Nikisikiliza wimbo huu, nakumbuka kusingiziwa mambo ya huongo yenye sijatenda natokwa na machozi na unanifundisha kuishi na watu vizuri Mungu anisaidie🙏🙏
Ambwene Mwasongwe. Kwa nyimbo zao umewakaribisha wengi kwa Mungu. Unavyovaa, unavyo nyoa nywele inafanya wengine wasiwe na mashaka na wewe. Kuna watu anaweza akawa ameimba wimbo mzuri lakini amevaa vibaya sana. Hapo kwa mtu anayetaka kumkaribia Mungu kwelikweli anakosa amani ya kuusikiliza labda watakaovumilia ni wale wanaosema Mungu huangalia moyo wala siyo mavazi au unyoaji. Wasijue kimtokacho mtu ndicho kiujazacho moyo wa mtu. Jitahidi kuendelea kusimama na Mungu katikati ya ulimwengu wenye ukengeufu ili uwavute wengi kwa Mungu
MUNGU nakushukuru kwa neema ya kuniokoa na kunipa kibali na kunijaza tena Roho wako Mtakatifu kupitia Mtumishi wako Ambwene kupitia semina ambayo ulisema na wana wako MOROGORO JEHOVA utukuzwe milele
Kuna wakati nilipitia magumu...nikatamani nife,wimbo huu ulinihudumia Sana ...Mungu akubariki mtumishi Naliona wingu jeusi la laana,likipafunika Kila penye dhuluma
Amen,napenda sana nyimbo zako Ambwene Muda mwingine mpaka natamani ziweke zote kwa pamoja. Mungu akuhifadhi sana na akupe enzi kwenye utumishi wako,asikupungukie wala asikuache daima.
Nikiskiza huu wimbo nakumbuka maovu,mateso na uchungu niliofanyiwa na familia fulani na (Nyagaka family)niliwaachia Mungu kwa sababu amesema :vengeance is mine says the Lord and I shall surely repay.
Mungu akulinde na kukupanua zaidi kwa mafundisho mazuri kupitia nyimbo pia napenda kujua ratiba zako za makongamano ambayo hua unaalikwa kupafom kiukweli upo Vizuri Mcfrank.mtumishi top in the world
This is was a prophecy to come 2020..wingu jeusi LA laana nililifika uliwenguni kote wingu lenyewe ni corona...it was a prophecy... Nilipo sikiza wimbo huu nililia sana nika muliza Bwana itakua aje Yesu siri hii ni gani but hapa kua na jibu..
Ukiikataa OLE, WAKO !! neema ya mungu inatenda mema ndani yako. Mungu anakupa kibali cha kuwa chombo chake. Nuru haizimiki naye ndiye nuru. Inaondoa giza wema unashamiri. 👍 🙏
Hakika wewe ni mtumishi wa mungu nimeufatilia uimbaji wako muda mrefu mungu ameweka kitu ndani yako mtumikie kwa moyo wote usije kengeuka barikiwa sana ambwene
I hv been listening to this song from 2017 and it has been a blessing to me I learnt a lot from kwanza the part that the guy is pushing someone and he is going to church it really taught something,brother Ambwene May the Heavens shine upon u lots of love from Kenya
When I watch these song it just heats my heart and I feel the presence of almighty God Glory be to you everlasting God ,,the song carries creat message
Hii ni kati ya nyimbo zako zinazonigusa kijana usiyeringa nimekutana nawe zaidi ya mara mbili Mungu akubariki zaidi kuinua vipawa vilivyomo ndani yako 2020
Nikisikiaga hii na nguvu ya kujua huwa natoa mbaka machozi mfano nyimbo ya chozi la haki hasa hasa pale anapoimba" ole wako nchi isiyo na haki huwa pananigusa sana ubarikiwe sana mwasongwe
Haki husimamisha taifa. Taifa likawa taifa teule na kimbilio la watu kwani watu wote ni sawa mbele za macho ya mungu ambaye ametuumba kwa mfano wake. Tutafute amani katika yote tutendayo ili tuuone wokovu wa mungu. 🙏
Jamani watumishi wa MUNGU muliyopo duniyani pote naitwa nabii bikemwa mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka DRC congo munisaidiye ku sambaza Channel yangu ao link zangu apo TH-cam mukiandika jina la nabii bikemwa na MUNGU atafurayiya ilo jambo
Barikiwa Mtumishi wa MUNGU akufanyie wepesi katika Magumu unapopitia Nguvu ya Adui isiwe na Nafasi juu yako na ww usikilizae huu wimbo ukafanyike Baraka ya kukuvusha katika Jaribu ulilonalo ila ole wako walionakilio juu yako. Tujifunze kwa watu wenye kiburi mwisho wao walifika wap Hakika Mungu ni mkuu
12/17/2024 God is faithful. Wimbo huu ndio imekuwa Ombi langu , wakati singeweza kuomba, huu wimbo ndio ilikuwa yanipigania. God is faithful
Nikisikiliza wimbo huu, nakumbuka kusingiziwa mambo ya huongo yenye sijatenda natokwa na machozi na unanifundisha kuishi na watu vizuri Mungu anisaidie🙏🙏
Kweli ni Maonyo ya Bwana Mungu.2024
Ambwene Mwasongwe. Kwa nyimbo zao umewakaribisha wengi kwa Mungu. Unavyovaa, unavyo nyoa nywele inafanya wengine wasiwe na mashaka na wewe. Kuna watu anaweza akawa ameimba wimbo mzuri lakini amevaa vibaya sana.
