Matilda Part 1 - Hemed Suleiman & Salma Jabu (Official Bongo Movie)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ต.ค. 2017
- Mathias is a kind and gentleman who falls madly in love with Matilda a dancer, whose life is constantly in front of a crowd. At home Mathias is staying with Modesta, a simple girl from a humble background. He leaves Modesta for Matilda and then he discovers all that glitters is not gold.
PRODUCED by Mtitu G Game
SCRIPT by Ali Yakuti
DIRECTED by Mtitu G Game
Subscribe to Africa Movies on TH-cam here: bit.ly/AfrichaMoviesSubs #AfrichaMovies #AfrichaEntertainment #Game1st
Tulioiangalia 2024 Tujuane Kwa Like Hapa
I'm here bby😂😂
Guys 2024 piga yowee
🤣🤣✌🏾
Tulioangalia kuanzia june 2024 like hapa
Twende like wakuu 2024😢😢
Tulio itazama June 2024 tuje apa😂😂
Munataka kuniambia 2023 niko pekeangu😭😭
Nipo na wewe
Tupo
Tupo
Tupo wengi
Tupo 2024
tunaoangalia 2024,gonga like
whos else is here 2020?? Rip mzee njengua . utakumbukwa sana legend
Nani yuko na mm 2021
P1
Wangapi tunatizama 2021... Naangaliaga movie kulingana na comments. I'll be back with a comment baada ya kuwatch
Nipo baby
Upo kama mm
Mm hapa na muangalia matlida alivokuwa kwenye hii movie na sasa alivo nenepa kwenye tamthilia ya tunu mh
Tunao angalia 2022 lice nyingi nyingi twende sawa 👍
🎉 2024 jery nipo babat
Hii movie naipenda balaa Yan nzuri San matirde sahv n mam lao jamn
Kumbe watu hutoka mbali, wellu senko ulikua mrembo dancer kali hivi ❤, then sai umenona round. Anyway nmeanza kuvitazama filamu zako just 2yrs ago and regret mbna sikuzitazama kitambo jaman 😢, kazi yako nzuri saana dada mrembo 🥰🥰🥰
I appreciate salma jabu mama nakupenda buree
Tunaombeni Mzogo Unaitwa Passion of love wa Yusuph mlela na Ireen uwoya 🤣🙏🙏🤙
Matilda ame change kwa hiyo movie ya Turufu anakua munene sana tena sana. Hapa alikua na mwili mzuri sana
Ndomwl wake wa sasa
Nani Yuko hp 2022 agonge like hp tujuwane
Modesta anatengenezewa maisha mazuri
Wajina langu
Movie nzuri Sanaaa 🙏 hongeren washlki movie kaz nzuri Sanaaa
Kipindi ichoooo ulikua modo sana matrida sasa bonge la mtu
Ukweli kabisa. Hapa matilda alikua na mwili mdogo sana tena mzuri . Miss Tanzania matilda
Jamani mwenzenu nampenda sweet heart wangu matilda jamani😢😢😢😢❤❤❤❤😢mungu akulinde
Me pia jaman
Pia mimi nampenda sana. Anajua ku act poa sana
I have always admired the bongo movies especially where Grace Mapunda takes the position of mama! She really motivates me as a young man. Big up brothers and sisters...love Tz from kenya...+254
You touch me😢❤
Me too.Nlipenda fake smile pia alipouvaa uhalisia wa mama haswa
Nafurah pindi nikitizama movie ya Welu Sengo, #Matilda... Nawakubal wabongo nipo kenya 🇰🇪🇰🇪
Nice movie 🎥
move nzuri alfu matilda ni.mrembo sana love u matilda
hemedi unajua sana kucheza moves mashaallah mungu akuzidishie
Amzidishie
Anajua sana
That the best swhaili movie evet
Mashallah Brothers and sisters welcome
Ningekua mm ningejitoa ufaham nikammegea boc kidogo maisha ya Kodi yakamalzwa na kazin nikaendelea au vp
Kweli 😂😂😂
Munafanya kazi nzuri bongo Movies Mungu abariki kazi yenu
ndaaa huwa cichokagi kabisa kuingalia hiii movie jaman I like it
Matilda mzuri nampenda ata ajichubui
2022 watching sababu ya comment Bongo movie yenye coments chini ya 200 huwa siangalii
jamani matilda nakupenda adi 😢😢😢 nalia
Ila movie jmn kwenye movie ya IKNOW YOU matilida na mohammed mtu na kaka hii mtu na mpenzi mko vzr 😂😂😂
