
    @CarolineNdinda-ij8ww ปีที่แล้ว +2

    Never changing God

  • @gloriousnp
    @gloriousnp 4 ปีที่แล้ว +43

    Nyimbo hizi hazijawahi muacha mtu salama 😥 , uimbaji uliojaa pumzi za Mungu , Baba wa milele 🇹🇿🇹🇿🙏🏿

  • @RonaldAsianzu-ki7zi
    @RonaldAsianzu-ki7zi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Listening right now from the pearl of Africa, Asante sana Mungu

  • @mugopatriciah4161
    @mugopatriciah4161 3 ปีที่แล้ว +16

    Wenye tumefika hapa after hustle Alitaja jina yake

  • @buqi38
    @buqi38 5 หลายเดือนก่อน +1

    Amen thank you Lord for answering all my prayers 🙏🥰🎉

  • @innocentmushy9848
    @innocentmushy9848 ปีที่แล้ว +4

    This song is the most pure praising song I've ever heard. Barikiwa mpendwa unae endelea kulisifu na kulitukuza jina Mungu wetu. Nyimbo ya wiki hii mon, Nov 20.

  • @leahenockmrina5381
    @leahenockmrina5381 3 หลายเดือนก่อน

    Nabarikiwa sana kwa wimbo huu mbarikiwe sana na jina la Yesu Kristo BWANA Wetu lihimidiwe na kutukuzwa

  • @fionamusana8878
    @fionamusana8878 ปีที่แล้ว +10

    I came across this song this morning, and I have been playing it all day. I feel like I am in the presence of God. What a beautiful dedication to our Lord!

    • @fionamusana8878
      @fionamusana8878 11 หลายเดือนก่อน

      I am walking into my 2024 journey with this song. I give all glory to God.

  • @charleskush5060
    @charleskush5060 หลายเดือนก่อน

    This song hits differently than before. I've seen God come through for me in a situation that looked absolutely impossible and many people had written me off. Jehovah you're a Good God and a loving Father. Glory to God. Whatever you are going through, never cease calling out for His Mercy, Compassion, Love, Grace, and Manifestation of His power. He'll come through for you child of God. Just Believe even if it looks insurmountable Amen.

  • @meshackkiprono5362
    @meshackkiprono5362 4 หลายเดือนก่อน +3

    August 11 still ni God mungu wetu kweli ni mwenye nguvu ubarikiwe Solomon mkubwa 💯🙏🙏🙏

  • @LindaMugelwa
    @LindaMugelwa 11 หลายเดือนก่อน

    Asant Mungu kwasababu hojaniacha Asante Mungu wangu

  • @richardilabo8954
    @richardilabo8954 3 ปีที่แล้ว +26

    Napenda huu wimbo kwa utunzi na maneno yaliyotumika. Heko Solomon.

  • @fk-um8bg
    @fk-um8bg 8 หลายเดือนก่อน

    Smart worshipping Gospel. Let's be blessed by listening and singing this song

  • @saidinassoro1349
    @saidinassoro1349 4 ปีที่แล้ว +8

    Hii nyimbo naipenda sana inanipa nguvu barikiwasana mtumishi

  • @DoneyMapesa
    @DoneyMapesa ปีที่แล้ว +1

    Amina 🙏🙏 I believe for my GOD

  • @d-maxScarlageKe
    @d-maxScarlageKe ปีที่แล้ว +9

    Father, I want to live in the shadow of Your wing. When life is hard, and I don’t know what to do, help me remember that You are with me and that I am never alone. I cannot live without You. I cannot face tomorrow without the promise of Your presence. Today I choose to walk and live under the protection of You, The Most High. In Jesus' name. Amen.

  • @favouragripa3977
    @favouragripa3977 3 ปีที่แล้ว

    Napenda Sana kumwabdu Mungu kupitia huu wimbo,,by favour for turnaround

  • @JoyMutanu-rj6mb
    @JoyMutanu-rj6mb 7 หลายเดือนก่อน +6

    Still hear in 2024. ..... praising jesus❤❤

  • @SeraYaa-hu6fg
    @SeraYaa-hu6fg 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu wetu n wa ajabu sana Upendo wake n mkuu sana,Naomba kila anayepitia magumu Mungu amuondolee kila anachokipitia ampe Amani ya moyo kila hitaji lijibiwe kw nguvu za Mungu .AMEN

  • @simonoriko
    @simonoriko ปีที่แล้ว +7

    I thank God, from rags 2 years ago, now I have built my home and living happily with my family. I praise you the living God.

  • @tresorshmurda5575
    @tresorshmurda5575 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU ASIFIW SANA 2023