Hapo kwa mtu anayetaka kumkaribia Mungu kwelikweli anakosa amani ya kuusikiliza labda watakaovumilia ni wale wanaosema Mungu huangalia moyo wala siyo mavazi au unyoaji. Wasijue kimtokacho mtu ndicho kiujazacho moyo wa mtu.
Jitahidi kuendelea kusimama na Mungu katikati ya ulimwengu wenye ukengeufu ili uwavute wengi kwa Mungu
Mungu akubariki kwakwel na kukutia nguvu katika kazi zako amina
Amen
Ushauri mzuri sanaaaaaa... Natamani ningekujua ndugu nikakununlia japo maji ya kunywa ... Lakin Mungu akubarik
Amen 👏
Ubarikiwe San mtumishi
Tulio angaria hii nyimbo zaid ya mara moja tujuane barikiwa sana mtumishi wa mung.
I really appreciate this song✨. Ata Mara kumi sichoki jamn
Vincent Massawe kibamba
Kwa afya ya mwili na ya Roho huwezi kuchoka kuangalia wimbo huu
Amina
Amen
Wow duuuh Asante MUNGU kwa kutupenda sana❤️❤️🙏🙏 mungu akubariki sana mtumishi wa bwana
❤ love song, jina la bwana libalikiwe
Nangalia bado 2024😥🙌🙏
So am not alone watching still
Barik iwa sana mutu wa mungu kwa wimbo mzuri najengwa sana
MUNGU nakushukuru kwa neema ya kuniokoa na kunipa kibali na kunijaza tena Roho wako Mtakatifu kupitia Mtumishi wako Ambwene kupitia semina ambayo ulisema na wana wako MOROGORO JEHOVA utukuzwe milele
Kupitia wewe nitamwona Mungu nyimbo zako zinanishushia uwepo wa Mungu
Mungu shusha baraka zako
Nasikiliza huu wimbo 2024 mwezi wa 10🙏
L
Ukweli mtupu wengi wamefunguka macho kupitia uimbaji wako barikiwa sana mtumishi wa mungu.
Amina sana! Utukufu wa Mungu utufikie wote tuonasikiliza huu wimbo
Mungu anatujali kuliko rafiki kuliko ndugu kuliko yoyote yule yesu ni rafiki wa kweli
Barikkiwa Sana rafiki kazi yako njema sana
DAMU YA YESU IKULINDE BABA AMEN
Ee Mungu mguse mke Wang Sofia kupitia huu wimbo alinisaliti mchana kati hanitaki tena niliumia sana nlimuomba msamaha lkn wapi
Ubarikiwe sana Ambwene nyimbo zako zina ujumbe unao gusa
Huu wimbo unanifanya nitende haki kwa kadri Mungu atavyonifunulia
Naogopa sana kuambiwa umenidhulumu
Hasa kwa wanaofanya kazi kwangu
Amen habakuku 2:1-5
Ambwene nyimbo zako zinanifanya njifunze mungu Kila cku mungu akubariki sana
Amen 💕
@@lilianmbalozi5664 ó
Ambwene pesa inamwisho tunapenda kudanlodi ilaumefunga fungua kilakitu kitafunguliwa kwako asante
Barikiwa mutumishi wa Mungu
Tukukimbuka sodoma kuchomwa moto na Mungu ni thulma kuto kutii nandokilip kwa sasa Mungu atupe mwisho mwema Mungu turehem
Tusamehe
Kuna wakati nilipitia magumu...nikatamani nife,wimbo huu ulinihudumia Sana ...Mungu akubariki mtumishi
Naliona wingu jeusi la laana,likipafunika Kila penye dhuluma
Mungu akutunze.kila nipozisikia nyimbo zako.mara nyingi najikuta naomba Kwa kunena Kwa ruga.ni nyimbo zenye upako usio wa kawaida.na ujumbe mzito.
Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU.unapotubari na nyimbo nzuri nazipenda sana❤❤
Ubarikiwe mtumishi wa mungu akutiye nguvu asante kwaku tu bariki kwa nyimbonzuri
Amen,napenda sana nyimbo zako Ambwene Muda mwingine mpaka natamani ziweke zote kwa pamoja.
Mungu akuhifadhi sana na akupe enzi kwenye utumishi wako,asikupungukie wala asikuache daima.
Mungu akuzidishie afya njema mtumishi wake
Mungu anamtumia vyema mtumishi wake
Naangalia bado 2021.. Hakika 😭😭😭😭
Nyimbo nzur sana
Nice song 4reva
Ole wako nchi isiyo na hakii 😰😰😰😰
Good song from Ambwene Mwasongwe. Barikiwa sana mtumishi wa mungu.
Nikiskiza huu wimbo nakumbuka maovu,mateso na uchungu niliofanyiwa na familia fulani na (Nyagaka family)niliwaachia Mungu kwa sababu amesema :vengeance is mine says the Lord and I shall surely repay.
Barikiwa xana ambwene napenda xana nyimbo zako ofcoz zinanibariki sanaaaaaaaa. Mungu akutie nguvu uzid kusonga mbele.
Jackson ahsant tunabarikiwa
MTUMISHI AMBWENE, WEWE NI CHOMBO HATARI SANA CHA BWANA UZIDI KULINDWA NA NGUVU ZA MUNGU KWA JINA LA YESU
Daaaaa mkuuu nyimboo zako zinanikunaga sanaaaa hakika mungu akuongezeee maarifa zaidi
Hongera sana Abwene Kwa huu wimbo mzuri umenigusa mm
Naona huu wimbo ni wakati wake. Nchi isiyo na haki, watu wasio na haki nk....
Ubalikiwe sana ambwene nyimbozako zinaujumbe
Mungu akulinde na kukupanua zaidi kwa mafundisho mazuri kupitia nyimbo pia napenda kujua ratiba zako za makongamano ambayo hua unaalikwa kupafom kiukweli upo Vizuri Mcfrank.mtumishi top in the world
This is was a prophecy to come 2020..wingu jeusi LA laana nililifika uliwenguni kote wingu lenyewe ni corona...it was a prophecy... Nilipo sikiza wimbo huu nililia sana nika muliza Bwana itakua aje Yesu siri hii ni gani but hapa kua na jibu..
Huyo binti wa mwisho anacheza vizuri mwenye sketi pana. Laki nawapongeza wote
Amen huu wimbo Kuna umenivusha barikiwa bro
Hiii nyimbo kwangu ni kila siku nilidownload lakini lazima nije huku kusikiliza, Asante ndugu Ambwene 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Pongez sanaa mtumish mungu aendelee kuibark kaz ya mikono yako nyimbo zako zanibark sanaa
This song will never be forgotten in my life when my husband faced troubles at place of work. Be blessed servant of GOD
Ndani yako kuna hazina ya BWANA
Utunzwe na JEHOVAH Ambwene
Hakika Mungu wangu simama na familia Yang katika kipnd hiki kigum
Olewako uoneaye aisee hii vase inaumiza sana
🙏🙏🙏 Hakika Mungu Azidi kukutunza Broo unanibariki sanaa
Ukiikataa OLE, WAKO !! neema ya mungu inatenda mema ndani yako. Mungu anakupa kibali cha kuwa chombo chake. Nuru haizimiki naye ndiye nuru. Inaondoa giza wema unashamiri. 👍 🙏
Mungu niumbie moyo wa toba na kusamehe wanaonikosea,
Kweli nabarikiwa sana, napia najifunza kitu
Wewe ni mtumishi bora sanaaaa ubarikiwe kwa huduma yako bro @mwasongwe
Nabarikiwa sana na nyimbo zako kaka
Hakika wewe ni mtumishi wa mungu nimeufatilia uimbaji wako muda mrefu mungu ameweka kitu ndani yako mtumikie kwa moyo wote usije kengeuka barikiwa sana ambwene
Mungu akutunze mtumishi kwa huduma
Amina
I hv been listening to this song from 2017 and it has been a blessing to me I learnt a lot from kwanza the part that the guy is pushing someone and he is going to church it really taught something,brother Ambwene May the Heavens shine upon u lots of love from Kenya
P
1
Nalimuona kijana mjeuri,aliyemuumiza mwenzake,akagoma kumuomba msamaha.Naye akasogea kwa Mungu,Tena akapeleka na sadaka.......