2/8/2022 till watching 🔥🔥
I'm watching now it's so amazing 🥰🥰🥰
matilda mzuli sana nampenda vibaya san
Kazi nzur san
Wellu sengo ,,,, kumbe ndo alikuwa anaitwa Matilda
Gud movies from tz like km zot share apo
Nimempend san tn san
good movie
Modesta love you
Napenda sana hii movie
Hongereni xana bonge LA movie
Nice movie
Oui
Hemed unaigiza vzr sichok kuangalia movie zk
Nic mov nimekubali sana
Ilke zangu Asante kwa move
Saf nimeipenda sana
Wametisha
Movie nzuri sana bongo movie mwaaaaaaaaa naomba bac mtuwekee mwendelezo wa lost adam
Matilda are you Rebecca in Rebecca episodes. Mmmmmmmhhhhhh you changed a lot sister. Keep it up you do good for sure
Yea she has changed. Anakua munene sana hapo kwa movie ya Turufu
No
@@upendouisso6915 yeeeeeees
Africha movie tuekee red cross please
Shukrani nawapend saanaa Math weee saasaa laaaaa 😂😂😂🤣😃
Jamani matirida alikuwa na shapu nzuri ivi??😳😳😳😳😳
Nice movies
Hemed hongera kaz nzur
Thanks 😘😊☺️☺️😘
2024 still here❤️
Very peace love bong mivies tz all
Zuri sanaaaaaa
Good
Zur sana wadau wa mie
nice
Pt4
2024 naombeni like
gu movii pleax keep it up
Mama mathias leo mpoleeee hadi rahaa
Umeona eeh
Ipo good 👏
Nice Movie, Nzur sana
Hongera sana yani movies zenu haziish utamu
Nisha mzuri since ukooo dah
Nzr
So nice
Gud movies from tz 👏👏👏
Asante sana kwamafunzo muridupa👌🙏
2024 maua yako hemed suleiman
Verônica
ongezeni sauti tusikie sauti iko chini
Huyu babu mi macho yake tu anavyo yatoa njee utazani kapigwa na jiwe
.😅😅😅
Modesta mtu wamateso i love you
Zamani kulikuwa na bongo movie siku hiz bongo mauzi
we mbona umeshindwa kutoa yako tuone wenzio wakitoa hutaki kuwapongeza
wow!
@@dimpozdimpoz211 kwani sijawapongeza apo sio kila kitu cha kupongeza ukikosolewa utajiongeza kuboresha na wote tukiwa waigizaji nani awe mtazamaji heee kuna mgawanyo wa majukumu na kila mtu anaperception ake katika kupercive kitu umeelewaaa hope
@@dimpozdimpoz211 wao wenye wanakiri bongomovie imeshuka kiwango mm nani hasa nisiwasemeeee akuu
😀😀😀😀
Matilda pnguza mwili ona huo ulio nao ndo mzri wasasa sio mzri umenenepa kama tembo 😂😂
Nice
Yani Mimi mwenyewe nimemfata kumuona
Kumbe tulio Mfata tupo wengi
😏😏😏😏maboss wengine bwana
2023 still watching
Kwel maman naa tenda mem uwendeee 🙏🙏🙏🙏
Ngino
Mapenzi
Mapexi
Ngono
Mtitu yuko wapi jamani.............
Ako katalumbeta kananikumbusha Dodoma kwetu
Wale wa wi fi free tujuane😅😅
Matlda anacheza kama rozemuhando
Wewe 🤣🤣🤣
Sema matangazo ni mengi sana🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Tunakosa vitu vizuri kabisa sahizi
Kwann
nzuri
Nice 😙😙😙😙
Nampenda huyu mama grace mapunda anajua kucheza sanaa
Huyu c n Eliza mwenye anacheza pazia series alikuwa mdogo saizi amenonaaa marshall ah
Eeeh ni huyo Eliza wa pazia
Safi sana mpo vizuri
Kesini gara2 tiktok
part 2 why my lina
Sasa mm 2024
♥♥♥♥♥♥good
Taaaaaaaaaaaaaamu Sana hongereni wanangu Hiii movie imefaa itelewe na @Mtitu Game
Nzur cnmbn mbogo muvi
Nzr
Cute sana katika move hii
kuna movie nzuri likni zingine hamna part 2 ila hongera sana bongo iko ju sana kma jua la kiangazi
Kipind hicho matilda kwenye ubora sasa hiv hunahata mvuto linwili kaa tembo
Sasa ndugu yangu akiwa na mwili km tembo ww inakuudhi nini kaaaah...
Mnapenda sana kutoa watu kasoro wakati nyinyi mna yenu kibaooo.
🤣🤣🤣🤣
Ati sahii ako na mwili kama tembo🤣🤣🤣
Matilda I love u
Part 2 tupe