Sekunde Chache Part 1 - Charles Magari, Ahmed Ulotu (Official Bongo Movie)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 23 ก.ค. 2020
- Sekunde Chache Part 1 - Charles Magari, Ahmed Ulotu (Official Bongo Movie) Chris Creation
Watch Part 2 Here: • Sekunde Chache Part 2 ...
CAST: Charles Magari, Ahmed Ulotu, Hisan Muya, Leah Musa, Hussein Mklet, Asha Jumbe, Debora Dickson
STORY/SCRIPT: Husein Mklet (SHAROBARO)
EDITOR: Peter Saleh
PRODUCER: NSS Production
DIRECTOR: Athumani Mtinda (ASSAM)
Subscribe to Africa Movies on TH-cam here: bit.ly/AfrichaMoviesSubs
Bongo Movies, Tanzania Movies, African Movies, Movie, Comedy, Bongo Comedy, comedy, film, steven kanumba, madebe, madebe lidai #AfrichaMovies #SwahiliMovies #BongoMovies - บันเทิง
Mr magari ujawai kutuacha uko sawa kwa movie zako
2021 like zang
Anew friend here sending my support from @iam marwa thumbs up done already.
Nzuri sana
Movie Kali sana
Hongera sana magari
Nice mbarikiwe sana
Iko fire part two tunaomba utuletee
Muze magari wewe!!!!!!!!!!!🌷🇧🇮
hongereni naomba movie za hisani muyaa plz
Good
Nice
Napenda xna mzee magari😂😂
Sauti ya Hiyo muziki iko juu sana 😢😢
Sauti iko juu zaidi ya kila wanacho ongea
Jini analia du😅😅😅
Iko Poa sanaa
Rest in peace sharobaro
gd
Nc move
Sehemu ya pili hamna
Part2 mtuekeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mim.nitakufa.na.akiba.yangu.maana.ukimwachia.ndugu.ataniulia.hats.watoto
Big
Part 2
Nice movie
Mzk mbn ndo mkbwa
Wee wee😢😢😢
Movie nzuri Sana lakini mbona ile ya johari part2 hauwezi download offline mbona jameni??
Tanzania is gud 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Movie nzuri lakini kelele za beat zinaboa.
SEKUNDE. 2
RIP ERICK
Nimekupenda we nesi Kadog dog
Jini Analia Naye😁
u made my night😂😂
Jamani simu tunajua hazifanyi ukiwa kwa lift kumbe tz zafanya😂
Part 2 tunaomba
ikopoa
Husiandika magari bt andika magali tofautisha jina la binadamu na chombo cha usafiri.
Iko poa
Kanumba aliondoka na kila kitu kwa sasa ukikosa kwa madebe lidai hakuna kwingine mimi hapa sijaelewa chochote
🤣🤣🤣🤣🤣 amna kampuni nying zinatoa movi nzur
Tanzania... Naomba nngezaliwa huko...
Eti unaomba nini heeeee ni akili una
kuna movie ya Charles magari natafuta but sion mswazi msaliti
Nakipendaga kidada hiki kijini anajuwa kuigiza
Ulotu ukozsawa.
Uongo wa bongo bana mtu kapigwa lisasi alafu hata police hamna hospitar wa kumlinda kweli uu sini uongo wabongo tubadili keni jmn
Nina kumbuka mutu ina hitwa Sospeter, Trace na Mama Sosi.
Part too 🙏🏻
Eti jini analia nae
Mwenyewe nimeshangaa
Hapo sasa 😂😂😂
Gd mover
Jackson elias
Jamn sauti ya mzki ndo inatawal vp jamn
Inamaana magali kaumia kwa laptop tuu jaman au Kuna jengine
Ila bongo ni bongo asee mzuka umelia mpaka ukapenga kamasi kabisa! Duh!
Hahahaha,usishangae,part two hadi mzuka utaenda kukojoa kbsaaa
Haha hahaha mweeeeee bongo jamani mi sihami eti hapa ndo nshafika
Hhhhhh jamani nacheka san
Movie zenu ni nzuri xana ila kelele ni nyingi xana za mziki punguzeni
Muvi za saiz ovyo kabisa mauza uza tu hamna lolote kwanza hakuna mabadiliko naona idea ni ile ile wanabadilishi maneno tu na maeneo
th-cam.com/video/9wC0Fdd2AUY/w-d-xo.html
Bonyeza Link Hi utazame tamthilia Hi ya nyumaa ya pazia
S@lim
Nice
Part 2
Jackson elias