Barikiwa Kila siku lazima nisikilize huu wimbo kama si asubuhi basi mchana barikiwa
When I watch these song it just heats my heart and I feel the presence of almighty God Glory be to you everlasting God ,,the song carries creat message
Amen MUNGU akubariki Sana Kaka yangu,,ujumbe mzuri mno🙏🙏
Barikiwa mtumishi Mungu azidi kukuinua juu zaidi kwaviwango vingine
Napenda sana nyimbo zako na barilikiwa sana
Hii ni kati ya nyimbo zako zinazonigusa kijana usiyeringa nimekutana nawe zaidi ya mara mbili Mungu akubariki zaidi kuinua vipawa vilivyomo ndani yako 2020
Your song's Man of GOD keep going am blessed alot ....
Ole wako nchi isiyo na haki ole wako watu wanaodhulumu
Amina sana
Wimbo mzuri kuna cha kujifunza hapa mungu tusaidie
We jamaa yangu una kipaji napwndaga in navokujaga hapa kinondoni Revival church
I recently discovered you,but man oh man,your a blessing for me at this moment in my life.
💞from TRAVERSE CITY ,MICHIGAN 🙏
so beautiful song full of teachings on repentance
huu wimbo umenigusa sana kwa kweli. asante mtumishi wa Mungu
Kabisa
Barikiwa mtumishi wimbo huu unaniumiza Sana.
Nikisikiaga hii na nguvu ya kujua huwa natoa mbaka machozi mfano nyimbo ya chozi la haki hasa hasa pale anapoimba" ole wako nchi isiyo na haki huwa pananigusa sana ubarikiwe sana mwasongwe
Haki husimamisha taifa. Taifa likawa taifa teule na kimbilio la watu kwani watu wote ni sawa mbele za macho ya mungu ambaye ametuumba kwa mfano wake. Tutafute amani katika yote tutendayo ili tuuone wokovu wa mungu. 🙏
Still love this song in 2021! 🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Hakika huyu ni Kioo cha wasanii wa nyimbo za injili barikiwa sana hajawahi kuyumbishwa na mihemko ya dunia
Am blessed by this song my brother. GOD increase you. Hallelujah
This is a great song all times. Whenever I hear this beautiful voice my soul gets lifted high and high...
My 0
Amen
Duuuu kweli uko makin
Naipenda sana hii nyimbo. Patana haraka na mshitaki. Barikiwa sana mtumishi Ambwene Mwasongwe.
Chozi la haki my night 2023 song be bless ambwene
Jamani watumishi wa MUNGU muliyopo duniyani pote naitwa nabii bikemwa mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka DRC congo munisaidiye ku sambaza Channel yangu ao link zangu apo TH-cam mukiandika jina la nabii bikemwa na MUNGU atafurayiya ilo jambo
This song hit me different 2020 after passing through a lot ...HAKI YANGU IPO KWA MUNGU,RIGHT?
Thanks kaka Ambwene for preaching ubarikiwe!
Listening from Dubai, I'm shedding tears 😢 O GOD forgive me, please I just need favour 🙏 and peace of mind 🙏
Barikiwa Mtumishi wa MUNGU akufanyie wepesi katika Magumu unapopitia Nguvu ya Adui isiwe na Nafasi juu yako na ww usikilizae huu wimbo ukafanyike Baraka ya kukuvusha katika Jaribu ulilonalo ila ole wako walionakilio juu yako. Tujifunze kwa watu wenye kiburi mwisho wao walifika wap Hakika Mungu ni mkuu
nice song this is message from the god. godbless you
Wimbo mzuri unaujumbe mzuri,pia napenda dada huyu wambele ananifraisha anavyocheza step mungu awamariki
Barikiwa mtumishi huwanabarikiwa nanyimmbo zako sanaa
Barikiwa Sana ambwene mung u akulinde popote ulipo
Jmn ambwene mwachen et anaimba vizur god bless ambwen
Barikiwa sana mtumishi nice song 💗💗💗
Ubarikiwe Ambene Mtumishi Bwana
Wimbo umeniinua sana,napenda kazi yako
My favourite gospel singer. I lovehim so much
Love song
Ooh my Lord ! Mpe ufunuo huyu mtumishi anagusa jamii
Kaka yangu wewe ni mtu wa Mungu
Finally nimeupata huu wimbo blessed Sana ambwene🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nabarikiwa sana na hizi nyimbo zako mtumishi dah mungu akubariki Sana
Jamani abwene unanigusa sana umenibadilisha aise mananyimbozako zinamafundisho
wimbo huh umenigusa sana nakushukulu mungu kwakumpa kipaji
Listernig to this song today 31st of August 2022,very Powerful! Thanks Ambwene.
Kaka ubarikiwe mno duh!!kuna nyimbo nimezisikiliza hapa yaani Mungu akutunze sana
Revelation of our times. Man of God you hit on the head of the nail. Our current political, social and cultural discrimination.
Daa!!!!! Hapo kwenye nalimwona kijana jeuri
😢😢😢