ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Ambae Bado Ana Fuatilia Hii Movie Ndan Ya Mwaka Huu Wa 2022 Agonge Like Tujuane
Sam mbona Yuko kimy sahizi haigizi ama
Team 2024 Bado tunaendelea
Ezi hizo baba wazee una watoroka usiku kigilio miambili seta mwaka 2014 ❤❤❤❤🎉🎉🎉
😂mwamba unenikumbusha mbali nakwambia tabora kipind sikubar kutumwa maji
Hii movie haijawahi kuisha utamu
😂😂😂 jamani hii ndo nimeiona mwaka huu 2024 daah, nimeipenda saana
Gonga like Kama unaangalia 2022
I remember the year 2008 Niki watch hii movie first time,hadi nililia😭😭,hapa Kenya tuko locked 🙏🙏
Ifike walati tujipongeze tumetoka mbali sana
Professional fighter 🤣🤣🤣 the end make me laugh loudly 🤣🤣🤣🤣🤣sam you did good job
Eeeeeeeeeeeei
Ay bhana enz izo tivi Kwa jirani kulipia miambili miambili
Da! kitambo sana katika vibanda vya maonyesho ya video hakika tumetoka mbali😂😂😂😂😂
Jamani wadauwote merry Christmas 😂🎉☃️
😂😂😂 hii muv mwishon mwishon ina frahisha kwel mr kalan ana pingwa na sam yeye ana jiludishia kwa boss wake
Iko vizuri Sana tupe movie moja hivi iko moja mpaka 3 wamecheza hao hao burade mwalimu kwenye hiyo movie nimeishau kidogo jina
Nakubali sana sam siku hzi skuoni kitaa sjuii uko wp jembe rangu
Duu kitambo sana lakin bad adi 2024 tupo
Nakukubali sana brother Sam natamani niwe kama ww from geita
2008 nikiwatch nikiwa class 4 sai nawatch nikiwa mama part teo
aminia Sana kitambo Sana brother Sam daaa nakumbuka mbali kwer
Ole wake atakae zuia movie za nje,astuchanganye xie apo akuna ktu apo filamu gan hz
Muv nzuri sana japo niyakitambo kindogo
❤ ilike the way mjomba feacted so fer
Nakukubar Sana bro Sam napenda Sana action zako
Sam lipa kisasi nakukubali sana
Good movie
Violênci of Love nayo pia iko poa sana
Moja ya movie pendwa kuwahi kutokea nchini Tanzania 🇹🇿 ni hii sasa 👏👏👏🙏🙏😄🙌🇹🇿💪💪💪
Hizi ndio filaam bwana ebwana hakuna nyengine mlio towa
Simba Zee vp
great
good movie
Sam kazi nzuri mdogo wangu.
Amazing 😍😍😍😍
Kitambo walh move ilikuwa moto sana nakubali sana bro
Anko yuko makini.ahaaaa tayari kuhepa
Nampendag san samu
Ishakubalika. Movie nzuri banawee
nice video
Good job Sam👏
we still watch it
Ni zur
Ngori
Nice
sana
Sana tena
Safi cn
Sam,kazi nzuri
Hi,👏👏👏👏🙏🙏🙏
Hii movie ninzur bara yani unapo iangaria reo nikama mpya yani
Napongeza sana hiki kisasi cha huyu sam !
safi saana
Hiiiii🥺🥺💔💔😔😔😭😭
Sam una mbio😂🤣🤣
iko sawa
sana dingi
nzuri
Kwani mbona hao majambazi wanakimbia🤣😂😂😂😂
Nakukubali bro
Na huyu dem Nani kamwonyesha makende yalipo
Yani ata kama sina mbio watu wapigane alafu atufukuze hadi atushike😂😂😂wabongo mpewe sifa#tbtflani
Wemkali saana
Sam lipa kisasi
Sijui wako wapo siku hizi?
Mm naitaj nijiung nanyi
Like
Weer
Filamu hii ina fundisho kubwa ni laana kutamani hela ya mtu hadi kumuua
siyo ata nzurii, sijaipenda kbs
Movie za kibongo jamba la zima avute sigar
😢
MABO vp
Iko poa
Xana
Big up brother
Unaangalia kitu mupa loho kupenda
uko POA sana
Poa kabisa
Iko poa xana
iko poa iyo
Haaaaa😂😂😂Mr Karan wapigwa na Sam ikisha wajirudishia kwa boss wako😁😁😁👏👏👏👏ni tam San Sam nakupendae bure
😂😂😂😂
hizo sound effects za kong fu zinauzi kama nini
Najuta kupoteza bando langu
Mov yenyewe mba yaa nnajuta kupoteza bando langu
😄😄😄😄
😂😂😂
@@epmarkchami2536hhhhhhh
Umepotelea wapi siku hizi brother sam
toeni nyingine ama hamna doo
Movie nzuri kaka
Poa
poa
Hii move kali sana one love
Nzuri
Nimekukubali sana bro
unakula kitu unakubali
keya Daniel
Kitambo
Pig hawo usibagize hat Moj wana roh mbay xana
Mjomba mwenyewe